HOUSE GIRL EP 18 | S3 | Love Story 💕💞

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 635

  • @ShufaaRashid-s9b
    @ShufaaRashid-s9b 4 месяца назад +166

    Kend unaongeaga utopolo lakini Leo umeongea vitu vyamaana kumshauru masoz asitoe mimba au mna semaje wadau

    • @Baitha-i3c
      @Baitha-i3c 4 месяца назад +3

      Hvi kwelii hyo masoz na utu uzma huo anashawishka na sania kutoa ujauzito😂😂😂 masozi shikamoooo😂😂😂😂

    • @isahnyese6173
      @isahnyese6173 4 месяца назад +1

      @@ShufaaRashid-s9b uko mwishoni uja mskia katuma kuua mama ake na somoi

    • @modestajamada3496
      @modestajamada3496 4 месяца назад

      😅😅😅😅😅

    • @LoveAron
      @LoveAron 4 месяца назад

      Hata mimi leo kanisuprise kutoa ushauri wa maana km huu

    • @LoveAron
      @LoveAron 4 месяца назад

      ​@@Baitha-i3cmaajabu

  • @ZainabuKakozi
    @ZainabuKakozi 4 месяца назад +55

    Tulioona Leo candy kaongea point Kwa sania na masozi kuliko siku zote tujuane😂😂😂

  • @selestinakazuvi7213
    @selestinakazuvi7213 4 месяца назад +12

    Wanachelewesha sana mpaka tunafikia hatua tunasahau tumefikia epsode ya ngapi, tunaomba mtuwaishie kwa kweli kazi nzuri sana❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @celestinekakai1981
    @celestinekakai1981 4 месяца назад +76

    Busatiii,nawependa sana lakini shida mnaona twawafuatilia sana mmeanza kujaza movie mkituchanganya sasa,si House girl,si my mother,si my destiny, mimi hapa sasa sielewi gani ndo gani hadi imechangia kuchelewesha kwa vipindi sasa.Mbona msitumalizie moja halafu nyingine ifate??Ndo tuenjoy pia sisi.Mwengine mwenye anachanganywa kama mimi like sasa aah😂

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 4 месяца назад +14

    Wewe somoe huna roho ya ukatili ila umetumwa lakn usikubali kumfanyia zuu huo ubaya mbona zuuu hana roho mbaya

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 4 месяца назад +34

    Mnachelewesha sana hii movie ama coz mmeona mashabiki ni wengi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 4 месяца назад +16

    Kendi mungu akusamehe sana yaani unafanya vitu vya ajabu sana ubadilike dada na mwenzio sonia kadogo lakni wembe. Masoza sikia ushauri wa kendi usipo sikia tutakuoteza kwa episode ingine

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 4 месяца назад +254

    Busatiii mnaanzaa kuzinguaaa au kwa vileee mnaonaaa tunawafatiliaaaaa sanaaaaa ndo mnaanzaa kucheleweshaaaa movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @veronicahmomanyi
      @veronicahmomanyi 4 месяца назад +6

      Kabisa yaan

    • @FrankLuhaha-dt5sh
      @FrankLuhaha-dt5sh 4 месяца назад +1

      @@veronicahmomanyi wameonaa inafatiliwa sanaaaa

    • @ThomasSabun
      @ThomasSabun 4 месяца назад +3

      Unewachana mwanangu wanazingua

    • @RoseSalvador-f6y
      @RoseSalvador-f6y 4 месяца назад +1

      Wanasifa za kisengee

    • @FrankLuhaha-dt5sh
      @FrankLuhaha-dt5sh 4 месяца назад +2

      @@RoseSalvador-f6y hapo ndo wataanzaa kupotezaa mashabikiii mwanzonii ilikuaaa kwa skuu wanatoaaa vipandee 3 lkn saiviiiiiii hicho kitu hakipooo axaaa wajiandaeee kupotezaa mashabikiii

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 4 месяца назад +155

    Wale tulokuwa tunaichungulia chungulia kila wakat 😂😂😂 tujuane hapa kwa like 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MerryNgowi-kl5vg
      @MerryNgowi-kl5vg 4 месяца назад +1

      Kama mm naweka bando kwa ajili ya house girl wanatuchelewesha had bando limeisha leo leo nimejiunga ndio wanarusha wanaanza kuboa

    • @EllyMsuya-r8t
      @EllyMsuya-r8t 4 месяца назад +2

      Mamb bby

    • @evarkhanaya7891
      @evarkhanaya7891 4 месяца назад +1

      😅😅

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 4 месяца назад +1

      Oyooooo

    • @YusraSiyaleo-yk2fz
      @YusraSiyaleo-yk2fz 4 месяца назад +1

      @@MerryNgowi-kl5vg ucjar

  • @EzekieliBakari
    @EzekieliBakari 4 месяца назад +6

    Yan mnatucheleweshea bado mda mna ufupisha daaah asee mnakeraa sanaa hamjuw

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 4 месяца назад +10

    Kwa kweli candy Leo umenifurahisha kwa nasaha ulo mpa da masozi 🥰🥰nakupenda bure 🎉🎉❤❤hongera sana❤

  • @RoseSalvador-f6y
    @RoseSalvador-f6y 4 месяца назад +10

    Acheni sifa hizo NI sifa mmeona tunatizama Sana movi3 zenu mnajifanya kucherewesha mnatutolea movie lenu la my mother kwa uzuri gani movie mbayaaaaaaa atuipendi alafu mnacherewa kutoa MTU utegemee masaa kibao mnaweka masaa Ayo mmezidi mi nishawatema mnaona sifaaaa watu wanavyosubiri mpaka mioyo inauma alafu mkitoa asubuhi apo tena mpaka Kesho ndio nini sasa

  • @gracemadihi5388
    @gracemadihi5388 4 месяца назад +1

    Hongereni kwa movie hii ya House girl ipo vizuri sanaa nimeipenda, ina mafundisho mazuri. Ingekuwa vzr mngeimalizia movie hii kwanza ndo mlete nyingine. 😊😊

  • @KambaleTemauzenge
    @KambaleTemauzenge 4 месяца назад +14

    Mungu awabariki wote mnaofatilia house girl

  • @VailethVee
    @VailethVee 4 месяца назад +17

    Mmeanza kuboa yn mnatucheleweshea movie sanaaa

  • @phibySeleli
    @phibySeleli 4 месяца назад +13

    RUclips naingiaga kwa ajili ya house girl lkn now mnazingua naingia nakuta holaa jamn angalieni msipotezemashabiki

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 4 месяца назад +8

    Honger kendi kwa kumshaur mam masozi leo kendi kamponda sania🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 4 месяца назад +4

    Kazi nzuri sana nawapenda bure watazamaji wenzangu na busati tv nawapenda bure wa mwisho 🤲🙏🤲🙏

  • @CharlesBarakakiwambe
    @CharlesBarakakiwambe 4 месяца назад +1

    Dada jambazi you are a round character 😮

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 4 месяца назад +8

    Somoe pole imetufundisha jinsi yakufanya maamuzi bila kusukumwa na mtu zuu msamehe tu

  • @FaidhaRamadhani-p6i
    @FaidhaRamadhani-p6i 4 месяца назад +12

    Ila candy kumbe muda mwingine unakuaga na akili zako timamu kabisa😂😂sema unajitoaga ufahamu tu😂😂😂sema leo umeongea point sana kwa masozi chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉😂

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏👏ako vizur

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 4 месяца назад +4

    Honger San batul kwa ulovomjibu kendi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Somoye

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 4 месяца назад +3

    Jaman mnao amin kend anaushaur mzur!! Gonga like hapo!! Toka movie inaanza leo ndo nmempenda kend kwa ushaur wa mimba lakn bado najua yeye n jambaz!!

  • @AnastaziaKimaro
    @AnastaziaKimaro 4 месяца назад +6

    Nmependa uzimiaji wa somoe , moja kwa moja Kwa kilamba mpumbavu mwenzangu....😂😂

  • @addandendya
    @addandendya 4 месяца назад +7

    Ukiangalia vizuri hii muvie utagundua SANIA ndiye gubu wa mambo yote wengine wanapelekwapelekwa tu😅😅😅.

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 4 месяца назад +15

    Bora samoe umejitoa candy mbaka saizi ajui anataka nn inauma sana unapambana kwa ajiri ya mama yako mwisho wa siku anakuacha 😢😢

  • @BisharaMuhammed-e4z
    @BisharaMuhammed-e4z 4 месяца назад +18

    Nd kwanz leo nimuone candy kaongea cha maana masozi masozi masozi nakuita mara tatu

    • @UkhutyNaaBsjs
      @UkhutyNaaBsjs 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂 Mie nampenda 😂😂 chapombe😊

  • @MonicaNathanael
    @MonicaNathanael 4 месяца назад +10

    Leo tunawaambia ukwelii mnacheleweshaa ,yaan huku my mother ,huku nafsi ,huku penz la house girl mututoleage kwa wakati

  • @claudianafulawafula4839
    @claudianafulawafula4839 4 месяца назад +8

    Ghaiii, mara nalia juu ya batuli,, mara sania anaongezana mpka Kwa mganga,,waaaa,, but wapi likes jamani from 🇰🇪🇰🇪

  • @AlineBaby-m5l
    @AlineBaby-m5l 4 месяца назад +6

    Kuwanziya pak muri anza kazi ya hous girl episod 1 seson 1 nawafatikiya kufikish pak ivi alakini nawon ivi muna anza kutulingiy sijuwi nini mutwambiy basi tatizo tujuw musiludiy kutufanyi ayo ❤😂😂🎉🎉

    • @AbelCiza-lm6ic
      @AbelCiza-lm6ic 4 месяца назад

      Wanaanza kutuchelewesha tutawaacha

  • @MwanakomboAli-p5e
    @MwanakomboAli-p5e 4 месяца назад +6

    Kutenda kosa sio kosa kurudia kosa ndio kosa😢msameni somoe na kilamba hawe mke wake pia😊

    • @Linetmokogoti
      @Linetmokogoti 4 месяца назад

      Awe make wake na kilamba ako nabibi wake😅😅

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 4 месяца назад +27

    Mwenye ana penda bibi zuu mukono juu😂🎉🎉🎉

  • @EricMakanisa
    @EricMakanisa 4 месяца назад +7

    Candy mwisho wa movie ataishiya pabaya kabisa ma problem ni mengi kwake

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 4 месяца назад +5

    Jaman BUSAT mbona hivyo Kila mda tunachungulia lkn Bado jitahidin mrushe japo 2 basi SI mwaona inaishia pazur aaah. Waotia mkazo iwe hivi tujuane🎉🎉🎉🎉😂

  • @Brother-moses2vs7bi1v
    @Brother-moses2vs7bi1v 4 месяца назад +12

    Tunazielewa changamoto za kazi lakin this time is too much ama n kwa vile BATULI yuko kwenye movie na n noksi,,,,,!!!

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 4 месяца назад +5

    Pole somoye kwa msiba kendi amwhamia kwa mam ako pole Yan kendi Ana roho Hana utofaut na shetami

  • @FedrickMalinga
    @FedrickMalinga 4 месяца назад +4

    Shda nini mambo yamebadilika tofauti na mwanzo mnachelewesha mno ila nawakubaliii

  • @AlineBaby-m5l
    @AlineBaby-m5l 4 месяца назад +10

    Kazi zote munafany mimi iyi hous girl ndo imenifurahish san ten imenifundish kiwukwer siku mutasem kam hous girl ime fik kwamwisho nita umiya san 😂🎉

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 4 месяца назад +5

    Yani masuzi kubwa jinga kweli yani ywakubali ushauri wa sania😂😂😂😊😊😊

  • @ShazzLizz
    @ShazzLizz 4 месяца назад +38

    Mimi tangu nianze kufatilia mjawai nipa ata likes jamani

    • @AjaxSospeter
      @AjaxSospeter 3 месяца назад

      Tukupe like movie ni Yako Acha ushamba

  • @busatitv
    @busatitv  4 месяца назад +9

    MKWE EP 01 👇👇
    ruclips.net/video/vMfNaiDFQMc/видео.htmlsi=ZSVMzqT6IBadQK5D

    • @jamesmboneko2952
      @jamesmboneko2952 4 месяца назад +1

      Mmeshaanza Kutuchanganya sasa. Malizeni kwanza HOUSE GIRL

  • @mumfaraji5034
    @mumfaraji5034 4 месяца назад +8

    Safi sana Batuli@Somoe kwa kumkatali Candy,ila pole pia kwa yaliokukuta😢

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 4 месяца назад +5

    Busati TV Mbona Mwatunyamazia Sana Kimya Kweli Kama Kuna Tatizo Bs Tuambieni Nasi Tujue. Hila Ongereni Sana Kwa Movie Zenu

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 4 месяца назад +6

    Busati mtanatuchosha kwanini kama kunatatizo co mnatujulisha kulikomnanyamaza kimya hatujui lolote co powa hivo....

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 4 месяца назад +1

    Batuli mwisho wawubaya niayibu zoo, kayi nyinyi nuwatu wema mumusame mudili nakendi nasania ❤❤❤❤

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 4 месяца назад +2

    Mungu hamtupi mja wake, kend sikuyako moja tuu mm ntakuroga mwenyew mbwa wewe roho mbaya kama hautakufa kenge ww😂😂😂

  • @VianeChaula
    @VianeChaula Месяц назад +1

    Sania mpumzishe uyo mganga au ksa ulilala nae ND mana unapenda kupeleka kwato zakoo

  • @HassanatOmar
    @HassanatOmar 4 месяца назад +3

    Lkn somoe leo action ya pale unazimia nimeipenda

  • @IyshaSaidi
    @IyshaSaidi 4 месяца назад +1

    Mnazingua jaman au mpo kwnye my mother basi malizenu moja Kwanza mshika mawili moja humponyoka house girl naona inawaponyoka

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 4 месяца назад +2

    Nazingua sana mkiwa na matatizo toeni taarifa kwa mashabiki zenu tuwe tunajuwa km munashida 🎉🎉🎉😢

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 4 месяца назад +1

    Much love from Kenya ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😮😢😢😢

  • @BeatriceMvaty
    @BeatriceMvaty 4 месяца назад +1

    Tunanuna lakin kakitok kamuv tunaangalia jmn busati msitufanyie hivy😮😮

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 4 месяца назад +3

    Kilamba umenifurahisha sana,,umeonyesha ukali kwa Somoe hadi raha,,,,,na candy mdogo wangu hiyo roho angalia isije kuwa kweli unayo,,,,pole somoe kumpoteza mama ako,,,,,ila tu roho mbaya haijengi

  • @WardaSuleimn
    @WardaSuleimn 4 месяца назад +9

    Busati mnazingua sas tunasubil mbk hamu inaishA kweli haki jmn

  • @AliMwero-x8g
    @AliMwero-x8g 4 месяца назад +7

    Siku hizi matutoa utamu wahi Hase girl kabisa munachelewesha sana malizeni hi ndio muende Kwa my mother

  • @RachelJoseph-dy2jh
    @RachelJoseph-dy2jh 4 месяца назад +5

    Mmeanza kuzingua kama vipi malizeni movie ila nimecheka sana kuzimia kwa somoe🤣🤣🤣🤣

  • @SarahGeorge-e6t
    @SarahGeorge-e6t 4 месяца назад +1

    Mmeanza kuzingua..mnachelewesha kurusha movi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @12omochildren
    @12omochildren 4 месяца назад +2

    Leo nayo candy ashatumia akili zake jamani❤❤🎉🎉

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 4 месяца назад +3

    Kendy leo umeongea maneno yabusara cn kumuambia masozi hila masosi mbumbumbu kichwani hamna.x2 hila kendy mwisho kaniudhi kumuuwa mama wa somoe

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 4 месяца назад +1

    Nice movie ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LovenessLucas-r2x
    @LovenessLucas-r2x 3 месяца назад +2

    Toeni movie moja acheni sifa house girl na my mother inatosha hizo zingine za nini sasa kama sio sifa

  • @JustinNyadzi
    @JustinNyadzi 4 месяца назад +1

    Mmeanza maringo nyie Busati tutawaachia kimovie chenu mkiangalie wenyewe

  • @SophyNestor
    @SophyNestor 4 месяца назад +3

    Kwel mnazingua kinoma yote Kwa sababu tumekuwa wafutiliaji wazur

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 4 месяца назад +1

    Kumbukumbu zina haribu utamu wa hii movie

  • @asiabakari584
    @asiabakari584 4 месяца назад +1

    Busatii mnatuzingua sasa bhn .

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 4 месяца назад +1

    Niliwah kuwaza Hilo somoe hawez muuwa zuu, Na wanaoamini da masoz kitamkuta kitu mimba haitatoka tujuane hapa🎉🎉🎉🎉

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 4 месяца назад +2

    Honger Busat tv

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 4 месяца назад +11

    Haya mi wa kwanza Leo ngoja nione

  • @GianMwangomale
    @GianMwangomale 4 месяца назад +2

    Ila kendiii mapenz yatakuuuaa😅😅

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 4 месяца назад +2

    Naomba hukitowa hio mimba hufaa mufuu

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 месяца назад +5

    Ww hapo tumepgwa watu wanazimiaga hvy, Batuli

  • @magretmataka
    @magretmataka 4 месяца назад +11

    Mmeanza kutuchosha jaman mbona mnakaa kimy utapoteza mashabiki

  • @Hadija-o5b
    @Hadija-o5b 4 месяца назад +70

    Wale walinielewa comment niliosema namuona batuli atakavyo msaliti kend mnipe like zangu

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 4 месяца назад +1

    Nice one

  • @NimrodLuti
    @NimrodLuti 4 месяца назад +2

    Adi mm sjapenda walai mnakawia

  • @MiriamSamita
    @MiriamSamita 4 месяца назад +3

    Nakushukuru san batuli kukataa mpango wa candy😂😂

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 4 месяца назад +12

    Wapili leo achen masihara team hamamu oman,Qatar,Saudi,dubai,Iraq, nawaombea murud nyumban salam 🎉🎉

  • @NdarusanzeLeonidas
    @NdarusanzeLeonidas 4 месяца назад +1

    Kwa kweli tunashukuru sanaaaaaa ira munadukawiza paka presha zinamuka

  • @dativapeter6700
    @dativapeter6700 4 месяца назад +9

    Cjawahi kucoment ila hilo anguko la batuli limeniacha hoi😂😂😂😂

  • @mugenganadavid4914
    @mugenganadavid4914 4 месяца назад +3

    Busati tv , nawaombeya Barak za mungu
    Arakini nataka kujua hii ni episode 18 or 17

  • @زينه-ل4ح
    @زينه-ل4ح 4 месяца назад

    Somoy unapat malip mabaya kabsa nakudagaywa na kediy

  • @SimaoErnestoJoao
    @SimaoErnestoJoao 4 месяца назад +12

    Niwakwaza ku toka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Naomba like ata 10

  • @AshaDickson
    @AshaDickson 4 месяца назад +4

    Asante somoe kwa maamuzi mazuri

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v 4 месяца назад +1

    Next plz ❤❤❤❤❤

  • @AryonWambui
    @AryonWambui 4 месяца назад +1

    Batuli umecheza vizuri hapo kwa kuomba msamaha hadi nalia kabisa umeningusa kabisa😢😢😢💔 waah lkn candy atafaulu kumua batuli

  • @AsmaKhamis-y8r
    @AsmaKhamis-y8r 4 месяца назад +6

    Na mm jamn naomba like japo moja t🎉

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 4 месяца назад +3

    Candy nahio migu yako yamtege utakuja ujutie sikuyako yipowesu biri

  • @SarahCharls
    @SarahCharls 4 месяца назад

    Yaan kilamba nakupenda Sana kwenye ep. Nispokuona si enjoy ❤❤❤

  • @OfficialZuli-ve5kh
    @OfficialZuli-ve5kh 4 месяца назад +5

    ❤❤❤❤❤

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 4 месяца назад

    Nimerud tena yani mnachelewa kisha mda mnapunguza 😮😮😮😢 😡🙄😕😏

  • @mauamshindo2558
    @mauamshindo2558 4 месяца назад +2

    Tulisubiri jaman🙌❤

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 4 месяца назад

    Congratulations for good work 👏

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 4 месяца назад +6

    Nzuri sanaa kinachofataaaa

  • @AnnKimani-g8q
    @AnnKimani-g8q 4 месяца назад +3

    Mnatuweka sana ....hadi inaboooo😢😢😢

  • @AtiAlsarsi
    @AtiAlsarsi 4 месяца назад

    Weeeee kali hii sana kia naenbavu na weee kazi ipo kweli eti weeee 😮😮😮😮😮

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 4 месяца назад +2

    Kazinizuri sana mungu awahinuwe juzahid

  • @MonkeyDLuffy-p4g
    @MonkeyDLuffy-p4g 4 месяца назад +3

    Cendicks na sonia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpumbavu mwenzangu unanimaliza

  • @Nadzuwamangale
    @Nadzuwamangale 4 месяца назад

    Happy birthday 🎉🎉🥳🥳 mpambavu mwenzetu uwe na maisha marefu

  • @zawadikimaro4087
    @zawadikimaro4087 4 месяца назад +1

    Nimefurahi Sana yaani zuri angekua siangalii Tena.

  • @ShufaaUbwa
    @ShufaaUbwa 3 месяца назад

    Nampongeza kendi kwa jambo moja tu amekuwa na akili kwa kuwashauli masozi na sania wasitoe mimba hapa nimemuona wa wamaana sana au munasemaje jamn