Wild Crowd forces Ruto to produce MP Salasya before addressing them

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 85

  • @kefahayieni3841
    @kefahayieni3841 День назад +2

    Tell them my brother..... GOD BLESS YOU SOOOOMUCH for being there for us...

  • @ngamiazukhty3126
    @ngamiazukhty3126 День назад +10

    Analazimisha uongozi sana

  • @marrieimmaculate
    @marrieimmaculate День назад +15

    Ruto is forcing himself on the people of Kenya, we all saw it even in Kisii 😅😊

  • @immaculatenjoroge222
    @immaculatenjoroge222 День назад +6

    True he cannot be heard from the video we can only hear salasya,salasya.

  • @noraakello551
    @noraakello551 День назад +5

    The campaign for 2027 has already started for the Ruto instead of sitting in his office and trying to fulfill the promises he made for Bottom Up supporters.

  • @BarabaraSamwel
    @BarabaraSamwel День назад +8

    Akija mlima,pia nyinyi imbeni Gashaguwaaaaaaa the bull of mlima

    • @Stephenigogo-e3k
      @Stephenigogo-e3k День назад +1

      Mulima kwanza hatumutaki

    • @Queenceciliah
      @Queenceciliah 23 часа назад

      Vile inafaa ndo aone watu wamechoka na uongozi wake

  • @pastorhenry55
    @pastorhenry55 22 часа назад +2

    Zakayo kimemramba 😂😂😂kila mahali 😂😂

  • @robertmribu9360
    @robertmribu9360 День назад

    Yes u are right kaka ... mainstream media is always inclined to government n that is y they will not accurately informing Kenyans thanks to social media and kindly keep on doing what's right.

  • @Exindecor
    @Exindecor 21 час назад

    Very helpful

  • @JohnMwangi-x1q
    @JohnMwangi-x1q 8 часов назад

    Haile selassie❤💯

  • @josphatwambua6974
    @josphatwambua6974 22 часа назад

    Exactly 💯💯

  • @BarabaraSamwel
    @BarabaraSamwel День назад +7

    Salasia the bull 🐂 of western 🎉🎉🎉🎉❤

    • @obungafelistas960
      @obungafelistas960 23 часа назад

      @@BarabaraSamwel which western?

    • @Queenceciliah
      @Queenceciliah 23 часа назад

      ​@@obungafelistas960kwani huna masikio acha kujiaibisha ndugu

  • @MoraaGladys-j9i
    @MoraaGladys-j9i День назад

    Good job Sir

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M День назад +11

    Salasya and NATEMBEYA,alfu washikane na matiang'i, i bet u, baba, mudavadi and their grandfathers atwoli na wentangulu,Plus they boss (ruto) Are doomed,coz THOSE are the only leaders are injecting without fear.

  • @Princess4Ever17
    @Princess4Ever17 День назад +7

    Vibaraka wachache ambao anatumia but western tuko bila yeye. We do not recognise Musalia n weta as our leaders they have embarrased us as a community

  • @GeofreyonsongoOmbui-vs4yg
    @GeofreyonsongoOmbui-vs4yg 2 часа назад

    Tumbiri ziko na njaa alafu unasimama kuutubia 😂😂

  • @bonfacemutunga4997
    @bonfacemutunga4997 23 часа назад +1

    Tell kasongo Kenyans are united against him ...this are the last kicks of dying horse

  • @jeffreyonyapidi4585
    @jeffreyonyapidi4585 День назад +8

    Ruto tawe

  • @beatricem8352
    @beatricem8352 День назад +6

    Am not sure whether theres going to be an election 2027 , we still don’t have IEBC

    • @jeffreyonyapidi4585
      @jeffreyonyapidi4585 День назад

      Why not have election and yet we don't any crisis that will make election to be adjourned?

    • @winfredmueni2710
      @winfredmueni2710 День назад

      No it's not easy to have election without IEBC, Ruto what to delay it then rules for another 10 yrs, that's why God help us 🙏

    • @obungafelistas960
      @obungafelistas960 День назад

      Ruto is very clever and culculative, hata kama kura zitapigwa ataiba tu.

    • @Stephenigogo-e3k
      @Stephenigogo-e3k День назад

      ​@@obungafelistas960tuko na yeye bampa to bampa tukivote tunapiga picha atasema alishindia wapi

    • @jeffreyonyapidi4585
      @jeffreyonyapidi4585 День назад +1

      @obungafelistas960 Ruto is a fool he only knows how to steal.

  • @carojeremia4313
    @carojeremia4313 День назад +2

    Western sisi si watoto tutamwambia ukweli hadi atufanyie kazi

  • @AnneOkaka-im8gp
    @AnneOkaka-im8gp День назад +1

    Salasya all the way ❤

  • @martinmwai1853
    @martinmwai1853 День назад +2

    ruto is going home that's the reality

    • @obungafelistas960
      @obungafelistas960 День назад

      Huyo haendi mahali, kama waliibia Raila kura wakiwa na uhuru, na gashagua, sioni,

  • @JospineObondi
    @JospineObondi День назад +2

    Ruto anajua hatumupendi awache kujifanya salasyia siku sote

  • @b.3940
    @b.3940 День назад +2

    Watu kama sisi ambao tumezoea responsive democracy huku majuu huona siasa za Kenya kama ni kandanda ya vichaa.

    • @Izo3102
      @Izo3102 День назад

      ????

    • @hamisimtsumi9500
      @hamisimtsumi9500 День назад

      😂🎉😂..🤦‍♂️👊

    • @b.3940
      @b.3940 День назад

      @@Izo3102 namaanisha sisi huona politics za Kenya ni kama football mechi ya team mbili za wenda wazimu sababu vyama vya siasa Kenya hazina ideology. Nia huwa ni mtu achaguliwe then atajirike.

  • @otienojacob1593
    @otienojacob1593 21 час назад

    Launching bonuses?This is laughable..... launching bonus😅!

  • @wanjirukinyanjui
    @wanjirukinyanjui 21 час назад

    Why is he campaigning 3 years before? It is a waste of our money. He should start next year. And bring IEBC otherwise there can be no elections!

  • @utukufugloria8393
    @utukufugloria8393 День назад

    Kaongo yuko na kibarua 😂😂

  • @MaureenMudaki
    @MaureenMudaki День назад +1

    Ruto cant take western ìts only mudavadi and wetangula but people of western no no no

  • @estherkabiru9651
    @estherkabiru9651 День назад +2

    T amount of money he uss n those misguided tours is enough to build a whole new hospital or a road. Tanga Tanga. Misplaced priorities.

  • @joylinaentana7063
    @joylinaentana7063 День назад

    Uongo kama amechukua madividi sio wetu huyo alikama na mamake,Ruto hatambuliki Kenya that's the fact.

  • @stephendume6277
    @stephendume6277 День назад

    Kama alinunua viongozi,tume,majaji etc this time round atabai hao watu na kura atatoa wapi.angewanunua na wakafanya kazi hio sawa ila hawafanyi kitu...ruto dead walking

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 23 часа назад

    Kwani tuko lini RUTO ameanza siasa mapema hivi badala ya kuwa kwa ofisi akifanya kazi

  • @obungafelistas960
    @obungafelistas960 День назад

    Mimi ile kitu najua, Ruto upige kura ukose kupiga , ameshaiba kura hata yeye mwenyewe ashasema amejipanga, wenye kupiga midomo mtapiga tu lakini mshindi ni Ruto,

    • @Kitupat
      @Kitupat День назад +1

      Hata BABA FUA thought the same coz wako na Mr Pandora (ouru) 😂😂 butwaa inajitayarisha itapiga kasongo vasco danganya arap vaccine 😂

  • @Spg412
    @Spg412 День назад

    Sometimes it's hard to believe ruto has any advisers. The people are awoke to the reality that ruto is a failure and has nothing to offer to kenyans. Hand outs will not endear him to the electorate. He best he'd do is stay in Nairobi and find something to do that kenyans may hopefully remember him for. Otherwise his time is up. History will harshly define his presidency.

  • @mwanaidi444
    @mwanaidi444 День назад

    Kaka mimi natoka mumias nikikwambia ukweli sisi hatumjui ruto ni munyama wa haina gani. Na hatumtambui na huyo mudavadi wake walai hatuko na wao kabisaa

  • @RamadhanAbdallah-e7y
    @RamadhanAbdallah-e7y День назад

    Kunzungusha matako juu ya magari unafikiria tunakila matako

  • @marrieimmaculate
    @marrieimmaculate День назад

    Kaka, You're good at yr analysis, but.... News IS...not ARE...

  • @hesbonwataka2809
    @hesbonwataka2809 День назад

    🤔🤭😜🤣🙈🙈

  • @joshuamuturi480
    @joshuamuturi480 День назад

    Huyu kasongo ndio alikuwa anajipiga kifua akisema hawezi shindwa. Sasa amekula kiburi yake Western. Tunamgojea Murima akuje na Maina Njenga na Mungiki aone.

    • @obungafelistas960
      @obungafelistas960 День назад

      Ruto umpigie kura ukose kumpigia ataiba tu.

    • @joshuamuturi480
      @joshuamuturi480 День назад +1

      Ruto lacks the intelligence , manpower or political support to steal the elections. Wewe ngoja tu uone vile atamalizia maisha yake hague akijaribu hiyo ujinga yao.

    • @obungafelistas960
      @obungafelistas960 День назад

      @joshuamuturi480 Ameiba mara ngapi, na haendi Hague? Si alikuwa Hague na akatoka huko? Na tena nikuulize WA kumpeka Hague ni nani? Unaongea as if hujui Ruto, wakati aliibia Raila kura mlinyamaza zii, saa hii hata ule mwenye atasimama na yeye atamwibia, na hata huenda hakutakuwa na electio 2027.

    • @Kitupat
      @Kitupat День назад

      ​@@obungafelistas960obunga inakaa umekula mia tano yako ya kutetea kasongo vasco danganya 😂

    • @Kitupat
      @Kitupat День назад

      Obunga inakaa umekula mia tano yako Safi unafanya kazi na bidii ya kutetea kasongo vasco danganya

  • @yusufkiprop1.
    @yusufkiprop1. День назад

    Anyone who asks for money Normally talks at low tone, hii yako unaomba pesa na unaongea kama unajua kila kitu, mbona hukujua njia ya kupata hizo doh ili usiombe 😂😂 anyway Ruto kumi bila break😅😅