Dossa ni Yanga damu, damu, namuelewa vibaya sana mwanangu una-analyse game na unaona football, Sasa hivi naona ana-change game na kutaka kuwa mchambuaji, itakufaa sana kazi hii lazima uwe na TV online yako Young Bro, yaani lazima upate TV yako, exposure unapata. Yote 9,10 SIMBA NGUVU MOJA, SIMBA BIG NATION.
Singida ubaya ubwelaaa utamnywa tu muda sio mrefu Ngoja tumpelekee ubaya ubwelaaa kabla ya mechi atakuwa ameshadebwela Singida ni mweupee mtabadilisha maneno tena
Kweli kabisa namba 8 hajatendea haki
Simba Bingwa Kenge Ww
Dossa ni Yanga damu, damu, namuelewa vibaya sana mwanangu una-analyse game na unaona football, Sasa hivi naona ana-change game na kutaka kuwa mchambuaji, itakufaa sana kazi hii lazima uwe na TV online yako Young Bro, yaani lazima upate TV yako, exposure unapata. Yote 9,10 SIMBA NGUVU MOJA, SIMBA BIG NATION.
Dosa endelea kujifarij😂😂😂😂😂singida tutamchapa tu halafu uishiwe cha kuongea
Mpuuzi huyu geita imecheza lini na simba😂😂😂😂😂😂
Kuna muda media angalieni uyo dosage hajui chochote kma ni ivo hata mimi naweza
Unajua xan dosa
Siwote waelewa dossa anajitahidi
Mpelekeni milembe dosa
Kwaiyo simba alicheza mechi na Timu mbili Geita /pamba jiji
Singida ubaya ubwelaaa utamnywa tu muda sio mrefu
Ngoja tumpelekee ubaya ubwelaaa kabla ya mechi atakuwa ameshadebwela Singida ni mweupee mtabadilisha maneno tena
Dosaa unajua mpira
Dossa unaujuwa mpira sana , chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Jana wanagongana wenyewe goli linaingia refa anakataa gorii😆😆
Hawa makolo hawamu hii wamewekeza kwenye marefa yanga tuwe nao makini sana
Mimi ni simba ila uyu jamaa ni mtu na nusu
Aya tuombe mungu na iyo singida yko
Bado ni mapema na mechi bado ni nyingi ni ngumu kusema simba itakuwa bingwa
Uyuu kichaa
Acheni ushamba siolazma uangalieCLP za dosa
Dosa Simba kakojoe ukalale huna ulijuwalo KOLO waheid
Bro naomba na nomber ya dosa
Dosa sigara Kali.
Mshamba huyu anataka kuonekana kwenye media pumbavu zako
Simba hawezi kuchukua ubingwa maana pointi tatu tunachukua kwa simba
Kuma kwel wew et tunachukua alama tatu Kwa Simba,,labda alama za mkunduni
Jana si leo
Huyu dossa anajua mpira au anapenda aonekane tu kwenye media
We unaonaje😂
New mchome on town
@@davidjoetv9595 ya shomari sio red card
Ameshinda kwa mbeleko ilikuwa unatoka sale Pamba kakataliwa goli 😂😂
Mbeleko nyoko zenu
Huyu mjinga, hajui mpira! Analazimisha yaani kwa mpira ule wa mbeleko anaona bingwa au mtego?
Mjinga ni wewe ambaye hujui Sheria na kanuni za fifa na CAF+tff