ukweli wa tableegh part 3 of 4

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 44

  • @grealishteam5247
    @grealishteam5247 7 месяцев назад

    Allah azidi kukuhifadhi sheikh umemetutowa kwenye ujahili

  • @NurdinKaskasi-nd9jd
    @NurdinKaskasi-nd9jd 6 месяцев назад

    Sheikh Allah(s.w)akuhifadhi

  • @halimahassan1936
    @halimahassan1936 9 лет назад +4

    Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.

  • @abdullahibulle5717
    @abdullahibulle5717 4 года назад +2

    Sheikh angalia unachozungmza kwa ummah kupitia kazi hii ndio waislamu wakaji fahamu wewe hauna yakini juu ya Allah

  • @IbrahimBuhoha
    @IbrahimBuhoha 10 месяцев назад

    Aa we shee hufai kabisaa

  • @jesmirmohamed3467
    @jesmirmohamed3467 3 года назад +2

    shekh tabligh inasiri kubwa sana kama hujui plz usipode tabligh utaangamia

  • @yumnabashir1784
    @yumnabashir1784 Год назад +1

    ilimu na kufahamu ni vitu vili tafautii allah atufahamishe jamanii

  • @mohamedbinyusuff1007
    @mohamedbinyusuff1007 6 лет назад +4

    SubahanAllah unapotosha wa2 shekh muogope Allah

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 года назад +2

    Muovu sana wewe. Wazuia watu kumtangaza Mungu..😲😲😲
    Utapata hasara Shekh. Wacha ushetwani huo

  • @aburaji9340
    @aburaji9340 6 лет назад +2

    Mashekh wa daawa ndani ya misikitini tu hao

  • @bakarimtanzania5430
    @bakarimtanzania5430 6 месяцев назад

    Huyu shekhe msenge kweli kwani huko kundini tunakoenda anafikiri tunaenda kufanya nini mwenye namba ya huyu shekhe si anipe nimpe vidonge vyake

  • @MohamedMohamed-ke7vi
    @MohamedMohamed-ke7vi 5 лет назад +2

    Assalam alaykum shekh unasema uwongo wazahli kabisa maneno yako na monekano wako ayaendan muofu Allah unajichafuwa anza upya ujisafishe

  • @halimahassan1936
    @halimahassan1936 9 лет назад +1

    O you who believe! Be upholders and standard-bearers of right for God's sake, being witnesses for (the establishment of) absolute justice. And by no means let your detestation for a people (or their detestation for you) move you to (commit the sin of) deviating from justice. Be just: this is nearer and more suited to righteousness and piety. Seek righteousness and piety, and always act in reverence for God. Surely God is fully aware of all that you do.
    يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ كُونُواْ قَوَّامِينَ لِلّهِ شُهَدَاء بِالْقِسْطِ وَلاَ يَجْرِمَنَّكُمْ شَنَآنُ قَوْمٍ عَلَى أَلاَّ تَعْدِلُواْ اعْدِلُواْ هُوَ أَقْرَبُ لِلتَّقْوَى وَاتَّقُواْ اللّهَ إِنَّ اللّهَ خَبِيرٌ بِمَا تَعْمَلُونَ

  • @mohammedntagomegwa7406
    @mohammedntagomegwa7406 5 лет назад +2

    innalillah wainalillah rajiuun hivi huyo ni shekhe au ni kafrii maana sielewi anachozungumza ni tufouti kabisa na tabliq eti wakisikia watu kutoka India pacstan wanakimbilia watu wanatokakwa nafasi na Mali yao labda katumwa

    • @othmanbakari2675
      @othmanbakari2675 4 года назад

      Inalullah waina ilahi rajiun muomb mxmh huyo shekh wamuita muislam mwzy kafir allah akufahamixh

  • @omarsakawa2070
    @omarsakawa2070 2 года назад +1

    Sasa wale wa vijijini watafikishiwa vipi dini?kama wawapinga hawa?

  • @halimahassan1936
    @halimahassan1936 9 лет назад +5

    Nani Angepeleka Uislamu mpaka Usa, Russia, Sweden etc. kama wangekuwa kama wewe. ugonjwa yako ni makubwa

  • @ghalibabdallah9297
    @ghalibabdallah9297 2 года назад +2

    Sheh unasema haki tupu

  • @mohamednyuni2631
    @mohamednyuni2631 4 года назад +1

    Mm niiliacha nyumba na wakati wa mafuriko nyumba yangu kavu jee hiyo ni sarakasi!

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 года назад +2

    Kila wanalofanya watu wa Tabligh ni katika sunna. Kulala masjid, kuhimiza swala, kutembelea waislam, kukaa taalim, etc. Haya twambie bida yao nini? Shekh Abdalla fars mwenyewe aliunga mkono Tabligh. Wewe nani??

  • @hajiali9300
    @hajiali9300 2 года назад

    saihuna itizame vizuri siyaha baadhi ya wanachuoni wametafsiri funga miongoni mwa hao Dr, wahabati zuheil ktka tafsiirl muniri

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Год назад

    Swadakta shekh

  • @tawakarkhani6418
    @tawakarkhani6418 7 лет назад +2

    we rudi ukasome tena hukuelewa na kama ulielewa basi ulielewa vibaya tena unatia hasira sana nakuombea kwa Allah na Allah akufahamishe

  • @cloudebrown4587
    @cloudebrown4587 4 года назад +2

    Ikhtilafu ilikuwa hata wakati wa mtume....langu sikio tuu...

  • @abubakarhamis-od9yc
    @abubakarhamis-od9yc 6 лет назад +2

    unatafuta kiki njaa itakulitadisha muombe allah akupe ufahamu

  • @halimahassan1936
    @halimahassan1936 9 лет назад +6

    these Man is speaking lies infront of us. subhanaAllah ..
    sijawai kuona mtu anamsingizia waislamu wenzanke uwongo kama huyu jamaa.

  • @abubakarhamis-od9yc
    @abubakarhamis-od9yc 6 лет назад +2

    harafu ww jiangarie unaweza pata matatizo muogope allah sheikh

  • @hijabiigirl4949
    @hijabiigirl4949 Год назад

    Ukweli una uma Sheikh kasema kweli mengi tunaona kuhusu hawa.watu vp utawacha mke miezi 4 na nyumbani haukuacha kitu ????

  • @ahmedabdiaziz7619
    @ahmedabdiaziz7619 5 лет назад +3

    Hahha kongamano haina siku maalum nani Kaku ambia ukitoka lazma ikue siku tatu ama 40..???

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 5 лет назад +2

    Uongo mtukufu na mtume asema mwisilamu hawi mwongo wewe siyo mwisilamu

    • @othmanbakari2675
      @othmanbakari2675 4 года назад

      Subhana llah wengine hawa niwajinga wamtia mtu ktk ukafiri bila ya ushahidi

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 года назад +1

    Wewe unamfikia Shekh Abdalla Fars?? Nae huyo aliunga mkono Tabligh. Wewe huwezi kufanya kazi wataka watu wakufate. Sunna ya mtume (saw) alikua akifata watu sehemu zote mpaka majumbani. Ndio wanavofanya. Wewe huezi hilo Wacha wawezao wafanye

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 Год назад

    Hii ni hatari unawaponda tabligh wewe hujielewi kabisaa halafu unajiita shehe

  • @dumatv2872
    @dumatv2872 2 года назад

    أنت جاهل

    • @dumatv2872
      @dumatv2872 2 года назад

      Wewe nimjinga sana huna adabu kabisa