Mzozo DRC: SADC na EAC kukutana Tanzania kutaleta matunda?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki na zile za Kusini mwa Afrika wanakutana jijini Dar es Salaam leo hii kujaribu kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
    Wengi wanasubiria kuona kwa kiasi gani jumuiya hizi mbili zitafanikiwa kudhibiti mapigano na kurejesha usalama na huduma za msingi za wananchi huko Mashariki mwa Kongo.
    Je watafanikiwa? @sammyawami anaelezea
    🎥: @bosha_nyanje
    -
    -
    -
    #bbcswahili #DRC #tanzania
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Комментарии • 14

  • @abdulnuliat-ny7nf
    @abdulnuliat-ny7nf 2 дня назад +1

    Shukran sana
    Nafuatilia matangazo ya BBC nikiwa Kenya nafulahishwa sana jisi mnatufikishia tarifa kila wakati mwenyezimngu awabaliki

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 2 дня назад

    Love from Burundi 🇧🇮 ❤️ 💕 💖

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 День назад +1

    Huu mgogoro rahisi sana.weka vikwazo vizito sana

    • @NepporSabith
      @NepporSabith День назад +1

      Kila mtu anamawazo yake lkn sijui Kam vikwazo ni solution yakumaliza vita nakurudisha wakimbizi makwao

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 2 дня назад +1

    Viongozi wa Congo ni wa hovyo kuliko viongozi wote duniani, kiongozi anaingia madarakani akijua kuwa amani ni tatizo, lakini haimarishi jeshi lake wala vikosi vyake vya ulinzi na usalama.
    Viongozi wa Congo hawapo serious na amani na usalama wa nchi yao zaidi ya kuendekeza wizi, ubadhirifu na ulevi wa madaraka.
    Mungu ibariki Afrika.
    🌍🌍🌍🌍🌍

  • @WamburaThomas-s3u
    @WamburaThomas-s3u День назад

    Wakae chini wenye we wazungu muze 🇹🇿🇹🇿🙏🇰🇪🇰🇪

  • @ismailykawambwa0028
    @ismailykawambwa0028 2 дня назад

    Sammy Awami, BBC👏🏾👏🏾👏🏾

  • @HakuzwebirindaImmacule
    @HakuzwebirindaImmacule День назад

    Waache M23.wanaweza.

  • @AyyanJambau
    @AyyanJambau 2 дня назад

    Watumwa wa wazungu wanakutana viongozi wa Africa ndio vyanzo vya migogoro kwenye nchi zetu hakuna mtu mwenye nia ya dhati kwa Africa kati ya hao wanaokutana zaidi Mungu awalaani

  • @jeannyiridandi4724
    @jeannyiridandi4724 2 дня назад

    Weye mutagazaji unamini kam umoja wama Taiyfa upo? Umujo wa Matajiri

  • @jeannyiridandi4724
    @jeannyiridandi4724 2 дня назад

    Huwo n upumbafu kweri kuna fikindi 200 DRC ira kikundi i love you ndo kenye kinarawumiwa

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 2 дня назад

    Huyo mzizo sio rahisi kumalizaka sababu Botswana wana uwanja wa ndege hapo pandamatenga magaribi wana ndege za kivita kali na head gotoer ya sadic ipo Botswana wapi umoja wa sadic ni shida sisi wafrica

    • @stephenshiyo7902
      @stephenshiyo7902 2 дня назад

      Ili kumaliza mzozo waanzie kqenye mizizi ya vita ambapo serikali ijichunguze kuanzia ngazi ya bunge vikundi hadi mawaziri vibaraka waondolewe ibaki waadilifu wachache wenye nia moja hadi jeshini pia waondoe vibaraka wote lakini kuyafanyia kazi haya sio rahisi ndio maana vita itakuwepo bado hata vikao vikiwepo nchi nyingine ingali ndani moto unazidi kuwaka haitasuluhisha vita kabisaaaa.

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 День назад

    Kwann wasiuweze BBC ni wapumbavu
    Siangaliii wal kusikiliza 🚮🚮🚮🚮