FRIDA AMANI afunguka alivyoyachukia MAPENZI zaidi ya miaka 3 baada ya KUSALITIWA | Chill na Sky

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 60

  • @busta_malik5971
    @busta_malik5971 3 года назад +22

    Wafuatiliaji wa SNS na woote wanao mkubali SKY gonga like hapa 👇

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

    • @nizzomtz5178
      @nizzomtz5178 3 года назад

      @@Musicdepartment332 jg

  • @nemlukumay7340
    @nemlukumay7340 3 года назад +13

    Sky sogeza macho hizo kucha ni hatari 😝😝 wadada tuna kazi jamani duuu!! ila hii fassion ya kubandika kucha mimi nimekubaligi tu inipite🥰

    • @chainbre275
      @chainbre275 3 года назад

      Hahaha

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

  • @ernestpaul9113
    @ernestpaul9113 3 года назад +4

    She so beautiful.... I love her music.............. 🇰🇪

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 3 года назад +2

    #SKY, natoka kuisikiliza DONE, Trust me niBonge la Ngoma na nusu 🙌🙌🙌

  • @JamallyHMlela
    @JamallyHMlela 3 года назад +4

    Hizo kucha hapana frida

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 года назад

    Mdada mzur Hadi Raha😘

  • @mariamika2834
    @mariamika2834 3 года назад +3

    Frida ww hizo kucha sio level yako mpenz waachie wenyewe ..kwa ww hapana bhana mbona ukobaki uhalisia unakuwa poa tu .

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

  • @selemanmkwichu2492
    @selemanmkwichu2492 3 года назад

    Nikimuona frida namkumbuka mpenz wangu jackline

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 3 года назад

    Huwa nasema kila na nitasema maana sky ni mtu mkubwa sana badae. Yajayo yanafrahisha kwa sky na hii ndyo tv online ya kuamini kati ya tv 3 zinazoaminika pia

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 года назад

    Mtangazaji redio ipi

  • @jokhasaid8666
    @jokhasaid8666 3 года назад

    Acheni ushba na ujuwaji kuhusu hizo kucha. Wanaweka for shooting tu kisha wanatoa soon.

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 года назад

    😍😍😍🤗🤗

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 года назад

    Frida choon unaendaj na izo kucha huuuuu

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 3 года назад

    Nimekuwa wa2

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 года назад

    Mtafute n'a ule bestie wake wa bbs walitisha Shana henzi zao

  • @rodgersgregory7198
    @rodgersgregory7198 3 года назад

    Done

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

  • @mwarahsemor6301
    @mwarahsemor6301 3 года назад +1

    Mbona anafanana na carrymastory

  • @siamosha5940
    @siamosha5940 3 года назад

    Hizo kucha vipi?mmh

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 года назад +1

    Hizo kucha sasa kwa urefu huo unachambaje mfano huko chin

  • @svt3
    @svt3 3 года назад

    Huyu dada anajitawaza je na hizo kucha? Hata kula jameni naona kama anajipatia tabu saana

  • @princecharmingtz8130
    @princecharmingtz8130 3 года назад

    Vp tunaomba muulize anaundugu na Carrymastory

  • @alexiajoseph1394
    @alexiajoseph1394 3 года назад

    Hizo kucha vip

    • @nemlukumay7340
      @nemlukumay7340 3 года назад +1

      Ni majanga sio kwa mikucha hiyo mpaka naogopa hivyo vidole

    • @alexiajoseph1394
      @alexiajoseph1394 3 года назад +1

      Yan urembo mwngne unipitage tyuuu

  • @shangwehalisi7659
    @shangwehalisi7659 3 года назад +1

    Unajichambaje na mikucha hiyo mdada wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lol

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 3 года назад

    RAMSEY is HERE🕺🕺

    • @Musicdepartment332
      @Musicdepartment332 3 года назад

      ruclips.net/video/kWt8A5v0dJY/видео.html
      ruclips.net/video/A0qkgYOTow4/видео.html

  • @ENGAPUNEEMAACHANNEL
    @ENGAPUNEEMAACHANNEL 3 года назад

    Tatizo la hawa watu hawatutaki sisi wa maasai sijui wana kwama wap!😂

  • @bellabakera
    @bellabakera 3 года назад

    Hayo makucha hayako sexy🙄

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 3 года назад

    Makucha au uchafu? Wazungu walitutawala hadi akili zetu vitu kama hivi ni uwezo mdogo wa kuchakata mambo ya hii dunia! Africa tuamkeni jaman kwann tunavalishwa vitu kama hivi jaman

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 года назад

    Ila hizo kuchaa🤣🤣🤣