WAKAZI WA KUNDUCHI (MECO) WACHARUKA/ WAPINGA KUACHIA MAENEO YAO/ WAMUANGUKIA RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии •

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День назад +2

    tuwe wazi Mama anazidiwa sanaaaa mijizi imejaa humo ndani ya Serikali

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 11 часов назад +1

    Waziri silaa alikua amesimama vizuri ktk ardhi, alitoshea sana.

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b День назад +4

    Na Bado paka mseme CCM hoyeeeee polen sana

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 8 часов назад

      We acha tuu Kuna watu wengine kama manyumbu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День назад +1

    Mama watendaji wake wanamfanya wananchi wamchukuie awe anafuatilia wansmusngusha sanaaaa ana vita kali

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula День назад

    Kumbe.mtafidiwa,njooni Mzenga

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 11 часов назад

    Hii inaitwa mwenyenguvu mpishe

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 15 часов назад

    Mama😂😂😂😂

  • @YohanaMagembe-i6z
    @YohanaMagembe-i6z День назад +1

    Mtanikumbuka alisikika mtu mpenda haki

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 День назад +1

    Hayo sio maendeleo ubepari tu

  • @knight6757
    @knight6757 День назад +1

    DART ni ya mwekezaji wa nje !

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 День назад +2

    Shida hapa kuna Wananchi wasiojua maana ya Maendeleo Au kufanya Maendeleo na wameridhika na Bujumbura walivyonavyo na wanataka Maisha yao yaendelee kuwa hivyo hivyo yalivyo kwani kuna watu hawapendi Mabadiliko tena ya ghafla.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula День назад

    Tatizo la Wtz hamjui.kujilanga mnajenga hovyo hovyo mgejipanga vzr knhesaidia. Ona nyumba zilvyo hovyo hovyo

    • @knight6757
      @knight6757 День назад

      Walipo jenga...wkaguzi wa serekali walilala au ni rushwa ilitembea!!

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 18 часов назад

    Kuna watu nchi hii wana kiburi hata wanapingana na mahakama

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 12 часов назад

    CCM OYEEE sasa nyinyi si mmemchagua mwenyekiti wa mtaa ccm ni chama cha wanyonge na wasukivu wafateni

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 11 часов назад

    Hizo karakana having mafundi maana karakana za jangwani magari mengi yamekufa

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 День назад

    Kikubwa hapo ni kulipwa chako. Usikatae kuondoka.Watu hao walipwe fidia msiwadhulumu.

  • @MohamedKaburu
    @MohamedKaburu День назад

    Kama mnalipwa fidia nzur mnan,gang,ania nin kipawa ilikuwa na wakaz elfu tano

  • @henrysangiwa1731
    @henrysangiwa1731 13 часов назад

    Kwanini msinunue magari ya Umeme

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 18 часов назад

    Hata mkiomba mpaka mkome katiba katiba katiba

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 18 часов назад

    Hata mkiomba mpaka mkome

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula День назад

    Kwanini waandikenowq kongereza, hali lugha ya Taifa ninkoswahili

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o День назад

    Mgogoro wa kunduchi ni wamuda mrefu. Tangu . 2005/ kesi za meco hiyo niya 9 na zote wananchi wanashinda

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 11 часов назад

    Hawa dart huendeshaji wa usafirishaji umewashinda hivyo wataka kufanya miradi kufidia gharama za uendeshaji hata mbagara walijenga from za manuka ndani ya hifadhi ya barabara na tan rod walilamika

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu День назад

    WAMEOMBA KIBALI KWA RAISI NANI ANA MAMLAKA NI RAISI SUBIRI UONDOKE WEWE DAI FIDIA

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 18 часов назад

    Mooo ni zakwake yeye alie toa kibali sio hajuwi na kama hajuwi ni uzembe mwenzake magu alikuwa anatembelea masaiti yeye yupo wapi waarabu hao

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula День назад

    Kwani hantafidiwa? Km mkofodowa wapishe