TANASHA DONNA: NAOGOPA SANA MUZIKI, WAPO WANAONISAIDIA AKIWEMO DIAMOND PLATNUMZ

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2020
  • #TANASHADONNA Anasema Kutengeneza EP, Mashabiki zake wasione Kama ni Mapema sana Kufanya Hivyo, ila Kazi ya Muziki Ameanza Miaka 3 Iliyopita na Mwaka Huu Ameamua Kuisimamia Rasmi
    Hii ni Event Yake Kubwa ya kwanza Katika Maisha Yake, na Amekua na Wasiwasi sana, ila Anashukuru Kwa Kuwapata watu wenye Experience akiwemo #DIAMONDPLATNUMZ na Wanaompa Nguvu na akili zaidi nini afanye Katika sanaa Yake
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 179

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 года назад +65

    Ka Tanasha ketu maksini hakana makuu wala majivuno,kenyewe ni kazuri balaa,big up SHEMELAA

  • @norahyrron
    @norahyrron 4 года назад +74

    Tanasha is a very humble lady!! Diamond u made the right choice!!

  • @shankim3416
    @shankim3416 4 года назад +38

    Woiye T there is no reason to hold on to a painful relationship. Body language shows real struggle in this relationship, I know with Diamond you get unbelievable exposure and gain many fans, But from my experience struggle love is so painful and draining nothing is worth it

  • @patrickmuriuki6916
    @patrickmuriuki6916 4 года назад +4

    Tanasha Donna from 254 we love you.. actually we love your humbleness..

  • @shaabanshaaban7465
    @shaabanshaaban7465 4 года назад +22

    Big up Dada tanasha pamoja na jack

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 года назад +31

    Tanasha mwanangu utafika mbali babie nakuombeya wewe mond na hata team nzima ya wcb

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 года назад +20

    wcb for life

  • @johntee7016
    @johntee7016 4 года назад +3

    Wow, Tanasha your English is perfect you m made mi proud taught Platnumz Too

  • @kutataslife
    @kutataslife 4 года назад +6

    She is cool,,, u gonna make it gal

  • @nayomingugi
    @nayomingugi 4 года назад +5

    Amazing woman.. I need another collabo with Mbosso

  • @edresallrab85
    @edresallrab85 4 года назад +1

    Verygood tanasha pamba mamy😍love u

  • @mrsb.j283
    @mrsb.j283 4 года назад +8

    Karibu saaana shem la taifa, its gud majirani wakishirikiani, big up

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 4 года назад +3

    Nakupenda sana tanashaaaa😚

  • @kevinmukisira
    @kevinmukisira 4 года назад +4

    Tanasha enjoy as it last...one love💓💓💓💓

  • @shaabanshaaban7465
    @shaabanshaaban7465 4 года назад +10

    Wasafiiii

  • @annshanti4102
    @annshanti4102 4 года назад +1

    I love this girl

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 4 года назад +1

    Congratulations Tanasha keep it up.

  • @KladesKladseee
    @KladesKladseee 4 года назад +3

    Nawapenda sana

  • @lizmass6866
    @lizmass6866 4 года назад +4

    She so humble though diamond bala

  • @ayshabayun9014
    @ayshabayun9014 4 года назад +4

    I like to call dem tanamond😂u real look good together mashallah.....u make it girl...👏👏👏

  • @nayaneyes3479
    @nayaneyes3479 4 года назад +1

    Vyenye swahl ya tanasha donnah iko very fantastic aiyeeeeer🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephelius6605
    @josephelius6605 4 года назад +1

    Wcb ni watu ambao wako humble sana kuanzia c.e.o wake ambaye ni simba mpaka wengine wote mpaka wapishi wa home naamini wako humble pia.god bless w.c.b.WCB FOR LIFE

  • @florencembithe2244
    @florencembithe2244 4 года назад +47

    Nairobi yetu wapi wakenya🇰🇪🇰🇪nipeni like hapa

  • @olgacaleb2790
    @olgacaleb2790 4 года назад

    Big up in-Tanasha

  • @syndyritah4872
    @syndyritah4872 4 года назад +3

    Wolper you look adorable wow😍😍😍

  • @Gold_trucker
    @Gold_trucker 4 года назад +37

    Wasafi Leo ad mmetupandisha ndege bigup Sana 🤣🤣🤣🤣

  • @hajjkenya6047
    @hajjkenya6047 4 года назад +1

    Keep on diamond platinums, our blood we connect two country together

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 года назад +3

    too come,mapooozooo everywhere,well am sure its me na uzee wangu.

  • @azdahalysaid5506
    @azdahalysaid5506 4 года назад +3

    Safiii mommy😍😍😍😍

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 4 года назад

    Chaupole tanasha mungu akupee nguvu mtoto wetu

  • @brothersalim5359
    @brothersalim5359 4 года назад +1

    Tanashaa we love u from Mombasa Kenya 001 county

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 4 года назад

    waaa natasha u will go far, u r humble na kila saa ukiongea matamani uonge zaidi mmm.....

  • @jacklinemugisha4463
    @jacklinemugisha4463 4 года назад

    Kazuri sana katoto tanasha

  • @shaabanshaaban7465
    @shaabanshaaban7465 4 года назад +20

    Chama letu ilo

  • @gilmangeorge366
    @gilmangeorge366 4 года назад +1

    Diamond n mnyamaaaa

  • @cndyplacate6682
    @cndyplacate6682 4 года назад +46

    Ngoma ya Mondy na Tanasha inatoka SAA ngp maana tuna-ham nayo hatari

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 4 года назад

    Tanasha tu es belle ma cherie 😍😍😘😘🙏🏻🙏🏻

  • @shadyapretty4460
    @shadyapretty4460 4 года назад

    All the Best

  • @ndichuwanjiru4856
    @ndichuwanjiru4856 4 года назад

    Tanasha keep it up

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 4 года назад +1

    Big up chama letuuu

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 4 года назад

    Love♥️♥️♥️♥️

  • @christinenguyo4542
    @christinenguyo4542 4 года назад

    She's very beautiful lady🥰

  • @kanyangefrancoise1313
    @kanyangefrancoise1313 4 года назад

    Ongera

  • @nunniznurcky9724
    @nunniznurcky9724 4 года назад

    Tanasha ako sawa

  • @nancythompsomnthompsomn9911
    @nancythompsomnthompsomn9911 4 года назад +1

    Napendanga saana wolper

  • @nancythompsomnthompsomn9911
    @nancythompsomnthompsomn9911 4 года назад +1

    Mtoto wetu tanasha

  • @trenahtrevia3944
    @trenahtrevia3944 4 года назад

    Wale wa south Africa na Uganda tunacomment wapi 😥😥😄😄,shemeji karibu +254🇰🇪🇰🇪,the beautiful nation 🤗🤗

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 года назад +3

    T.D.O 🔥🔥🔥

  • @carolinedaniel3917
    @carolinedaniel3917 4 года назад +5

    May God go ahead of you may your show be one of the best you are so humble..thankyou to wasafi 4 supporting you, big up to wolper sie is goergous 🥰

  • @obirinaom9611
    @obirinaom9611 4 года назад +5

    Juz waaaaau the best team ever💯💪💪💪💪

  • @sheebahhall7652
    @sheebahhall7652 4 года назад

    Half London!!!!!!,our Nairobi city

  • @udoo_tz
    @udoo_tz 4 года назад

    🔥🔥🔥

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 года назад +2

    U deserve it Tanasha,u are soo calm.sending my love to you from tz

  • @Changunwe2
    @Changunwe2 3 года назад

    Am here for our girl 💙 Tanasha let's be clear plissss

  • @shaddoofficiodpozz3297
    @shaddoofficiodpozz3297 4 года назад +3

    Hiyo ndo Nairobi kenya jiji lililosonga

  • @fadhiliaswa5063
    @fadhiliaswa5063 4 года назад

    WaYaaaaaaaa

  • @salim_firstbornogmkushkite9673
    @salim_firstbornogmkushkite9673 4 года назад +1

    Simba baba lao tanasha mama lao

  • @cendrillonnam4549
    @cendrillonnam4549 3 года назад

    WHO IS HERE NOV 2020

  • @ashaabdur7895
    @ashaabdur7895 4 года назад

    tanasha penda sana mond penda sana mboso penda sana

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 4 года назад +4

    Kipole Sana katanasha na kazuri. Mond kwa huyu mwanamke mashaallah umepata hataki makubwa pls sasa usimsikilize mama yako anaemtaka yeye huyu bint mashaallah ni kapole Sana. Nasema hivi ni kwa sababu dalili zimeshaanza kuonesha hatakiwi tanasha. Namwonea huruma Sana

  • @2.125Official
    @2.125Official 4 года назад +5

    Clearly, Diamond isn't feeling her vibe. So sad .

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 года назад +5

    Daa mondi yn ww acha tuu jmn lkn unapenda Sana kuwapa wt sapoti

  • @mdmtanzania
    @mdmtanzania 4 года назад +2

    KAMA UNATAKA KULIMA NA JATU KITETO, KILINDI, KILOMBERO(MBINGU) NA MACHUNGWA KULE MUHEZA TANGA. SUBSCRIBE CHANELI HII UWE WA KWANZA KUJIFUNZA.

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 года назад +4

    Our airport is so amazing 😘😍

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 года назад +10

    WCB4Life!

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 4 года назад

      Wolper uzuri wote umeisha ushazeeka, umekua maid wa tanasha na diamond🤣🤣🤣

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 4 года назад +1

      Diamond pesa ndio wanawake wanakupenda lkn huna uzuri wowote

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 4 года назад

      Mymuna Mymuna, ni vizuri iliwe na wanawake

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 4 года назад

      Mymuna Mymuna, mbona?

    • @davidsingu2750
      @davidsingu2750 4 года назад

      @@mymunamymuna4807 we choko kikubwa mwanaume ni nyota na sio sura, unaeza ukawa mzur na madem ukakosa

  • @robsonjohnmbarikiwekwaneno5300
    @robsonjohnmbarikiwekwaneno5300 4 года назад +10

    Kama unamkubali simbaaa gonga like

  • @jesusislord3668
    @jesusislord3668 4 года назад +2

    diamond is a living curse to humanity

  • @gfrhajji5233
    @gfrhajji5233 4 года назад +15

    Bi mdada kaza utafika unapo patamani.

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 года назад +1

    Mmependeza kinyama aiseee nineipenda sana hiyo

  • @rosemunyali8728
    @rosemunyali8728 4 года назад

    Viswahili vipo hapa balaa kweli wadhani n wimbo kumbe nkuzungumza

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 3 года назад

    2020 cheka upite 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zidanejunior7160
    @zidanejunior7160 4 года назад +4

    PopSlots
    Install, Open & Complete Level 18 within 7 Days of Downloading to unlock this content.

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 года назад +1

    Uyu dada na hareyn yn wp pc kinoma Yan hawa na wapenda sn

  • @zidanejunior7160
    @zidanejunior7160 4 года назад +2

    Clash Royale Quiz
    Complete the entire quiz (20 questions)

  • @mani7941
    @mani7941 4 года назад

    Atii nn asiniachee no zote tatuu zajaaa kwa what's down cyo up 😂😂😂😂😂😂😂😂🙏😀nimeshibaaa kwa herenii

  • @swalehswaleh9976
    @swalehswaleh9976 4 года назад +3

    jaman huyu jack minywelee🤣🤣🤣🤣

  • @agnespatty3512
    @agnespatty3512 4 года назад

    Achia wabongo kiswahili jameni,,

  • @tatukhamis4795
    @tatukhamis4795 4 года назад +3

    Tanasha mama Lao🇰🇪🇰🇪

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 года назад +1

    Welpa nakupenda burrrrre 💕 🇫🇮 🇫🇮 🇫🇮

  • @amandaantonio5893
    @amandaantonio5893 4 года назад +1

    Mama lao Heri use Nairobi uvae nyuo za kuheshimika Kwa hiyo weather.😂😂😂

  • @mrs2918
    @mrs2918 4 года назад +19

    wolpa ufundi mangongo kwishney kawa msukuma toroli

  • @levindalolalola7255
    @levindalolalola7255 4 года назад

    Tanasha aemi amebana tumbo

  • @aminarajabu5795
    @aminarajabu5795 4 года назад +18

    Wolper na manguo yake hovyoo na huo mnywele Kama kapania, Tanasha kwakweli kazuri, simple. Uwoya sijui ndo kazeeka hata sielewi.

    • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
      @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад +1

      WATU HAWAWEZI FANANA NATASHA NI NATASHA NA WOLPER NI WOLPER AMA WEWE WAFANANA NA NATASHA???

    • @sideboy1299
      @sideboy1299 4 года назад

      mbona wivu

    • @aminarajabu5795
      @aminarajabu5795 4 года назад +1

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. hata Kama watu hawafanani lkn speed yako ya muonekano punguza, yani punguza speed, like kupania,complicated life yaani mavazi tu ylionesha kapania, na mnywele huo, wabongo akiwemo wolper ajitahidi kuwa normal kwenye maswala mazima ya mavazi. She is complecator woman. Mgauni wa blue +mnguo wa orange kwa nyuma Kama kabeba fenesi 😎.
      Pia *Sijazungumzia kufanana kwa wolper na tanasha. Msg inaeleweka kwenye alama ya kituo (.) au koma(,) katika sentensi inakuonyesha vzr. So Elewa kupitia alama hizo.

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 года назад +5

    Nguo ya jack its unique 🥰 but hilo wig hata bure sivai,tanasha nahic mgongo kama umepinda,ni nguo yko au utembeaji wako..kama umejipinda.ila my fav couple ❤❤mond & tanasha

    • @RynlizzyTheBoss
      @RynlizzyTheBoss 4 года назад +6

      Azza Mahamdu tanasha anamwili wa kizee ila she's pretty. Ila body mbaya.

    • @khadijaomar8427
      @khadijaomar8427 4 года назад +2

      @@RynlizzyTheBoss me pia nilikua najiuliza nikaambiwa ana mwili wa kizee😣

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 4 года назад

      Hahaha mwili wa kizee lkn face ya kitoto.mungu hakupi vyote.utaringa

  • @saumumazera7161
    @saumumazera7161 4 года назад +1

    Wewe Wolper jamani hizo nguo zako kheeeeee😂😂😂😂😂

  • @everinemichael7457
    @everinemichael7457 4 года назад

    Yan tanasha ndo mwanamke wa mond mdada yupo smart kazuri hakana mbwembwe kapole chibu usiyumbe mke mwema ndo uyo

  • @leatitiamirimba4546
    @leatitiamirimba4546 4 года назад +4

    Sisi USA 🇺🇸 hatulali dada tunatizama kilakitu na koumba

  • @betrue33
    @betrue33 4 года назад +1

    Akianza kupiga nyimbo za kiswahili atapenya, lakini hizi lugha anatumia...sorry dear utapoteza fans.most of us we love to sing along with our stars.Inatufanya tujisikie wewe ni wetu, We feel you as our own, Music is a feelings let feel it Tanasa...anyway ukiendeleza hizo lugha utabaki pekee yako dada..kwanza peya kwenye anga za muziki then ukipata jina you can add your spices ,ila kwa sasa we want to support you but you are singing alone...you are alone .no one will tell u this but that is the fact..you sing alone dear.

  • @swaibunuhu1133
    @swaibunuhu1133 4 года назад +5

    diamond kaka usimuache tanasha ni wife material wallah then mshauri wolper iyo mijivaz minywele dah

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 года назад +5

    😂😂😂😂😂Uuuwi jamani khaaa wewe jack wew ndo style gani hii yakutuvalia uo mshati tu jamani mmmh imenibidi nicheke tu mana wabongo sasaivi km ulaya tu

  • @sayeedkhan4388
    @sayeedkhan4388 4 года назад +7

    Height level

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 года назад +3

    WCB 4 LIFE 🔥🔥🔥

  • @chrisrinesakwa7857
    @chrisrinesakwa7857 4 года назад

    Shika huyo mondy finyia chini kabisa mdada 254

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 4 года назад

    Kazuri dah

  • @mnyamwezimnyamwezi751
    @mnyamwezimnyamwezi751 4 года назад

    Romie Jones sijaona akisalmikq

  • @deej79
    @deej79 4 года назад +1

    Lol kenya reppin that English no joke I think tanasha n khaligragh should link up for a song that joint would be flames they both got good English p.s I'm entitled to my opinion so don't come for me with none that bullsh**t

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 4 года назад +6

    Nani anasubiri tanasha aongee kama mimi....nyie wengine muongee kesho kama wolpa😂😂😂😂

  • @getruderamos900
    @getruderamos900 4 года назад

    sasa umuache na huyo wew ? kazuri ka Tanasha.

  • @suziehennessy9829
    @suziehennessy9829 4 года назад +5

    Nakumbuka Tanasha alisema ataongeza matako awe na kishepu.....bado nasubiri😂

  • @margarethenry693
    @margarethenry693 4 года назад

    I'm sure here diamond is like babe I will not attend your Ep lounge due to my evil family so I he had to create some fake emergency that needed his attention back home,
    Poor tanasha this is what made you more nervous as in what the fuck could they do this to me but gal watch them God is not sleeping he will slap them back continue praying