HII HAPA NYUMBA YA CLATOUS CHAMA HAPA ZAMBIA/MAJIRANI WAFUNGUKA ANAVYOISHI NAO
HTML-код
- Опубликовано: 15 сен 2023
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media
Honger sana cham mwamb wa Lusaka
Wanasimba tunachotaka ni pila biliani maisha binafsi hayatuhusu
Tunamkibali Chama Cloutus aishi TZ hakuna shida
Yani hata jua alijatokeza nyie mko kwa chama
Kumbe alikua anaishi hapo nikajua kwake🚶🚶
Bgp Somba
Safi sana
Kwa hiyo chama hapati hera simba mbona hatengenezi mazingira
Ooh
Simba mpenzi Hela chama
7:21
Maisha ni haya haya jaman
Hivi mbona msingeonyesha tu, Simba mnampa sh. Ngapi? Pabaya
Ni Zambia mji gani huo?
Aibu
Mpira wa bongo usikoe2
WaTZ kwa kutafuta umbea ni No1
Haiwa husu
Mmh
Ilawewe somba nimtu hatari sana
Sijaona Ila nataka nimuoe demu wa zambia
Bonge la eneo na nyumba kibao tu zakutosha
Mmmmh pabaus
Hovyo kabisa
unaamini ana kaa hapo
Somba nawe 😅😅
Hatari sana Dar24 mnafufudua nyie
Bongo wana enjoy,? Muangalie musonda alivyokuja na sasa hivi , anajifanya bishoo,, man of the match kwao anapewa tray ya mayai huko
@@damianmcba9525SIO VIZURI KUNYANYASA WATU.
Hahaha 😂😂
Kwani kwao ni Ndola au Lusaka?
ndola ndo alipotoka phiri ndo wa lusaka
Kwao Chama alikozaliwa na kukulia ni Mansa Luapula Province
😂😂😂😂😂😂
Basi mpira haulipi
🧐🙄😳😳😳🤓🤓
😢😢😢😢😢
Hiyo nyumba yake yakwanza unajua ananyumba ngap
Umekalili nyumba tu. Kuna uwekezaji mwingine acha ushamba wewe bwege.
@@gibsonjosephat6352 eeeh haya bhna