ALEXANDER THE GREAT,bwana mdogo aliegawa KICHAPO dunia nzima,HAJAWAHI KUSHINDWA mpaka MWISHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 77

  • @twalibtz1936
    @twalibtz1936 4 года назад +2

    Brooh wwe ni narrator wa ukweli na Role's model wangu pia na appreciate kazi zako hii ni njia bora UTATOKA COZ UNA DESERVE

  • @saidisimba3361
    @saidisimba3361 4 года назад +6

    2sisahau kulike jaman 👍👍👍

  • @rich_wasparner9233
    @rich_wasparner9233 2 года назад

    Nipo napekua pekua post zako za wakati uliopita aseh upo vizur Kaka..big up

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +8

    Legend

  • @seifahmed1580
    @seifahmed1580 4 года назад +7

    💯🙏Fast

  • @molincreative817
    @molincreative817 4 года назад +1

    Tutafutie kisa Cha operation diamond (uwizi was ndege ya kivita ya Iraq na waisraili)

  • @asyakhamis1602
    @asyakhamis1602 Год назад

    Naitaj story ya mkama ndume please

  • @josephinepeter7393
    @josephinepeter7393 4 года назад +6

    Hata sisi tuna mkwawa hapo 😀 mkwawa the greater

    • @onlinemovie8580
      @onlinemovie8580 4 года назад

      Naaam am here

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Huyu nae ni moja ya wababe sana nitaizungumzia historia yake siku.

    • @josephinepeter7393
      @josephinepeter7393 4 года назад

      Yap hta mkwawa pia hjakubli kushndw awaangukie wjrmni so tuletee na hyo maana nmeimis kuisikliz

  • @qualitymoran6660
    @qualitymoran6660 4 года назад +12

    Tutafutie historia ya king Porus

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Nitalishugulikia hilo mkuu.

  • @nickherman4
    @nickherman4 4 года назад +1

    Njoo na Story ya King Gwanggaeto the Great

  • @faithliamba2344
    @faithliamba2344 4 года назад

    Naomba utafute historia ya porus

  • @swahilihistory4788
    @swahilihistory4788 4 года назад +2

    Bongo fasta best in Tz 🇹🇿

  • @isackisack9833
    @isackisack9833 4 года назад +2

    👏👏👏👏

  • @daudimpulumba6742
    @daudimpulumba6742 4 года назад +2

    Wanajeshi wa zamani walikuwa n wanajeshi kweli coz silaha ilikuwa ni zana za jadi so bunduki na mabomu ya wanajeshi wass wengine wanatembea wameoza mapafu kwa sigara na konyagi ati wanajiita wanajeshi

  • @kinyippalta9598
    @kinyippalta9598 4 года назад +2

    Sana dingiii

  • @fasconeroh8740
    @fasconeroh8740 4 года назад +5

    🙏🔥🔥

  • @husseinremmy2834
    @husseinremmy2834 4 года назад +1

    Safiii tu

  • @raymondjimmy2712
    @raymondjimmy2712 4 года назад +4

    Iko pw??

  • @jackcute4real10
    @jackcute4real10 4 года назад +6

    Hii historia tafuten picha ya kihundi inaitwa porus

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Asante mkuu nitaitafuta nitazame.

  • @annadavid2601
    @annadavid2601 4 года назад +1

    Uongo bwana aliuwawa na jeshi la porus

  • @mihambomihambo5473
    @mihambomihambo5473 3 года назад

    Duuuh natamanii kuwa kama yy mtu asiyeshindwa

  • @jeniphermramba610
    @jeniphermramba610 4 года назад +1

    Good

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 года назад +1

    Hakupiga Dunia nzima alipiga aliowahi kupigana nao, maana hajawahi kupigana na Waafrika sasa mkisema Dunia nzima nashindwa kuelewa.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад +1

      Mkuu kipindi hicho falme alizopigana nazo ndio zilikuwa kubwa na hata hivyo angefika tu afrika kama wanajeshi wake wasingechoka.

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 года назад +1

      @@BONGOFASTA Ingewezekana angekuja pigwa na Chief Mkwawa kama angemkuta, wazungu siku zote wanajionaga ni bora zaidi ya Waafrika

  • @toyimusic
    @toyimusic 4 года назад +1

    Nataka uitafute historia ya mwafrika

  • @jacksnow2921
    @jacksnow2921 4 года назад +3

    Porus alimkalisha

    • @qualitymoran6660
      @qualitymoran6660 4 года назад

      Kwel kabsaa

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Inashangaza sana kwanini vyanzo vingi vinadai jamaa hajawahi kupigwa

    • @josephinepeter7393
      @josephinepeter7393 4 года назад

      Ndio ajwahi kupigwa ila wala kushndwa vta but yye na prus kila MTU alikuwa ampigi mwenzie ndo mna wakaamua kuptn

    • @emanuelmwayombo2757
      @emanuelmwayombo2757 4 года назад +1

      Porus hakumpiga Alex ila vita yao ilikua ngum na porus hakukubali kumuinamia Alex hata pale majeshi yake yalivopokutika

    • @magembepeter2169
      @magembepeter2169 4 года назад

      jack snow ulishuudia hiyo vita

  • @dqsonwilliam6777
    @dqsonwilliam6777 4 года назад

    Ukitaka kujua zaid tafuta muvi inayoitwa porus

  • @florianmbena580
    @florianmbena580 4 года назад

    Hata sisi tuna Songea mbano na machemba

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 4 года назад

    Nmeipenda hii stori ila kwann kila mtu mahiri au shupavu alietaka utawala kifo chake kina kuw n utata

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад +1

      Zamani kulikua na uchu wa madaraka sana na mara nyingi mtu anauwawa na watu wake wa karibu.

    • @dennisisrael2187
      @dennisisrael2187 4 года назад

      @@BONGOFASTA daaa kwel unachosema

  • @toyimusic
    @toyimusic 4 года назад +1

    Pia unitafutie historia inayoelezea kuwa wale watu waliojenga pyramid kule misri a ni watu weusi au weupe

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Asante mkuu nitaileta hapa.

  • @esthernyokabi832
    @esthernyokabi832 4 года назад +1

    Alishindwa na porus

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Nimepata maoni ya wadau inaonekana kweli alipigwa na porus,nitaitafuta historia yake na jinsi alivyompiga.Asante kwa maoni yako.

    • @esthernyokabi832
      @esthernyokabi832 4 года назад

      @@BONGOFASTA 😍😍😍😍

    • @jacksonelizei1357
      @jacksonelizei1357 3 года назад

      Prous alishindwa hakumuweza Alexander the great

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 4 года назад

    Historia ya ragnar lothbrok

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Ahaa yule wa viking eeh nitaitafuta.

  • @chordyvipers2472
    @chordyvipers2472 4 года назад

    ni ofoi jomba lang

  • @qualitymoran6660
    @qualitymoran6660 4 года назад +1

    N kwel ila alisaliti amri kwa king porus coz porus n zaid yake kwa kila kitu

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад +1

      Sasa kwanini vyanzo vingi vinamsifu alexander na wanaficha ukweli kuhusu king porus

    • @qualitymoran6660
      @qualitymoran6660 4 года назад

      @@BONGOFASTA yes n kwel i think maybe becoz according to history kabla hajaanza utawal wake mama yake alimtafutia yule mtabir na mtabir alimwambia achague mambo mawili kat ya kutawala kwa muda mrefu au muda mfupi lakn jina lake na likaishi milele .. Alex akachagua kuish muda mfup kuwa na uwezo mkubwa na jina lake likaishi milele then baada y hapo mtabir akamwambia pamoja na yote hayo yupo ambaye atakuja kukuangusha ww ambay ndo king porus ..... By the way n kwel vyanzo ving vinafcha ukwel wa alex kuhusu yy na porus ila porus alikuw n mfalme mwenye hekima sana

    • @qualitymoran6660
      @qualitymoran6660 4 года назад

      @@BONGOFASTA naomba utafute season ya kihindi inaitwa # PORUS fatilia utaamin ... Na utajua ukwel wa alex na porus en nadhan katka vita hyo aliyopigan ikawa ngumu kuliko zote nadhan ndo hyo yake na porus coz alvyofika uhindin alikuta porus n mfalme aliyemzid kila kitu akil hadi majeshi ila n kwa sabb mbinu kuu ya alex kivita ilikuwa n kutumia hofu na woga ndo maana vita nyingi aliweza kuzshinda ila kwa porus alinyoosha mikono

    • @josephinepeter7393
      @josephinepeter7393 4 года назад

      Wte wabbe

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 4 года назад

    Daaaaah huyu jamaaa maarufu sana Af ilkuw cjui kwanini

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад +1

      Asante kwa kutazama mkuu

  • @aranman6905
    @aranman6905 4 года назад

    tupe historia ya mfalme porus

  • @hafidhushafii6085
    @hafidhushafii6085 4 года назад

    hata sijapend anvotangaza

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад +1

      Asante kwa maoni yako,je unaweza kutueleza turekebishe nini?

    • @mukrimkhamis678
      @mukrimkhamis678 4 года назад

      tangaza ww

    • @khadijahalidi826
      @khadijahalidi826 4 года назад

      @@BONGOFASTA Usimsikilize uyo saut yako iko sawaa2

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад +2

      Asante kwa kunipa moyo khadija.

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 года назад

      Ulitakaje.!?

  • @bigboys016
    @bigboys016 4 года назад

    Siyo alistote,bwana wenae aliitwa Aristotle