JE INAFAA KUJIITA SALAFI ? | SHEIKH SALIM BARAHIYAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 96

  • @mussakantumba824
    @mussakantumba824 3 года назад +1

    Jazaakallaahu khayrah Shaykh wetu Salim Abdulrahiim Barahiyan yaani nmekuelewa vizuri Sana na umenifungua macho!! Naomba Allaah akuzidishie Elimu ili uzidi kututoa ujingani pia akufungulie milango ya kupata riziki nyinyi za Halali.Aamiyn

  • @memealhabsi820
    @memealhabsi820 3 года назад +2

    Maashaallah sheikh wetu

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 3 года назад +1

    ﴿وَالسَّـبِقُونَ الاٌّوَّلُونَ مِنَ الْمُهَـجِرِينَ وَالأَنْصَـرِ وَالَّذِينَ اتَّبَعُوهُم بِإِحْسَانٍ رَّضِىَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُواْ عَنْهُ وَأَعَدَّ لَهُمْ جَنَّـتٍ تَجْرِي تَحْتَهَا الأَنْهَـرُ خَـلِدِينَ فِيهَآ أَبَداً ذَلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ﴾
    Ni aya ya 100 suratul tawbah , shetani amemsahaulisha mwalimu, Hakufny kwa makusudi

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 года назад +1

    Shukran sheikh Allah akulipe kheyr

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 3 года назад +2

    Shekh mie naombaa sana san utuwekee. Historia za hawa mashkh au wanazuoniii wetuu Abdulrahman bin Bazz. Ibnu Uthayminn . AshayybanN.k pla shelhh

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 3 года назад

    MashaaAllah

  • @mussakantumba824
    @mussakantumba824 3 года назад +1

    Yaani Ni vizuri kusikiliza pande zote ndipo ubalansi= uwianishe ili Upate uhakika Ni sahihi kabisa kutojiita= Salafiyy Maana Ni kujitukuza wakati Allaah anamjua aliyetakasika ndani ya moyo

  • @AhmedMohammed-de4ke
    @AhmedMohammed-de4ke 3 года назад +2

    Masalafi wa kizanzibari wana tabia 1, wanasema kusoma dua ya pa1 baada ya swala ni bidaa lakini kibaya wao imam akitoa salamu tu hao hata dhikr hawatoi wanatoka mskitini. Sasa swali je wale wanakubali kukaa mskitini wakaleta dhikr na kuomba kwa pa1 dua na wale baada ya swala tu mbio nani bora?

    • @ahmadichubi5384
      @ahmadichubi5384 3 года назад

      Bola anaetoka bila dhikir kwakua hajafanya dhambi ila anaeletanbisaa kafanya uovu mkubwa ,ila twanasihia kuileta hio suna ya dhikri kivyake vyake

    • @mussakantumba824
      @mussakantumba824 3 года назад

      Mtume kasema; Mwenye kusoma Ayatul kursiyy kila baada ya swala ya fardhwi hakuna kitakachomzuia kuingia peponi Isipokuwa umauti. Sasa hao wanaotoka msikitini baada ya salaam tu je hawaoni kuwa wanakosa fadhila hizo?

    • @talibmuhsin5221
      @talibmuhsin5221 2 года назад

      Uhakika umepatia na wanapeleka watu motoni kama funguo wanazo wao

    • @talibmuhsin5221
      @talibmuhsin5221 2 года назад

      @@mussakantumba824 wapumbav tu kwani apo mwanzo walisoma WAP na walitumia vitabu gani , wapotoshaj tu ao

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Год назад

    Wewe

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 3 года назад

    يَـأَيُّهَا الَّذِينَ ءَامَنُواْ لاَ تَتَّخِذُواْ ءَابَآءَكُمْ وَإِخْوَنَكُمْ أَوْلِيَآءَ إِنِ اسْتَحَبُّواْ الْكُفْرَ عَلَى الإِيمَـنِ وَمَن يَتَوَلَّهُمْ مِّنكُمْ فَأُوْلَـئِكَ هُمُ الظَّـلِمُونَ - قُلْ إِن كَانَ ءَابَاؤُكُمْ وَأَبْنَآؤُكُمْ وَإِخْوَنُكُمْ وَأَزْوَجُكُمْ وَعَشِيرَتُكُمْ وَأَمْوَلٌ اقْتَرَفْتُمُوهَا وَتِجَـرَةٌ تَخْشَوْنَ كَسَادَهَا وَمَسَـكِنُ تَرْضَوْنَهَآ أَحَبَّ إِلَيْكُمْ مِّنَ اللَّهِ وَرَسُولِهِ وَجِهَادٍ فِي سَبِيلِهِ فَتَرَبَّصُواْ حَتَّى يَأْتِىَ اللَّهُ بِأَمْرِهِ وَاللَّهُ لاَ يَهْدِى الْقَوْمَ الْفَـسِقِينَ ﴾
    Aya 23 suratul tawbah ni hii amekosea KIBINAADAM ( SURA YA 9 AYA 23)

  • @AliOmar-wl5tm
    @AliOmar-wl5tm 3 года назад +4

    Salaf imefanywa kama kikundi flani cha watu kitu ambacho hakifai ww watakiwa kufuata quran na sunnah na usalaf wako utaonekana bali allah ametuita waislam ktk quran suratul hajj fuswilat na sura nyingi bac wap tumepata ss haya makundi yanatugawa jiite muislam na jinasibishe na quran na sunnah ukifanya ivo utakua ww salaf sio mpaka ujiite

    • @suleimansheshe8490
      @suleimansheshe8490 3 года назад +1

      Ebwan ndug uko sahihi sana sana kabisa ni kweli usemayo

  • @HashimBilemile
    @HashimBilemile 7 месяцев назад

    Answer huyo hakuna kitu

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 месяца назад

    ,sema inafa kudhulumu Kula haki za mayatima na wajane na haki za waislam

    • @SheikhSalimBarahiyan
      @SheikhSalimBarahiyan  4 месяца назад

      @@aminaosman3315
      LAANA ya Allah iwashukie WAONGO waliokula Mali za Waislam kwa Madai kwamba wao ni Wajane na Wana Mayatima .

  • @abuuissa2923
    @abuuissa2923 3 года назад +1

    Vp school yenu ya Arusha mbona unasema mmeiita English school mwisha mmeinasibisha na usalafi!!!?

  • @muhsinchinkola2975
    @muhsinchinkola2975 3 года назад

    Hahahahahaha Babu

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 3 года назад +1

    Masheikh wacheni kuwagawa waislamu mambo ya makundi mmepata wapi mbona kina shafi hawakujiita masalafi

    • @abdulkarimkheri8105
      @abdulkarimkheri8105 3 года назад +1

      Assalamu alaykum soma kwanza piga goti kwa mashekh uelewe unachokizungumza usiongee tu nakusema usichokijua ww huez kuinua mdomo kwa shekh na kusema anagawa makundi

  • @hassan4k7
    @hassan4k7 3 года назад

    skilizeni kauli za wanazuoni hizi
    kuhusu nini maana ya njia ya salaf
    ruclips.net/video/bW484l3a8SI/видео.html

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 Год назад

      Umeelewa majibu ya shekh au unapayuka tu na jazba zako

  • @HashimBilemile
    @HashimBilemile 7 месяцев назад

    Mzee huyu anawapoteza watu kwanza aya anaziharibu nahw hajui kabisa

  • @alisuleiman8614
    @alisuleiman8614 3 года назад

    Huyu anaeitikia AYYAAA anachafua darasa.. maana haitoki moyoni Kwa mshangao wake. Na kusema msumari uo ni kusutana na hatusomeshani.

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 2 года назад

    Wewe umepoteza watu

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 2 года назад

    Mzushi

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 3 года назад

    Milioni mia 2 ziko wapi pamoja na milioni 41

  • @salumnuhu9066
    @salumnuhu9066 3 года назад

    Hahaha babu huna jipya

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 3 года назад +3

    Hapo umeteleza Kutaja aya ya 23 tawbah. Ni aya ya 100 tawbah.na pia umeisoma Kimakosa
    Allah akuongoze.Answar bidaa

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 года назад

      @@Yu-jr9uf fitna ipi kwa huyu Kizee kinachotafuta Ubwana kupitia taasis yake???huyu naye ni ktk watu wa Bidaa pia.

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 года назад

      @@Yu-jr9uf أنا أهل السنة والجماعة.
      Mim ni Ahlu sunna Wal jamaa./Manhaj Salaf/Ahlul ahaadith wal athar.

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 года назад

      @@Yu-jr9uf Inafaa kujiita Salaf kwa lengo la kujitofautisha na Mapote ya upotovu Na haiitw kujitakasa au Gogi.Ila unachosema ww ni shubuhaat na sio hoja.
      Mfano ukiulizwa ww Dini gan?Ukisema muislam je,inapaswa ukatazwe kujiita muislam ??hii ndio siyaq ya maneno yako.
      mwanzon huyo mzee aliita Salafiya ni Dini mpya,Haifai mtu kujiita salafiy,Mara salafiya jadida,Saiv naona Anakula matapishi yake

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 года назад

      @@Yu-jr9uf hahaaaa Unachekesha na English yako.Huku lugha ya mtume wako huijui.Haya jifananishe na wamagharib Mtume asema.Man tashabaha biqawmi fahuwa minhum.
      Hekma ni nin?watu weng husema tuuu hekma.
      الحكم هو إعطاء كل شيء في منزله.
      Hekma ni kukieka kila kitu mahala pake.
      Sasa mtu akizeeka vbaya huku anatafuta Ubwana kama huyu huitwa Kizee.Wala sio tusi nimuweka Mahala pake Kwa sabab Ni mpotoshaji wa Haqq.na yey kashanasihiwa sana Lakin Wap kupenda ukubwa ndo Anachotafuta.
      Huyu ni Answaar Mali.

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 года назад

      @@Yu-jr9uf Dah aisee ww jaahil sana.Kwa hyo ww ukaona bora ujifunze kingereza tu basi.Kwa hyo unadharau Kiarabu kuwa ni sawa tu na lugha nyngne?

  • @amrubinannasannas9185
    @amrubinannasannas9185 3 года назад +2

    Usalafi ni uyahudi wa kasim mafuta

    • @talibmuhsin5221
      @talibmuhsin5221 2 года назад

      Wallahi tena hujakosea na mtume wao ni shehe rabii maan , kassim mafuta kun clip moj anasem , manen ya sheh rabii nikama wahyi na sis tnaelew wahyi aliletewa muhammad s.a.w cc nawao rabii ndo mtume wao , siokam hawajui wanaomfata ila tu wabishani na kufata matamanio yao n ujinga

    • @abuumansoor
      @abuumansoor 2 года назад

      @@talibmuhsin5221 ebu tunaiomba hiyo clip ambayo kassim mafuta anasema maneno ya sheikh rabii ni kama wahyi...na hiki ndicho kipimo cha ujinga wako na roho mbaya na uhasidi ...ILETE HIYO CLIP..jikusanyeni wewe na mfano wako muitafute muilete ..na tunawapa miaka 50 muitafute na muilete..

  • @abdiomar6832
    @abdiomar6832 3 года назад

    Salafi ni Uzushi tena ni bidaaa kubwa

    • @abufirdaus4254
      @abufirdaus4254 3 года назад

      Unazungumza kwa elimu ama kwa hamasa akhy... fatilia maana ya salafy vyema

    • @muhidinn5648
      @muhidinn5648 3 года назад

      @@abufirdaus4254 lazima muumiye na taasubu zenu

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 3 года назад +1

      @@abufirdaus4254
      Ni uzushi akhy Hakuna ktk maswahaba aliyejiita hivyo

    • @abufirdaus4254
      @abufirdaus4254 3 года назад

      Zaburi online..
      Mtu wa kwanza kujiita salafy ni Mtume wa Allah ... nadhani una uchache wa maarifa

    • @abdiomar6832
      @abdiomar6832 3 года назад

      @@abufirdaus4254 Hapo unaonesha uchache na udhaifu wa elimu yako haya Mtume kamwambia mwanawe
      نعم السلف انا لك
      Maana yake Mimi ni Mtangilizi alie bora kwako hili halipingiki ndugu yangu kwa sababu
      السلف هو كل من سبقك في العمر من ذي القرابة من الأب والأم وغيرهم
      Hata nyerere ni salafi ,mkapa ni salafi ,babaako ni salafi ,mama yako ni salafi babu yako ni salafi jirani yako ambae ni kafir kakuzidi umri pia ni salafi maneno hayo kayasema
      Ibnu Mandhuuru sio mm
      Hebu tumuulize fauzan jee inafaa kujiita انا سلفي au أنا اثري
      Jawabu ليس أمر مطلوب والمطلوب اعتقاد صحيح باتباع كتاب الله وسنة النبي
      Tafuta kauli ya fauzan sio kujiita mijina hatukuamrishwa tujiite misalafi tumeamrishwa tuwe waislam hata aya ukitaka ntakupa wewe huna ushahidi wa aya nano karuhusu mjite hivooo kama unaweza pita mbele kwa munaaqasha msituleteee bidaaaa katika dini hiiii