HUNA ADABU HUYU JAMAA AKIKUMWAGIA 😂💔 kaumana huko MURANG'A!!😂💔💔🔪

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @wasnahphyllice4406
    @wasnahphyllice4406 2 года назад +16

    Nyani haoni kundule,ona mwenye anaongelelea mwanamme mwingine vibaya🤣🤣🤣🤣

  • @MYWORLDKENYA
    @MYWORLDKENYA 2 года назад +13

    Pluto tafuta huyo jamaa wa nduthi tujue kama ni ukweli ni mchafu...hata heri tumuoshe😂😂

  • @ephantusmichir5263
    @ephantusmichir5263 2 года назад +58

    loving how pluto makes it the first priority to save his microphone 😂😂😂😂

  • @georgesthekenyanbrunoo7702
    @georgesthekenyanbrunoo7702 2 года назад +55

    Ety jamaa ameitwa one minute man😂😂 wapi likes za ku console the fallen soul,,,alf Pluto ety karibia sisi huwa hatukulani😂😂💔💔

  • @brendamwende348
    @brendamwende348 2 года назад +29

    Nimefika 😂 kuona drama as always 😂
    Kicheko ya pluto waaah 💔😂😂

    • @kamthegardener
      @kamthegardener 2 года назад +1

      Pluto de king ruclips.net/video/SDPbkWS4E7Q/видео.html

    • @leilaathumani3611
      @leilaathumani3611 2 года назад

      Napenda hiyo kicheko yake ❤️😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @perismukami4962
      @perismukami4962 14 дней назад

      You're both Cheaters, accept and move on. Stop insulting each other. You're exposing each other for no gain.

  • @kaylor_0004
    @kaylor_0004 2 года назад +35

    The Pluto;hamjakulana na Salma lakini mnaplan....
    The boy...;eeee kapiisaaaaaa 😂😂
    Me and you: dying on the floor 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mungaierastus4897
    @mungaierastus4897 2 года назад +14

    From Dubai to 254 watching live premier wapi likes wasee single oooeeeeh

  • @Thadeus97
    @Thadeus97 2 года назад +20

    The way he handled the one minute part is incredible🤣🤣🤣

  • @wanyagahostrich2443
    @wanyagahostrich2443 2 года назад +48

    Finally home sweet home Murang’a. Kangari/Kinyona 👏👏dame wa Murang’a hawajui kudanganya 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @anushkad.c9986
    @anushkad.c9986 2 года назад +322

    Rip "mapenzi". Team hamam nipewe likes leo

    • @loisewaweru3661
      @loisewaweru3661 2 года назад +12

      Sai mapenzi ni 0.01% wacha tuoshe hamam tukikula kubus na laban😂😂

    • @anushkad.c9986
      @anushkad.c9986 2 года назад +2

      @@loisewaweru3661 kabisa💪. kumbe adi we uko uku??😁

    • @loisewaweru3661
      @loisewaweru3661 2 года назад +2

      @@anushkad.c9986 Sindio kenya hakukaliki though mm ni UAE uko wapi and we ni nani aki

    • @jnjn2136
      @jnjn2136 2 года назад +3

      We kenya ntarudi juu ya Watoi bure aky ningekaa hata 20yrs 😁😁😁😁😁

    • @judithkerongo9447
      @judithkerongo9447 2 года назад

      huhuu laban Tano tena

  • @sharonsoiyan
    @sharonsoiyan 2 года назад +9

    Pluto you make my day after waiguru kuniaribia siku😁

  • @susanngaruiya8167
    @susanngaruiya8167 2 года назад +13

    Was the direct call with salma for me🤣🤣🤣🤣🤣

  • @koechdenis7558
    @koechdenis7558 2 года назад +3

    Wueh wenye tunatamani kumwona Davie mikono juu😂😂😂👋

  • @fionalifestyle9034
    @fionalifestyle9034 2 года назад +13

    Kweli ladies don't consider handsomeness no more 😂😆😂

  • @wilfredelliud4980
    @wilfredelliud4980 2 года назад +14

    Huyo msee anaitwa Davie aletwe kwa show 🤣🤣🤣

    • @shiro_lucy
      @shiro_lucy 2 года назад

      Nipitie please 🙏
      ruclips.net/video/aLcTy_Q180U/видео.html

    • @janemucangi2126
      @janemucangi2126 2 года назад +2

      We need to see him aki

  • @susanwanjiku5107
    @susanwanjiku5107 2 года назад +19

    Mimi nimecheka naokotwa😂😂😂😂 hamjawai niambia hii kipindi comedy it's my first episode ever

    • @aloshiali6392
      @aloshiali6392 2 года назад +1

      Pole uku ndio huwa tunatolea stress

    • @susanwanjiku5107
      @susanwanjiku5107 2 года назад

      @@aloshiali6392 now I'm sold let me binge watch 😂😂😂

  • @bivaaaaisichi470
    @bivaaaaisichi470 2 года назад +7

    Nikiwa tuned hapa Spain ❤️ napenda vayuwence 😂😂😂😂 Na new vocabularies 🤣🤣🤣🤣

  • @sarahndungu454
    @sarahndungu454 2 года назад +6

    Haha is the kigege for me 🤣🤣🤣then mnajifanya ati hamuoni dem ako na rainbow kwa mkono

  • @Marie-dv7lv
    @Marie-dv7lv 2 года назад +13

    Ati peterpeace ni mnono😂😂will you keep quiet😂🖐💔

  • @crazyworldtv931
    @crazyworldtv931 2 года назад +23

    😂😂The confidence when men cheat and say they're not cheating is alarming 😂

  • @itsmathu1921
    @itsmathu1921 2 года назад +78

    😂😂😂Nipewe badge Sasa ya kuwa first viewer always 😅😎💯

    • @kamthegardener
      @kamthegardener 2 года назад

      Pluto de king ruclips.net/video/SDPbkWS4E7Q/видео.html

    • @TerryDommy
      @TerryDommy 5 месяцев назад

      Kuma n tamu

  • @eveewairimu8388
    @eveewairimu8388 2 года назад +4

    😂😂i love the Pluto's show..buh these two hakuna mapenzi ilikuwa hapa nkt!

  • @sofianjeri4285
    @sofianjeri4285 2 года назад +4

    😆😆Devi Ako wapi asikie ningetaka kumwona,, relationship it's over 🤣🤣🤣🤣

  • @lord_jimmy5519
    @lord_jimmy5519 2 года назад +56

    relationships ended on the 20th century..the world currently is about sharing each other like ideas 🙆‍♂️🤦‍♂️😆😅

    • @vikkyvee9904
      @vikkyvee9904 2 года назад

      😂

    • @zenajimmy6603
      @zenajimmy6603 2 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂🐾🐾🐾😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sharing is caring sasa huyu Bina anacome juu Dem akishit na yeye ameshit wa madem kumi

    • @janemucangi2126
      @janemucangi2126 2 года назад

      Uiiih Jesus

  • @ANKOeTV
    @ANKOeTV 2 года назад +254

    this show can make you fear dating😂😂

    • @kamthegardener
      @kamthegardener 2 года назад +1

      Pluto de king ruclips.net/video/SDPbkWS4E7Q/видео.html

    • @minee8514
      @minee8514 2 года назад +8

      True mahzeee😂😅it's always messed up....alafu 19 na 21.... 😂😅Kiddos...

    • @kamthegardener
      @kamthegardener 2 года назад +2

      @@minee8514 Pluto de king ruclips.net/video/SDPbkWS4E7Q/видео.html 😭

    • @cellinamutuku
      @cellinamutuku 2 года назад +1

      Where is the lie

    • @crazyshakers254
      @crazyshakers254 2 года назад +2

      @@kamthegardener pitia ni PITIE mkuu
      ruclips.net/video/dorux27Ebm4/видео.html

  • @johnmwanzia6322
    @johnmwanzia6322 2 года назад +5

    Usikiii huyu alikatiwa siku moja 🤣🤣🤣

  • @nelsonfelix7002
    @nelsonfelix7002 2 года назад +75

    This guy is so annoying. Hiyo terminology anatumia aty msee wa nduthi n haogi. Bro kama kuna watu wako n pesa ni those nduthi guys yooh.
    Never judge mazee..Cheers pluto😊

    • @sharonmueni4657
      @sharonmueni4657 2 года назад +4

      Ni UMBWA hajielewi mwenyewe MDOMO imekombala upande mmoja na anatusi mwenzake na yeye pia anachit Sura yenyewe inakaa vibaya Kama njia ya kizazi😏😏😏😏😏

    • @abdulaguenobabu4969
      @abdulaguenobabu4969 2 года назад

      Hapana hao wasee hawana doo hujinyima manzee ndio waget pussy

    • @Chosenprincess6388
      @Chosenprincess6388 2 года назад +4

      Anapiga domo,na huyo davi amefanya kitu yenye yeye ameshindwa🤣🤣🤣

    • @faridahanindo462
      @faridahanindo462 2 года назад +4

      Hajasema kila msee ni specifically huyo haogi labda 😂

    • @lilyan1330
      @lilyan1330 2 года назад

      @@faridahanindo462 yeah ukweli

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 2 года назад +4

    Kukipatikana mu ki cheat munaanza kusema hatoshelezi, yani ma dame waliamua nunu haiwezi tosheka na mtura moja lazima kuwa na I fine kando 🤣🤣🤣

  • @naomigachwe1617
    @naomigachwe1617 2 года назад +5

    😅🤣🤣🤣🤣😅🤣🤣🤣😅🤣🤣🤣Where have I been..this is now becoming my fav..It's the "si ni kujifurahisha tu" for me..😅😅🤣🤣😅😅🤣Pluto ur laugh is crazy..

  • @rahmaabraham7099
    @rahmaabraham7099 2 года назад +2

    Lakin mguy anaitamka vizuri iyo momma😂😂ghaiii ni bora kujidate mapenz na human hapana aiseee🙌🏽🙌🏽

  • @floridaalega7387
    @floridaalega7387 2 года назад +13

    Haha Pluto getting you loud and clear from Qatar 🤣🤣🤣🤣🤣Mapenzi zii

  • @eytahwanj9591
    @eytahwanj9591 2 года назад +1

    Mwanaume ameumwa sana ni light skin kucheat na boda bae🤣🤣🤣🤭 eti hakiogangi,kinavaa opens,kimeng'ethia woiyeee mtoto wa mtu huyo 🤭😁🤣🤦

  • @irenemanyuru4485
    @irenemanyuru4485 2 года назад +4

    Thee pluto ukicheka unamake show inakua more sweeter😍😍😍

    • @shiro_lucy
      @shiro_lucy 2 года назад

      Nipitie please 🙏
      ruclips.net/video/aLcTy_Q180U/видео.html

  • @kaylor_0004
    @kaylor_0004 2 года назад +90

    Not me skipping the introduction unapologetically 😂🙌🙌🙌

    • @nancywanjiku5552
      @nancywanjiku5552 2 года назад +3

      Same here....fikaa kwa FX unsub ametumia Arian mbayaa

    • @kaylor_0004
      @kaylor_0004 2 года назад +1

      @@nancywanjiku5552 kitaaaaaaambo Sana I have

    • @kaylor_0004
      @kaylor_0004 2 года назад +3

      @@nancywanjiku5552 watu wanapenda Arriane...ebu rudi kwa FX uone 😂😂😂😂zinapunguza Mbaya

    • @susankibui3394
      @susankibui3394 2 года назад +1

      @@kaylor_0004 anafaa abaki i sub ata😏

    • @kaylor_0004
      @kaylor_0004 2 года назад

      @@susankibui3394 utanitafuta kuniambia just wait and see......... atarudi vile alikua

  • @Wakimbo-Ent
    @Wakimbo-Ent 2 года назад +63

    I nearly break my leg, on my way running to go and tell my friend (Davi)that i saw his girlfriend with another guy Kwa TV 😂....lakini apo Kwa kutoana ngozi reke nemwo🚶🚶.237 well represented.#Thepluto 🔥🔥🎯

  • @Quinipher21
    @Quinipher21 2 года назад +3

    Lazima pluto acheke😂😂 addicted to this show I love it

  • @lucykinyua3352
    @lucykinyua3352 2 года назад +8

    Pluto tuletee huyo Davii tumuone aki woiye pia yeye asafishe jina yake...inaeza kuwa ni uongo maybe the guy is talking out of anger

  • @eliphasmutwiri9623
    @eliphasmutwiri9623 2 года назад +5

    Kama alikuwa attentive hivo chuo,,,angekuwa mbali Sana🤣🤣🤣

  • @joe6325
    @joe6325 2 года назад +18

    Kijanaa hana shida na kucheatiwa; ako na shida na msee amecheatiwa naye(jamaa hadi haogi)😂nice men eat last~amerix

    • @kamthegardener
      @kamthegardener 2 года назад

      Pluto de king ruclips.net/video/SDPbkWS4E7Q/видео.html

  • @deborahpaul
    @deborahpaul 2 года назад +7

    From Beb to fala😅💔
    Huu Dem anakaa Akona ukimwi...
    Eti Davy umwaga virus💔😅
    Waah ni T for Tough 😅

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 2 года назад +4

    Am addicted to this show'weeeeh🙆‍♀️🤣🤣🤣🤣keep it up #thee pluto💪🙌

  • @stephenkaranja737
    @stephenkaranja737 2 года назад

    Wewe umefika kwetu nyumbani hahahaaaaaaa safisha n uzuri siko huko n mchunge baridi inanyesha huko si mchezo
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alicetom7847
    @alicetom7847 2 года назад +10

    A real man should never speak bad of a woman. The same thing to a mature lady... I hate how they are throwing words to one another. Ati wewe SI mtamu.... Waaaah💔💔💔💔. Mi siwezi vumilia walai

    • @Deltarm254
      @Deltarm254 2 года назад +1

      𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐦𝐭𝐚𝐦𝐮?

  • @johniemarsha1561
    @johniemarsha1561 2 года назад

    Ningekua hapo ningekata hio miwa naona hapo...nmemiss miwa.mi nataka kuona Devi.🤣🤣🤣🤣hii ni comedy daka moja inatosha 🤣🤣🤣

  • @rebeccawanjiku2531
    @rebeccawanjiku2531 2 года назад +23

    This show gives me a million reasons to be single 😂😂😂😂...N kubaad

  • @kipkorirvincent182
    @kipkorirvincent182 2 года назад

    Eti Hadi wanamkamua😂😂😂. Aki msijifanye hamjaskia huyu comedian

  • @elizamueni8753
    @elizamueni8753 2 года назад +6

    I can't finish a day bila kuwatch hii show,,,its on fireeeee

    • @koechnancy5581
      @koechnancy5581 2 года назад

      Mbaka bundles inaisha haraka😉😉

  • @monicahwambui2987
    @monicahwambui2987 2 года назад +1

    Eweeee🙆🏽‍♀🙆🏽‍♀🙆🏽‍♀..🤣🤣🤣🤣 Pluto aki unafanya msee acheke ata kama hataki...Kuna mahali nmesoma opaque isn't opaqueing until it becomes opaqueness🤣🤣🤣

  • @nikitapalmer5096
    @nikitapalmer5096 2 года назад +27

    I love how you sanitize the streets Pluto.. and by the way my regards to Peter...my crushie 🥰😋

  • @lilianmuthoni2441
    @lilianmuthoni2441 2 года назад

    😹😂😂ati unamsave na cucumber ndo ujifurahishe🤣🤣😂huku adi mnapanga timetable ya kukulana ...🙄🙄🙄🤣😂weeh huku nje ni kubaya

  • @answerlotewara6183
    @answerlotewara6183 2 года назад +25

    As a woman i honestly think we should stop insulting men with the number of rounds they can go it is very old and it kills their self esteem...we should stop like seriously if you feel that your man not up to task hunny it is a free world just pack up you shit and go....in this hook up generation some of us still believe in love...and believe in having sex with deep connection first

  • @evejohns1486
    @evejohns1486 2 года назад +2

    😹😹😹😹aki huyu kijana anaomba mahali pengi sana

  • @josephmoseti5143
    @josephmoseti5143 2 года назад +6

    Pluto hata kama haufanyangi follow-ups,just fanya moja ya Devie

  • @prudencekirimi2406
    @prudencekirimi2406 2 года назад +2

    This dude🙌.. Chic was chilled and he's a serial cheater.. Yark💔.. Finding solice ju amepatwa na dem pia ni coach🤣🤣

  • @pauline4191
    @pauline4191 2 года назад +3

    Pluto's laughter though 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🚼🚼🚼Leo hii, nimecheka Hadi nikatokwa machozo...

  • @VishlaVivianVivian-bo6ib
    @VishlaVivianVivian-bo6ib Год назад

    😂😂😂 na Pluto mm nataka kujua kama tuko wengi nijitoe😂😂😂

  • @judynjuguna1376
    @judynjuguna1376 2 года назад +5

    Waoooh tumefikiwa murang'a 🤔pluto next tym mkirudi mnipigie nimulete maziwa na Madizi ni mob,, nampeda bure💞

    • @shiro_lucy
      @shiro_lucy 2 года назад

      Nipitie pia
      ruclips.net/video/aLcTy_Q180U/видео.html

    • @judynjuguna1376
      @judynjuguna1376 2 года назад

      @@shiro_lucy eeh ur welcome sweee, nimefrahia kuna wamefika home, sa watelemke kirere watupate

  • @injeudorine3668
    @injeudorine3668 Год назад +1

    When pluto laughs 😂😂😂,,makes me laugh also waaahhhh,,loyalty makes me to remain washing hamam

  • @michel6874
    @michel6874 2 года назад +11

    I love the gal talking she is so free😂😂me swezi shika number sijasave.

  • @catherinekatunge2810
    @catherinekatunge2810 5 месяцев назад

    Hawa watu mnasanitiziwa ...muache kututisha baanaaa ...sasa sisi watu tuko single tutafanya aje😂😂😂😂😂😂😂

  • @snowflake_358
    @snowflake_358 2 года назад +30

    Davie and mwalimu were just chilling 🤣 🤣

  • @rachaelendesia6402
    @rachaelendesia6402 2 года назад

    Uko sure tukiludu kenya utatakua na hiyo feeling ya kudate kweli woiiii🤣🤣🤣🤣gwathoka orimwe😎😎😎

  • @katiewaruinge
    @katiewaruinge Год назад +3

    😂😂😂😂siku hizi najisanitize karibu deila siwezi taka kutoanishwa na pluto😂

  • @everlynewambui1409
    @everlynewambui1409 2 года назад +2

    Hiyo bracelet 🌈 ya huyo dame😂😂

  • @brianndambuki8873
    @brianndambuki8873 2 года назад +16

    Addicted to this show manzee 😂👊big up chief sanitizer 🥳🥳👊

  • @abigaelakubaso3798
    @abigaelakubaso3798 2 года назад

    Huyu msee Naye amechoma😂😂😂😂😂😂😂😂😂Dem hizi aibu zote sijui atapeleka wapi

  • @simpsons254
    @simpsons254 2 года назад +4

    For Me its the innocent faces😹😹😹...Love in the air😍😍....Then Boom🔥

  • @HUSSEIN_0
    @HUSSEIN_0 2 года назад +1

    Kumewaka🔥😅**Pluto simamia hapo banah😂😂😂😂

  • @lauryn3962
    @lauryn3962 2 года назад +8

    Team gulf,huku ndo tunapumzikia tukiona wenye "mapenzi" 😂wakati si tuliwacha airport

  • @badenpowell4919
    @badenpowell4919 Год назад +2

    Pluto's laugh gonna put me in accoma 😂btw watching from Birmingham 😂😂 there's lesser content than this here

  • @Mel-lj7my
    @Mel-lj7my 2 года назад +11

    😂😂 Salma anajibu maswali vizuri 😂

  • @Faith-ns1ph
    @Faith-ns1ph Год назад

    Nafsi yangu inasema Bora nimpende tew aloniza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @iam_nyawira
    @iam_nyawira 2 года назад +3

    Nimekwama hapo kwa "ulikuwa attentive hivo class?"😂😅😅

  • @bellahkerubo1395
    @bellahkerubo1395 2 года назад

    Yaan kitu unifurahisha n vle watu usema hawacheat simu zikichekiwa mnaanza kuoigana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣if I cheat can't allow someone to touch my phone meeen🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alexkimani1702
    @alexkimani1702 2 года назад +4

    hata mimi nitaomba mwalimu😂

  • @qeenemmah8325
    @qeenemmah8325 2 года назад

    😹😹😹😹😹huyu dem Leo amekimbizwa hehehe nifanyiwe loyalty text af chali anipige 🚮🚮🚮🚮 wueeeeh 😥

  • @wesleyondego220
    @wesleyondego220 2 года назад +28

    I still insist these sweet names should be preserved to only your personal person 💯

    • @drerobs6249
      @drerobs6249 2 года назад

      We don't either save them in our phones.

  • @EstherOloo-no3bz
    @EstherOloo-no3bz 3 месяца назад

    Hapo kwa 19yrs Mungu aniforgive though 😂😂😂😂😂

  • @Lucy_kui
    @Lucy_kui 2 года назад +14

    My favorite show ever🤩🤩🤩

  • @eunicemotari6030
    @eunicemotari6030 2 года назад

    Huyu jamaa wa kuekwa yeye ako na nini🤣🤣🤣#1minute man🤣🤣

  • @peterwamanchester.5166
    @peterwamanchester.5166 2 года назад +64

    Dem anasema dating yao imekuwa poa,which means jamaa anamfuck vipoa na anafanya responsibility kwa huyo dem,after dem amepatikana anacheat anasema jamaa ni wa one min,uongo,ladies think before you talk,hammake sense

    • @leahmaina1150
      @leahmaina1150 2 года назад +2

      Kumbe pia ww uko huku

    • @dhhjurr72
      @dhhjurr72 2 года назад

      Lakini madamu wakipatikana wanaanze kusema hujuwi kufuck hii ni ujinga

    • @shirochristie113
      @shirochristie113 2 года назад

      😹😹😹😹😹😹😹😹

    • @mgtvnews6890
      @mgtvnews6890 2 года назад +1

      Utashangaa ukiambiwa wewe Ni toothpick after 40years of marriage 😂😂

    • @dhhjurr72
      @dhhjurr72 2 года назад

      @@mgtvnews6890 kama ni tooth siagetoka aende kitambo kwa nn alivumilia akakaa sometimes hiyo miaka yote hata kama hupendi mtu hakuna Haja ya kumtusi na maubile yake huwezi change vile uliubwa

  • @mavoke3612
    @mavoke3612 2 года назад

    dem wa kupigiwa simu ni mtiaji😅😅😅💔💔💔anaropoka aje

  • @jenniferlumadedeh4076
    @jenniferlumadedeh4076 2 года назад +4

    Niko single na enjoy anyway I'm enjoying the show 🥰🙏🤣😂

  • @kezzybaibmamaketwins8128
    @kezzybaibmamaketwins8128 2 года назад +1

    😅😅😅🙈🙈Davy was just chilling then boom 💥💥🤯🤯 aty hana meno

  • @elizabethmwadime9716
    @elizabethmwadime9716 2 года назад +5

    Jamaa huyo Devi nakuuma sana.

  • @__lenton
    @__lenton 2 года назад +2

    Dem anakula msee wa nduthi kidevy kimtu akiogii😂😂😂😂🥱🤧

  • @stellakioko1739
    @stellakioko1739 2 года назад +11

    My favourite show ever😂😂😂

  • @kipkorirvincent182
    @kipkorirvincent182 2 года назад

    Huyu haikosei ni bro ya Obienji aky. Sauti ni hio and also funny 🤣🤣🤣🔥

  • @nancykjohn7911
    @nancykjohn7911 2 года назад +29

    Ladies and cheating is one thing from the word go.....😂😂😂😂😂😂

  • @topartshow4909
    @topartshow4909 2 года назад

    mweupe 😂😂😂 ju kuna baridi so malanini c nyingi😂😂 but place imekauka kama turkana,sudan u see they are dark so wanaproduce melanin kuwakinga na jua😂😂😂 pluto mnatuangusha 😂😂

  • @marywahito9837
    @marywahito9837 2 года назад +15

    Atleast leo nimekam mapema...pluto show should be declared a drug🤣🤣🤣🤣🤣🤣we are addicted.

    • @kamthegardener
      @kamthegardener 2 года назад

      Pluto de king ruclips.net/video/SDPbkWS4E7Q/видео.html

  • @vivianokech226
    @vivianokech226 2 года назад +2

    Operator wa tinga tinga ama driver😂😂😂😂usikuwe mjaka😂😂

  • @Henry_Moseti
    @Henry_Moseti 2 года назад +78

    the guy is a pure comedian🤣🤣🤣🤣

  • @rachaelendesia6402
    @rachaelendesia6402 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣JAMA ameumwa adi anesema kitu si tamu.......

  • @ruffotinde2260
    @ruffotinde2260 2 года назад +33

    It's always Pluto's laughter for me

  • @ericohmambo5839
    @ericohmambo5839 Год назад

    Huyo boy amebore....anaongelelea dem ashai finya ivo 😣😣😣si poa coz ni yeye anajitusi tu...

  • @bettieirungu8977
    @bettieirungu8977 2 года назад +4

    Watu wanatoanga wapi courage ya kusema hucheat Knowing very well unacheat😂😂

  • @wayneesco56
    @wayneesco56 2 года назад +1

    Wamzae umepatwa 😂😂 bro usicheze na pluto I wish ningekuwa kangari nichome bro😂😂

  • @mariadeclaret540
    @mariadeclaret540 2 года назад +19

    I love how men behave wakiona madem wanacheat, wakati wao pia wanacheat😂😂😂😂😂

  • @njerimwangi3315
    @njerimwangi3315 2 года назад +1

    Davie wa nduthi anabebea wapi kwanza🤣base ya kinyona shell ama hii ya Kigumo travellers😆we need to promote business when we go back to the village 🤣🤣naona mko hapo njia ya kwenda Catholic 🤣🤣 kangari kwina ngoma riu🤣🤣