Zuchu Ft Diamond Platnumz - Litawachoma (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Get #Litawachoma Now 👇🏼
zuchu.lnk.to/l...
Get It On SKIZA
SMS SKIZA 5800549 to 811
Video Shot By Director Kenny Under Zoom Extra
Contacts: +255718546547 | directorkeny1@gmail.com
Song Produced By Mr LG & Lizer Classic
For Bookings:
Contacts -- zuchu@wcbwasafi.com
Connect With Zuchu On:
Instagram: / officialzuchu
Facebook: / officialzuchu
Twitter: / officialzuchu
#Zuchu #diamondplatnumz #litawachoma
Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.
Kama kawaida Kibanio tumempa siku tatu zinamtosha 😀😃 ngoja tumrudishe aliko kuwa #WCB4LIFE wanangu wa wcb GONGA LIKE ZENU HAPA
Banger♨♨
WAP team mond tuliokuja kuizimaa MEDIOCRE na chuki zakeeeeee
WASAFI FOREVER
Tanzania kuna talent kubwa sana diamond ashangwazwa na uwezo wa huyu jamaa 👉👉 ruclips.net/video/RPsovDOrntM/видео.html
More than fire 🔥🔥🔥🔥Zuchu anakua Star Kwa mdaa mfupi
Tem mond tupo na litawachoma sana
@@benjatz5598 sana
Nani anona diamond wa hapo awali anarudi polepole. .... I totally missed this lips denda..... Zuchu keep doing you.... Love from 254.
Litawachoma on repeat...500k views by midnight
kazi nzul san
Let's do it 1m midnight
Kumbe mnajua kuwa kachoka hayupo kama zamani hahahaha dah asante sana King Kiba kiboko yenu
@@ramadhanikibenga6317 kumbe na haters mpo huku 😝😝
Namkubal sana simbaaaa
Hapo ndipo nilijua Simba kanyakua kidosho cha kipemba.. Zuchu huyo ❤🔥
😂😂😂😂😂 Simba mla nini?
😂😂😂
@@Albert-un8egZuchu 😂😂
@@RehemaKatana-m6lyangu kwisha 😂
Kwa mziki huu...naamini" afrika na tanzania🇹🇿🇹🇿 ni zamu yetu" wazungu kwisha habari yao...let's go guys
Tanzania kuna talent kubwa sana diamond ashangwazwa na uwezo wa huyu jamaa 👉👉 ruclips.net/video/RPsovDOrntM/видео.html
NIKWELI ......
AFRIKA lazima tupende vya kwetu si kila siku tunawabeba wazungu na badae wanatubeza Hali ya kua sisi tunachangia katika kuwapandisha ,tuzidi kuwawezesha zaidi WASANII wetu wafike mbali ata sisi @kim Swahili tulibaki Afrika , Kama ungependa kufahamu tunafanya Nini bofya hapa 👇 ruclips.net/channel/UCxISCYtx0kbF7wR2QUrpRwQ
.
.
UBAKI NA WAKATI KWEMA
Kwanza ZUCHU saluti kwa ngoma yako tumu, all my congrats. MONDI ni KAMATI kuu kweli,Kila anaye mkubali DIAMOND PLATNUMZ kuwa yeye KAMATI KUU kwa mziki wa bongo, dondosha like yako hapo chini.
KING wa mziki, siyo wa bongo tu ila East Africa nzima na AFRICA yote ki ujumla.
na wependa sana wcb kwa ujumlaa pia na nyimbo ya seeo diamond platnumz na mukubali sana tena sana
Itoshe kusema kwamba Zuchu ni Queen 👑 of Bongo flavor until further notice.
Tanzania kuna talent kubwa sana diamond ashangwazwa na uwezo wa huyu jamaa 👉👉 ruclips.net/video/RPsovDOrntM/видео.html
😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃
I’m a Nigerian i don’t Understand Swahili but Zuchu Songs Dominates my playlists And Always on Replay, i love her lovely Voice One Love ❤️ Tanzania 🇹🇿 And Nigeria 🇳🇬
Kama unamkubali Queen Zuchu na 🦁
Waliojaribu kufuta wimbo wa zuchu wako huku wanalia tazama link hapa chini ruclips.net/video/iNbBJIzMm78/видео.html
Mtoto anajua hadi anaboa😹😹😹
Dah jaman nmechelewa naomben hata like 10 tu! Kisha turudie kuangalia ngoma mara nying iwezavyo il tukimbzane na ile fisi ilyotutoa kwenye 1 on trending
ruclips.net/video/9TGzVEx0eqE/видео.html❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Like unaomba za nn sasa nijibu n hela unaingiza au🤔
hauna haja ya kutukana,
Hivi hakuna namba kubwa kuliko 1 kwenye hizi trending, tuipeleke hii ngoma dadeeki,,nikipata hata kalike kamoja tu,,,,,LITAWACHOMA SANAAAA,,,,
Ipo sufuri ndio namba kubwa tuipelekeni hadi kwa sufuri😀😀
Na izo copy zote kamu copy mu mexico wawatu creativity zake jiangalilie mwenyewe iyi video alioi xopy njo mupunguze mbwe mbwe👉👉ruclips.net/video/y9abq45Wz-c/видео.html
ruclips.net/video/mVyztZXPFCQ/видео.html
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ruclips.net/video/kYqwzEktA8E/видео.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Kimsingi RUclips inabidi waweke Namba 1+ iwepo
Waliorudia kusikiliza hinyimbo sasababu ya zuchu kupendana na diamond 💎 tujuwane Kwa like zenu wadhau🥰🥰🥰🥰🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇹🇿🇹🇿
❤️❤️
wameachana sasa
Mm apa jaman
Jameni huyu diamond sio mtu wa kawaida is the greater artist in Africa and whole world like to simbaaaa
Nimejaribu kukaa kimyaaaaaaaa weee lakini Leo acha niseme DIAMOND PLATNUMS we ni balaaa
Nampenda Sana zuchu
Dah walahh nabatwaaa uchungu mie
KENYAAAAAAA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 GONGA LIKES KAMA NI MKENYA
Tanzania kuna talent kubwa sana diamond ashangwazwa na uwezo wa huyu jamaa 👉👉 ruclips.net/video/RPsovDOrntM/видео.html
I am just so happy this music exists. God is great 💚 Zuchu❤
Diamond you are the real GOAT 🐐 sio wengine wanajieka majina hayawafai hahaha....! Akina kibaka(AliKiba) 😅😅😅
WCB for life isay...Much love from Kenya
Hahaaaaa wewe bahati yako hupo kenya, ungekuwa bongo kamati ya roho mbaya ingekusakaaa hahaaa, wamkera Alikibakaaa hahaaa your funny
ruclips.net/video/0qgZuP-mLpU/видео.html
Aya sasa kaka kibaka tupishe pale namba moja trending.💥💥 THIS IZ WASAFI BANA hatuezi lala njaa akati tuna duka la nafaka 😁😁😁
😁😁😁😁
Sikutegeme hii video itakuwa hivi nilijua ndembendembe zingehusika ila duuh imekuwa ki culture zaidi ,, Litawachoma kweli 😍😍😍😍😍
Zuchu!!!! One of the fastest growing female artists in East Africa....all the best in your music career....
Gonga like if you support this rare diamond of East Africa called Zuchu!!!....sauti ya kumtoa nyoka pangoni!!!!!!
💝💝💝💝💝love you Zuchu
Zuchu sauti nyororo😍
Diamond🦁🦁🦁🦁
Gonga like hapo👇👇
Sasaiv icho kinyimbo cha alikiba sikipo no.1 on trending kinashushwa na hii nyimbo Kama uamin subir uone ..afu ikumbukwe team kiba wote machoko kizaz Sana team mond nakubal miaka buku ✌️✌️
ruclips.net/video/Yq4YfGzoqQg/видео.html..
Video imeweza sana! Lakini kama kweli Diamond anaheshimu huyu mrembo Zuchu asijaribu kumwoa au kumpa mtoto! Zuchu kweli ni Lioness of East Africa.
Hana haki ya kupendwa...ama yy hana haki ya kumpenda huyo boss wake issue ya mapenzi ni maamuzi mtu mwenyewe
@@damianlucas5345 Fact
Naona mwakauu zuchu kawaburuza sana
Aweza mpenda akataka kumuoa Kwani ni vibaya?
They much together ❤️❤️💕
I love you, Diamond Platinum. I am Sudanese. They say we must be Arabs. I say, No, we Africans. Sudan is an African country.
Why u must be arab coz u speak Arabic?
bruh you guys if it's South Sudan it's okay but Sudan Nah bruh you guys like to separate yourself from us, persecute our Christians South Sudan brothers and you don't like your girls marrying outside Arabs its Disgusting
You're an African %100
I so much want to visit Sudan some day love from GH 🇬🇭
ruclips.net/channel/UC49pO8VlslYsjEkDQAAzSng
Jumeirah 🇦🇪🇦🇪ni Cheche kwa sauti tuuu.
@Smilewith Lyz, Deira
City walk
Kenyans show your love for the queen and the CEO mr diamond
ruclips.net/video/0qgZuP-mLpU/видео.html
Tanzania 🇹🇿 na kenya 🇰🇪 unamkubali mondi acha like hapa💉
Eeh!!sauti nyororo !!zuchu waniteza kiroho!!litanichoma tu
From Kenya!! Wapi likes za Simba jameni?? SIMBA NI MOTO KAMA PASI!!!!
Zuchuuuuuu ww ni noumaaaa sasa tupo no 1 piga keleeeeee Kwa wcb ❤❤❤❤
Ahhaaa kweli jamani 😂😂😂👌
Weeeeweee
Na usiku nikumbate.... Ning'ateng'ate... nikizidi ugomvi unichape, silaha rungu...eeeish😍😍😍
East African beat gonna kill me. Sénégal 🇸🇳 loves you
Zuchu wangu Tuipeperushe bendera tu, Kuna siku Africa Itakuelewa na Dunia kwa ujumla
Kwa kweli kamati ya roho chafu rounding hii lazima watoe jasho la nywele........da song is 👌👌👌🔥🔥🔥🔥
Wacheni roho mbaya zenyu hizo piga like apa ya wema,zari, tanasha,hamisa na ya shemeji mtarajiwa MIMI MAAAARRRRRRRS
Haha kweli Zuchu shemeji mtarajiwa
Tanzania kuna talent kubwa sana diamond ashangwazwa na uwezo wa huyu jamaa 👉👉 ruclips.net/video/RPsovDOrntM/видео.html
Yaaani kaogelea juzi keshaitwa shemeji😂😂😂😂😂Acha bas watimbwili ngoja nisiwe mnafiki
@@denilsonmecha8823 hahhaa ikifanyika nahama wasafi. Zuchu Ni dada yetu
@@daimonjuma9227 kitu chakushangaza mondi nirinda tu zingine sufuri
Now that they are lovers, every word of the song makes sense...2024
Truee
Piga kelele kwa simba na zuchu akeeee weuweeeeeeeee NA LITAWACHOMA SANA TIMU WCB mambo ni 🔥🔥🔥
Jaman mpk unahisi uko peponi siyo kwa wimbo huu
ruclips.net/video/0qgZuP-mLpU/видео.html
Shikamoo zuchu masaa 11 tu yamekutosha kumkalisha kiba🔥🔥🔥
Uyu zuchu fara tuh sisi tunamuangalia simbaaaaaaaaa
😂😂😂😂😂😂😘n shida
Uwooo utopolooo
Eti anamshusu
Zuchu tunakupenda in 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Such Overflowing Creative settings /costumes/decor, Omg… and Beautiful song !!🎈🔥🔥🔥
Nilifikiri mimi ndo wa kwanza kumbe watu wahisha hamuka. Amulali!!? Tuashane naiyo tujuwane walio kuwa tuna subiri hi kwahamu!?😳😳🙈🥰🥰🥰🥰🤪
ruclips.net/video/g9spgkHS2bs/видео.html
Waliojaribu kufuta wimbo wa zuchu wako huku wanalia tazama link hapa chini ruclips.net/video/iNbBJIzMm78/видео.html
Acha tu watu wapo haraka kinoma
Hii kitu nilikuw nausubil kwa hamu
😀😀😀
Oyoooooooo
Amkeniiiiiii
No .1 trending wiki mbili😃😄😍
Kwelii🙄
Nakubali
Kweli subiri nikaakikishe
Machoooo sana😻😻😻😻😻😻
ruclips.net/video/8sSfKBrPsbU/видео.html
Wangapi tumerudia hii video kuhakikisha tumefika 1m 🙏🙏🙏🙏
Me👆hii ni mara yangu ya sita kuiwatch.... 1million lazima by kesho jioni... #LIWACHOME😏
@@sylviawanjiku3841 nakwambia hakuna kulala wcb 4 life ♥
@@carolshiru4374 kwanz mpk sasa 1 trending yetu tayaryy
Nc zuchu
@@edgarrutahindurwa3867 😍😍😍😍waooo na bado tutachukua number 123
Sorry, but I fall in love every day, when I listen an watch Zuchu mizic art. Zuchu s voice is a firework to our planet. yeaaah 😎
Tume uwa wcb 4 live.......,🔥🔥🔥Kama una kubali ngoma gonga like
Tunaosubiria hii nyimbo iwe no I trending tujuane
Ishakuwa tayari
nakukubali
Diamond might be the best upcoming artist promoter in Africa and the world 🙏🙏🙏 he gives in more efforts!!!! If you are agree with me Pliz like this 🙏🙏🙏🙏
Absolutely pal👌💞🙌🇹🇿
Sure
I agree
ruclips.net/video/8sSfKBrPsbU/видео.html
The way I love this song my God,the only thing I want to know is the meaning of the song,zuchu and diamond you guys are really blessed with pure voice from Almighty God,much love from south Sudan 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Zuchu is making a legend now.... I can't imagine how will she be in 5 years to come.
Nichome nichomeke baby 😍
Zuchu is like a Covid19 conqueror👌😂😂😂💥🙌💞👑
@@musicapprentice6682 🤣🤣
Jamani eeeh WCB tujipongeze hapa kwa likes nyingi Mana sisi hatushindwi kitu😀😀😀👍🏼#WCB4LIFE
Diamond you make Africa look beutiful....They 's no one like you....may God continue expanding more of your teritories.....so that you can always give to the world the best.Thanks
Very nice Simba tunakubali Sana kazi zako
Best song I always like listening too every time I am online. .huyu mrembo katuteka na sauti ...sauti yaweza toa nyoka pangoni...keep it Zuchu+Simba...hapa Kenya twawapenda sana
He is not an American or a Chinese, he is a boy we are proud of and he is the first artist in the world to have diamond platnums. of diamond platnums i really support diamond__platnums__lion __zimba🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁👄❤💘❤💘❤❤
One love all africa🇸🇴🇹🇿🇺🇬🇬🇭🇰🇪🇳🇬
One love
@@chaenyolsuho5007 ❤baba lao
ruclips.net/video/0qgZuP-mLpU/видео.html
So nice zuchu
Moja ya Director Kenny. This guy is doooooooope.
Am here to remind you guys that diamond platnumz and Zuchu are artist's from Tanzania.
😂😂😂😂😂louder even if am a Kenyan shout they come from EA
Hii Ngoma ni moto! Dai na Zuchu mmetisha, yaani ninyi ni wakali balaa!
Tayari asha mshusha mtu pale juu like kwa zuchu
Pamoja na uzee wake
Af hajali Wala nn
Bado lakin mapambano yanaendelea mpaka tufike walau m 1
Amini kwamba wcb 4 life
ruclips.net/video/OL-6JDz1tvY/видео.html
*Like yangu nampa director Kenny,.,no one can imitate him. Clean job* 🔥🔥
🔥🔥🔥🔥💯
Diamond now ni mtu wa vitendo na sio maneno km unakubaliana na Mimi gonga like twende saw
Yote kwaher yote hili song ni 🔥🔥🔥🔥
Dole juu nyimbo ni poa zuchu keep it up darlin
ruclips.net/video/0qgZuP-mLpU/видео.html
Actually this people are hardworking,,,since even when their president died they had something to represent of their prezo ,,, what of Kenya
@@jacintabolle1190 pp. ppppp
Kumbe mkiimba huu wimbo mlikuwa tayari wapenzi.....
😂😂😂waonyesha walianza 2020 hawa😂😂😂
signing zuchu in wasafi was a good decision.this girl is fire.wenye wivu mjinyonge tu.hapa hamna nafasi.
Diamond Platinuz hongera kaka! Umetoka mbali na sanaa ya mziki. Nakumbuka mwaka wa 2010 nikitazama video ya wimbo wako wa Mbagala kwa mara ya kwanza. Isitoshe, hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kukujua kama mwimbaji wa Bongo. Nakumbuka nikiwajulisha wenzagu, 'Sijawahi sikia mziki mzuri kama huu. Huyu msanii ataenda mbali.' Kadri miaka ilivyopita ndivyo ulivyozidi kuimarika jinsi nilivyotaabiri! Ukiacha mziki leo, sitalalamika maanake ushafika kimo!
Kweli my wt wanaangagania et free mason uyu jamaa anajua mzik na juhudi zake ndio zilizo mfikisha hp n mzki uko kweny damu na mond anajua kuish na wt wa ain mbali mbali pig up brother 🦍🦍🦍🦍💯💯💯💯❤️❤️❤️🙏🙏🙏💪💪💪💪
Bonge la wimbo gusa linki kutazama ruclips.net/video/HetRMq2gOY8/видео.html
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ruclips.net/video/kYqwzEktA8E/видео.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Mungu azidi kumpa uzima
Duh hongera sn brother diamond na zuchu Yan kiufup wcb nawapenda wote kwakwel
... Wabongo bhana mnapenda Likes sana Embu nipeni na mimi nione nn kitatokea ... maana kila mtu like like 😅
Très belle voix un nouveau grand fane depuis la France d’origine ivoirienne 🇨🇮🇨🇮
Aya ambao tumerudia rudia kuangalia like zimwagike mpaka trending
No 1..kiba kuleeeee alalamike vzrrrr
@@zenamadhan2517 Si tutaka burudani co ngonjera mxiew
ruclips.net/video/7DKrs8NXrRc/видео.html
Mwambienni kibakuli ajipange tunachukua nafasi yetu ya kwanza hahhhhhhh🔥🔥🔥🔥🔥
Tayary nafac ye2 tumeisha chukuwa tayary
@@edgarrutahindurwa3867 sinimewambia anajiita king lkn leo atakua queen
Litawachoma #01
@@princeopins1944 sana
POOR DRESSING CODE LIKE 20 YEARS BACK NOW BELIEVE MEDIOCRE
Kama unaamini ndani ya 1 day tunagonga 1mil. Views weka like hapo.
ruclips.net/video/0qgZuP-mLpU/видео.html
ruclips.net/video/5oy-0WeHGqk/видео.html
Tutafikisha hiyo hesabu
Nyimbo tamu hiyo mbona mmejua kutukomeshaaaa
Nmecomment niweke ukumbusho🤣
Nakuelewa sana, maliza na Ile maana ni tamu sana
WCB Sisi Hatushindwi na Jambo haya tufanye kuview na #CHECHE pia ili ipande namba 2...King Ukwaju namba 2 pia haimfai!!!!
Dah eehbhaaee
ruclips.net/video/RUc22bKeXU8/видео.html
ruclips.net/video/RUc22bKeXU8/видео.html
@@jumamagaya945 ruclips.net/video/RUc22bKeXU8/видео.html juma salute
ruclips.net/video/8sSfKBrPsbU/видео.html
Hapo ata KURA ZA WAJUMBE wanakupa JIMBO UMESHAPATA keep it up mwanadada. All is good you make it
Waooo
Wahuuue tutawanyoosha na scandal zetu hadi mkome natutawakera Sana mwaka huku wcb for life
🤔
Wanaume was siku izi full kujishebedua michambo Kama yote
Hahahahaa kaka hatari....
Kwelii hii ni familia ya burudaniii....
Anakwambia akizidi ugomvi amchapeeee
ruclips.net/video/8sSfKBrPsbU/видео.html
Hakika dada zuchu unaweza music endelea kujituma utafika mbali sana ukizingatia mkuu wako wakazi diamond nimtu wakazi kwerikweri.
Team Diamond wapi likes. Litawachoma 🔥🔥🔥
ruclips.net/video/g9spgkHS2bs/видео.html
Waliojaribu kufuta wimbo wa zuchu wako huku wanalia tazama link hapa chini ruclips.net/video/iNbBJIzMm78/видео.html
🎶Nikizidi Ugomvi Unichape Silaha RUNGU🎶 this is deep 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
tumia smart yako kumake money na DUKAKUU PESA
www.dukakuu.com
Dvdsdf
Everything is good in this video team simba muko wapi piga kelekele kwa simba yake na zuchu wata weza kweli awa kuchindana na simba nawapenda bure congratulations 🎈 for the good song kama wamukubali simba na zuchu like here and comment 🙏❤️🎈💋💋💘
Nani amerudi hapa Sept 2024❤❤
Mm apa
🔥🔥🔥🔥ZUCHU NI SIMBA JIKE - KATAA KUBALI. MAKALI YAKE YANAKATAA MPAKA ROHONI💘💘. 254 KURA ZETU ZA ZUCHU.
Wewe simba dume jike
Wakenya Jamani Kama mwampenda UA ZUCHU❤❤❤❤❣❣❣❣ nipeeni likes jameni.....Mi ni mkenya na daima ntapenda zuchu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🥺
Tanzania kuna talent kubwa sana diamond ashangwazwa na uwezo wa huyu jamaa 👉👉 ruclips.net/video/RPsovDOrntM/видео.html
Pia tusapotiane si wenye kama wewe pia mkenya tuliokutana tz kwa zuchu na mondi, naombeni sapoti zenyu apa jamani huu apa wimbo wangu nikualike kuutazama usiache ku like, comment 👉👉👉ruclips.net/video/y9abq45Wz-c/видео.html
Mimi sitaacha
Litawachoma Sana Kama umerudia kuitazama NGOMA hii weka like yako twende trending 💪💪
ruclips.net/video/Yq4YfGzoqQg/видео.html...
I can't stop watching this, ,,linachoma sanaaa simba simba simbaaaa
Wanao kuonea wivu waambie litawachoma cnaaa😊😊
This song never gets old❤, wapi likes za zuchu?
We are here much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
To everyone who is reading this may God bless you exceedingly and abudantly!
🙏Amen
Amen
Ameeen
Ameen
Amen 🙏🏽
GRAMMY AWARDS WANATUJUA NOW 🔥🔥🔥 #LITAWACHOMA SANAAA 🦁👑🐐
🦁🦁🦁🔥🔥
Zuchu we nikiboko yao
@@angelhekima3700 Tena Yajayo Yanafurahisha
ruclips.net/video/9TGzVEx0eqE/видео.html❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Surely wametisha Sir twataka burudani ka hiziii...mengine ya kwao
I felt in love.... The colors, the language, the chemistry... I really felt in love. Can't stop listening to it.
Daaaa kwer we baba lao zuchu kipaji chake kimepanda
@@tatuomary6624 yaani we acha tu, wacha tu waandamane tu, simba yuko vizuri,
hatl xana ulimwengu huu
Hii nyimbo im hit sana ,nimeahimpenda ,kwa sababu mapenzi ya mwanamke ni tamu kama peremende Kwa mdomo,🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤟🤟🤟🤟
Kenyans walio Saudia gonga like kama mwakubali hii ngoma mm ni mmoja Nisha gonga🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪
Niko Dubai tuko pamoja
No one like Simba chibu dangote Kama umeelewa ngoma hii dondosha like yako apa
Jamaniii zuchu ni another level,,
Guyz hii Wasafi ni balaaaa,,,,
Huyu mtoto yuko na SAUTI kinanda...Go..go..goo..ZUCHU.
This gal is on fireeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nandy hapa una kazi daaaaaah
Hahaaaa
Auto tunes..nerd
Wewe Nandy hatenguliwi bado yupo on top
@@lillyamonofficial9466 wacha tuone
@@bunny_dailylife oky
Big love from Kenya
Likes za Zuchu na Simba 😋
ruclips.net/video/Yq4YfGzoqQg/видео.html.
ruclips.net/video/9TGzVEx0eqE/видео.html❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
goodaaa
# 1 0N Trending, kweli Bora tukubali kwamba Wcb4life 🔥🇹🇿🌎🌎🌎🌎🌎🇹🇿💓💓💓💓💓
Yule Malaya apost kuwa kibamia katolewa namba moja Mana alipost kiba alivyokamata on trening yule Malaya diva
Nilikua nasubir niione number one...trending
@@courtoiskimweli2506 kwel kabisa ata mido Simba togetheronline yaaani wamekaaa kimya wote lkn hizi level hawaziwez atawaseme nn
So very sorry 💔💔💔💔 I love it
ruclips.net/video/8sSfKBrPsbU/видео.html
Wangap tunaangalia ih vidio 2025 dada zuu endelea kuwapelekesha na litawachoma sana😅😅😅😂❤
These WCB artists should give Diamond some accolades for sure. He struggled alone for the record and made a way for then and now wengine wanamtoka tu kimadharau after he made a highway for them
That how human are, you just do what it takes to be a gentleman and move on.🇹🇿
Exactly! Very unappreciative some of them are
Brenda m. You did not have to say baby mama, you didn't know what it took to separate them. Despite fame relationships a kid is involved.
#RESPECTTHEGURU
@@alicewamaithamungai2078 she’s a baby mama. That’s why she is. She’s not a wife, or a current girlfriend. I don’t see what the issue is.
Zuchu the wasafi Queen...love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakuna
Haya tufanye tuipeleke 1 trending,,na one milion,,masaa 24,,
Tupo No.1 trending sasaa, na kabla ya jogoo kuwika kesho ngoma Ina gonga 1m views.
Tunaishi humu tutakufa na Wewe mond
Tyr
@@arnoldisdory2420 peke ako
Tayar🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
diamond you will kill me one day........u are so creative
Nmefurah sna ilivokaa trending #1 jamn nlkuw sina amani uku nyumban
Aya nipeni likes jmn ata 3 tu ntafurah
Tumeon kiba level ya zuchu 🤣🤣🤣🤣
Wazungu wenzang likes basi mweeee
Haaahaaa
Itawachoma sana hii.
😂😂😂😂😂😂😂💥💥💥💥💥
ruclips.net/video/OL-6JDz1tvY/видео.html
ruclips.net/video/RUc22bKeXU8/видео.html
Joman watu wa zuchu tujuane kwa like ap
Bonge la Wimbo hili gusa linki kutazama
ruclips.net/video/yvdYydfgnQs/видео.html
ruclips.net/video/Yq4YfGzoqQg/видео.html...
Zuchu is like a legend now but she's only been in the game officially for 6 month only
Weny mzk
Bonge la Wimbo hili gusa linki kutazama
ruclips.net/video/yvdYydfgnQs/видео.html
Her talent is like OMG💥🙌💞
I listen everyday this song. It is very nice.
This two person are compatible.
DIAMOND SHOULD FINALLY MARRY ZUCHU
n he has 😂😂😂😌😌