SWALA YA TASBIH

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 94

  • @zabibubashiri3034
    @zabibubashiri3034 11 месяцев назад +3

    Mashaa Allah huyu Sheikh Allah akupe maisha marefu Inshaa Allah nnakuombea kheri

  • @issarajabu4101
    @issarajabu4101 15 дней назад +1

    Subhana Khalikinnur

  • @zareebaibe9020
    @zareebaibe9020 4 года назад +2

    Shukran mm sijawahi kuiskia kamwe! Asante kunifahamisha

  • @fauziamussa381
    @fauziamussa381 2 года назад +1

    Alhamduli shekh una tutoa taka za masikio kwa darsa nzuri nzuri Allah atujalie tufuate munayo tufundisha . Allahumma Amiin nawe akuzidishie Ilmu

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 года назад +4

    Isha Allah, ALLAH atupe nguvu za kushinda shetani tuzifanye ibada kwa wingi 🤲🤲🤲

  • @afric01
    @afric01 3 года назад +1

    Aslm alkm wtw.... Shukran sanaaa Sheikh wetu kipenzi chetu. Allah akupe umri na furaha ziso kona.

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 года назад +1

    Asante Shekhe mwenyezi mungu akubariki

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 2 года назад

    Shukran sana mungu akubalk dunian na kesho akhera amiina amiina yarabbii

  • @HusseinsalimHusseinsalim
    @HusseinsalimHusseinsalim 6 лет назад +3

    Mashallah mashallah mashallah tabarakarahman Allah akujaze kheir na baada kheir akujalie jannatul firdaus ameen Allah humaa Ameen Kwa sote jamii islam

  • @FatumaAli-ci2yf
    @FatumaAli-ci2yf 8 месяцев назад

    Aslm alkm mm nauliza hii swala jee mwanamke anae kufiwa na mume anavyo FAA kuikaa 4na 10day jee nikuikaa kiamna gani ustadh smu kuongeya na mahari jee ya FAA na vazi like analo hitajika kuvaa please tuelimishe na ss kuhusu hili swala ishaallah ameen yarabi allamin

  • @ummuamira3885
    @ummuamira3885 6 лет назад +1

    Mashaallah shukran jazakaallah kwa kutupa elmu na faida zake.

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 2 года назад

    Maashaallaah Allhamdullaah mungu akuweke akupe Barak nyingi ktk Kaz zako amiin

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 Год назад

    Masha Allah kheir ujumbe mzur sana. umetupa faida njema kusali sunnat tasbih nakuombea afya njema na umri mrefu shariffu izudin alwy badawi ili tupate kutoka kwako. Allah akuhifadhi na kila lenye shari na wew. Nakupenda sana swahiba wangu

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 5 лет назад +1

    Mashallah Allah akupe kheri zako kwa kuzidi kutuelimisha

  • @neemamohamedmaryakamaryaka4686
    @neemamohamedmaryakamaryaka4686 6 лет назад +2

    Maasha Allah ustadh napenda ukiongea nawatu wawepamoja nawe yaniukiuliza wakujibu shukran jazzaka Allah kher

    • @خيراتعباس
      @خيراتعباس 6 лет назад

      Hyo ya Pili imenichanganya shem😁😁😁😁😁 shukran mashaallh ALLAH ATUEEZESHEE YAARAB

  • @husnamakhamic6903
    @husnamakhamic6903 6 лет назад +1

    Maa shaa Allah
    Baarakallahu fiyka yaa ustadh kwa mawaydha

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 3 года назад +1

    Ameen yarabiy

  • @yusafabdurahiman6536
    @yusafabdurahiman6536 6 месяцев назад

    Sallalahu Alehi WA Salam

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 лет назад +2

    Napenda sana chanell zako Sheikh zinafaida.Jazzak Allahu kheir sheikh.

  • @aviwaomar1885
    @aviwaomar1885 6 лет назад +3

    Mashaaa allah allah akulipe kher sheikh

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 5 лет назад +1

    Barak'Allahu FiiQ

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 лет назад +1

    MaashAllah, InshAllah heri shukran sana

  • @hanihaji7829
    @hanihaji7829 2 года назад

    Maashallah yaa shekh.

  • @wasiahussein5493
    @wasiahussein5493 2 года назад

    Maashaallah

  • @khadijatamimi2495
    @khadijatamimi2495 5 лет назад +1

    Shukran baraka Allah fiiqu

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 11 месяцев назад

    mashallah

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 лет назад +1

    Ameen Ameen Yarabi sote Alhamdulilah

  • @hashimbakar6241
    @hashimbakar6241 4 года назад +2

    MashaALLAH

  • @somoendege4677
    @somoendege4677 5 лет назад +1

    Alhamdu lillah shekh izudin Allah akuongoze baina ya wale aliowaongoza

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 лет назад +1

    Mashaa Allah mashaa Allah

  • @abdullahiaweso2067
    @abdullahiaweso2067 4 года назад +1

    Mashaallah

  • @MaryA-yf4cq
    @MaryA-yf4cq 6 лет назад +1

    MashaAllah una mifano mizuri yenye faida na manufaa.

  • @mwashumunassor318
    @mwashumunassor318 4 года назад

    Sheikh mashaallah

  • @mwashumunassor318
    @mwashumunassor318 4 года назад

    Izudin sheikh tuko mbali hiyo dua tupe nasisi,huku tanzania

  • @yumnashaabal7957
    @yumnashaabal7957 4 года назад

    Mashallah

  • @zulekhamohammed3344
    @zulekhamohammed3344 5 лет назад +2

    MashaAllah ❤️

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 3 года назад

    Mashallah allah akupe kheri dunian na akhera allah atujaliye tuisali kila siku

  • @hamidaomar935
    @hamidaomar935 5 лет назад +1

    Shukran Allah akujaalie uwe na umri mrefu.

  • @خيراتعباس
    @خيراتعباس 6 лет назад +3

    Hyo ya Pili imenichanganya shem 😂😂😂 inshaallh ALLAH atuwafikie kuswali inshaallh. ..

  • @PiyusiChoko
    @PiyusiChoko Год назад

  • @abdulaidika8489
    @abdulaidika8489 6 лет назад +1

    gazaaka allh kheran sheakh

  • @sadisufi421
    @sadisufi421 2 года назад

    ASC sh wetu

  • @mohammedmbarouk8426
    @mohammedmbarouk8426 5 лет назад +1

    Shukraan shekh wetu

  • @suleimansimba8328
    @suleimansimba8328 Год назад

    Shekh naomba no yk

  • @umukulthum4015
    @umukulthum4015 6 лет назад +1

    Gud lzudin mwenetu vatu huta kuroga

  • @enockidrissa4904
    @enockidrissa4904 3 года назад

    Je yafaa kutoa duas kwanjia yakusoma vitabu ama musimu kama hujaikalili????

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 3 года назад +1

    Sasa shekh mm nauliza swali langu kama nimesali nikazidisha idadi sasa swala yangu haijakubaliwa

  • @ashura1221
    @ashura1221 6 лет назад +2

    mashaallah

  • @barkattisha8200
    @barkattisha8200 3 года назад

    Shukran sana

  • @salimumdeka8976
    @salimumdeka8976 2 года назад

    Izidun kutumia vidole

  • @mwashumunassor318
    @mwashumunassor318 4 года назад

    Sheik sisi tuko mbali tupe hiyo dua tuandikie

  • @AllyHilal
    @AllyHilal 6 лет назад +1

    Faida kubwa alhamdulillah

    • @nuruali9608
      @nuruali9608 6 лет назад

      MaashaAllah Mwenyezmungu akupe ilmu Zaidi tuzidi kufaidika.. Na akutimizie Matlaba yako.. Na sisi tuweni wenye kuskia mema na kufuata..Amiiiin Amiiin yaarabb

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 6 лет назад +1

    shehe mm nashukulu sana lakini kunasehemu sijaelewa vizuli sasa sijuwi utanisaidiaje

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 6 лет назад

    iyo duwa imenichanganya san daa nimeiyandika lakini nimecheka sijuwi kitabu ipo iyo duwa nikakununuwe

    • @mohamedAli-sh9si
      @mohamedAli-sh9si 6 лет назад

      Anasa maliki likao Anasa maliki Asalam Aleykum dua iyangaliye kwa nyange Simai nimemuandikeya shukran

    • @munaseif9769
      @munaseif9769 6 лет назад

      mohamed Ali sawa shehe ngoja nimtafute nikimpata nitakujulusha

    • @mwashumunassor318
      @mwashumunassor318 4 года назад

      Sisi tuko mbali tusaidie

  • @mishisaidi8696
    @mishisaidi8696 6 лет назад +1

    Shukran

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 2 года назад

    Asalam Alaykoum Warahmmatullah Wabarakatuh Shekh wangu....
    Je kuna kitako atahhiyyat ya kwanza ktk hizo rakaa 4 za Tasbihi?

  • @salhaally2797
    @salhaally2797 2 года назад

    Mashallah❤

  • @enockidrissa4904
    @enockidrissa4904 3 года назад

    Asalam alaykum

  • @111dudi
    @111dudi 8 месяцев назад

    Kwa hiyo,mtume s.a.e.alimpa sala hii sahabi Abbas r.a.a peke yake. Watu wanataka kuingia pepo ya mungu kiurahisi, bila kufanya wajib kama zakaat na sadaqa.

  • @Ali-yy4cq
    @Ali-yy4cq 4 года назад

    hbr

  • @sitihassan9439
    @sitihassan9439 5 лет назад +1

    MashaAllah shekh

  • @abdulrahimbakar7865
    @abdulrahimbakar7865 4 года назад

    A alykum jaman huyu sheikh nimeota ananambia chapa sijda chapa sijda chapa sijda Sijajua manaake nini

    • @nawwarsultwaan6404
      @nawwarsultwaan6404 3 года назад

      Mashallaaah huyo uliemuona we si shekhe Bali ni malaika anakwambia kua zidisha Sana kiamu llaili ndio manaake

    • @saidyssaley1509
      @saidyssaley1509 3 года назад

      Masha Allah maana yake umsujudie saaanaaa Allah lkn ulizia zaidi Wallahu A'LAM 💖💞💗

  • @saidsuleiman5039
    @saidsuleiman5039 6 лет назад

    shukran sheikh

  • @allymbaruku6930
    @allymbaruku6930 5 лет назад

    جزاك اللهُ‎

  • @ahmadnyidad2050
    @ahmadnyidad2050 6 лет назад

    Shukran JaazaKaLAllahu kheyr

  • @rukiahussein7058
    @rukiahussein7058 5 лет назад

    Naomba kujua je rakaa ya pili utasoma sura gani ama utasoma suratil fatiha?

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 3 года назад

    Sheikh IKIWA zimefika 75 lakaa moja..ukiswali lakaa 4 si zitafika 600 ?....

    • @aishaapache7492
      @aishaapache7492 2 года назад

      Zitafika 300 rakaa moja 75, rkaaa mbili itakua 150, rakaa nne itakua 300

  • @Ali-yy4cq
    @Ali-yy4cq 4 года назад

    hellow

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 лет назад

    Shukran wajazaka llahu heri

  • @sgrinsocial6180
    @sgrinsocial6180 Год назад

    Hadithi hii imetungwa na uongo mtupu na hakuwa Imam Shafii, wala Ahmad, wala Imam Malik wala Abuu Hanifa aliyeithibiti swalaa hii na wanachuoni wengi wamesema ni kitu kilichotungwa, so sheikh tahadhari na kufundisha uzushi!

  • @nyangesimai5276
    @nyangesimai5276 6 лет назад +1

    Sheikh, iyo dua baada ya swala tutaipataje cc ambao tupo mbali?

    • @mohamedAli-sh9si
      @mohamedAli-sh9si 6 лет назад +3

      nyange simai dual hini Allahumma inni as aluka tawfiqan ahlul hudaa waamala ahlul yaqin wamunaswahata ahlul tawba waazma ahlul swabr wajida ahlul khashya watwalaba ahlul raghba wataabuda ahlul waraa wairfana ahlul elmi hata akhafaq Allahumma inni as aluka makhafatan tahjuzuniy an maaswika hataa aamala bitwaatika aamala astahiqu bihi ridhwaka wahataa unaswihat bitawbat khawfan minka wahataa akhlaswalaka finnaswiha haya an minka au huban lak au haya an minka wahataa atawakal alayka fil umuri kuliha hasanadhwana bika subhana khaliqu nur

    • @munaseif9769
      @munaseif9769 6 лет назад

      nyange simai Alo kka asalam aleykum kuna duwa umetumiwa na shehe kasema na mm unifuwadie samaani lakini

    • @munaseif9769
      @munaseif9769 6 лет назад

      nyange simai nimeipata

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 5 лет назад

      @@munaseif9769 naombeni hiyo dua na Mimi alowafowadia shehe

    • @mwashumunassor318
      @mwashumunassor318 4 года назад

      Tumeipata asante

  • @xaashixshi4047
    @xaashixshi4047 4 года назад +1

    shukran sheikh

  • @niyonkurualphocine9261
    @niyonkurualphocine9261 2 года назад

    Mashallah