SHEIKH MZIWANDA AUNGANA NA FAMILIA YA SHEIKH MNAWATE KWENYE SHUGHULI YA ZIARA MIKINDANI MTWARA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 5

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 25 дней назад

    Acheni uzushi katika dini. Uzushi hauna kheri yoyote muipatayo kwa hizo ziara za kizushi

    • @OthmanIbraheem-g4v
      @OthmanIbraheem-g4v 24 дня назад

      Acha kuingiliaaa dini yetuuu fata unayoyaona wewe yanakufaaa
      Mzushii baba yako kwenuu ukooo mbwaa wewe

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 24 дня назад

      @@OthmanIbraheem-g4v kasome suratul-kahfi aya ya 103 hadi 105. Hasara ya kujifanyia mambo ukaona kwa bichwa lako ni jambo jema bila kufuata muongozo wa mtume swalallahu alayhi wasallaam. Kujifanyia tu kichwa mchunga. Halafu dini hii wewe si mmiliki ni dini ya Allah wewe ni mfuasi kama wafuasi wengine.

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 24 дня назад

      @@OthmanIbraheem-g4v pia nakunasihi kutoleta maneno ya kashfa na matusi. Ndo huo uislamu unaojimilikisha ulivyokufunza utukane watu mitandaoni? mimi sijamtukana mtu nimesema hao wanaofanya uzushi waache wewe unasema mzushi babaangu wewe unamjua babaangu? anaingiaje hapa mtu humfahamu hujamuona na wala hayuko hapo kwenye ziara.

  • @SwalehKwangaya
    @SwalehKwangaya 24 дня назад

    Acha upumbavu kama uzushi fata msimamo wako lazima ushughurike nayasokuhusu