0:00 - 5:00.....Davi....hayo si maswali ya kumuuliza huyu. Hayo ni maswali ya kina Gwajima. Huyu bado anaikulia elimu ya Mungu....acha asimulie ushuhuda.
Mungu wetu muumba Mbingu na Nchi aeendelee kukutunza na kukuzungushia moto wa Roho Mtakatifu ukufunike Davister. Nimependa sana mtumishi anavyojibu. Ndio maana wanasema njia ya kwenda Mbinguni ni nyembamba na kwa shetani ni pana sana. Mungu aendelee kutufundisha na tuelewe maneno ya Mungu.
haya mambo ni halisi kabisa Mungu atupe neema tuishi kwa kumpendeza yeye siku zote... Shuhuda za Adam Aston Mbaya, Rachel and Zipporah na Wengine weengi wamefunua mambo makubwa kama haya Don't take easy
Mwenyezi MUNGU ni sahihi lazima ATUPIME IMANI kama tunampenda..WANAFUNZI WA YESU WALIUMIA VIBAYA KABLA YA WAO KWENDA MBINGUNI..Bila matatizo hutokuwa na moyo wa msimamo wa kumpenda MUNGU MWENYEZI..
Tunapaswa kuomba tukiwa tumejitakasa,tuachane na dhambi. Hapo tukiomba tukiwa hivyo maombi lazima yafike. Maombi hayafiki kwasababu wengi tupo vugu vugu,sasa hivi Mungu dkk chache shetani. Ni ngumu sana pasipo kujitenga na dhambi
2wakortho 12 9 Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
Wokovu nivita, nivita Mungu huiruhusu nakuiachia katika ulimwengu wakimwili hata Yesu mwenyewe alijiruhusu kuuawa, pamoja nahivyo Mungu anamheshimu mwanadamu huacha akauharibu mwili ila hawezi kuharibu roho
Ukiona mtu yoyote ana Kandia story kama hizi basi jua huyo mtu kama sio Mchawi au Mganga au Freemason au Mtambika mizimu. Kwa hawa matajiri wa Freemason wanakuwa wanaweweseka wakijihisi watatajwa ndio maana wanapinga.
Kumaanisha kuwa alikuwa anakutaka wewe tangia mwanzo lakini hangeweza kukuambia ukweli. Aroma 12:1 Mungu yeye direct anatuambia kwamba anatutaka sisi, so unayo nafasi ya kumkubali au kukataa.
Huwzi kumuhusisha MUNGU na lolote lile MUNGU alimpa amri sheria mwanadamu achague uzima au kifo mwanadamu alichagua kifo sasa MUNGU afanye nini amekupa akili timamu chagua uzima au kifo mshahara wa dhambi ni mauti karama ya MUNGU ni uzima wa milele.
Hakuna mwanadamu kati yetu mwenye kujua siri ya Mungu , kwamaana yeye anataka tupateshida au tusipateshida kwakuwa kila jambo alifanyalo kwa viumbe wake yeye ulifanya kwamakusudi, pia shetani hawezi kumshinda Mungu na Mungu hana kikomo u msikiliza mtu yeyote, mambo mengine yanayo zungumzwa na wadamu kuhusu Mungu na vitisho ni sanaa tu, kwani Mungu si shetani na hasisikilize maombi ya viumbe wake wenye kumlilia katika kweli
3:00 Mungu anatupenda ila hawezi enda kinyume na Sheria aliyoweka yeye mwenyewe maana itakuwa yeye ni muongo. Niruhusu nieleze na kingereza maana ndio nitaeleza vizuri. Satan knows that God gave us free will and that's why he took advantage of that to lure Eve to sin and thus all of us as Adam's descendants were condemned by that sin. Satan also knows the authority that God has placed on our tongues and that is why he needs witches and wizards. Because honestly, the devil hates all humans with a passion. If it were possible, he would do the work of destruction all by himself and his demons and genies but he can't because he wasn't given authority as the humans were. Therefore, he pretends to promise humans heaven and uses them to spoil and destruct things with their tongues by casting spells because as much as someone sells their souls to the devil, they still have with them that adamic power given by God's from the beginning. Now, why does God allow this you asked? Because God has given us free will. He cannot now come and enforce His will on us because that would make Him a liar. We through our free will placed ourselves in harm's way where the devil can hurt us when we sinned. When God saw that the devil had used our free will to trick us and took that power from us, He thought of a way to give us back our power by giving up part of Himself as a sacrifice, that is Jesus Christ. Hawa majoka na mapepo ambao wanazuia communication kati yetu na Mungu wetu, sisi ndio tunafaa kuwafyeka mpaka waachie lakini wakati mwingi tunakuwa wadhoofu na kufa moyo maana hatuoni matunda ya maneno yetu kwenye ulimwengu wa roho. Hatuwezi sema Mungu ameruhusu maana He has taken every measure to give us back our authority, we just don't use it as we should. Ametupa mpaka malaika wa kupambana na Hawa majini na majoka ila hatuwatumi. Malaika wetu wanahuzunika sana because we've sent them on permanent leave na huku tunalia Kila siku kwa kichapo tunapata kutokana na majini na mapepo. Mimi pia huwa na weak moments kwa maombi na hata kufa moyo saa zingine lakini I don't stay down for too long because I always remember we're in a fight that we just can't afford to lose, not after all Jesus has done to hand us victory. Yesu alimueka shetani minyororo kwa sababu yetu, naomba nasi tudeal na hii serikali yake shetani ifaavyo tuwaweke minyororo pia. Post ndefu hii nimeandika hata sijui mbona, nimejipata tu nahisi kutoa maoni kuhusu Hilo swali. Hii dunia yetu ni ya vita Kali Kila siku, watu hawajui tu.
@@Mpakauseme sasa wewe unasumbuliwa na uchafuzi wa lugha ama kuelewa? 😂😂 na kweli mna mambo. Sasa na slang, pidgin na sheng ukiskia si ndio utapata headache hadi uzimie? Manze this is social media not class, it's never that serious! Of importance here is you get my point!
@@mysskibe " ndio kama umeamua kupinga ngeli ( bongo tunaita kutema yai tema yai haswa lakini) lakini kama umeamua kuandika kwa kiswahili andika kwa kiswahili andika kwa kiswahi. Halafu tusichukuliane poa na sio kiingereza wapo watu wanajua lugha zaidi ya sita huku usione kujua kingereza na kuandika sana ndio wengine hawajuhi. Sasa ngoja nikupe uhuru - andika comment kwa kiarabu tuanelewa tuu - andika kwa kijerumani tunaelewa fresh tuu - andika kwa kichina ,kijapani na kikorea tunaelewa tuu - andika kwa kifaransa tunaelewa tuu - andika hata kiitaliano tunaelewa fresh tuu - kiingereza ni lugha nyepesi sana kati ya lugha ngumu duniani. Sasa wewe unavyochanganya changanya unadhani basi watu wote huwa hawajuhi lughu. Kuna wengine kazi zetu utalii kujua lugha saba nane inakuwa kaiwaida tuu. Kwahyo acha kuleta mbwembwe za kikenya nyoosha lugha kama unapiga kiswahili piga kiswahili na kama unapiga kingereza piga kiingereza lakini mimi kama mimi nimekupa uhuru andika kijapan ,kichina ,kikorea,kifaransa,kiarabu,kijerumani,kiitaliano nakuelewa na ninakujibu fresh tuu. This is bongo land huwa hatupend kutishiwa
Labda tu niwaambie mambo mengi waneoshudia n kweli but hiyo inatokana na nyota y mtu ndomaan unakuta ibilis anatumia watu wenye nyota kubwa ht freemason hawaangaiki n mtu mwenye nyota y kawaida wanapenda watu wenye nyota za kimataifa kitaifa
Yuhu alie kufa kwa ajali sio sharo kweli maan kuna mtumishi kushuhudia kwamba wao ndo walimuuwa kisha watatengeneza ajali ila alikuwa kasha kufa kipindi ajali inatokea
Hakuna utawala usio na masharti. Mungu ana amri zake, na shetani ana masharti yake!.. davista acha kuuliza maswali ya kinafki! Wakati wewe una experience kubwa kuhusu nguvu ya mungu. Muache kijana aeleze ubaya wa shetani. Huyo bwana ana muda mchache kwenye wokovu.
Yaan iko hivi, Hiyo kitu ambayo wewe unasema ni shida, kwa hekima ya Mungu haioni kama ni shida bali anaiona kama steping stone, mheshimiwa DM. Yeye hapendi tupate shida hilo neno la shida ni human mentality na mind translation. Ndio maana shetan yupo Mungu hajamuua kwa sabb kwake yy anaona sio issue kiviiileee. Kwa mtazamo wangu.
NJIA YA SHETANI PIA NI NGUMU, KAMA MTU ANAISHI KWA KULA NYAMA ZA WATU NA DAMU ZA WATU SIO MAISHA MAZURI. HATA UKITOA KAFARA NDUGU YAKO UTAISHI MAISHA YA MAJUTO MIAKA YOTE NA MWISHO WAKE NI MOTO WA MILELE.
Je huko kuzimu alikoenda ndipo wanapoenda binadamu wenye asili zote kama Wazungu,wahindi,wajapan,,. Wachina, n.k? Au wao wanasehemu yao tofauti?? Najua viongozi wa freemason na illuminati ni Wazungu lakini kwenye story kama hizi hawatajwi kama wanakua nao huko
Kuna siku hii media kuna mtu alitoa ushuhuda wakati huyo anaeongea namjua nimecheza nae toka utotoni mpka tumekua pamoja mtaa mmoja hawa watu waongo hiv vitu vianapangwa
Mungu hajaribu mtu alakini ana ruhusu. Sasa niambie sasa , mwenye anaruhusu ujaribiwe na anae jaribu nani njo ana nguvu. Aliruhusu Ayubu na biblia inasema alipo batizwa akaongozwa jangwani ili hajaribiwe na shetani,!!!! Mungu ni roho na Yesu akaongozwa na roho jangwani ili ajaribiwe. Biblia ni kubwa kila mtu anaelewa ku sehemu.
Mungu ana acha shida zitupate Kwa jili la utukufu wa Jina lake.Yohana 9
0:00 - 5:00.....Davi....hayo si maswali ya kumuuliza huyu. Hayo ni maswali ya kina Gwajima. Huyu bado anaikulia elimu ya Mungu....acha asimulie ushuhuda.
Ila amejiatahidi sana kujibu
Mungu wetu muumba Mbingu na Nchi aeendelee kukutunza na kukuzungushia moto wa Roho Mtakatifu ukufunike Davister. Nimependa sana mtumishi anavyojibu. Ndio maana wanasema njia ya kwenda Mbinguni ni nyembamba na kwa shetani ni pana sana. Mungu aendelee kutufundisha na tuelewe maneno ya Mungu.
Ushuhuda mzuri sana 🇧🇷🇧🇷
Kwa kweli mungu anaeza ruhusu tupate shida, kama vile aliruhusu kwa Mtumishi wake Ajubu, ndio ajue msimamo wetu.
Katika cha Daniel 10 utapata majibu.
haya mambo ni halisi kabisa Mungu atupe neema tuishi kwa kumpendeza yeye siku zote... Shuhuda za Adam Aston Mbaya, Rachel and Zipporah na Wengine weengi wamefunua mambo makubwa kama haya
Don't take easy
Hahika mungu anaweza tunajifunza Mambo mengi Sana
Pamoja saana Mr everything 💪 I
Naomba umulize kuhusu cool James mtoto wa ndando.
Mwenyezi MUNGU ni sahihi lazima ATUPIME IMANI kama tunampenda..WANAFUNZI WA YESU WALIUMIA VIBAYA KABLA YA WAO KWENDA MBINGUNI..Bila matatizo hutokuwa na moyo wa msimamo wa kumpenda MUNGU MWENYEZI..
Davis hayo maswali yanaonesha umechoka kusali kaza buti endelea ku sali
Mr everything 🙏
Tunapaswa kuomba tukiwa tumejitakasa,tuachane na dhambi. Hapo tukiomba tukiwa hivyo maombi lazima yafike. Maombi hayafiki kwasababu wengi tupo vugu vugu,sasa hivi Mungu dkk chache shetani. Ni ngumu sana pasipo kujitenga na dhambi
Mungu aliruhusu Ayubu ajaribiwe, Mungu aliruhusu Yesu Kristo ajaribiwe. Mungu anaruhusu majaribu kwa Wanadamu.
Shetani hugoja sister tufanye Dhabi alafu again giant na kututeza hata kuua.
Inatubidi tuishi Marshall matakatifu ndio tuweze kumshida shetani
Punguza maswali unaharibu kipindi mwache mwenyewe aelezee
Shetani utumia Sana wake wa wachungaji kuwaangusha watumishi weki
hi. story ninzur ina sisimiwa na nindefu pia mana ndokwanza hamja badilisha hata nguo yan mungu apewe sifa
2wakortho 12
9 Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
Shetani analeta shangamoto lakini Mungu hulitumia kama mtihani kwa faida zetu.
🔥🔥🔥🔥
Wokovu nivita, nivita Mungu huiruhusu nakuiachia katika ulimwengu wakimwili hata Yesu mwenyewe alijiruhusu kuuawa, pamoja nahivyo Mungu anamheshimu mwanadamu huacha akauharibu mwili ila hawezi kuharibu roho
Maombi huzuiwa haswa ukiwa na nyota kubwa na hao wanaozuia huitwa wakuu hadi uombe uwaangushe sio kazi ndogo
Ukiona mtu yoyote ana Kandia story kama hizi basi jua huyo mtu kama sio Mchawi au Mganga au Freemason au Mtambika mizimu. Kwa hawa matajiri wa Freemason wanakuwa wanaweweseka wakijihisi watatajwa ndio maana wanapinga.
Naunga mkono
kabisa,
ruclips.net/video/Fj8fLG1CtQM/видео.html list ya manabii wa uongo
Ayubu alipata shida kama majaribu ya kukuza Imani yake
Imani ni matendo
Shetani hana huruma, shukrani wala fadhila hata umpe ukoo wako wote akiwamaliza at the end lazima akuue.
Nakubali
Kumaanisha kuwa alikuwa anakutaka wewe tangia mwanzo lakini hangeweza kukuambia ukweli. Aroma 12:1 Mungu yeye direct anatuambia kwamba anatutaka sisi, so unayo nafasi ya kumkubali au kukataa.
Ishu ya adhabu ya kuzimu wamesimulia wengi sana shetani hana shukrani, ni SAwa na mwanamke kahaba thamani yake kwako ni pesa yako
Mbona mateso yanayoongelewa yanausu maisha ya waafrika ila hiyo injili inayohubiliwa kwa wazungu
Mwafrika ana majuto sababu amjui MUNGU
Mungu alirusu satan atese Ayubu lakini kwa malengo
Tuelezwe kuhusu embassy hotel eti ni lango la kuzimu ndo maana aikarabatiwi
Huwzi kumuhusisha MUNGU na lolote lile MUNGU alimpa amri sheria mwanadamu achague uzima au kifo mwanadamu alichagua kifo sasa MUNGU afanye nini amekupa akili timamu chagua uzima au kifo mshahara wa dhambi ni mauti karama ya MUNGU ni uzima wa milele.
Hakuna mwanadamu kati yetu mwenye kujua siri ya Mungu , kwamaana yeye anataka tupateshida au tusipateshida kwakuwa kila jambo alifanyalo kwa viumbe wake yeye ulifanya kwamakusudi, pia shetani hawezi kumshinda Mungu na Mungu hana kikomo u msikiliza mtu yeyote, mambo mengine yanayo zungumzwa na wadamu kuhusu Mungu na vitisho ni sanaa tu, kwani Mungu si shetani na hasisikilize maombi ya viumbe wake wenye kumlilia katika kweli
Lazima ukiomba mungu uwe naimani ila unaswali lakini aunaimani auko pamoja namungu
Ni Mungu au MUNGU jina lake ni takatifu sana
Muache mwamba aendelee ww acha kumchelwsha unatumalizia mb😮
Ata mimi huwa nachoka kuomba sababu naomba kitu mda mrefu na sipati so uwa nakata tamaa kabisa naachana na hayo maombi
Davista Mungu hapendi tupate shida, shida tunataka sisi wenyewe kwakutotaka sheria zake.
Biblia ahijasema kwamba wakristo hawatateseka.
Ni mbinguni tu ambako hakuna shida.
3:00 Mungu anatupenda ila hawezi enda kinyume na Sheria aliyoweka yeye mwenyewe maana itakuwa yeye ni muongo. Niruhusu nieleze na kingereza maana ndio nitaeleza vizuri.
Satan knows that God gave us free will and that's why he took advantage of that to lure Eve to sin and thus all of us as Adam's descendants were condemned by that sin. Satan also knows the authority that God has placed on our tongues and that is why he needs witches and wizards. Because honestly, the devil hates all humans with a passion. If it were possible, he would do the work of destruction all by himself and his demons and genies but he can't because he wasn't given authority as the humans were. Therefore, he pretends to promise humans heaven and uses them to spoil and destruct things with their tongues by casting spells because as much as someone sells their souls to the devil, they still have with them that adamic power given by God's from the beginning.
Now, why does God allow this you asked? Because God has given us free will. He cannot now come and enforce His will on us because that would make Him a liar. We through our free will placed ourselves in harm's way where the devil can hurt us when we sinned. When God saw that the devil had used our free will to trick us and took that power from us, He thought of a way to give us back our power by giving up part of Himself as a sacrifice, that is Jesus Christ.
Hawa majoka na mapepo ambao wanazuia communication kati yetu na Mungu wetu, sisi ndio tunafaa kuwafyeka mpaka waachie lakini wakati mwingi tunakuwa wadhoofu na kufa moyo maana hatuoni matunda ya maneno yetu kwenye ulimwengu wa roho. Hatuwezi sema Mungu ameruhusu maana He has taken every measure to give us back our authority, we just don't use it as we should. Ametupa mpaka malaika wa kupambana na Hawa majini na majoka ila hatuwatumi. Malaika wetu wanahuzunika sana because we've sent them on permanent leave na huku tunalia Kila siku kwa kichapo tunapata kutokana na majini na mapepo.
Mimi pia huwa na weak moments kwa maombi na hata kufa moyo saa zingine lakini I don't stay down for too long because I always remember we're in a fight that we just can't afford to lose, not after all Jesus has done to hand us victory. Yesu alimueka shetani minyororo kwa sababu yetu, naomba nasi tudeal na hii serikali yake shetani ifaavyo tuwaweke minyororo pia.
Post ndefu hii nimeandika hata sijui mbona, nimejipata tu nahisi kutoa maoni kuhusu Hilo swali.
Hii dunia yetu ni ya vita Kali Kila siku, watu hawajui tu.
Ukiamua kuandika kingereza andika kwa kingereza mpaka mwisho au kiswahili fanya hivyo pasi na hivyo unakuwa ni uchafuzi wa lugha
@@Mpakauseme sasa wewe unasumbuliwa na uchafuzi wa lugha ama kuelewa? 😂😂 na kweli mna mambo. Sasa na slang, pidgin na sheng ukiskia si ndio utapata headache hadi uzimie?
Manze this is social media not class, it's never that serious! Of importance here is you get my point!
🙌❤very true and that's how I also understand, seems you are well versed on the word of God, be blessed much.🙏
Umeeleza vizuri,ukaokoa jahazi. Amen.
@@mysskibe " ndio kama umeamua kupinga ngeli ( bongo tunaita kutema yai tema yai haswa lakini) lakini kama umeamua kuandika kwa kiswahili andika kwa kiswahili andika kwa kiswahi. Halafu tusichukuliane poa na sio kiingereza wapo watu wanajua lugha zaidi ya sita huku usione kujua kingereza na kuandika sana ndio wengine hawajuhi. Sasa ngoja nikupe uhuru
- andika comment kwa kiarabu tuanelewa tuu
- andika kwa kijerumani tunaelewa fresh tuu
- andika kwa kichina ,kijapani na kikorea tunaelewa tuu
- andika kwa kifaransa tunaelewa tuu
- andika hata kiitaliano tunaelewa fresh tuu
- kiingereza ni lugha nyepesi sana kati ya lugha ngumu duniani. Sasa wewe unavyochanganya changanya unadhani basi watu wote huwa hawajuhi lughu. Kuna wengine kazi zetu utalii kujua lugha saba nane inakuwa kaiwaida tuu. Kwahyo acha kuleta mbwembwe za kikenya nyoosha lugha kama unapiga kiswahili piga kiswahili na kama unapiga kingereza piga kiingereza lakini mimi kama mimi nimekupa uhuru andika kijapan ,kichina ,kikorea,kifaransa,kiarabu,kijerumani,kiitaliano nakuelewa na ninakujibu fresh tuu. This is bongo land huwa hatupend kutishiwa
Labda tu niwaambie mambo mengi waneoshudia n kweli but hiyo inatokana na nyota y mtu ndomaan unakuta ibilis anatumia watu wenye nyota kubwa ht freemason hawaangaiki n mtu mwenye nyota y kawaida wanapenda watu wenye nyota za kimataifa kitaifa
Yuhu alie kufa kwa ajali sio sharo kweli maan kuna mtumishi kushuhudia kwamba wao ndo walimuuwa kisha watatengeneza ajali ila alikuwa kasha kufa kipindi ajali inatokea
Wa tanga ni sharo alijitoa mwenyewe kafara ya miaka michache ya kuishi duniani iliyobaki anatumika kuzimu
Majukumu katika hio ngazi ya pili yalikuwa yapi?
Punguza maswali unaharibu kipindi
Kama unataka hivyo akuadisie peke yako pembeni
Akisha Anza awe Ame Anza
Hakuna utawala usio na masharti. Mungu ana amri zake, na shetani ana masharti yake!.. davista acha kuuliza maswali ya kinafki! Wakati wewe una experience kubwa kuhusu nguvu ya mungu. Muache kijana aeleze ubaya wa shetani. Huyo bwana ana muda mchache kwenye wokovu.
Unayo akili mingi sana selina!!! Maswali ya kumuuliza gwajima ni tofauti na kumuuliza huyu dogo!!;
Yaan iko hivi, Hiyo kitu ambayo wewe unasema ni shida, kwa hekima ya Mungu haioni kama ni shida bali anaiona kama steping stone, mheshimiwa DM. Yeye hapendi tupate shida hilo neno la shida ni human mentality na mind translation. Ndio maana shetan yupo Mungu hajamuua kwa sabb kwake yy anaona sio issue kiviiileee. Kwa mtazamo wangu.
Watu wote wakipita kuzimu Hakuna atakaetenda dhambi. Ushuhuda wa kuzimu mtafute Adam Aston Mbaya au Mchungaji Amiel katekela
Kwa Mungu hakuna gharama ila kujitoa na kufuata maagizo na sheria ndo watu wanashindwa
NJIA YA SHETANI PIA NI NGUMU, KAMA MTU ANAISHI KWA KULA NYAMA ZA WATU NA DAMU ZA WATU SIO MAISHA MAZURI. HATA UKITOA KAFARA NDUGU YAKO UTAISHI MAISHA YA MAJUTO MIAKA YOTE NA MWISHO WAKE NI MOTO WA MILELE.
Davista punguza maswali yanakuwa mengi
Mara 2019 mara 2010,? Story imekosa uelekeo!
Mfalme hua anatumwa au kuadhibiwa?
Elisha mulili na kanisa lako lina mashaka!
Mlikua mapacha tena?
I think that you should really understand that in the spiritual realm, things are not the same with our world.
Alikua anamaanisha 2009 kumbuka yeye ni binadam kusahau laxima
Dunia gunia
Je huko kuzimu alikoenda ndipo wanapoenda binadamu wenye asili zote kama Wazungu,wahindi,wajapan,,. Wachina, n.k? Au wao wanasehemu yao tofauti?? Najua viongozi wa freemason na illuminati ni Wazungu lakini kwenye story kama hizi hawatajwi kama wanakua nao huko
Majina ya watumishi feki ruclips.net/video/Fj8fLG1CtQM/видео.html
nyie hamjui watu hupitia..
Kuna siku hii media kuna mtu alitoa ushuhuda wakati huyo anaeongea namjua nimecheza nae toka utotoni mpka tumekua pamoja mtaa mmoja hawa watu waongo hiv vitu vianapangwa
Tupe uthibitisho fala ww
Sio rahisi kwa faida ya nani, Acha muumbuliwe zamani hizi za mwisho
Anaeamini huu ujinga ni midudu isiojielewa kama wewe ila mwenye akili timamu hawez kukubali hata kidogo
@@Abusalim308 bado mtoto Sana uujui ulimwengu, ujui mengi kuhusu hii dunia. Ndugu shetani hana fadhila hata umpe tigo akitosheka lazima akuue
USISEME UNAMJUA MTU AU WATU, Nataka tu kukwambia hayo unayodhani unamjua mtu/watu basi HUJUI CHOCHOTE, na ukijua ndo utaelewa hii ni DUNIA.
jifunzeni kwanza biblia MUNGU imeandikwa hamjaribu mtu
Mungu hajaribu mtu alakini ana ruhusu. Sasa niambie sasa , mwenye anaruhusu ujaribiwe na anae jaribu nani njo ana nguvu. Aliruhusu Ayubu na biblia inasema alipo batizwa akaongozwa jangwani ili hajaribiwe na shetani,!!!!
Mungu ni roho na Yesu akaongozwa na roho jangwani ili ajaribiwe. Biblia ni kubwa kila mtu anaelewa ku sehemu.
Harusi ya samuel mv bukoba alishafanya kipindi humu ruclips.net/video/7UhdP1eY0K8/видео.html