Huoo mkataba umevujishwa msione Kama hii serikali ni transparent.......sema kunawazalendo ndani ya serikali ambao walishindwa kuvumiliaa Kama wananchi wengine walivyoshindwa kuvumiliaa, wakauvujishaa
Yule sio shekh kabisa ila ni njas inamsumbua hapa hakuna mtu anakataa uwekezaji bali tunataka pale penye utata wa mkataba usahihishwe wamerogwa na nani wanakubali vitu kama hivi kutoa utu wetu na usalama wa nchi yetu na mlango wetu kwa nchi nyingine bila ushirikiano wa wazawa kuwa nao kwenye madaraka na usemaji haiwezekani kitu kama icho tuwekeze lakini kwa maslahi ya wa TZ woote na vizazi vyetu woote bila kujali Imani zetu na Muungano wetu woote ni kitu kimoja tuache mambo ya Imani na utengano yatatupeleka pabaya woote ni wamoja tupendane tuwe kitu kimoja kusimamia haki zetu
Mwanahalisi mmeboronga kutuletea habari hii. Hamajawatendea haki wanabaraza pamoja na sisi watanzania ambao tulitaka kusikiliza waraka wa mashehe wenye akili kama hawa. Kama hamna uwezo acheni kufanya hiyo kazi. Mmeboa sana!!
HALISI On Line, clip hii inakatikakatika sana, sehemu ya matamko mbalimbali mara kwa mara inapotea na hivyo maana au ufuatiliaji wa kina kwa hotuba hii muhimu inapotea. Ona namna ya kuirudia upya pasipo kukatika katika.
wale sio wawakilishi wa wananchi hawakuchaguliwa na wananchi..mfano Kassim Majaliwa anaitwa mbunge wa Ruangwa lakini hapa Ruangwa hakuna mwananchi hata mmoja aliyempigia kura..
"If you are emotionally attached to your tribe, religion or political leaning to the point that truth and justice become secondary considerations, your education is useless. Your exposure is useless. If you cannot reason beyond petty sentiments, you are a liability to mankind." Dr. Chuba Okadigbo (Late)
Tatizo la viongozi wa dini ya kiislamu huwa wanaweka sana udini mbele hata kwenye serious issues ndiyo maana hata hii issue ya bandari wanaona kama vile ni vita ya kidini kwamba wakristo wanapinga kwa vile kwanza, mwekezaji ni mwarabu na pili, rais ni muislamu kumbe mambo hayako hivyo umiangalia kwa umakini utaona kwamba wananchi wa dini zote wamesimamia maslahi ya taifa bila kuingiza udini lakini hawa viongozi wa dini wanataka kuichepusha hii mada na kuipeleka kwenye mtazamo wa kidini,inafaa wakemewe
Mbona recording haikuwa nzuri??? Japo baadhi ya maneno ya waraka uliosomwa na sheikh Ponda hayakusikika ila hoja za msingi kama za reference ya wakili Boniphace ya kutatua panapoonekana kuwa hatari kwa maslahi ya nchi hapa nimemuelewa, ila angalizo langu na ukweli usiopingika ni huu; pasipokujali imani zetu, tusijejaribu kujidanganya kwamba tusikosoe panapoonekana hapajakaa sawa eti kisa tutaonekana tunaingiza udini kwakuwa mwekezaji ni mwarabu kamwe tusije jidanganya maana haya ni maslahi ya watanganyika. Kwenye mkataba wowote wakitaifa hakuna sehemu ambapo utakuta eti kwakuwa mwekezaji ni mzungu basi Wakristo ndio wataneemeka tu au mwekezaji akiwa mwarabu kwamba Waislamu ndio watakaoneemeka tu..kitu cha msingi na cha kwanza ni kuangalia maslahi ya taifa kwanza na watu wake pasipokutanguliza udini..maana kumekuwa na wapotoshaji eti hii kampuni inapingwa na Wakristo kisa mwekezaji ni mwarabu kitu ambacho siyo sahihi jambo la msingi tuangalie vipengele vigumu kwa taifa tuvirekebishe au tuviondoe
SHEKHE PONDA WEWE NI MZALENDO SANA UNAIPENDA NCHI YAKO SIYO SHEKHE MWAIPOPO NA WENZAKE TULIOSIKIA WAKISAPOTI MKATABA WA BANDARI BILA KUJUWA ATHARI ZAKE NA KUTHUBUTU KUINGIZA UDINI MUNGU AINUSURU NCHI YETU KWENYE MIKONO YA WENYE TAMAA KWA MASLAHI YA MATUMBO YAO
Huyo kwa sababu ni Sheikh wa CDM wa upinzani. Anaona kabisa yupo ubazi wa makosa ila hawezi kuwakimbia akina CDM na hapo hapo anajua WAISLAM hawatokuwa unazi wake. He is politically motivated. He will straighten up himself and align with majority of Muslims
@@stevensosipita2851 Hamuwezi na hiyo ndio nia kubwa ya CDM wawe wanajijua au hawajijui kuharibu muungano, kuleta Udini na ukabila. Na kama mkisema muwanyoshe wazanzibari kwa mapigano, basi mjue tayari mmeshaleta Udini na watu wengi Waislam wa Bara watakuwa ubazi wa Wazanzibari kiakili, kisaikolojia na kimapigano. Kumbuka hii issue, jinsi Mbowe na Tundu lisu walivyoanza, wanauwasha mtoto ambao utaipeleka Tanzania to thenpoint of ni return. Ndio maana angalieni maneno yenu nyie wa CDM(ambayo Waislam walio wengi sasa hivi wanaamini ni chama cha Udini na Ukabila na kuanzia sasa and on, ndio itakuwa strori vikao vya kahawa). Yaani, imedhihirisha wazi kuhusu CDM pamoja wengine we don't have interest or supporting CCM. I have never vote for CCM before bali 3 times for CDM, but a lot of us we have started changing our minds about CDM. How they can support RACISM, being religiously biased and to break our unity !? Lisu na Mbowe, they both fucked up and CCM , will play that card very carefully..... Chama cha Udini(Roman Catholic), Ukabila, Ukanda, na Ubaguzi wa Rangi as long as those people are Muslims. Ukiwabagua Wazanzibari, ni kweli Wazenji nao wata gawanyika no matter what. Na sisi huku hatuwezi kuwa salama. Utaleta Ubara na Upwani which will bring Uislamu and Christianity (mostly Catholicism). There will be no peace and Tanzania or whatever you will call,,, will never be the same. Tanganyika ambayo Nyinyi mnaitak, will never be Tanganyika no more. We will split 🪓🪓🪓🪓. Pwani(Muslim majority) and Bara(Christian majority). Kama ingekuwa unaweza kusoma historian ya nchi zilizovunjika na kuwa uhasama, , ungeweza kuelewa vizuri sana Steven. I hope baba zenu wa Makanisa will have cool heads kama Masheikhs who are almost silent now, pamoja ni masheikh wawili tu walionyanyuka na kuonyesha support for mama Rais Samia and openly said ni Udini tu mnauleta kwani waislam wana historia nyingi sana katika sekta mbalimbali mambo haya haya hutokea. NANI ANAWEZA KUUZA NCHI AU BADARI ZA NCHI ZAKE!? HIvyo mnawafanya Waislam ni Wapumbavu!!? Mnaweza kuwadanganya Wakiristo lakini sio Waislam. Pili, watu kama Nyinyi wa Bara, bandari ina kuhusuni nini!? Mbona migodi yote hiyo mpaka sasa inapigwa tena na Wazungu na wachina wanapiga kila siku,,, why no body is complaining. Tatizo ni wengine are pushed by their hatred, bigotry, religion (Christianity), and tribalism and supremacy behavior thinking you are all educated, elite and know everything fucking thing. MNALIINGIZA TAIFA KWENYE MAAFA ya Civil wars polepole kwa upumbavu wenu. Sasa huo usiku ndio usomi gani huo wa kutoa maneno ya matusi kwa viongozi, kashfa, vitisho na kuwatoa fahamu kwa elimu zenu hizo z kupendelewa na kuburuzwa buruzwa na kanisa!? Sasa huo usiku wenu una faida gani KAMA HAUJUI TO SELECT YOUR WORDS CAREFULLY? Pia jiangalieni kila siku mko ni Nyinyi tu makabila ya Wapigaji maana ndio mlio wengi pale bandarini kwa sababu ya wizi na upigaji. Mnajua fika akiingia huyu jamaa hakuna kupiga wala wizi tena. Wengine mnafuata mkumbo tu kwa kujiona labda mna mnguvu. Civil war is a disaster and there will no clear winners pamoja at the beginning will favor some people for a little while. After that, we will not be the same no more. WACHENI UPUMBAVU WENU HUO MSIJE MKASABABISHA VIFO VYA MAMILIONI YA WANANCHI WASIO NA HATIA YEYOTE. Hao akina Lisu na wenzake wote watakimbia nchi kama walivyo fanya. Kama ingekuwa wao ni Wanaume kweli kweli, basi wange bakia nchi kipindi cha Marehemu Magufuli.... Yote ilikimbia kama mijibwa kimo.
USISEME MMEIBA, SEMA TUMEIBA... MAANA PENGINE WEWE NI MINGONI MWAO WALIOIBA... SISI WENGINE HUKU "IKULUNGULAMPEPO" HATUJAWAHI HATA KUKANYAGA HUKO BANDARINI; JAPOKUWA KWA HAKIKA TUNAITETEA BANDARI KWA HALI NA MALI KWA AJILI YA MASLAHI YA TAIFA LETU NA WATU WETU.
@@israelkisserei524 MAJIZI JANAZA TIME NO MORE WAGALATIA MAFIA KWENYE BANDARI YETU NO MORE KANISA KUIBA BANDARINI PROPAGANDA ZENU KWISHA SASA MNATUMIA WANASIASA UCHWARA NA WANASHERIA WEZI 😅😅😅😅😅
@@OmmyJames-xn7jiUKIANGALIA MWANDIKO NA MANENO TU ULIYOYAANDIKA YANAKUTAMBULISHA KUWA WEWE NI MTU WA AINA GANI, TULIA USIMALIZE MANENO... HAKUNA CHOCHOTE UNACHOKIJUA HUKU ULIMWENGUNI.
@@OmmyJames-xn7ji NYIE WAARABU MLIWATOBOA BABU ZETU MIGUU, NA KUWAFUNGA MINYORORO... VIPI MNATAKA KUTUFUNGA NA SISI PIA? KWA HAPO MMEKWAMA, MINYORORO YENU MTAJIFUNGA WENYEWE.
Ponda ni mtumwa haamini kama watanzania wanaweza anaamini waarabu na wazungu. Na sio mikataba yote inaenda bungeni. JPM anafuata nini hapo kwahiyo inaamaana mkataba kwenda bungeni wakati wabunge wanapitisha mkataba kwa rushwa kwasababu wabunge wameongwa. Ponda anachuki na Magufuri ambaye ndio kiongozi mkweli hata mfanye nini Magufuri atabaki kuwa shujaa.umesimama hapo kwa jina la uislam halafu unakuwa mnafiki. Kama hujui wakati wa kikwete tulipata asilimia 3 na sio 16 kwenye zahabu kwenye nickel na kuna asilimia kama kwenye zahabu hajatoa bure. Muogope ponda wacha unafiki unatualibia uislam bora unyamaze kuliko kuwa mnafiki. Huo mkataba hauna tofauti na ule bandari ya bagamoyo aliyoukataa JPM mbona hayo haujasema na ulikuwa wa wachina sio waarabu utakwenda motoni ponda Kwa unafiki. JPM hapo amefuata nini? Hakuna anaepinga uwekezaji tunapinga kutawaliwa tena na wageni. Viwanda wakati wa Nyerere vilikufa kwasababu ya malighafi na kilicho tuponza msimamo wa Tanzania kupigania ukombozi wa kusini mwa Africa. Na wakati huo ingekuwa kama ilivyo leo viwanda vya Tanzania visinge kufa. Sasa hivi bwawa la Nyerere linajengwa na Misri reli inajengwa na uturuki. Enzi zile hufanyi kitu kinachousiana na viwanda bila Uingereza, ujerumani, ufaransa, italia, marekani au taifa lolote kubwa la magharibi. Kenya walikuwa vibaraka na ndio maana walivunja umoja Africa ya mashariki. Ponda jifunze Historia yako usiropoke. Tatizo la bandari ni wizi sio ufanisi mapato yanapotea tukiacha wizi tunauwezo wa kuita makampuni ya ujenzi kutujengea bandari za kisasa na tukaendesha wenyewe. Ponda mnatuzaraulisha sana. Sasa kama miaka sitini imepita tumeshindwa kuongoza wapeni nchi wageni basi waiongoze kama hiyo ponda unaona ndio njia bora. Narudia tusitetee uovu kwasababu mtendaji ni muislam mwenzetu. Mama aliongea kwenye Baraza la mawaziri siku za nyuma akiashiria wale kwa urefu wa kamba yao wasile wakavimbirwa, lakini wanakula na nchi wanauza!
Eti mnapiga maombi waarabu wapewe .eti huwezi kuomgele mambo ya kanisa na bandari.acheni ucheni uchochezi. Tunashindwa kuelewa kwanini nyie inawauma na Kwanzaa kuhangaika.shughulikieni mambo ya dini waache wanasiasa washuhulikie.
HUYU SHEKHE PONDA AFANYIWE MPANGO ARUDISHWE KWAO BURUNDI ANA CHAFUA HALI YA HEWA SEREKALI UGWANA WAKE UNAJIPOZA KUWAPA WATU URAIYA ALAFU WANAFAYA FUJO KAMA HUYU PONDA
Kinacho itesa Africa hatuna viongozi bali wanafuata hisia zao na mwisho huwa tunaona makosa ukweli hakuna utadhani wananchi woteee ni vilaza hayo hauwezi yaona nje ya Africa ndio maana wameendelea ki miundo mbinu viongozi mpaka wanakumbukwa kama watakatifu sisi ni bla bla tu uongo mwingi ndio sababu tupo nyuma kimaendeleo .
Mbona recording haikuwa nzuri??? Japo baadhi ya maneno ya waraka uliosomwa na sheikh Ponda hayakusikika ila hoja za msingi kama za reference ya wakili Boniphace ya kutatua panapoonekana kuwa hatari kwa maslahi ya nchi hapa nimemuelewa, ila angalizo langu na ukweli usiopingika ni huu; pasipokujali imani zetu, tusijejaribu kujidanganya kwamba tusikosoe panapoonekana hapajakaa sawa eti kisa tutaonekana tunaingiza udini kwakuwa mwekezaji ni mwarabu kamwe tusije jidanganya maana haya ni maslahi ya watanganyika. Kwenye mkataba wowote wakitaifa hakuna sehemu ambapo utakuta eti kwakuwa mwekezaji ni mzungu basi Wakristo ndio wataneemeka tu au mwekezaji akiwa mwarabu kwamba Waislamu ndio watakaoneemeka tu..kitu cha msingi na cha kwanza ni kuangalia maslahi ya taifa kwanza na watu wake pasipokutanguliza udini..maana kumekuwa na wapotoshaji eti hii kampuni inapingwa na Wakristo kisa mwekezaji ni mwarabu kitu ambacho siyo sahihi jambo la msingi tuangalie vipengele vigumu kwa taifa tuvirekebishe au tuviondoe
Huoo mkataba umevujishwa msione Kama hii serikali ni transparent.......sema kunawazalendo ndani ya serikali ambao walishindwa kuvumiliaa Kama wananchi wengine walivyoshindwa kuvumiliaa, wakauvujishaa
Na Mimi ndio nimeshangaaa kumbe umevujishwa
Ni kweli ulivujishwa maana baada tu ya kuvuja spika ali kasirika sana na akawaonya waliovujisha hivyo mkataba ulivuja kweli
HONGERA SHEIKH PONDA,, KULIKO YULE SHEIKH MWAIPOPO,, SHEIKH WA HOVYO KABISA,, HANA POINTI KAMA WEWE,,,CHAWA TU
Yule sio shekh kabisa ila ni njas inamsumbua hapa hakuna mtu anakataa uwekezaji bali tunataka pale penye utata wa mkataba usahihishwe wamerogwa na nani wanakubali vitu kama hivi kutoa utu wetu na usalama wa nchi yetu na mlango wetu kwa nchi nyingine bila ushirikiano wa wazawa kuwa nao kwenye madaraka na usemaji haiwezekani kitu kama icho tuwekeze lakini kwa maslahi ya wa TZ woote na vizazi vyetu woote bila kujali Imani zetu na Muungano wetu woote ni kitu kimoja tuache mambo ya Imani na utengano yatatupeleka pabaya woote ni wamoja tupendane tuwe kitu kimoja kusimamia haki zetu
Mwanahalisi mume zenguwa
Mwanahalisi mmeboronga kutuletea habari hii.
Hamajawatendea haki wanabaraza pamoja na sisi watanzania ambao tulitaka kusikiliza waraka wa mashehe wenye akili kama hawa.
Kama hamna uwezo acheni kufanya hiyo kazi.
Mmeboa sana!!
Hakuna kuna mambo wameficha tu on purpose. They are not stupid.
Kuna vitu hawakutaka watu wajue. Lakini utaipata kwenye Zanzibar Kamili online TV.
acha lawama hawaja kulazimisha
Shekhe MUNGU akutie Nguvu na Hekma nyingi !!!
WAGALATIA WAO WANAONA HII NCHI WAKO NA HAKI NAYO KULIKO WAISLAM KILA MWAKA PROPAGANDA
Sheikh Ponda ni mkweli SIKU ZOTE .....
Kwa kikao hiki mashekhe mko pamoja na hakuna udini hili ni taifa tunakula pamoja tupiganie taifa
nimekuelewa shekh ponda mkataba huu hauna maslai na watanganyika
safi sana shekh wangu ponda swala hilo hakuna udini tunaomba mjadala uendelee kwa faida ya watanzania
Ndo tatizo la nchi yetu
Saws na kweli
Nakukubali sana umesema vizuli shehe eti ,dini zinaingilia wapi hapo kwenye bandali ,mkataba uvunjwe 2
Ni mara mia usikilize viongozi wa dini wa Tanzania kuliko wabunge,mijmaa ipo dodoma kuchukua posho tuuuu😂😂😂😂
Umejuwa leo Tanzania siyo nzuri kimjula ongera kwa kujuwa hilo yanatakiwa Mapinduzi makubwa
Kongore Sana masheikh
Ovyo sana nyie mwanahalisi
HALISI On Line, clip hii inakatikakatika sana, sehemu ya matamko mbalimbali mara kwa mara inapotea na hivyo maana au ufuatiliaji wa kina kwa hotuba hii muhimu inapotea. Ona namna ya kuirudia upya pasipo kukatika katika.
MAHAKIMU NA MAWAKILI WOTE NI WA DINI MOJA, WAISLAAM TUTAWAFUNGA HADI WAONDOKE TANGANYIKA NA WARUSI KWAO MZANZIBARI!
😢 shekhe wewe nimkweli tupambane na lasilimal za Tanzania
Watanzani tuwe wamoja hakuna udini hapa.
wale sio wawakilishi wa wananchi hawakuchaguliwa na wananchi..mfano Kassim Majaliwa anaitwa mbunge wa Ruangwa lakini hapa Ruangwa hakuna mwananchi hata mmoja aliyempigia kura..
WAGALATIA MTALIA SANA NO MORE MAJIZI PALE BANDARINI NA KANISA LA KATOLIKI LINAHUSIKA WIZI KWA MIAKA 60
Kwahiyo,!!hapa watu wanazungumza/kuongelea habari za bandari na mkataba wenyewe hawanao mkononi,wa
Hii redio gani
Mwana halisi ni wapumbavu sana mmefanya makusudi kukata tukiwambia kuna udini mnabisha
"If you are emotionally attached to your tribe, religion or political leaning to the point that truth and justice become secondary considerations, your education is useless. Your exposure is useless. If you cannot reason beyond petty sentiments, you are a liability to mankind."
Dr. Chuba Okadigbo (Late)
MUNGU MKUU!!!
Kunyongwa jamani😭😭😭😭
Hotuba inakatikakatika sana ovyo kabisa mwana halisi hamuna vyombo
Mr.Huo Mkataba Si Kwamba Serikali Ilitaka Huo Mkataba Uende Bungeni La Hasha.Uliliki Tu Kwa Bahati Mbaya.
Sauti nazingua 😮😮😮
Pengine alie kata Kata taaifa hii ana maana yake
Mbona inaganda ganda ndomaana mama anataka kuwapa bandari warabu kwasababu hamuwezi kuiyendesha unaona recording tuu inakushindeni
Aliyelekodi hiyotaalifa alikuwa anaikata kata hiyo taalifa msimuusishe kwenye kulekodi taalifa nzuri kama hizo
Tanzania tumerogwa
Hamkuwatendea haki kabisa mnapaswa kurudia iyo
THIBITISHENI UBORA WA MUUNGANIKO WA HABARI ZENU KABLA YA KUZIRUSHA
Habari nzuri lakini ovyo
Hi channeling hovyo kabisa
Tatizo la viongozi wa dini ya kiislamu huwa wanaweka sana udini mbele hata kwenye serious issues ndiyo maana hata hii issue ya bandari wanaona kama vile ni vita ya kidini kwamba wakristo wanapinga kwa vile kwanza, mwekezaji ni mwarabu na pili, rais ni muislamu kumbe mambo hayako hivyo umiangalia kwa umakini utaona kwamba wananchi wa dini zote wamesimamia maslahi ya taifa bila kuingiza udini lakini hawa viongozi wa dini wanataka kuichepusha hii mada na kuipeleka kwenye mtazamo wa kidini,inafaa wakemewe
Tuipende Nchi yetu kumbuka aliyosema doctor sila ni makampuni mengi yaliondolewa kwa kuonekana ni utapeli mkubwa tatizo ni mkataba ambao auna kikomo
Mmeamua kufuta maelezo ya sheikh ponda ili uchafu wa kanisa na serikali usisikike
Jamani hayo makaratasi ya mkataba mbona hayawekwi wazi watanzania tukasoma ,
Japo hii video imekatakata lkn Huyu Shehe sasa ameongea pointi lkn pia naiona hekima, hawa ndio mashehe wakuongea kwenye vyombo vya habari.
Udini hadi kwenye kurekodi eeh
Mbona recording haikuwa nzuri??? Japo baadhi ya maneno ya waraka uliosomwa na sheikh Ponda hayakusikika ila hoja za msingi kama za reference ya wakili Boniphace ya kutatua panapoonekana kuwa hatari kwa maslahi ya nchi hapa nimemuelewa, ila angalizo langu na ukweli usiopingika ni huu; pasipokujali imani zetu, tusijejaribu kujidanganya kwamba tusikosoe panapoonekana hapajakaa sawa eti kisa tutaonekana tunaingiza udini kwakuwa mwekezaji ni mwarabu kamwe tusije jidanganya maana haya ni maslahi ya watanganyika. Kwenye mkataba wowote wakitaifa hakuna sehemu ambapo utakuta eti kwakuwa mwekezaji ni mzungu basi Wakristo ndio wataneemeka tu au mwekezaji akiwa mwarabu kwamba Waislamu ndio watakaoneemeka tu..kitu cha msingi na cha kwanza ni kuangalia maslahi ya taifa kwanza na watu wake pasipokutanguliza udini..maana kumekuwa na wapotoshaji eti hii kampuni inapingwa na Wakristo kisa mwekezaji ni mwarabu kitu ambacho siyo sahihi jambo la msingi tuangalie vipengele vigumu kwa taifa tuvirekebishe au tuviondoe
HII Kanda imechezewa
Hao wabunge waliopitisha mkataba ni watu dhaifu
Udini katika ubora
Mimi na hisi Simu yangu mbovu mbona inakatika hivi
SHEKHE PONDA WEWE NI MZALENDO SANA UNAIPENDA NCHI YAKO SIYO SHEKHE MWAIPOPO NA WENZAKE TULIOSIKIA WAKISAPOTI MKATABA WA BANDARI BILA KUJUWA ATHARI ZAKE NA KUTHUBUTU KUINGIZA UDINI MUNGU AINUSURU NCHI YETU KWENYE MIKONO YA WENYE TAMAA KWA MASLAHI YA MATUMBO YAO
Huyo kwa sababu ni Sheikh wa CDM wa upinzani. Anaona kabisa yupo ubazi wa makosa ila hawezi kuwakimbia akina CDM na hapo hapo anajua WAISLAM hawatokuwa unazi wake. He is politically motivated. He will straighten up himself and align with majority of Muslims
@@hamidudongo1879 tushawajuwa hapa kuna vita ya mzanzibar na mtanganyika ila tutawanyoosha kama kufa muungano na ufe
@@stevensosipita2851 Hamuwezi na hiyo ndio nia kubwa ya CDM wawe wanajijua au hawajijui kuharibu muungano, kuleta Udini na ukabila.
Na kama mkisema muwanyoshe wazanzibari kwa mapigano, basi mjue tayari mmeshaleta Udini na watu wengi Waislam wa Bara watakuwa ubazi wa Wazanzibari kiakili, kisaikolojia na kimapigano.
Kumbuka hii issue, jinsi Mbowe na Tundu lisu walivyoanza, wanauwasha mtoto ambao utaipeleka Tanzania to thenpoint of ni return. Ndio maana angalieni maneno yenu nyie wa CDM(ambayo Waislam walio wengi sasa hivi wanaamini ni chama cha Udini na Ukabila na kuanzia sasa and on, ndio itakuwa strori vikao vya kahawa).
Yaani, imedhihirisha wazi kuhusu CDM pamoja wengine we don't have interest or supporting CCM. I have never vote for CCM before bali 3 times for CDM, but a lot of us we have started changing our minds about CDM. How they can support RACISM, being religiously biased and to break our unity !? Lisu na Mbowe, they both fucked up and CCM , will play that card very carefully.....
Chama cha Udini(Roman Catholic), Ukabila, Ukanda, na Ubaguzi wa Rangi as long as those people are Muslims.
Ukiwabagua Wazanzibari, ni kweli Wazenji nao wata gawanyika no matter what. Na sisi huku hatuwezi kuwa salama. Utaleta Ubara na Upwani which will bring Uislamu and Christianity (mostly Catholicism). There will be no peace and Tanzania or whatever you will call,,, will never be the same. Tanganyika ambayo Nyinyi mnaitak, will never be Tanganyika no more. We will split 🪓🪓🪓🪓. Pwani(Muslim majority) and Bara(Christian majority). Kama ingekuwa unaweza kusoma historian ya nchi zilizovunjika na kuwa uhasama, , ungeweza kuelewa vizuri sana Steven. I hope baba zenu wa Makanisa will have cool heads kama Masheikhs who are almost silent now, pamoja ni masheikh wawili tu walionyanyuka na kuonyesha support for mama Rais Samia and openly said ni Udini tu mnauleta kwani waislam wana historia nyingi sana katika sekta mbalimbali mambo haya haya hutokea. NANI ANAWEZA KUUZA NCHI AU BADARI ZA NCHI ZAKE!? HIvyo mnawafanya Waislam ni Wapumbavu!!? Mnaweza kuwadanganya Wakiristo lakini sio Waislam.
Pili, watu kama Nyinyi wa Bara, bandari ina kuhusuni nini!? Mbona migodi yote hiyo mpaka sasa inapigwa tena na Wazungu na wachina wanapiga kila siku,,, why no body is complaining. Tatizo ni wengine are pushed by their hatred, bigotry, religion (Christianity), and tribalism and supremacy behavior thinking you are all educated, elite and know everything fucking thing.
MNALIINGIZA TAIFA KWENYE MAAFA ya Civil wars polepole kwa upumbavu wenu. Sasa huo usiku ndio usomi gani huo wa kutoa maneno ya matusi kwa viongozi, kashfa, vitisho na kuwatoa fahamu kwa elimu zenu hizo z kupendelewa na kuburuzwa buruzwa na kanisa!? Sasa huo usiku wenu una faida gani KAMA HAUJUI TO SELECT YOUR WORDS CAREFULLY? Pia jiangalieni kila siku mko ni Nyinyi tu makabila ya Wapigaji maana ndio mlio wengi pale bandarini kwa sababu ya wizi na upigaji. Mnajua fika akiingia huyu jamaa hakuna kupiga wala wizi tena. Wengine mnafuata mkumbo tu kwa kujiona labda mna mnguvu. Civil war is a disaster and there will no clear winners pamoja at the beginning will favor some people for a little while. After that, we will not be the same no more.
WACHENI UPUMBAVU WENU HUO MSIJE MKASABABISHA VIFO VYA MAMILIONI YA WANANCHI WASIO NA HATIA YEYOTE. Hao akina Lisu na wenzake wote watakimbia nchi kama walivyo fanya. Kama ingekuwa wao ni Wanaume kweli kweli, basi wange bakia nchi kipindi cha Marehemu Magufuli.... Yote ilikimbia kama mijibwa kimo.
@@stevensosipita2851 hgux
Katika mambo ya msingi kama haya tuweke udini pembeni hatutafika
Mmh sijaelewa ponda anamaanisha nini
Sauti inakatikakatika😮
Hivi ww shehe unaakili timamu magufu alikuta mikataba ya kipumba ilishafugwa yeye alihitaji mikataba iborshwe
Shura hiyo imekaa lini maimamuhao ni wamisikiti ganii acheni usanii
Ume-edit mno mpaka inaboa.
Mungu tusamehe alafu kuwa machoko wanasema Tanzanian inchi ya amani. Sasa hiyo aman iko wap?🙄😪
Duuh KAULI MBAYA SANA KUTOLEWA NA MUUMINI WA KIISLAMU,MBONA SHEIKH HAJATUKANA?
@@omarikhalfan1079safi ndg Omari.kemea.hawa watukanaji
kwaiyo ishu ni waarabu na uisalam wao sio bandar
Mkataba umenyofolewa nyofolewa Na sasa hotuba ya shekh inanyofolewa. Hii nchi tunaenda wapi?? Hotuba imechakachuliwa.
Hii haifai inakatika mno
Ikiwa hamjajiandaa msirushe krip sikilizeni wenyewe, Cha ajabu kwenye poiti mnazima sasa yanini, acheni hujuma
Alafu mwana halisi mbona yawengine mnalusha viuri tu.
SERIKALI HII HAIKUPELEKA MKATABA WA DP BUNGENI BALI ULIVUJA NDO WAKALAZIMIKA KUUPELEKA BUNGENI.. HUWEZI FANANISHA UTAWALA WA MAGUFULI NA HUU HAPA..
Unaficha ukweli amtati tusikiye ukweli wa viongo wa Dini wakikosoa upumbavu wa Ccm
Huyu alie lekodi habari hii hakua nia njema kiingozi huyu anatuelewesha vyema yeye akata katata sjui kwa masilahi ya nani.
WAGALATIA NO MORE EXEMPTIONS KWENYE BANDARI YETU MMEIBA MIAKA 60 sasa mnafanya propaganda hahaha 😢😢😢😢
USISEME MMEIBA, SEMA TUMEIBA... MAANA PENGINE WEWE NI MINGONI MWAO WALIOIBA... SISI WENGINE HUKU "IKULUNGULAMPEPO" HATUJAWAHI HATA KUKANYAGA HUKO BANDARINI; JAPOKUWA KWA HAKIKA TUNAITETEA BANDARI KWA HALI NA MALI KWA AJILI YA MASLAHI YA TAIFA LETU NA WATU WETU.
@@israelkisserei524 MAJIZI JANAZA TIME NO MORE WAGALATIA MAFIA KWENYE BANDARI YETU NO MORE KANISA KUIBA BANDARINI PROPAGANDA ZENU KWISHA SASA MNATUMIA WANASIASA UCHWARA NA WANASHERIA WEZI 😅😅😅😅😅
@@OmmyJames-xn7jiUKIANGALIA MWANDIKO NA MANENO TU ULIYOYAANDIKA YANAKUTAMBULISHA KUWA WEWE NI MTU WA AINA GANI, TULIA USIMALIZE MANENO... HAKUNA CHOCHOTE UNACHOKIJUA HUKU ULIMWENGUNI.
@@OmmyJames-xn7ji NYIE WAARABU MLIWATOBOA BABU ZETU MIGUU, NA KUWAFUNGA MINYORORO... VIPI MNATAKA KUTUFUNGA NA SISI PIA? KWA HAPO MMEKWAMA, MINYORORO YENU MTAJIFUNGA WENYEWE.
@@OmmyJames-xn7ji MNASINGIZIA MAJIZI ILI MJE MTUFUNGE MINYORORO... "THUBUTU" YAKHE TUMESANUKA SIE... JIFUNGE MWENYEWE HIYO MINYORORTO YAKO.
Ponda ni mtumwa haamini kama watanzania wanaweza anaamini waarabu na wazungu. Na sio mikataba yote inaenda bungeni. JPM anafuata nini hapo kwahiyo inaamaana mkataba kwenda bungeni wakati wabunge wanapitisha mkataba kwa rushwa kwasababu wabunge wameongwa. Ponda anachuki na Magufuri ambaye ndio kiongozi mkweli hata mfanye nini Magufuri atabaki kuwa shujaa.umesimama hapo kwa jina la uislam halafu unakuwa mnafiki. Kama hujui wakati wa kikwete tulipata asilimia 3 na sio 16 kwenye zahabu kwenye nickel na kuna asilimia kama kwenye zahabu hajatoa bure. Muogope ponda wacha unafiki unatualibia uislam bora unyamaze kuliko kuwa mnafiki. Huo mkataba hauna tofauti na ule bandari ya bagamoyo aliyoukataa JPM mbona hayo haujasema na ulikuwa wa wachina sio waarabu utakwenda motoni ponda Kwa unafiki. JPM hapo amefuata nini? Hakuna anaepinga uwekezaji tunapinga kutawaliwa tena na wageni. Viwanda wakati wa Nyerere vilikufa kwasababu ya malighafi na kilicho tuponza msimamo wa Tanzania kupigania ukombozi wa kusini mwa Africa. Na wakati huo ingekuwa kama ilivyo leo viwanda vya Tanzania visinge kufa. Sasa hivi bwawa la Nyerere linajengwa na Misri reli inajengwa na uturuki. Enzi zile hufanyi kitu kinachousiana na viwanda bila Uingereza, ujerumani, ufaransa, italia, marekani au taifa lolote kubwa la magharibi. Kenya walikuwa vibaraka na ndio maana walivunja umoja Africa ya mashariki. Ponda jifunze Historia yako usiropoke. Tatizo la bandari ni wizi sio ufanisi mapato yanapotea tukiacha wizi tunauwezo wa kuita makampuni ya ujenzi kutujengea bandari za kisasa na tukaendesha wenyewe. Ponda mnatuzaraulisha sana. Sasa kama miaka sitini imepita tumeshindwa kuongoza wapeni nchi wageni basi waiongoze kama hiyo ponda unaona ndio njia bora. Narudia tusitetee uovu kwasababu mtendaji ni muislam mwenzetu. Mama aliongea kwenye Baraza la mawaziri siku za nyuma akiashiria wale kwa urefu wa kamba yao wasile wakavimbirwa, lakini wanakula na nchi wanauza!
Well said be blessed
Mkuu mwenye akili amekuelewa!
Very poor recording, sheikh deserves better than this
Eti mnapiga maombi waarabu wapewe .eti huwezi kuomgele mambo ya kanisa na bandari.acheni ucheni uchochezi. Tunashindwa kuelewa kwanini nyie inawauma na Kwanzaa kuhangaika.shughulikieni mambo ya dini waache wanasiasa washuhulikie.
Inapaswa kurudiwa mbona mnakata kata tu
hii imekatwa katwa maksudi
Hiki kitv gani , sauti inaktika katika tu
Mbona sauti inakatika
HUYU SHEKHE PONDA AFANYIWE MPANGO ARUDISHWE KWAO BURUNDI ANA CHAFUA HALI YA HEWA SEREKALI UGWANA WAKE UNAJIPOZA KUWAPA WATU URAIYA ALAFU WANAFAYA FUJO KAMA HUYU PONDA
WEWE NI MPUMBAVU MKUBWA FUJO GANI HAPO SHEKHE PONDA ANAILETA?AU KUONGEA UKWELI NDO FUJO?PELEKA UPUMBAVU WAKO HUKO
MNyonge nyongeni haki yake mpeni shehe nimekuerewa kwa ushauri wako wafuate wananchi wanachi sema
Kinacho itesa Africa hatuna viongozi bali wanafuata hisia zao na mwisho huwa tunaona makosa ukweli hakuna utadhani wananchi woteee ni vilaza hayo hauwezi yaona nje ya Africa ndio maana wameendelea ki miundo mbinu viongozi mpaka wanakumbukwa kama watakatifu sisi ni bla bla tu uongo mwingi ndio sababu tupo nyuma kimaendeleo .
Yes.. Viongozi wa Afrika wanawaongoza Wafu!!!!!!
Sasa sheikh inabidi uende shule tena, hivi hiyo wizara ni ya muungano? Naona umepangwa na sijui umelishwa ngapi hapo
Ponda anapotosha migodi ni eneo la biashara tu. Bandari inausiana ulinzi na usalama nchi. Huwezi kufananisha mgodi na bandari.
Ww acha hoja za kijinga wanaichi hawajakataa uwekezaji ila tunahitaji kujuwa mkataba unafaida gani kwa inchi na kiko chake ni lini
Naona wewe ni kiziwi.