TAZAMA MAPOKEZI YA MUIMBAJI ISRAEL MBONYI KUTOKA RWANDA ALIVYOWASILI TANZANIA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 76

  • @Janeth-y5m
    @Janeth-y5m 2 месяца назад +7

    Mungu awabariki sana watanzania kwa kumpokea Israel kwa hemima much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @KameneWambua-j5j
    @KameneWambua-j5j 2 месяца назад +2

    Twawashukuru Sana kwa kumpokea Israel mbonyi Tz,Nami kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tutampokea Live from you tube Israel ulichange maisha yangu kabisa God bless you so much.

  • @gladystinah5928
    @gladystinah5928 2 месяца назад

    Africa twampenda sana Israeli,Mungu naamlinde,amwifadhi kila siku ya maisha yake.Amen
    Much love from Kenya

  • @nathalypontian2674
    @nathalypontian2674 2 месяца назад +8

    Nimefurahi sana Israel Mbonyi kuja Tanzania Mungu awabariki wote mliofanya mipango ya kuja kwake!karibu sana Mtumishi wa Mungu

  • @HappyIdama-n7m
    @HappyIdama-n7m 2 месяца назад +1

    My love rehema simfukwe pia God bless you umependeza

  • @jose-yz1be
    @jose-yz1be 2 месяца назад

    Asanteni wa tzds mungu awabaliki

  • @EutropiaMwacha
    @EutropiaMwacha 2 месяца назад +3

    Ooooooow you are most welcome man of GOD, am sooooo glad for you may the MIGHT GOD bless you a lot

    • @helentwongyeirwe182
      @helentwongyeirwe182 2 месяца назад

      Tanzania has taken this to another level...the hospitality and welcome was so warm. May God use you Israel to touch lives. Hallelujah

  • @essahsaimonmwalwega6097
    @essahsaimonmwalwega6097 2 месяца назад +3

    Hii ndo Tanzania...ukarimu ni wotee...Mungu awabariki sana sana.

  • @stellananyama5724
    @stellananyama5724 2 месяца назад

    When i see this man of God Israeli Mbonyi. I always smile ♥️♥️♥️💪🙌

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md 2 месяца назад +3

    Wakenya mlimkaribisha vipi alipo kuja kwenu???TZ wako na heshima sana yani inapendeza tanzania vile wamemkaribisha aki chukueni maua yenu watanzania woote🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😂

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 2 месяца назад +3

    True worshipper full of God's Favor ❤🌺💯💖🙏 Israel Mbonyi 🙏🙏🌄🌄🌄🌍🌍👑

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 2 месяца назад +5

    Yote kwa yote mkaka handsome boy huyu jmn alafu anamsifuuu Mungu mpaka raha yan ❤

  • @FredrickNicholaus
    @FredrickNicholaus 2 месяца назад

    Karibu sana mtumishi wa Mungu Israel Mbonyi🙏🙏🙏

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 2 месяца назад +5

    Karibu sana Nchi Tanzania tunakupenda.

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 2 месяца назад

    Karibu sana TZ Israel tunakupenda mtumishi

  • @MEUSIANASANGA
    @MEUSIANASANGA 2 месяца назад

    Karibu san my favorite artist from rwanda

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤karibu Tanzania tunakupenda saaaaaaana❤

  • @muhozadidier4542
    @muhozadidier4542 2 месяца назад

    Tanzania ni Inchi yaamani Nawapenda sanaaa, Mungu aendeleye kuwalinda tunawapenda sanaa,
    Uyu unaandika mambo ya ubaguzi, you have to change your mind set if you wanna peace.

  • @nibaclemy431
    @nibaclemy431 2 месяца назад

    Thank you so much our neighbors for treating him like a king , he's a God's messenger 🙏🙏🙏🙏

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 2 месяца назад +3

    Wawoooo welcome Tz brooh ❤️ we loves u so much❤❤

  • @rosematasa
    @rosematasa 2 месяца назад

    Wow warm welcoming ❤❤❤❤❤❤❤❤be blessed safari

  • @dastansimpanzye4019
    @dastansimpanzye4019 2 месяца назад

    God bless you a man of God you'r welcome i

  • @ConsolataEmmanuel-jk3jm
    @ConsolataEmmanuel-jk3jm 2 месяца назад

    Kalibu tnz Israel kalibu san mungu awe nawe

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 месяца назад +5

    Mungu awabariki sana wakristo wote Africa na Dunia nzima❤

  • @angemugisha7056
    @angemugisha7056 2 месяца назад

    🔥🔥🔥 Hallelujah Amen

  • @JumaSatarajr
    @JumaSatarajr 2 месяца назад +3

    Wariyo mupokea Israel muna sitahiri kupewa mauwayenu 🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 2 месяца назад

    Nimefurahi Sana jamn sijui yupo maeneo gan

  • @GodfreyMsangawale
    @GodfreyMsangawale 2 месяца назад +2

    Welcome mbonyi 🎉🎉🎉

  • @consolatablasi6212
    @consolatablasi6212 2 месяца назад +3

    Safiiii anastahili hiyo heshima

  • @uwasesandrine2351
    @uwasesandrine2351 2 месяца назад

    We are proud 🇷🇼🇷🇼

  • @queenkitonka2321
    @queenkitonka2321 2 месяца назад

    Karibu saaaaana mtumishi

  • @mugishajeanclaude2949
    @mugishajeanclaude2949 2 месяца назад

    Mbonye God has lifted you thank you God ❤

  • @marthabruckman5850
    @marthabruckman5850 2 месяца назад

    Karibu ssna Israel
    Barikiwa sana

  • @hezbonmathenyu4760
    @hezbonmathenyu4760 2 месяца назад +2

    Namuobea asiusahao wokovu aenzi sifa za watu na umaarufu, amsahau bwana alien muita.

  • @selinamwasile
    @selinamwasile 2 месяца назад +2

    Wawooooo Israel Mbonyi.

  • @SheilaPendo
    @SheilaPendo 2 месяца назад +4

    Just waiting for him to speak swahili

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 месяца назад

    Karibu mtumishi

  • @richardemmanuel8760
    @richardemmanuel8760 2 месяца назад +1

    Hapo Airport wanaogopa kuimba kwa Sauti wengi wanapaogopa sijui

  • @MikaeliMakonda
    @MikaeliMakonda 2 месяца назад

    Barikiwa sana

  • @JanethKapira
    @JanethKapira 2 месяца назад +1

    Waoww🎉

  • @anjelinayasini
    @anjelinayasini 2 месяца назад +1

    Da nilitamani ni ngekuepo sema ndo naona leo jamani,

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md 2 месяца назад

    Wow nice

  • @timothydabless4006
    @timothydabless4006 2 месяца назад +1

    Eeeeeh guys this' very intresting

  • @olivegwiza
    @olivegwiza 2 месяца назад

    Bless Him🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @AnithaMlay-s2q
    @AnithaMlay-s2q 2 месяца назад

    Itakuwa mliman city kesho,na kesho kutwa itakuwa lidazi ,kesho itakuwa na viingilio ,kesho kutwa sijajua

  • @RamsonsamsonUdoba
    @RamsonsamsonUdoba 2 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤mbonyi

  • @MukadusabeEugenie
    @MukadusabeEugenie 2 месяца назад

    yotekwayote

  • @AdelinaDaudi-u2r
    @AdelinaDaudi-u2r 2 месяца назад +1

    🎉

  • @scolasulle268
    @scolasulle268 2 месяца назад

    karibu sana israel

  • @adisagloria7908
    @adisagloria7908 2 месяца назад +2

    ❤🇰🇪

  • @JoviethGeorge
    @JoviethGeorge 2 месяца назад +1

    🎉❤

  • @RatiphElisha
    @RatiphElisha 2 месяца назад

    Naombeni kujua kaja kuishi au kuimba

  • @YohanaMbizi
    @YohanaMbizi 2 месяца назад

    Itakuwa wp jamani show yake nije na mm

  • @ElieNdagijimana-k6e
    @ElieNdagijimana-k6e 2 месяца назад

    ❤❤

  • @Nimbabazi
    @Nimbabazi 2 месяца назад

    THIS GUY ISRAEL MBONYI HE IS A CONGOLESE MUNYAMULENGE, NOW POPOTE ANAELEKEYA YEYE ANAHAKIKISHA KAMA NI MUNYARWANDA

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 2 месяца назад +1

    Kuja Tz but imba kiswahili

  • @jennipherChristian
    @jennipherChristian 2 месяца назад

    Israel mbonyi karibu sana ila jua huku wachaga wanaaminigi sana wew ni mchaga kisa hilo jina lako la mwisho... Tumewaelewesha lakn wapi

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 месяца назад +1

    Hawa ni Majasusi wa Kagame🇷🇼 wanaojifanya waimbaji. Endeleeni mwisho wee wataanza kufanya kile wanachokifanya DRC🇨🇩 na M23

    • @JolieMunyuea
      @JolieMunyuea 2 месяца назад

      Nduguyangu acheni mambo kama yale

    • @butterflytv-r4p
      @butterflytv-r4p 2 месяца назад

      Hiloo pepo

    • @KabosArafat
      @KabosArafat 2 месяца назад

      Akaribiye t z nduguyangu mbonyi imbahuko t z yalemapepo yatanzanuya
      Wakufe barikiwasana

    • @peterrulagora7403
      @peterrulagora7403 2 месяца назад

      Ilo Jina lako kutoka nchi gani?wewe sio Mtanzania, mwache mgeni wetu

    • @zdrtransporation2808
      @zdrtransporation2808 2 месяца назад

      Wacha ubaguzi ndugu mbonyi ni muimbaji sio mwana siasa

  • @madoudounijimbere8259
    @madoudounijimbere8259 2 месяца назад

  • @schollaschol3948
    @schollaschol3948 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤