Diamond Platnumz - Live Performance at Goma/congo (part 1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 384

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 6 лет назад +5

    Mi napenda vile mnavyodance alafu izo smiles kuonyesha ni jinsi gni mnavyopenda kazi zenu kutoka moyoni...salute kwenu nyote

  • @lizmellissa7954
    @lizmellissa7954 7 лет назад +13

    wow...kweli East Africa tumebarikiwa...asante mungu kwa kukupa hicho kipawa Diamond...tunafurahi tukiona ukituwakilisha😍😙

  • @lizgichora6472
    @lizgichora6472 7 лет назад +21

    Umefanya vyema kumkumbuka mwenzetu papa wemba.shukran kwa nyimbo safi!

  • @festontandu1747
    @festontandu1747 7 лет назад +7

    msimfananishe simba na waimba kwaya, big up broo, wee ndio king of kings

  • @wabarehassan7728
    @wabarehassan7728 7 лет назад +5

    mond ww n jini
    maana sio kwa aknowledgement hyo!
    salute mzaz!
    keep it up!

  • @theonlydayonicedionis3294
    @theonlydayonicedionis3294 7 лет назад +1

    Bongo tujifunze kuwa na stage nzur kama hizi,,sio mbagala kunabanaaaaa hata msanii hajitawali,tujitahd bhn hata Congo wanatushinda!! haaaah haaaah haaaaaaa bongoooo TZ,,mziki tunapenda miundombinu mibovuuuuu!!

  • @judlinedhaiti8038
    @judlinedhaiti8038 7 лет назад +27

    I'm not african but i love this man so much❤❤❤❤❤😘😘😘😘😘😘

    • @daimually4865
      @daimually4865 4 года назад

      Mond sebene hilo jmn unalitendea hk unawapita mpk watoto wako weee mtoto htr sana ngoja nilirudie tena

    • @daimually4865
      @daimually4865 4 года назад

      Asantee ntashinda nakuangalia jmn maana ni rahaa tuuu kwa kweli

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 года назад

      Mond wewee sebene nalipenda hiloo mpk basii hongera sana kijana kwenye kz unaifanya kazi hongera sana sanaa

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 года назад

      Nalirudia tn sebene umeniteka

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 года назад

      Mond sebene hiloo linaniumiza ntimaa unalitendea haki mtoto wewe

  • @jumanyule7677
    @jumanyule7677 7 лет назад +1

    i love io song na papa wemba i wish mngetoa video bt maulana na mipango yake mikuu akamchukua mja wake big up sana mond unatesa...

  • @mariamaria-uu9lf
    @mariamaria-uu9lf 7 лет назад +1

    on t'aime vraiment, merci pour tes belles musique qui font rever!! que dieu te benisse... merci d'etre venu congo asante sana

  • @amour0072
    @amour0072 7 лет назад +7

    KEEP IT UP MR.DIAMOND PLATNUMZ,AS CONGOLESE WE LOVE YOU VERY MUCH

  • @gongalike3441
    @gongalike3441 7 лет назад +6

    I'm a simple man!
    I see Diamond, I click.

  • @josuebaremba3216
    @josuebaremba3216 4 года назад +4

    Kwetu 🇨🇩🇨🇩 mambo ya ma playback una pigwa mawe....

  • @peterjamess2942
    @peterjamess2942 7 лет назад

    diamond
    ndo rais wetuuuu
    daaaah ishiii miaka
    mingii kk utupe radha
    kalii ya music......
    Simbaaaaaaaaaaaaa

  • @fabienbaseme6376
    @fabienbaseme6376 5 лет назад +1

    Was so whaouh... Still remember this show. I like when doing doesn't do play back

  • @hemedypck6944
    @hemedypck6944 7 лет назад +7

    hakuna ki2 unakosea simbaaaa Show Kali kinyama umeua @Diamond

  • @cloclomeg8038
    @cloclomeg8038 7 лет назад +7

    Simba you are a great dancer. Bravoooooo!

  • @kuzivabaila9880
    @kuzivabaila9880 5 лет назад +4

    im happy that he sang shona lunguage .love from Zimbabwe

  • @kimmukota4423
    @kimmukota4423 7 лет назад +2

    Well done guys love from Zimbabwe

  • @jojonoor7183
    @jojonoor7183 7 лет назад +2

    wawuuuu uuuuuuuuu good preformes diamond only zari knows your fire fire big up pdmond

  • @poshydeprince6729
    @poshydeprince6729 7 лет назад +6

    dah wa2 wa goma wanavibe xo mchezooooo....appriciateeee support yao

  • @TonnyOkello
    @TonnyOkello 7 лет назад +16

    Great to see Goma peaceful people enjoying their life!

  • @ilymkfas3065
    @ilymkfas3065 7 лет назад +9

    Wanasemaga Hujui ila Mungu Pekee anasimamiaga ukweli...Hili linajidhihirisha hapa #diamondplatnumz Mungu akusimamie ,you are the One ,Only One

  • @mussajuma1690
    @mussajuma1690 7 лет назад +10

    aaah huyu jamaa wala Hapati shida Yan Cloud inaongea kwakila Nyimbo anayopga Daaah #Be blessd bro

    • @blackspear1408
      @blackspear1408 7 лет назад +1

      Mussa Juma cloud ndo nini?

    • @athumanilihike2097
      @athumanilihike2097 7 лет назад

      black spear cloud kwenye shows inatumika kama wingi wa watu kwenye show sometimes wanaitaga WAVE 🌊🌊

    • @mussajuma1690
      @mussajuma1690 7 лет назад +1

      athumani lihike hahaha Bora Umenisaidia Maan Jamaa Alitaka Nimeza Hapa

    • @athumanilihike2097
      @athumanilihike2097 7 лет назад

      Mussa Juma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 akakukaba kooo

  • @mokiwamedia1794
    @mokiwamedia1794 7 лет назад +1

    Swahili verses are blessed forever...................................we proud of you Diamond plutnumz 255

  • @amurikakombe7213
    @amurikakombe7213 7 лет назад +1

    asante mond tena karibu sana
    wacongo 🇨🇩mpooo

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 лет назад +57

    kama unaikubali hii show ya SIMBA weka like zake hapa😍😍😍

  • @sophiamukirikirimi5751
    @sophiamukirikirimi5751 7 лет назад +12

    waoooooh that my nigga mondi penda you sana

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 7 лет назад +21

    kwa kweli yani hicho ki style chako unavyoo binuka , huwa nacheka sana hata nikiwa peke yangu.

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 лет назад +49

    team 254 kàma kawa like tukiendaga 😂

    • @AnalystTosh
      @AnalystTosh 7 лет назад +3

      mysh lysh peleka views kwa ngoma za 254

    • @myshylysh3554
      @myshylysh3554 7 лет назад +3

      Clement Gitonga infact zangu ndo mob

  • @babrashking4085
    @babrashking4085 7 лет назад +2

    kazi nzuri sanaaa mondiiiiiiiiiiiiii nkpnd bureee

  • @samybgproperty1883
    @samybgproperty1883 7 лет назад +17

    it is very obvious that diamond is the greatest African musician

    • @johnchukwudum673
      @johnchukwudum673 7 лет назад +1

      Samy Bg Property He is the best, no one can contest. And your right.

    • @StuLenS_Gaming
      @StuLenS_Gaming 4 года назад

      How things have changed..

  • @pizzatech6916
    @pizzatech6916 7 лет назад +1

    diamond your blessed boy for sure I coulnd u wl be successor dat way inshallah sir god lead ur way much far

  • @damarisjembere2977
    @damarisjembere2977 7 лет назад +4

    love me some diamond!

  • @annkassa4000
    @annkassa4000 7 лет назад +7

    Number one 👌simbaaaa

  • @khalfanissamajani4211
    @khalfanissamajani4211 7 лет назад +2

    simba simba hatariii sana pande hizi, goma yote na sake yote ni simba simba simba🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @emmanuellaizer4548
    @emmanuellaizer4548 7 лет назад +1

    fire fire fireeeee big up man utakagi utani na show kweli;;;;;~

  • @isayamsangi4196
    @isayamsangi4196 7 лет назад +4

    u killed it simba. blessed

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 7 лет назад +2

    Nice bro, keep it up... you were Welcomed...

  • @watsonrivers8255
    @watsonrivers8255 7 лет назад +1

    Dancer at the same time a performer great artist much love

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 лет назад +1

    Nataka kwenda Congo kutembea kama kuna mkongo humu aniambie sehemu gani nzuri kwa tourist

    • @amurikakombe7213
      @amurikakombe7213 7 лет назад

      Tracy Justice , sisi apa wakocngo. Congo sehemu yote ni nzurii

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 7 лет назад +5

    Safi kijana, nimependa huo wimbo X Papa Wemba

  • @mirajimhando2150
    @mirajimhando2150 7 лет назад +1

    Atujawai kuacha sarama ndani ya PERFORMANCE........... WCB

  • @danielsiasa459
    @danielsiasa459 7 лет назад +31

    Me kila siku nasema watanzania hawana shangwe za kumsaport msaniii wao akiwa jukwaani.Msanii anaimba watu wanamuangalia mimacho tu...cheki wenzetu huko Congo kitu wanafanya kwa msanii wetu yani ni shangwe mwanzo mwisho...bila kujali ni wimbo gani.Kama kwel tunaupenda mziki wa Tanzania na tunawasapoti wasanii wetu basi tuwape shangwe la kutosha wakiwa jukwaani sio kuwakodolea macho..

    • @pck9716
      @pck9716 7 лет назад +5

      Daniel Siasa congo wanajuwa nini maaana ya mziki na ndiomaaana mziki wa congo unaendelea saàna

    • @isayamsangi4196
      @isayamsangi4196 7 лет назад +2

      Daniel Siasa sanaaa. definitely

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 7 лет назад +2

      P Ck apo umenena mwanangu Tena Congo tuna upendo wawana mziki

    • @agapithswai2283
      @agapithswai2283 7 лет назад +1

      Daniel Siasa no research no right to speak out

    • @danielsiasa459
      @danielsiasa459 7 лет назад +1

      +Agapith Swai kwann ni sspeek

  • @irenenjeri4633
    @irenenjeri4633 7 лет назад +6

    254 i love you diamond hope to meet you one day😍😍😍

  • @raelkiarie4007
    @raelkiarie4007 7 лет назад +1

    Always kills it in his performance

  • @jombapadu582
    @jombapadu582 5 лет назад +2

    I ❤❤❤ African dance moves so cool

  • @jeampybassmaestro5469
    @jeampybassmaestro5469 7 лет назад +3

    thanks @Diamond for remembering @Papa wemba!

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 лет назад

    Mkali ktk hizi kazi... Salute bb tee

  • @shebyhamza4367
    @shebyhamza4367 4 года назад +1

    Aiseeeeeeeeeh uyu msenge anajua daaaaaah

  • @omarkhamisikhamisi7655
    @omarkhamisikhamisi7655 7 лет назад +4

    simba you're the best big up sana

  • @marimarimu3697
    @marimarimu3697 7 лет назад +7

    simba we mkali bhana duhhh mungu akusimamie

  • @ramatansino8252
    @ramatansino8252 7 лет назад +40

    huu ndio uchawi we2 lete msanii wako yyt bongo lazm akae simbaaaaaaaaa m2 mbayaa.alafu kunam2 anajiita king daaaah mungu anawaona wanaojiita king alafu show zao awapost haaaaaaaaa king wa vibopaa

  • @kefawales8187
    @kefawales8187 7 лет назад +3

    Huo wimbo na Papa Wemba uliutendea haki sana aisee

  • @issershomarry1642
    @issershomarry1642 7 лет назад +8

    nakukubali sana jembe langu #chibudangote

  • @thenextbigthing3275
    @thenextbigthing3275 7 лет назад +5

    Hii ni Congo, wanapiga Swahili good

  • @mubarakabdullahahmed7878
    @mubarakabdullahahmed7878 7 лет назад +2

    I am watching all the songs I am Sudanese

  • @stephensalama7692
    @stephensalama7692 7 лет назад +2

    Welcome to Goma #DiamondPlatnumz, isiwe mara ya mwisho. Yaani uje hata twice a year tuta furahi sana

  • @2plus8egal10
    @2plus8egal10 7 лет назад +1

    Back to the source of music.

  • @shadianussuna6371
    @shadianussuna6371 7 лет назад +5

    Yes we in class na wawoooo

  • @siabsilver9225
    @siabsilver9225 4 года назад +2

    Che cose incredibili che mi sono perso

  • @octavian54
    @octavian54 7 лет назад +2

    Sijawahi kukosea vya kushabikia....... WCB 4ever

  • @Manshyne
    @Manshyne 7 лет назад +9

    ivi Congo wanaongea kiswahili... mbn wanaimba utadhani lugha yao.... ama kweli mond Africa huna mpinzan

  • @yuusufnuur5752
    @yuusufnuur5752 5 лет назад +3

    Kwakweli shoo ilikuwa safi

  • @mombasanews3024
    @mombasanews3024 7 лет назад +13

    Diamond Platnumz tumechoka kukuona mgongo wako ukiPerform live twataka kukuona na mbele, kwa ufupi nunuwa Drone Wasafi company kubwa !!!!

  • @athumanilihike2097
    @athumanilihike2097 7 лет назад

    we jamaa tena basi mamaaaaeeeeee 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @sumayahnansamba4089
    @sumayahnansamba4089 7 лет назад +1

    wcf the best..Team simba. .wasafi for life

  • @florencelaure6439
    @florencelaure6439 7 лет назад +2

    This make me miss my lovely city Goma in DRC,I'm missing a lot of staffs

  • @kelvinkinyeghodangote3098
    @kelvinkinyeghodangote3098 3 года назад

    Come back Bro

  • @jahdaughterwambotosh7906
    @jahdaughterwambotosh7906 7 лет назад +2

    I love da energy😎😎😎😎

  • @preddybim7980
    @preddybim7980 7 лет назад +2

    First viewer

  • @dayoorzenol2620
    @dayoorzenol2620 7 лет назад +5

    aaaah labda wakushone mdomo ndo wata tusua alooo ila bila ivooo watangoja sanaaaaa.....

  • @prettyangel9655
    @prettyangel9655 7 лет назад +36

    simba hoyeee
    hoyeeeeeeeee!!!
    nakupenda buree Mondi 😙😙😙

  • @barakamohammed5723
    @barakamohammed5723 7 лет назад

    you've killed chacun sour with papa wemba when ur fans were singing them selves

  • @maziwafidelis3362
    @maziwafidelis3362 6 лет назад

    Simba nisimba2 aweziakabadilika akawachui mamboni 🎤🎤🎤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nimtaalpo1526
    @nimtaalpo1526 7 лет назад +1

    so nice diamond big respect

  • @richieamadi1492
    @richieamadi1492 7 лет назад

    hahahaaa,, mondi mchapa kazi kweli ana talanta si haba...good luck to him WCB

  • @bonnysure1082
    @bonnysure1082 7 лет назад

    Mondi mnyamaaaaa 👊👊 sana mkali

  • @razanadesign9209
    @razanadesign9209 7 лет назад +2

    Nice dancing my brother's

  • @goldennamz
    @goldennamz 7 лет назад

    Ah!!!!!!!!!! ona jua lingana "king of mziki sana """"

  • @yonasiespoir1883
    @yonasiespoir1883 3 года назад

    I love this man

  • @julietkiende8941
    @julietkiende8941 7 лет назад +2

    Wao i like the movement there dance very nice

  • @mainboytv444
    @mainboytv444 7 лет назад +10

    oi hiyo kongo au kongowe maana kiswahili kama wa mwananyamala siiiiimbaaaaaaa

  • @athumanimalila1064
    @athumanimalila1064 7 лет назад

    we n Nouma sna yan hatareee.

  • @abiriawaelimu2428
    @abiriawaelimu2428 7 лет назад

    Magufuri akistaafu amwachie nchi Diamond...

    • @samsonmakolo819
      @samsonmakolo819 7 лет назад +1

      Abiria Wa elimu you are very funny indeed

  • @mutungamulatya1330
    @mutungamulatya1330 7 лет назад

    Napenda ngoma zake Diamond sana....

  • @razanadesign9209
    @razanadesign9209 7 лет назад +1

    my legend Diamond Platnumz one love bro
    $$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$

  • @deogratiusminja2302
    @deogratiusminja2302 7 лет назад +1

    Tishaaaaa sanaaaaa 🔥 🔥 🔥

  • @cawilmaado3650
    @cawilmaado3650 7 лет назад +115

    iam first view like my comment

  • @beqs.kirikou
    @beqs.kirikou 6 лет назад

    Oh my god can't wait to go back home

  • @Jefree-f7d
    @Jefree-f7d 5 лет назад

    towa hii goma baba lao please nizuri sana brother please trowa hii goma nahii dance please i'm applause you my brother mkali wavyote diamond platnumz jibu jibu denga

  • @husseinmangullah8670
    @husseinmangullah8670 7 лет назад +1

    history inazidi kuandikwa #simbaaaa

  • @goodluckkayombo5298
    @goodluckkayombo5298 7 лет назад

    good per formance big up my broz

  • @authorepiscopereemmanuel964
    @authorepiscopereemmanuel964 7 лет назад +13

    apo kwa congo ume patia bila ivo show yako Inge lala congo sebene njo yao

  • @rockmagembe2760
    @rockmagembe2760 7 лет назад

    unanikosha mimi jaman watasubili sana wewe uko juu

  • @jamesm.darnes640
    @jamesm.darnes640 6 лет назад

    The Lion of Africa

  • @Tiffany2-Jr
    @Tiffany2-Jr 7 лет назад +8

    tafuta pesa mond uje utuzindulie juice tusukumie mondkaranga😂😂😂 apo teamkima wananilaani nyokoooo😂😂😂

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 7 лет назад +2

    Im proud of u Simba

  • @maryamoganda623
    @maryamoganda623 5 лет назад

    Simba Simba Simba nakupenda adi naumwa

  • @sanndyberg645
    @sanndyberg645 7 лет назад +1

    super ❤❤❤❤

  • @decoamuryamury5022
    @decoamuryamury5022 7 лет назад

    nakubali simba mond sana africa mzima