IBADA MAALUM JUU YA MAHUSIANO NA UCHUMI: NAMNA YA KUSHINDA VITA YA KUKARIBIA KUPATA
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya MAHUSIANO NA UCHUMI. Ibada hii ni maalum kabisa kwa ajili ya kutatua changamoto zote na kupata upenyo katika mahusiano na uchumi na yenye maelekezo ya kupita kwenye madhabahu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 23 Aprili 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo "NAMNA YA KUSHINDA VITA YA KUKARIBIA KUPATA" kutoka kitabu cha Luka 21:15, "Kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kupinga."
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.
Mungu akubariki sana Mama, nabarikiwa sana kila nikihudhuria ibada na nikisikiliza online, Damu ya Yesu itufunike wote tukumbuke mafundisho na kuyatendea kazi Amen.
Ameen napokea kwa jina la Yesu
Namsalimia Elisha
Nabarikiwa sana mama mungu akubari sana nakupenda sana mama❤
Ameeen mama ubarikiwe sana
Aminaaaaaa mama