SIMBA WAAPA KUFANYA UMAFIYA KWA CS SFAXIEN KWA MKAPA| MBINU ZA KOCHA FADLU DAVIS NI HATARI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025
  • СпортСпорт

Комментарии • 10

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 24 дня назад

    Mwl Device anatukosea saaaana. Panga kikosi vibaya sana. Anaacha wachezaji wenye Uharaka anawacha njee bule

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 24 дня назад

    Mwl atufai

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 25 дней назад

    Nilini virabu vya Tanzania vitakuja kufanya vizuri Wala hai julikani kila msimu matatizo yapo palepale ukweli Simba Hana washambuliaji mahiri haiwezekani dk tisini timu ikapiga shuti moja tu gorini kwa mpin zani, timu zetu zote mbili zimo mashakani kufika hata robofainali inahuzunisha sana😢😢😢😢😢

  • @erickprotace9463
    @erickprotace9463 25 дней назад +1

    Timu yenye wachezaji butu mbele Ina magori mengi ligi kuu na CAF -Haidaiwi gori?.... Uchambuzi gani unasema hapo?...

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 25 дней назад

    Nikweli valentinho mashaka ni bora kuliko mkwara sio uwongo .simba wampe nafasi kumfanyakua bora zaidi

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 24 дня назад

    Mkwara, Mtare, Ngoma , AUWA ni wapuuzi wanatembea Uwanjani Bule asa AUWA atufai pasibovu sana

  • @valentineduru7609
    @valentineduru7609 25 дней назад

    Fungus chuo ufundishe makocha

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 25 дней назад

    Ongea vizuri maji ukiyavulia ukiyavulia Nini sasa? Kamilisha sentes wewe, sema maji ukiyavulia nguo, sio ukiyavulia,

  • @juniorjoshua2452
    @juniorjoshua2452 25 дней назад

    Timu tukupe ww

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 24 дня назад

    Mashaka, Kibu, Ateba, Mavambo, Shemaron , Kapombe, Mpanzu , Kamara, Kagoma, Mwl acha Ujinga panga na tafuta kikiosi no 1 wachezaji wazoeane Usiwazungushe pia awakimbii na pasi zao mbovu na awakabi awapigi pasi ndefu.