KERYLIN: YANGA INAHITAJI MCHEZAJI NAMBA 10 BORA/CHAMA NA MAX SIO WAKUWAWEKA BENCHI/BOKA AJIREKEBISHE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 21

  • @schofieldodhiambo7957
    @schofieldodhiambo7957 3 часа назад

    Umejitahidi sana kuchambua mchezo wa leo. Kudos

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 35 минут назад

    Keyliin una🎉jua nakukubali

  • @omaridodo9992
    @omaridodo9992 4 часа назад

    Safi sana Dada, niukubali uchambuzi wako. Mudathiri siku zote ni mzito kutoa pasi halafu pale anapoamua kutoa ile nafasi ya kupenyeza mpira unakuwa umesha kuwa blocked. Halafu Mudathiri hafanyiwi substitute mpaka timu inazidiwa sana. Kocha anatakiwa awe anafanya substitute mapema

  • @chemstry409
    @chemstry409 5 часов назад +3

    Nakusi sana Dada yangu fanya heshima kwenye mpira unaokosea sana mpira pamoja na makocha by Professional....wewe hujui Mpira bora uendelee kuwa shabiki kuliko kuuelezea mpira..Thanks.

    • @YayayaJimmy-x8j
      @YayayaJimmy-x8j 4 часа назад

      Uyu dada anaongea mpira kwaualisia wake.nais ww unapenda wtu wanaosifia nakushaur msikilize gody yanga

    • @juniorjotham1524
      @juniorjotham1524 4 часа назад

      yan yanga haina ten Kwel?

    • @chemstry409
      @chemstry409 3 часа назад

      @YayayaJimmy-x8j Sikiliza ndg yangu kwanini nasema hajui Mpira? Eti anamlaumu Kocha Kweli?? Kwa elimu gani aliyo nayo ya kujua Mpira mpaka amlaumu kocha anaukosea sana, sana Mpira pamoja na Dar Young Africans na anakosea sana Kocha.....Mimi namshauri kwanza angeenda kusomea and then akija Public tunaweza kidogo kumuelewa lakini kwa sasa hivi is upsolute no no big NO....anaukosea heshima Mpira,Kocha na Club

    • @chemstry409
      @chemstry409 3 часа назад

      @juniorjotham1524 Huyu Mwanamke hajui lolote kuhusu Mpira hana heshima na Mpira na kocha pamoja na Club....kweli kama una akili timamu unaweza kusema eti Yanga hawana na 10??? Kweli??

    • @leonardmadelemo3043
      @leonardmadelemo3043 2 часа назад

      Mhhhhhhhh huyu Dada hapana....et yanga inahitaji namba 10 classical...mhhh cyo kweli hapo umepuyanga,hafu thn mbona rest defence nyingi interview yote nasikia TU rest defence,rest defence nyingi mno

  • @ZURIATHMUSWADIKU
    @ZURIATHMUSWADIKU 2 минуты назад

    Ujuaji mwingi Dada

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 4 часа назад

    Yaan huyu dada anaongea vizuri kuna baadhi ya wasemaj hauwez kujieleza hata hivi😂😊

  • @franciskayanda7884
    @franciskayanda7884 5 часов назад

    huyu dada anajua mpira kuliko wengi wanaotupokonya haki ya kuuchambua mpira kana kwamba kuna vyeti,,sister ameongea key points sana tena sana

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 5 часов назад +1

    kipindi cha Tatu ndio kipindi kipi tena hichoo Dada

  • @YakoboAbiasaph
    @YakoboAbiasaph 4 часа назад

    Koma usiongee Sana utajifunza nini kila geme inauhitaji wake

  • @franciskayanda7884
    @franciskayanda7884 5 часов назад

    asee huyu dada mpeni air time tunaojua mpira tutamfuatilia sana

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 5 часов назад

    Punguza ujuaji kila kocha ana game plan kutokana na matarajio yake. Unaboa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 часов назад

    Msimlaumu dada kusema kipindi cha 3 ulimi hauna mfupa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 часов назад

    Naamini kakusudiya kipindi cha pili

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 4 часа назад

    Anajifanya mjuaaaji toka uko huna lolote

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 5 часов назад

    Msonda Hana kitu wewe kenge,mtakuwa tunaferi kila siku,