AHADI ZA SHETANI WA YANGA SIMBA HAWAEZI KUSHINDA GOLI TANO - WAJE WANICHOME MOTO HAKUNA KUINGILIA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 41

  • @CharlesLobulu
    @CharlesLobulu День назад +7

    Tatizo lake lilianzia tu pale alipoamua kujiita shetani nami ninavyojua shetani Huwa ni muongo.

  • @emanuelyngailo6807
    @emanuelyngailo6807 День назад +1

    Kweli Tano hawezi kufunga atafunga 6

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 День назад +1

    Wewe ni mwehu sawa na wengine tu, kujiita tu shetani hilo ni tatizo jaman Simba kashinda 6 lichomeni Moto km lilivyosema

  • @nasseralhatmi1762
    @nasseralhatmi1762 День назад +1

    Huyu Jamaa hayupo sawa kiakili
    Bora mumkamate mpelekeni Hospitali ya Mirembe Dodoma akatibiwe ama Sivyo
    Huyu atakuja kuuwawa

  • @MarisaVitares
    @MarisaVitares День назад +1

    Huyu shetani akapimwe akapimwe akili😮

  • @Aed126
    @Aed126 День назад +1

    Dah wee jamaa kweli taifa limepata hasara.😂😅.

  • @Mumewangu
    @Mumewangu День назад +2

    Huyu alikuwa atumwe MTU mmoja amshike kwa gafla amtie moto wa mdomo

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 День назад +1

    Yani ni mjinga wew kila ukiropoka ukikamatwa unaanza kulia na kuomba msamaha,tumeshinda 6 sasa nyoko wew😂

  • @ShamiriSylvester
    @ShamiriSylvester День назад +2

    Jamaa punguza ahadi we ukienda kigoma hauwezi ukarudi kwa ahadi zako

  • @AlbertLambert-b4p
    @AlbertLambert-b4p День назад +2

    Huyu jamaa akili yake sio mzima. Kasha data..

  • @bonnymwasekaga9617
    @bonnymwasekaga9617 20 часов назад

    Pale shetani anapomshukuru Mungu dah

  • @AlyAbass-g8o
    @AlyAbass-g8o День назад +3

    Huyo shetani atakua ametoloka milembe hopital

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q День назад +1

    Huyu jamaa nicomedian wala msimtukane 😀😀

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v День назад +2

    Utapata shoti wee Lilia tu mn watu wanakuonea huruma ila hiyo trh 2 shoti utaichekea chooni

  • @davidcaroli1994
    @davidcaroli1994 День назад +1

    Mwambie bado goli 1 zifike 5 ndo kwanza kipindi cha kwanza 😀😀

  • @rafikiwakweli2049
    @rafikiwakweli2049 День назад

    Tarehe 2 utakuwa umefariki kitambo maana kumbuka ahandi ya goal 1 ikavuka 6 hujachomwa bado

  • @NgekiMgara-zw8bw
    @NgekiMgara-zw8bw День назад +1

    Baba Rabiat🤣🤣

  • @EphathMhagama
    @EphathMhagama День назад +2

    Wewe Ni shetani Kama ibilisi babaye was wabaya wote

  • @EmanuelElphas
    @EmanuelElphas День назад +1

    Mbona wanaongoza 6

  • @saidyallyy6103
    @saidyallyy6103 День назад +3

    utakufa vibaya ww simba chama kubwa

  • @alanenos3443
    @alanenos3443 День назад

    Huyu jamaa ,ahaahaaa, napenda utani wak

  • @AnisethPeter
    @AnisethPeter 21 час назад

    Wanaitwa wasemaj ambao Tim yao aijafuzu kuingia robo

  • @faridarahasanakwakweliutas4168
    @faridarahasanakwakweliutas4168 День назад

    Huyu jamani

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 15 часов назад

    Huna akili hata kidogo, 😄😄kama unamuapia babayako mzazi afe, Hamna akili kabisa

  • @RichardMassawe-ss7cy
    @RichardMassawe-ss7cy 23 часа назад

    We shetani upo wapi tunakutafuta nishanunua mafuta

  • @MamyMilka
    @MamyMilka День назад

    Havi bado hawajamnywesha tu jmn

  • @AmosiMhoja
    @AmosiMhoja 23 часа назад

    Ali kamwe kwenda huko ndo kucheza au ? Niadhani una upungufu wa kinga kichwani kapimwe

  • @195941233
    @195941233 День назад

    Huyu utani wake😂 Shetani kweli huyu

  • @AmosiMhoja
    @AmosiMhoja 23 часа назад

    Shetani tangu mwanzo muongo haya tumeshinda sita kwa usalama wako jilipue mwenyewe

  • @AbdalaMzava
    @AbdalaMzava День назад

    Kipara mchekeshaji kaigize mwamba

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga День назад

    Unanufaika Nini Aly komwe kwenda kushuhudia drooo

  • @abdallahmselem7504
    @abdallahmselem7504 День назад

    Wamchome moto wa mdomo tuu hayo mafuta wayaache hana akili huyu jamaa

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k День назад +1

    6-0 unasemaje hapo kenge wewe.

  • @PaskaliDishon-hd7wc
    @PaskaliDishon-hd7wc День назад

    Uyo katoroka mirembe

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa День назад

    Sasa huyu bwege anataka nini hasa

  • @johnmbise8996
    @johnmbise8996 День назад

    Unatumalizia mb bure tu

  • @StellaGasper-x6n
    @StellaGasper-x6n День назад +1

    Ivi una mke wwe

  • @AnnaKissiya
    @AnnaKissiya День назад

    Nyoooo huna lolote mbwaa wewe

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 День назад

    Pimbi wewe