Asante broo kwa kushea, mm pia nlkuwa live hiyo siku na hiyo channel ila pale airport wakat anapokelewa na huyo mmarekan hakujua kama anatembelea magongo akawa amemtelekeza daaaaaah hiyo stori yake ilkuwa ngum sana ila inafundisho kbwa na Mungu atusmamie tutimize ndoto zetu🙏🙏
@mshanatheblacksmith umenifungua kitu kwenye hii stor kaka so mm nakuombea tu dua uzidi kupata madini matamu uyalete kwa wasafiri especially EST Africa 🌍🌍 from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wa Nigeria ndio tabia zao kaka, wameharibu Dubai na gulf countries kwa ujumla, wameharibia sifa nchi zingine kwa watu kupata kazi, pole sana kwa dada yetu Mungu amzidishie
@@mshanatheblacksmith Eeeh kabisa kaka, wameifanya kuwa vigumu sana kwa Waafrika kupata kazi kwa muda jiulize kwanini wao hunyimwa sana Visas za kuingia USA ama hata nchi zingine Europe, ni sababu ya sifa kama hizo
Labda alikua anapiga kazi kwa magumashi,ila kama angekua anafanya kazi kwa kufata sheria nadhani angekua na nguvu ya kum sue huyo mna nigeria (NILIANGALIA HAYO MAHOJIANO KWA OFFICIA DATE ASSISTANCE *SHENA*)
Sasa kiongozi Kama huna visa ya kazi unawezaje kuripoti police wakati unaishi kiharamu? Na vipi mtu akifanya kazi ikiwa Hana mapepa na akapitisha muda wa visa iliyomleta hapo inakuaje!
Bro mshana kiukweli mashaallah unatunza vitu vingi katika yetu ya kila siku Mungu Akubariki Wala usichoke tuko pamoja Inshaallah kheri
Asante 🙏kwa kutumia mda wako kutufunza vitu muhimu,umezidi kuifungua akili yangu
Mwamba umetusanua wengi sana
Bro umeongea kwa hisia dakika ya 33 ,aisee tumetoka mbali sana😂🙌🏽...nmeamini mafanikio hayako rais
👌💯
Kutoka mafinga iringa nasikiliza vizuri sana
Dada Hafsa nimemsikiliza na wewe Umechanganua kwa Ufasaha kbsa Daaa noma unajua broo
Ongera sana kwa kukutumia muda wako kutuelimisha kiukweli hii ni tv ya maarifa mungu akubariki.
Tunajitoa kwajili ya mataifa yetu japo hatuishi huko Tena
Nakubali kaka ❤
Bongo tunajua kukatishana tamaaa sanaaa sijui tulilaaniwa na nani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Thanks broe,you are exemptional
Asante broo kwa kushea, mm pia nlkuwa live hiyo siku na hiyo channel ila pale airport wakat anapokelewa na huyo mmarekan hakujua kama anatembelea magongo akawa amemtelekeza daaaaaah hiyo stori yake ilkuwa ngum sana ila inafundisho kbwa na Mungu atusmamie tutimize ndoto zetu🙏🙏
Vizuri uliiona hyo interview 👍 natumai tumejifunza kitu
@@mshanatheblacksmith kikubwa sana, kwangu mm NI HAKUNA KURUDI NYUMA MPAKA MALENGO YATIMIE
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mshanaaa nimecheka sanaaa kwenye Sheehk hapo
Nimejifunza kitu sijatoka bure keep doing brother tuna learn vingi sana
Ndio nakubali sana mshana from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
👍👍👍👍👍👍👍💪🏻
@mshanatheblacksmith umenifungua kitu kwenye hii stor kaka so mm nakuombea tu dua uzidi kupata madini matamu uyalete kwa wasafiri especially EST Africa 🌍🌍 from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hongera darasa lingine hili 💯
Asante sana kaka kwa kitufungua fikra🙏
Hi Mshana It’s me Hafsa,thank you for sharing this,appreciated 😊
@@hafsasaid5148 Hi Vp unaendeleaje? By the unaweza ni DM insta?
@@mshanatheblacksmith sawa kaka
💥💥💯
Ndugu Mshana wacha ni like na ku-comment pia, ningepata haya madini 10 years ago I'd have been living an America dream life right about now😢😢
@@fredchuwa845 pole sana ndugu now upo wapi?
Love you bro, endelea kukimbiza 👍👍. Karibu Maryland
@@zainabubakari319 nitafika cku moja inshallah
Huyo shekhe alikuwa na roho ya husda.
Kabisa au uelewa mdogo wa maisha ya ughaibuni
Wa Nigeria ndio tabia zao kaka, wameharibu Dubai na gulf countries kwa ujumla, wameharibia sifa nchi zingine kwa watu kupata kazi, pole sana kwa dada yetu Mungu amzidishie
Nashukuru kwa hzi comment za ushuhuda wenu maana nikisema mm naweza kuonekana siwapendi ila kumbe wengi wetu tumekutana nao Hawa jamaa
@@mshanatheblacksmith Eeeh kabisa kaka, wameifanya kuwa vigumu sana kwa Waafrika kupata kazi kwa muda jiulize kwanini wao hunyimwa sana Visas za kuingia USA ama hata nchi zingine Europe, ni sababu ya sifa kama hizo
Ni kweli nilifanya kazi sehemu kuna waghana na wafilipino dah niliacha kazi jamaa sio watu kabisa wanajisikia na chuki kibao
Nakuelewa sana Bro, Unachokifanya kitaokoa wengi sana 🫡
🙏🏻🙏🏻
Hii kubwa sana unatudai kaka
Huyo dada angeenda kumshtaki huyo mnaigeria police huko sheria zinasemaje?
Aka ke hali yako,mim nimecheza green card mwaka huu,samhani nikishinda naomba bas uwe host wangu😢
BIG BRO 🎉
Sasa ndo unywe reed bull km chai ya moto💀😂😂😂😂😂😂🙌
Sana aisee
Kaka hayo ndio maisha ya ughaibu bwana utajituma kwa mwarabu ila siku ukikosea kitu atakufukuza kama mbwa
Kabla sijamaliza kusikiliza video nzima, mengi ya kujifunza katika stori hii. Asante sana kwa upendo wako wa kuamua kushirikisha.
Trust brother
Akika chief 👍🏼👍🏼👍🏼 sikupingii
Natamani utupe elimu jinsi uchaguzi wa Marekani unavofanyika 🙏
Natamani ma viongozi na mapolisi wa Tz waone hii ili wajifunze maana wana vingi vya kujifunza😢
Eti mshana huko marekan wanachukua Wath we ye urefu gan
Nishalike🥰👏👏
Tutie hasila kaka tunathamini unachokifanya. wa Nigeria ni kweli kaka wanajskia saana kalibia wote mi nipo nao gulf huku jau sana hawa jamaa. 🥷🫡
Kabisaa yani wengi wao sio watu wakuwategemea kama waafrica wenzako watakusaidia NO..
❤
Mwangu punguza kujipost utarogwa shaulizako weayaa
🙌🙌🙌🙌
nakubaliana na wewe mshana umeongea pointi ya maana
Kaka Mshana vip nakazi zaku beba takataka zile Campuni huko zinalipaje
Zipo vzuri nitakuja kuelezea
Mimi nipo na wacameroon huku Russia ni watu wa hovyo kabisa west Africa
Sijui kwanini wengi wao wanatabia za ajabu sana
Sana West africans kabisa sio watu wana roho mbaya sana
@@mshanatheblacksmithkaka Mshana niko Spain nahitaji kujiunga na jeshi USA nifanyaje naomba maelekezo Asante
Bongo ukipiga sim unaambiwa tuma pesa ya mafuta au nauli ya kumtoa afande kituoni.
Je unaweza kupata kazi nchi za ulaya kama hujui kingeleza tafadhal naomba jibu
Hey, I like to say something for you
You know what let me be quiet America’s not easy
Story umeitoa Kwa dada shena
Ndio
ni umri upi ni kikomo cha kujiunga na jeshi USA
Labda alikua anapiga kazi kwa magumashi,ila kama angekua anafanya kazi kwa kufata sheria nadhani angekua na nguvu ya kum sue huyo mna nigeria
(NILIANGALIA HAYO MAHOJIANO KWA OFFICIA DATE ASSISTANCE *SHENA*)
Good bro kwa darasa hili
Kuna shekhe na mashehena.
Kwakweli 😂
Sasa kiongozi Kama huna visa ya kazi unawezaje kuripoti police wakati unaishi kiharamu? Na vipi mtu akifanya kazi ikiwa Hana mapepa na akapitisha muda wa visa iliyomleta hapo inakuaje!
No yko bro ya WhatsApp
Iyo interview tutayipatqje sasa
@official_dating_assistance Channel hyo pia ipo kwenye upande wa LIVE utaikuta
Sasa apoge 911 wakati Hana kibali Cha kufanya kazi?
Kumbe sio Viongozi na mapolisi tu natamani waone hii content Bali hata Viongozi wa dini nao waone
Viongozi wadini hasa wengi hukatisha ndoto za watu kwakuhutubia mambo wasiyoyajua na watu wanachukua maneno Yao bila kuchuja