Kwa hilo bado wajapatia movie Zao nyingi aziendani na majina wanayo tupia wangekua wanakaa kushauliana naona tim mkubwa hii na ndomaana ata kazi Zao kutowa tu mda mfupi utakuta wametoa nyingine wamefifia kumaliza oanakua ugumu
Nzur sn ila inafaa mmtembee na mazingira ya watu..apo mmeua mtu lkn ata Hamuonuesh watu km wameshtuka baad ya mda kuj kuon kuna nin kwa kuskia mlio wa risas na apo ni mtaan kbs..mov itembee na uhalisia kdg
Movie nzuri lkn jina la mchezo liko inje na mchezo wenyewe leo mumegonga inje kabisa 😂😂😂😂hii movie niya mauwaji lkn sio yamapenzi mumekosea sana wana DONTA.😂😂😂😂😂
Diana kacheza vizur sana maua yake 🎉🎉❤
Fa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo nimewahi nipewe likes za Diana much love from 🇰🇪
Nyie wana donta hizi muv za roho mbaya cjazipenda kabsaa
Wanazingua badala watoe muendelezo wa kesho yangu wanaleta muv ata haieleweki
Kinyakyusa
Mpaka bhahombe bhakatumanya wenye kabila letu like zenu mweeeee❤❤❤❤❤❤❤
Ukwanza kuhoma abhantu shoni mwanawewe
Momumo nkamu
Acheni maneno batuelewi batuenu
Kabila gan ilo jamn
@@allymwashambwa5920hongera dayana ❤❤❤
Iv kwann kila move jina la penz la kijana tajira ndo nni alaf hilo dg nell ukiachana na move t wee unaonekana unaroho mbaya na ya kikatili sanaa mbwaa
Atawew umeona ilo uyo jm anaroho mbaya sana
😂😂😂 mbona mnamwonea Neli?
Waaah kali🔥🥰ila hiyo kabila ya Diana😁😁aaah mtatupeleka kwengine mbona😆🤣much love from Kenya❤🎉🎉
ONGEZENI UBUNIFU KATIKA KUTAFUTA JINA HALISI LA MOVE✍️ JINA HALIENDANI NA MOVE
Bora wangeandika Biashara haramu ingependeza hilo jina ni tofauti
😂😂😂kweli wamezingua
Kwa hilo bado wajapatia movie Zao nyingi aziendani na majina wanayo tupia wangekua wanakaa kushauliana naona tim mkubwa hii na ndomaana ata kazi Zao kutowa tu mda mfupi utakuta wametoa nyingine wamefifia kumaliza oanakua ugumu
Dayana ndio maana nilikua nakufananisha kumbe mbeya mojaaa iseee hongera sanaa
Mlikuwa mnatest mitambo mbona kameisha na utamu wake jaman like bc moja tu kutoka kwenu sie hatuna dogo kwenu jaman leten vitu tuburudike macho
❤❤ nzuri sana Kelvin ila usisahau kama Kuna moja apo kabla na aujamaliza usituache m labda please 😊 from United Jerry apa
Kwani account ni gapi za donta ,,,ila kweli movie zenu zote kaliiii,🔥🔥🇰🇪
Enyewe ata mimi nashanga account ni mingi but series yao ni kali mno❤🎉 any way naombeni likes zenyu #kevoboy038
Ata mimi nashanga account ni mingi mno sana but series yao ni kali sana❤🎉 #kevoboy038
Bwana yenge tese tunaomba tomba😂😂😂 Diana kiboko chukuwa mauwa yako🎉🎉🎉🎉from Kenya
Mmefelii kalvin yuk wap na angal mmemuek kweny cover
I'm from USA . I dont understand this language but mmeua sawna🎉
😂😂😂😂😂😂
😂😂 TZ ndio USA?
Nawakubal donta tv🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana 🔥❤
Ongereni mko vzr ira nina mmekosey jmn bora mngeita kisasi nawapenda sana
Great decision Mrs Diana
Dayana Leo umeongea kifurechi,nimefurahiswa,sana
Yaan hapa sijaelewa kitu😊😊😊
Hila mi nascira nampenda sana yani nalizika nikimkuta kwenye movie
Nimekuwa wa kwanza kujua kuwa hii sio donta tv au donta family bali hii ni donta plus new acount❤❤❤ twende sawa
Naomba namba ya dada ravnes jmn nampenda baraaaaaaaaaaa 💖💖💖💖
Shanaizer nakuelewa sana mamaaa
Kesho yangu inatoka lini move n nzuri sana hvy toeni kesho yangu kwanza
Sasa nyie donta jina la movie na mlichofany ni v2 viwil tafaut jmn mnazngua cn lkn kwasabb Tina yup nmeenjoy nmpenda cn Tina jmn
Wah Iko tamu sana leteni tena🎉🎉🎉
Dayana wajina wangu myaki mwenzangu umecheza vzri sanaa my dear
Jina la movie na video haviendani kbx donta tv mumeyumba...hapa
Nyingiine haija Isha mnatoa nyingne mnazingua sana
Kazi nzuri Wana donta❤❤
Dayana nakupa pongezi imecheza vizuri ushindi wako
Sasa nyingiine haija Isha mnatoa nyingne mnazingua sana
Xax mbona atujaelewa mlikuwa mnagombaniy mzigo gani au uchawii ila mjuwa lavunes nakupenda xan❤❤❤
Wanazinguwa kwakwel😮Tena izisiku Hawa chez vizur
Dayan kumbe mwenzangu mnyakyusa mh good
Mbona manasingua kwenye kesho yangu mwendelese basi jamani
Sasa mumeongeza nyingine chanel ao mumeonfeza jina plus dayana ataki mucezo kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ndio
Hii nayo tamu mpk nimeshiba 😂😂❤❤❤
Tina ilo guo ulolivuwa ni lako ama mana naona mnatakiwq muingiye wawili ktk nguo 1
Nzur sn ila inafaa mmtembee na mazingira ya watu..apo mmeua mtu lkn ata Hamuonuesh watu km wameshtuka baad ya mda kuj kuon kuna nin kwa kuskia mlio wa risas na apo ni mtaan kbs..mov itembee na uhalisia kdg
Jaman movie ya vampire mbona siioni tena😭
Nelly Una roho mbaya mno
Dayana unakuwaga wa moto rafk ang,
Kwani awa watu wako vizuri wamejipanga from Mozambique 🇲🇿 plaus
Huyu kaka naroho mbaya sana nahaka kasichana kafupi kamakofiya Kashezi kweri
Dayana nakuunga mkono sana
Mbona fupi jmn, nailvo tamu💋
Jamn dayana anajua sana kuigiza nampenda bure miee❤
Shangazi anaongea kabira gani jamani tuambiane
Likes zangu jamani. Wa kwanza kutoka kenya
Kenya Watching, twapenda
Hatuelewi,filamu,inapo,azia,nainapoishia,naamini,mume,nielewa,ubunifu,uongezeke
Mimi nampenda loveness
A good revenge❤🎉🎉
Nelly una roho mbaya Sana wewe sio binadamu hata kidogo hauna chembe yao binadamu
Kitting
Mbona sjaelewa
Kwan nyie huyu dada mwingine bodyguard waga ni bubu mbn huwa haongei
Kuna uhusiano gan nyie na TAI nyekundu jamn😂😂, yaan kwenye movie yenye suti lazma nikute tai nyekundu
Hahah Kumbe mnyakyusa😂😂
Mbona kachanganya na kiha humo humo
Kinyachusagan
Shanaiya kukupenda tu❤❤
Sijachelewa leo
Diana km diana kz nzur sana umetisha
Wakwanz jamani naomba lik zeni🎉🎉 kama unakupali donta tv
Episode nyingine ya Dada wa Nazi jamani alafu huo wimbo nautoa wapi msanii no nani?
Dayna shujaa❤
Sijaelewa jina ana move haziendani ila mko vzr
ndiy munazinguw San enderezen kesh yang ND mov nzul il hiii mumezinguw
Mh hii move bado sijaielewa vizuri, mbona mwanzo ndo kama mwisho😂😂😂😂
Yaaaaaan watu wa humu Kila mtu wa kwanza
Kendrick jmn mbn haonekani
Haya hilo penzi la kina tajiri liko wapi mnakera
Mko n account gapi jamini but movie tamu❤❤
KAZI safi. Much love from 🇰🇪
❤❤❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉😂😂 kz kz nzuri
Kwan,,,uyo,,,,mtoto,,,alikua,,,aogopi,,,bastora
Jamani hii move ilikua na funzo gani mbona haina hata message yoyote?
Movie nzuri lkn jina la mchezo liko inje na mchezo wenyewe leo mumegonga inje kabisa 😂😂😂😂hii movie niya mauwaji lkn sio yamapenzi mumekosea sana wana DONTA.😂😂😂😂😂
Tulia ndo kwanza move imeanza
Nawapendasana❤❤❤❤
dadadd unajua donta big up san
Nawapenda wote❤❤❤❤
👍👍👍👍👍
Hii move mbn haiendani kbx
Kwl jina haliendan na muvie 😂😂😂
Bhana,, kesho yangu Iko wapi
so mlkuwa mnatest mitambo au?!..
🇹🇿🇹🇿
Mbhene kajya mbene kajyaaaaaaa
Mbona mapema tu watu wenyewe wote wanakufa au hiki ni kionjo Cha channel mpya?
Apo sawa dayana
Ilikuwa ya daa kuitwa kisasi Cha boss na kijkzi wake
Hatari🔥🔥🔥🔥🔥
Ulicheza vizuri Sana dayana tunawafata tukiwa DRC 🇨🇩
Nzuri sanaaaa ❤❤❤
Kesho yangu inatoka lini
Yeah ikuje
Wapo ha
Mmezngua kwenye sugara mbona master za miamia😅😂
Mbna jina la movie haliendan na uhalisia wa movie ulivyo
Kwan ww unahalaka gan move ndio kwanza imeamza
Nawakubali
Jmn boss anadekaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 kunambi sijajua anatumia jina gani instagram.