Wapiganaji wachoma Kaburi la baba yake Assad, Hafez al-Assad Nchini Syria

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 214

  • @JacksonTulito
    @JacksonTulito День назад +4

    Mungu wangu rehemu dunia

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 День назад +13

    Kuadhibu maiti sio uilsamu mnauchaua uslamu na kuleta uhasama wa kisasi sio Jambo zuri

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 День назад +1

      Hao hawana muda watavuruga na hapo watamkumbuka hata huyo aliekimbia,

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 23 часа назад +1

      Kwani kabla ya kuchoma kaburi kulikuwa hamna uhasama 😂😂😂

    • @muhammadmbaraka4515
      @muhammadmbaraka4515 23 часа назад

      Muda si mrefu watavurugana wenyewe Kwa wenyewe

    • @muhammadmbaraka4515
      @muhammadmbaraka4515 23 часа назад

      Hawana uislamu wowote

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 22 часа назад

      Walikwambia wanatetea uislamu??😂

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq День назад +12

    Hii sio sawa kabisa hii nchi italaaniwa vibaya mno Wacha tuone🙌🙌

    • @abbashummer7634
      @abbashummer7634 День назад +2

      @@mtulivu-ir1nq wamechinja watu sana leo unanieleza nn juu ya hawa wapumbavu

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v День назад +2

      Laana kutoka kwa nan walifukia watu wazima

    • @majidimussa8678
      @majidimussa8678 День назад +1

      haswah

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln День назад

      Hata izrael marekani pia wanafukia watu wazima ​@@Clever-l8v

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      ​@@Clever-l8vwalifukia watu wakiwa hai kama Israel ilivyofanya Palestinians

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 День назад +10

    Hawa waasi walitumwa na marekani wammalize Bashar al Asad na familia yake yote,ila urusi imewaonyesha kuwa kilichotokea Libya hakiwezi tokea Libya,wameaibika ndo maana wanafanya vitu vya hovyo sasa .Ona waisrael wamepiga military capacity ya Syria 80% na tayari wamekalia GOLAN maana yake Hawa walitumwa na nawaambia Syria itakuwa kama Libya hakutakuwa na maisha tena ya kujiamini kama nchi....😢

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День назад +4

      Tulizana wewe hujui kitu.
      Magaidi wote lazima wapigwe tu

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 День назад +4

      Unajielewa ulichoandika au una hasira 😂

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 День назад +4

      Sasa hapo Syria kulikuwa na maisha gani?

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz День назад

      Acha kuteseka ww

    • @TheStreams-i4s
      @TheStreams-i4s День назад +2

      ​@zebedayokatamaduni9676 hujielewi ndio mana hujui hata maana ya gaidi ni nn

  • @rosinamtauka9933
    @rosinamtauka9933 18 часов назад +1

    Figisu anazofanyiwa Al asadi hazina tofauti na zile alizofaniywa Gadafi wa Libya 😢

  • @alijuma80
    @alijuma80 День назад +10

    Hawa si waislamu 💯

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR День назад

      Ndo mana nlisema mm hawqbni wahuni

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 День назад +1

      Ni waislamu hao

    • @Mumewangu
      @Mumewangu День назад

      @@joshuajohn8533 sio waislam kwa mujibu na sheria za kiislam

    • @hamudzakuwani4149
      @hamudzakuwani4149 День назад +5

      hao siyoo waislamu ni wayahudii wamejibadilisha

    • @LoneWolf-ng8yg
      @LoneWolf-ng8yg День назад

      Ndo maana mm huwa na wasiwasi na akili za waarabu 😂😂

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 День назад +2

    Malipo ya chuki hayataijenga Syria, bali itagawanyika zaidi wasipoacha chuki, kuchukua nchi hakumaanishi kuwa wafanye kila wanachojisikia.
    Wajenge umoja kwa ajili ya ustawi wa nchi yao.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День назад +3

    Watu bana mtu akitekwa na kuuwawa na kumiminiwa tindikali sawa ila ayomambo ata kwenye vitabu vyadini vimepinga mnaona vina nafuu

  • @hassansaul7098
    @hassansaul7098 День назад +1

    Hii sio sawa, bora wangezika tu makaburini kuliko kuchona

  • @tundaisabelle3218
    @tundaisabelle3218 День назад +4

    Nononono onono iyi sio sawa kabisa

  • @CharlesFadelis-te5fp
    @CharlesFadelis-te5fp День назад +3

    Mamuruki wa marekani

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma День назад +2

    Wame laaniwa ! Hani mashoga ☝️☝️☝️😭😭

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 День назад +1

    Hovyo kabisa...ni tukio baya kabisa japo Sina upande wowote katika hawa 😥 nawaza kwasasa kuwa upande wa Assd kwa ajili ya tukio hili
    Russia 🇷🇺 Daima

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 День назад +5

    Ukifanya hivo ..unapata nini Sasa!!! Mtu akifa mambo yake yamekwisha.. Wote tutakufa😂😂😂😂😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День назад

      Wachome mpaka nyumba zake magaidi hao

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 День назад +1

      @zebedayokatamaduni9676 Magaidi ni hao wanaochoma Makaburi..Uislamu gani huo!!! Yale ya Libya yatawakuta na wao!!!!

    • @charlesmtesigwa2923
      @charlesmtesigwa2923 День назад

      ​@@festohaule9716yawakute mara ngapi hii nchi iko vitani miaka 13 sababu za assad msiwatishe ebu waacheni wajenge nchi yao

    • @2116-n
      @2116-n День назад

      Swali lako, jibu lake lipo mwanzoni kabisa wakat sky anasimulia

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День назад

      @@festohaule9716 Libya ni Libya
      Syria ni Syria. Magaidi wote duniani wapigwe sanaa.
      Hujiulizi kwa nini mpaka Uturuki imehusika kumtimua Asad?

  • @sirpaza8513
    @sirpaza8513 День назад +3

    Wamepitiliza sasa

  • @oredidunia120
    @oredidunia120 День назад

    Pole saana

  • @JosephBalebanga
    @JosephBalebanga 19 часов назад

    Desturi ya Mayahudi:Kutengeneza matukio kupitia kivuli cha dini ili watu wawe na ukakasi kwenye Harakati za ku utafuta Ukweli . (NA ATAKAYE FUATA DINI ISIOKUA UISLAMU BASI HAITOKUBALIWA KWAKE NA SIKU YA KIYAMA ATAKUA MIONGONI MWA WALIOPATA HASARA (QURAN)

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 День назад +2

    Kazi safi...wamewatesa sana wananchi wa Syria...chomeni kila kitu...

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День назад +1

      Safi sana
      Asadi alikuwa Gaid

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 День назад +1

      Safi sana

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 День назад +1

      Na wao wataenda kuchomwa kule kwa mungu😂😂😂 sasa unachomaje marehem a alishatafunwa namchwa

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 День назад

      @@hanifa9153 lazima alipie hata kama ni maiti yake...au hujaskia kuwa malipo ni papahapa duniani

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v День назад

      Kw hili mm siungi mkono.bro omond acha ujinga kuna haki za mwili ambae sio hai punguz ujuaj ww

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m День назад

    Mmm hatari

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v День назад +1

    Hapo Jaana itawatafuna km libya

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 16 часов назад

    Hasa ndio tunaelewa hao n waarabu wa magharib hawana uislam wowote😢

  • @emmanuelmigabe
    @emmanuelmigabe День назад +2

    Walaaniwe

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 День назад +2

    Hakuna msafi

  • @AllySibila
    @AllySibila 20 часов назад

    Waislamu pale wanapogeuka kua makafiri wanakua zaidi ya makafiri wenyewe

  • @CivilEngineeringWorks-d7b
    @CivilEngineeringWorks-d7b 22 часа назад

    Dasmaskas ilikuwa na Makanisa mengi ya Catholic na Othofox baada ya utawala wa Otoman na vita ya Msalaba waliwauwa wakristo na kugeuza makanisa kuwa Misikiti
    Ķwahiyo ardhi hii imelaaniwa
    Kwa dhuluma Ama n hapa na Mesopotamia yaani Iraq 🇮🇶 ya sasa
    Nivigumu kupatikana
    Yaaani Mene mene tekeli na peresi

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 17 часов назад

    Dunia ita jibu

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 17 часов назад

    UISLAMU UMEANGUSHWA

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 День назад +1

    Lakini izrael inazidi kuchukua aliizi yenu je mtamachia milima ya golani

  • @KhamisBeja
    @KhamisBeja День назад +1

    Huo ndio wazimu kamili mtu alikufa Miaka sasa kuchoma kaburi inasaidia nini

  • @AbdallahHuweid
    @AbdallahHuweid 16 часов назад

    hao sio waslam wsijite wapiganaji wakislam uslam hauhukumu mpaka kabuki hio nchi itakua kama libiya watajuta

  • @ProJays
    @ProJays День назад +1

    Wacha tuone watafika wapi wako wa Libya walidanganywa na wamerakani majuto mjukuu

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 День назад

    Wasifagi😮

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 22 часа назад

    Hongereni makamanda.. Apandacho mtu lazima avune hata maiti italipia uovu alofanya angekua mwema wasinge fanya hivyo

    • @HammyJey
      @HammyJey 14 часов назад

      🤣🤣🤣 kweli mijitu mijinga duniani haiiishi Sasa mtu na AKILI TIMAMU unaweza sapoti upuuzi huu???

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 14 часов назад

      @HammyJey yan hata ww ungekua uko ungechanganywa na maiti maana uko kidini zaidi

    • @HammyJey
      @HammyJey 13 часов назад

      @@PrinceHendry-hp8vv 🤣🤣🤣 ni Kweli Nipo kidini Zaidi maana mm dini KWANGU NDY kila k2 ww nakuona upo kidunia Zaidi maana ww Dunia ndy kila k2 kwako

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 16 часов назад

    Hawa hawapishani na chadema kutwa kumusema magufuli wakati kaisha kufa ni UPUMBAVU

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 21 час назад

    Sasa ndioo inajionesha wazi kuwa Marekani na Israeli wanahusika, Kilichobaki ni kupokonywa kila kitu

  • @staanstaan8722
    @staanstaan8722 19 часов назад

    Sasa hapo hio maiti na kaburi inahusu nn ?

  • @emmanuelmigabe
    @emmanuelmigabe День назад

    Duh

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim День назад +1

    Watumwa wa israel na america hao

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 День назад

    Tuheshimu Makaburi zaidi nyumba tunazoishi sasa

  • @CantonaKunona
    @CantonaKunona День назад +1

    Leo ndio naamini waarabu hawana akili😂 daah nmecheka sanaaa waarabu wa buza ndio ubongo mavii🙌😂

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 11 часов назад

    Kulkua hamna haja ofcause.

  • @Frank_Khan
    @Frank_Khan День назад

    Duuh hatari sana

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 День назад +1

    Hawa ni mashoga wa kimarekan waloingia kwa mlango wa kiislam

    • @kakore_jr
      @kakore_jr День назад

      ACHA KUWAKANA JAMAA ZENU WOTE NDIO MLIVYO🤣🤣

    • @ELIFASMADEBHO
      @ELIFASMADEBHO 16 часов назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 23 часа назад

    Yaani hiinchi itakua na raana wanachoma Hadi maiti

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 День назад +1

    Eti huo sio uislam! Nyie sahvi ndio mnawafundisha waarabu uislam uko vip?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      Nani amekudanganya warabu wote ni Islam?

    • @Veryfunny81
      @Veryfunny81 11 часов назад

      waarabu wa buza ni wangese sana mkuu 😂😂

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 День назад

    huu niuwenda wazimu wawazi

  • @SamiirrRamadhan-s5l
    @SamiirrRamadhan-s5l 22 часа назад

    Apo ndo ujue kuwa kinacho endelea silya sio wasilia wenyewe watashtuka mda ukiwa ushaa enda

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 День назад +1

    Waarabu hawana ufahamu wa kutosha

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v День назад

    Ss hapa naona ni fedheha kubwa san tena kw kuweka chuki dhidi ya wale wapitao.hauwez choma kaburi la mfu alf unategemea pasitokee machafuk ndan y nchi maan assad bado anawafuasi wak ndan ya nchi hy.ss hap tutalajie yajay yanafurahisha

  • @IgnasMwinuka-ck1po
    @IgnasMwinuka-ck1po День назад

    Kwa akili hii sidhani kama nchi imechukuliwa na watu sahihi, kwaakili hii huenda tukamuona Assad km Malaika

    • @RamadhanHassani-en8nf
      @RamadhanHassani-en8nf День назад

      Tulia kidg maana hujui kipi kakifanya Assad na baba yak kwa rai zake na ingekuwa bora ungefuatilia kdg history ya siriya japo kuanzia miaka ya 80 mpka sasa ndio utajua kwann wamefanya hivyo hakuna nchi au rai waliyopotia mates makubwa zaid katika ulimwengu huu wa kileo kama raia wa siriya wamepita mauaji ya kinyama saaana kupitia kwa Assad na baba yake ukifuatilia vyema nadhan utajua

  • @nassoromfumya7319
    @nassoromfumya7319 День назад +1

    Watu tukisema America ni shetani na Israel mkono wa Shetani watu wanapinga. Ona sasa haya mambo ya hovyo... hawa ndo wakuleta utawala bora ktika nchi, ikiwa bado wanagombana na Maiti? Laan itawatafuna daima

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 День назад

      Hiyo laana labda utoe wewe

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz День назад

      Kwa hiyo Assad aliyeua watu laki tano ndio allah

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      ​@@MathewNathan-yb2bzwewe hovyo kabisa,unaona Assad ndio Allah?unaumia na neno ALLAH tuambie unachokijua hukusu Allah! unaropoka kutokea wapi lkn, nini shida na Neno ALLAH

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 22 часа назад

      @@aairraahseif5648 ww mgonjwa kweli.siwezi kuumia na dini za kigeni mimi.

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 День назад

    Hicho wanachofanya ni makosa makubwa sana

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu День назад

    Mhmmmm tulosoma quba tunaelewa ila siku ya haki tutajua ukweli

  • @jeilanikhamisi
    @jeilanikhamisi День назад +2

    Yani hapa ndonazidi kuamini kama hawa jamaa ni magaidi hawana uislamu wowote ule haya sasa ni sehemu gani katika uislamu inayo ruhusu kuchoma kaburi moto? kwa7bu hizi wanazodai hawa jamaa

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 День назад +1

      Wewe huwezi elewa kile wananchi walikipitia kwenye utawala wa familia hiyo

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay День назад

      ​@@omondiowino7875Kiislamu haifai lkn hawa sio kma wote ni waislam hpana madhehebu mengine tofauti ila hasira zimewafanya hvo mateso waliuwa watu wamefunga watu miaka arabaini bila hatia alafu wakawatesa chini ya ardhi wanakufa wanaachwa siku tatu wanawazika kwa pamoja baadae walifanya vituko vya kishetani sna.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День назад

    Iwe fundisho kwa wale wenye vitendo kama ivi aswa tz

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 День назад

    Israel kashaichukuwa hii
    Al gulan juzi alikuwa na kilemba Leo kavaa suti kama raisi wa Ukraine

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 День назад +1

    Ujinga tu huku wazungu waiba ardhi za golani ndio nn sasa

  • @DeusRobart
    @DeusRobart День назад

    Hiyo ndio demokurasia ss

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 День назад

    Sasa kaburi lina kosa gani

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День назад

    Sasa watu wote vyama vyote vitapata haki kuliko uyo aliepinduliwa kanyonga watu watu wamekua wakimbizi kisa mtu mmoja na jeshi lake

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 20 часов назад

    Sasa si bora asadi ndio uislam huo unavyo Sema

  • @abbashummer7634
    @abbashummer7634 День назад

    Ovyo sana hawa sio waislam

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День назад +1

      Siyo waislamu 😂😂?
      Unaota wewe 😂😂

    • @abbashummer7634
      @abbashummer7634 День назад

      @zebedayokatamaduni9676 uislam gani huo?

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 День назад

      Ni wasabato basi 😂

    • @YohanaJoshua-h2j
      @YohanaJoshua-h2j День назад

      Hao ni hamas

    • @kakore_jr
      @kakore_jr День назад

      ​@@abbashummer7634ETI SIO WAISLAM🤣🤣SASA NI AKINA NANI?
      YANI HII DUNIA KUNA DINI NILAANA TUPU .KWANZA WANAUWANA WENYEWE KWA WENYEWE YANI HUJUI NN WANAKITAFUTA .
      PILI WANATUMIWA NA WATU #VIBARAKA.

  • @pauldamian5308
    @pauldamian5308 День назад

    Huu ni upumbavu wa hali ya juu

  • @Mumewangu
    @Mumewangu День назад +1

    Inawezekana hawa sio wasiria wenyewe. Manake uislam hauruhusu na hata ukristo haifai.

    • @kakore_jr
      @kakore_jr День назад

      NDIO AKILI ZA IMANI YENU.
      KAZI KUTUMIKA NA WAZUNGU MUNAUUWANA WENYEWE KWA WENYEWE SIUJINGA HUO

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia3724 День назад

    Hawa ni waturuki

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk День назад

    Mtu aliyezoea kuuwa huwa hana huruma na hana dini

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla День назад

    Miyaudi hiyo

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 День назад

    Safi sana hii ndio haki
    Fanya mema dunia ikukumbuke usinuanyase wanyonge kwa kuwa hawawezi kijitetea

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 16 часов назад

    Ndo hawa wanaitwa mujahidinaa hamna kitu hapa àkili zero Taliban ndo wanajihadi hawa wanasiasa tuuh😂

  • @aasatt78
    @aasatt78 18 часов назад

    Sasa uyo mzee kawafanya nini mbona kipindi chake Syria ilikuwa imetulia na ina amani

  • @Naomiwilliamu
    @Naomiwilliamu День назад

    MUNGU WANGU HAIFAI MTIHAN

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День назад

    Ata mtume angifufuka saivi angiya bomoa makaburi

  • @ellyndaprincess3235
    @ellyndaprincess3235 День назад

    Hao ni wahuni mashoga wa kimagharib

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u День назад

    Malipo ya madahalimu dunani

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu День назад

    Kuchoma kaburi la mtu aliyefariki zamani ni upuuzi mkubwa, hayo yalionekana Libya baada ya Muammar Gadafi kufariki. Ni ujinga mtupu.

  • @adamchaka-vl7yk
    @adamchaka-vl7yk 11 часов назад

    Waarabu wanatumika na mamluki kutoka NATO.Kweli hiyo ni akili?

  • @alfair_group_2023
    @alfair_group_2023 11 часов назад

    This is not fare

  • @KelvinKeita-b6o
    @KelvinKeita-b6o День назад

    Duuh hawa jamaa wangemkamata rais wangem uwaa jamani dah cyoo powa afu hawo ni waislam hahaha waarabu na dini zawo 😂😂😂😂

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 День назад

    Hawana akili timamu

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 День назад

    Huo tena Ujinga tena wa Kiwango cha Lami

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 18 часов назад

    Sas Makaburi yanahusu nn, Ujinga mtupu na Assad angebakia na familia yke wangemfanya km walivyomfanya Mzee Gaddafi

  • @barakakings
    @barakakings 23 часа назад

    Waislam wana ruhusiwa kulipa KISASI,shida ina anzia hapa.

  • @JohnJohn-j1f3m
    @JohnJohn-j1f3m День назад

    WATU WENYE WENYE ASILI YANGOZI NYEUPE NDO KIZAZI CHASHETANI KILICHOPONEA CHUPCHUP NAMAANGAMIZI YAMUNGU

  • @ImamAbas-f9b
    @ImamAbas-f9b День назад

    Hawa ni wahuni kabisa wametengeneza marekani

    • @jamesjahasa3348
      @jamesjahasa3348 День назад

      Kila kitu marekani kwahiyo hao ni no wazungu

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu День назад

      Ndio majibwa ya dunia​@@jamesjahasa3348

    • @thehomeoffootballskills4358
      @thehomeoffootballskills4358 День назад

      Kwani IS ilianzishwa na nani si Obama na clintoni vipi wale waliokuwa wazungu mpaka Trump kwenye campaign aliongea hilo hadharani kuwa analaumu Obama na clintoni kuanzisha IS haijawasaidia chocolate ​@@jamesjahasa3348

    • @thehomeoffootballskills4358
      @thehomeoffootballskills4358 День назад

      ​@@jamesjahasa3348 kama hujui uliza ufundishwe sio unabiaha usililijua tafuta mtu anaitwa Wesley Clark huyu ni alikiwa supreme manager wa NATO alivoelezea mapango huo alipoitwa pentagon na kupew list ya nchi zinazotakiwa viongozi kuondolew madarakani na aluonesha Hadi hiyo document kwenye interview shida wabingo wengi ni mnajua familia page za udaku ila mambo ya muhimu ya intelligence na geographical polics hamtaki ila mnapenda kuchangia pasipokujua mnachochangia

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile День назад

    Waarabu na dini yao ni wabaya,syria itakuwa magofu.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 22 часа назад

    Wajinga sana

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 День назад

    Waarabu nimakuma

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 День назад

      😂😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День назад +1

      Acha ukichaa
      Hujui chochote
      Huujui uchungu walio nao wananchi wa Syria.
      Piga magaidi wote uwaa.

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 День назад

      Leo tena..we jamaa una shida 😂😂

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      Kama la mamayako😂😂😂

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      ​Ugaidi 😂😂😂mmepandikizwa chuki na wamagharibi kuuficha ukweli!hakuna nchi yenye mabavu ikapenda ugaidi kwa maana ugaidi nikukataa utawala wenye mabavu, udikteta nikutafuta haki yako, ukiitafuta haki yako ukakataa kuonewa basi wee popote duniani utaitwa gaidi, chunguza hii utanijibu, magaidi niwao wanatawala dunia kwa kychonganisha mataifa na kuuza silaha na kuiba mali za nchi

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 День назад

    Piga kabisa Magaidi wote Hamas Hezbollah Huth Piga kabisa wote

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      Dooh!!huzuni kwako natamani ungelijua ukweli! Hebu nikuulize hapo gaidi ninani Assad!au hicho kikundi?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      Doh!unavyo ongea utadhani mzayuni hivi?? 😂😂

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 День назад

    Duh