MIMI NA GACHAGUA TUTAPELEKA KASONGO NYUMBANI"ANGRY EUGENE WAMALWA ROARS IN KAKAMEGA!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 30

  • @evankombo3170
    @evankombo3170 10 дней назад

    😂😂😂ni sawa na kuweka mawe ndani ya sufuria, ubandike kwa jiko kisha usubiri yatoe soup!.

  • @calistuskatembu3274
    @calistuskatembu3274 10 дней назад

    Mtangoja sana

  • @isaaabass3524
    @isaaabass3524 10 дней назад

    Ambia gachagua awache siyasa za umama

  • @omokemorara8656
    @omokemorara8656 10 дней назад

    Gachagua continue giving Pepo Kuu sleepless nights.

  • @perezaglimmuliga4539
    @perezaglimmuliga4539 10 дней назад +1

    Eugine you were on the front line castigating Gachagua and today you are here supporting him seriously ,Luhya have a long way to go if we can go down to these level by supporting these tribal mongoose

  • @HakeemAbdulkareem-l9q
    @HakeemAbdulkareem-l9q 10 дней назад +2

    Iyoo ni ngumu kumpeleka kasogo nyumbani 😅

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 10 дней назад +1

      Penye mt Kenya and mulembe iko obvious iyo ni win already. Somalia kama nyinyi kina abdulkareem ,nooldin aji,adan dwale kura mbili haezi rudisha kasongo state House come 2027 . Ndoto hata kuiba ningori maze.

    • @Mombasa-gz7rd
      @Mombasa-gz7rd 10 дней назад

      Mswahili atasema Hivyo nyinyi hamna kura

    • @omokemorara8656
      @omokemorara8656 10 дней назад

      Ndani ya hicho kichwa chako maji maji ni ngumu. Ngoja ujionee Pepo Kuu na mapepo wengine kama Duale na Noordin Haji watatumwa nyumbani.

    • @michaelndiritu5925
      @michaelndiritu5925 10 дней назад

      kwani kasongo ni mungu

    • @AbdifatahAbdullahi-l2x
      @AbdifatahAbdullahi-l2x 10 дней назад

      Huyu alisaidia Waluhya akiwa Waziri kwa hiyo serikali ya Uhunye😂. Uliza Didmus Baraza

  • @nicholasouma6772
    @nicholasouma6772 10 дней назад

    Imagine vile ulikua umezoea kukaa kwa serikali bado utakaa njee

  • @JumaWanyonyi-b1y
    @JumaWanyonyi-b1y 10 дней назад

    Hapa sion

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 10 дней назад

      Okay wewe unaona nani? Kama unaona ni RutoRaila then unastahili upelekwe mathare hospital au upelekwe ufirwe mombasa. Wetangula tawe! Musalia tawe! Atwoli tawe!

  • @MukuriaJW
    @MukuriaJW 10 дней назад

    Wamama wameungana

  • @MukuriaJW
    @MukuriaJW 10 дней назад

    Shoga

  • @thomasmarende2445
    @thomasmarende2445 10 дней назад +1

    Hata faruk kibet and his team through kalenjinga Samoe ruto atu ue or atu abduct hii team Rigg G ndio tutakufa nayo liweliwalo .RutoRailaUhuru tawe! Musaliawetangulaatwoli Tawe!

    • @Elvis-mo9sy
      @Elvis-mo9sy 10 дней назад

      Ukikujiwa usipige nduru

    • @sugoimafia
      @sugoimafia 10 дней назад

      Usikue na mavi kwa kichwa...tangu lin president wa Kenya akarule only 5 yrs

  • @JumaWanyonyi-b1y
    @JumaWanyonyi-b1y 10 дней назад

    Kukuwa na ndefu n kitu ya maana sana

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 10 дней назад

      Hakuna! Wetangula tawe! Anybody who is associating with kasongo tawe!

    • @marionkarugia
      @marionkarugia 10 дней назад

      Unaeza kuwa nazo na ukue huna akili😂😂😂😂

  • @JumaWanyonyi-b1y
    @JumaWanyonyi-b1y 10 дней назад

    Huyu ataleta nn kwa meza kwanza anzia hapo

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 10 дней назад

      Mt Kenya through Rigg G . Meza imeja...western regions through Okiya omutata ,eugine wamalwa, malala ,Natembeya ni sosa ya kujazia 50+1 votes ....kasongo hata dawa hatapita.l myself will be better to vote for cocroch than voting for Ruto.

  • @nancyouma3889
    @nancyouma3889 10 дней назад

    This man has ti be the most boring politician around. This wanna be isn’t going anywhere

  • @ElvisWabwile
    @ElvisWabwile 10 дней назад

    Kama ni nyinyi bado mko na safari

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 10 дней назад

      Safari ndio imeanza sasa come 2027 kasongo sugoi direct. Kama uko na kura ya kasongo pigia yeye because you're beneficiary of this breakbroadbased tyrannical government.

    • @sugoimafia
      @sugoimafia 10 дней назад

      ​@@thomasmarende2445naona uko na machungu ya ujinga hii team haiwez shinda ruto

  • @otungalarry951
    @otungalarry951 10 дней назад

    Bhangi

  • @nancyouma3889
    @nancyouma3889 10 дней назад

    Wanna be!