JINSI YA KUMUEPUKA ADUI MKUBWA WA MAFANIKIO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 83

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  3 года назад +3

    KUPATA KITABU HIKI:
    Tafadhali tuma ujumbe wa kawaida au whatsapp wenye jina la kitabu katika namba 0759191076 popote ulipo.
    Bei: 20,000 TZS.
    .
    Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076

  • @leilabilali4102
    @leilabilali4102 3 года назад +5

    Huwa najifunza vingi kwa kukusikiliza
    Pia inakuwa kama njia ya kutua mizigo kwenye akili na moyo
    Allah akubariki brother Ezden .

    • @yasodishonest9792
      @yasodishonest9792 3 года назад

      Kweli yani. Tunamshukuru sana.madishi yana tulia wallah

  • @pascalmsuyajr.7980
    @pascalmsuyajr.7980 3 года назад +1

    Ninajifunz mengi toka kwak kaka ezden ubarikiwe 🙏🙏

  • @samohazakwani6899
    @samohazakwani6899 3 года назад +1

    Assalaam alaykum. Shkrn sana brother kwa somo zuri sana. Nimejifunza kuwafahamu watu zaidi tabia zao na jinsi ya kuwa mbali nao au kuishi nao. Allah akuzidishie elimu yenye manufaa unufaishe umma. Shkrn.

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад +2

    😂😂unatufundisha na unatuchekesha😂.love bro.nimeelewa somo tufanye imeisha nikiongeza vyangu hapo nita alibu somo 😄thanks

  • @abrahamnyalagu2510
    @abrahamnyalagu2510 3 года назад +1

    Gud technique home boy

  • @suzangathoni7141
    @suzangathoni7141 3 года назад +1

    Nmejifunza be a person of listening more than speaking as you will have something new be blessed ezdenjumanne

  • @zainabarable6957
    @zainabarable6957 3 года назад

    Asante kwa somo lako na watu kama Hawa unawezaje kuepukana nao mana Kuna kazi ni za mikataba

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp Год назад +1

    Kaziii nzuriii

  • @manenoibrahim980
    @manenoibrahim980 3 года назад

    Shukran kwa kutuongezea mind set zetu

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 2 года назад

    Asante sana kwa somo zuri ubarikiwe sana 🙏

  • @elijahanthony7667
    @elijahanthony7667 3 года назад

    Ahsante kwa ushauri mzuri nimechukua point kuhusu uongozi hii nimeipenda na nina Imani itanisaidia Sana brother

  • @aminaalli2287
    @aminaalli2287 3 года назад

    Wewe ni MTU mzuri sana kazi nzur mashaallah..unamasomo hasa ya maana

  • @ummmuhammadabdullahsalafiy4984
    @ummmuhammadabdullahsalafiy4984 2 года назад

    Mashallah Tabalakallah Shukran my kak

  • @allymaganda5061
    @allymaganda5061 3 года назад

    Hongera mr Ezden. Somo la leo ni zur mno. Kufanikiwa au kufanikisha jambo fulani haimaanishi kuwa wewe ndio kila kitu isipokuwa nijambo la kawaida na unapaswa kujiona wakawaida sambamba na watu wengine.

  • @mbaloplatnumz646
    @mbaloplatnumz646 2 года назад

    Mwenyez mungu akubarkh kaka kilasku unanibadilisha wewendo mwalimu wangu mungu azid kukuweka hai kka

  • @Rashsany
    @Rashsany 3 года назад

    Shukran brother

  • @youtubesuccessshorts7389
    @youtubesuccessshorts7389 3 года назад

    Elimu hii imenijenga sana ndugu Ezden , Asante @hb leaders union

  • @eliaamarandu6335
    @eliaamarandu6335 3 года назад

    Like it endelea mkuu.kutupatia.dozi

  • @bado_media
    @bado_media 3 года назад

    Busara zaidi kupata kitu kipya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @liberatussylvanus5477
    @liberatussylvanus5477 3 года назад

    Asante Sana kaka ezden ngoja tujirekebishe ujumbe umefika

  • @kindovenusmsuya3849
    @kindovenusmsuya3849 3 года назад

    Nikweli brother nakubali sana each one tich one

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 3 года назад +1

    Ujumbe mzuri

  • @godfreymdete7763
    @godfreymdete7763 3 года назад

    Ahsante

  • @edisonkalikawe7618
    @edisonkalikawe7618 3 года назад +1

    Mungu akuongezee unapotoea mafunzo hayo

  • @abubakarkibwana756
    @abubakarkibwana756 Год назад +1

    Dah Nimekubali ezden you are the Great and this is a very nice lesson.listen is more better than talking.

  • @emanuellukas6289
    @emanuellukas6289 2 года назад +1

    Da unachokiongea hakipingiki brother ezden, thanks

  • @sakiukitv
    @sakiukitv 3 года назад

    Naam!edzen kweli, lakini wakati mwingine ni vizuri mtu kuongea kuliko kusikiliza,mathalani Wewe unahitaji kuwa stadi katika lugha fulani sidhani kama itanyoosheka umefyata mdodo kila Siku.asante

  • @dosaahlulbayt7864
    @dosaahlulbayt7864 3 года назад

    Asante brother Ezudin

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 года назад

    aah bro uko vzur haipt sku bil kukusikiliza umenifunza mengi

  • @ghusankwabi4740
    @ghusankwabi4740 3 года назад

    Asante kaka

  • @gwakisamwakilema
    @gwakisamwakilema 3 года назад +3

    Great work brother + SPN team
    Asante kwa maarifa haya 🙏

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 3 года назад

    Shukrani sana kaka Ezden,,, be blessed mkuu 👏

  • @jastinjustus6878
    @jastinjustus6878 3 года назад +1

    God bless you

  • @jomeejooo3717
    @jomeejooo3717 3 года назад

    Asante kaka 'kulewa sifa ' ili jambo liko kwa watu wengi hata Mimi lakini kwasasa umenifumbua macho...

  • @shabanfundi2966
    @shabanfundi2966 3 года назад

    Thanks broo kilefu cha EGO

  • @mohamedimran2179
    @mohamedimran2179 3 года назад

    A.A kweli kaka eshima nikitu muhimu kabisa

  • @hdjirungakashililika7538
    @hdjirungakashililika7538 3 года назад

    Nakuelewa sana kaka , , mungu atubaliki sote

  • @Eldoret94
    @Eldoret94 3 года назад +1

    Am in from Eldoret kenya

  • @aphrahanjopa5792
    @aphrahanjopa5792 3 года назад

    Hakuna siku inapita bila kukusikiliza,mungu akusimamie kwenye kz zako brother

  • @ibrahimfrance1576
    @ibrahimfrance1576 3 года назад

    Pamoja Sana Kaka SPN Each one teach one

  • @salemlashoumber3393
    @salemlashoumber3393 3 года назад

    Perfectly sana broh we learn much an we need more lesson al akhy, , ,

  • @elizabethmichael6946
    @elizabethmichael6946 3 года назад

    Thanks alot bro! I understand it well.

  • @abrahamnyalagu2510
    @abrahamnyalagu2510 3 года назад +1

    Nice brother

  • @shukurumavokofidele8223
    @shukurumavokofidele8223 2 года назад

    Nimefurahiswa na hii content sana, Ezden jumanne big up brother

  • @habibismael4937
    @habibismael4937 3 года назад

    Eh somo zuri kaka mkubwa kuka

  • @saidally1249
    @saidally1249 3 года назад

    Asant kaka allah akupe na zaid

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 3 года назад

    Good bro

  • @salemlashoumber3393
    @salemlashoumber3393 3 года назад

    Speak once listen twice thats one among many we learn tday

  • @yunesnyabonyi1728
    @yunesnyabonyi1728 3 года назад

    Be blessed bro

  • @enockaward7346
    @enockaward7346 3 года назад

    Big up

  • @christinammassy1550
    @christinammassy1550 3 года назад

    Safiii

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 3 года назад

    Nice

  • @alawimussa873
    @alawimussa873 3 года назад

    Mi mjenz nyumba

  • @gideonyudamwagala5135
    @gideonyudamwagala5135 3 года назад +1

    Mungu akubariki kaka kupitia wewe maisha yangu yanabadilika

    • @selestinemmwanga7651
      @selestinemmwanga7651 3 года назад +1

      Asante kaka mafunzo yako ni ya ukweli mungu aendelee kukufungulia mengine ambayo yapo mbele yako ili uendelee kuwa msaada kwa wengine

    • @yumbujackson869
      @yumbujackson869 3 года назад +1

      Daah! Somo zur mungu azid kukubarik

  • @mussamathias1086
    @mussamathias1086 2 года назад +1

    broo wengi ya watu kama hao huwa najisaulisha kucheka alafu wanajitekenya

  • @pauledward6972
    @pauledward6972 3 года назад

    Is it lebaration of mindset!!!

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Год назад +1

    NAAM Mimi nipo pamoja na wasikilizaji kwanza

  • @saidanton9517
    @saidanton9517 3 года назад

    Asant kak

  • @rukayyawendo1268
    @rukayyawendo1268 3 года назад

    Iyo namba moja nikweli kabisa

  • @zionafrikazanzibar5275
    @zionafrikazanzibar5275 3 года назад

    #RespectKwakoBruh❤✌

  • @katemajr9374
    @katemajr9374 3 года назад

    ✊🏽✊🏽✊🏽

  • @adamjuma3231
    @adamjuma3231 3 года назад

    Ego is the enemy yap i read that book

  • @barakafloriani2991
    @barakafloriani2991 3 года назад

    nahisi ulikua unaongea na mimi ezden mpaka nakasirika

  • @eddy8465
    @eddy8465 3 года назад

    Swahihi

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 года назад

    💥🤝

  • @mohamedimran2179
    @mohamedimran2179 3 года назад

    😂😂😂😂😍

  • @nakembetwaemanuel8846
    @nakembetwaemanuel8846 3 года назад

    Nitumie bac namba zako ili nipate kitabu

  • @nasibuissa4757
    @nasibuissa4757 3 года назад

    Bro eshmayako nikutoe kidogo nje yatopki ilanikuusu swalailoilo lamafanikio swalilangu nihivi kilamtu ananyota nakatika nyota aliyo nayo mtuhuyo inavipaji pia ndaniyake mfano vipaji vyanyota yangu usani uchongaji vinyago kuendesha magari naivi ndio vitu ninavyo takiwa kufanya ilinifanikiwe sas mimi najikuta napenda kufanya biashala ufugaji navinginevyo je tunalizungu mziaje iliswala ??

  • @mbaloplatnumz646
    @mbaloplatnumz646 2 года назад

    Ggkka

  • @manenoibrahim980
    @manenoibrahim980 3 года назад

    Shukran kwa kutuongezea mind set zetu