NIKUREJESHEE LYRICS - NEEMA GOSPEL CHOIR
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yeremia 30:17
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA ...
Yoeli 2:25
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
@NeemaGospelChoir
#Nikurejeshee
Kama umetoka tiktok Kaa Mimi usipite bule bila like.
😅😅😅😅😅safi sana mkuu
Same to me ❤
@@partialyricsp
Aqq
awooden
@@dolbertwamalwa9940
Same to me
Wimbo mzuri wakurejesha waliopotea waliotoka kwa neno la mungu barikiwa wanakwaya
Hii nyimbo inanibariki mpaka naogopa 😢😢 acha Mungu anijereshee sasa
unirejeshe
Mungu anakwenda kurejesha yote🙏🙏
Amen
Me too❤
Very poweful , Yesu ndiye mrejeshaj wa aman iliyopotea
Mungu azidi kuwainua Neema Gospel Choir; wimbo mzuri wenye kurejesha matumaini kwa wajoli wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Hakika mmeimba na kucheza kwa ustadi.
Amen
This is my song for today - a confirmation from God himself. This song was poured into my spirit this morning. Thank you. Am blessed
Jaman nimeupenda Sanaa mbarikiwe watumishii
Amen, ubarikiwe zaidi
Hakika Kristo natamani unirejeshee Amani kama uliyowaachia wanafunzi wako mbali na hii Amani ya duniani ambayo inagharimu uhai wa binaadsmu
Powerful.... blessings to you all Neema Gospel Choir....Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi.
Wimbo mzur sana watumishi wa mungu mbarikiwe
Imenibariki sana inaniweka uweponi
My favourite ...it's a blessed year 2025 for me ...
Oh God. ..naja kwako kwa unyenyekevu wa moyo 🙏,,yalio chukuliwa na muovu nirejeshee huu mwaka........nimepoteza mengi mno😢😢
Bravo!!!!ay God restore everything that was stolen
Njoo kwangu nikurejesheee💯
Naangalia mara kwa mara❤❤❤❤❤
Very powerful song, Kuna kukombolewa na kurejeshewa ,ndani , it's a very powerful msg, mungu anirejeshee, everything the enemy stole from me, in Jesus mighty name, amen 🙏
Huu wimbo uwa unanifariji sana uwa sichoki kusikiliza katika nyakati zote nazopitia
May God restore all I lost amen
Ndo kutoka tiktok. This song is a blessing❤
Be blessed🥰
Abiud introduced me to this song through TikTok.
I can't start a day without playing this song atleast two times before I leave for work.
I can't speak fluent kiswahili but I really have fallen in love and can now proudly say "nikurejeshee😅😂😂😂
Amen ,amani ya moyo na furaha ya kweli tuitafute kwa Yesu.
Ataturejeshea.
Beautiful song 😍😍 Here I come Jesus. Restore my life oh Lord!!!
Nyimbo umejawa na upako wa roho mtakatifu
Mungu akubariki sana kaka nami naomuomba mungu anrejeshee mengi sana yamechukuliwa
@@JanethLisakafu amen amen🙏🏽🥰
Power song am blessed ❤
Lord i believe all these shall come to pass.
I proclaim freedom declaration over Joseph Irungu(Jowie) soon He shall be released in Jesus Mighty name.
Nothing is impossible with You Lord.Yes we believe You will make a way.
Mbarikiwe sana sana sana sana sana
Amina Tunarejeshewa kwa jina la Yesu
Asante mungu wangu nirejeshee kila kilichochukuliwa na adui
My good Lord is going to restore everything the enemy stole from me... It wouldn't be long in Jesus 🙏🙏
Siwezi kuchoka kusikiliza huu wimbo. Huu ujumbe unatosha ktk mazingira yote.
Amen
My best song we spiritual and all areas of our life needs restoration ib Jesus mighty name
Faithful God ❤!Abba father!
If you've passed through a lot of temptations you're a fighter 🤴
Amen🙌🙌🙌
🔥🔥🔥🔥
Naitaji urejeshooo😢😢😢😢
Clarity of voice and audible words makes the song even more soul touching
Its GOD not gid
Nahisi kubarikiwa mnoo na wimbo huu, endelea kuhubiri namna hii na Mungu wa kweli anaendelea kuwainua!
Amen
My favourite song 🙏,I sing this song almost every day
Mungu nirejeshee amani wa moyo😢
nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awatie nguvu
Love the song though l don't know the meaning but it blesses me ❤
Asante kwa wimbo umenibariki sana
🙌🏽 hallelujah ... nirejeshee yote Yesu naomba
Amen
God bless this choir ,You are going far.
Pita na like please am blessed oh my God .
Nirejeshee Bwana
Mungu ni mwema!
Amenirejeshea yote..❤
Amen
Eeeh bwana leta urejesho kwa familia yetu , remember us lord, Amen
Amen🙏🏽
It's the first time to listen to this and I must say it's a blessing it's amazing
Amen, be blessed✨
Mungu awabariki sanaaaa jaman 🫂🙏
Amina, ubarikiwe pia🙏🏽
Wow so powerful
💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
A powerful song...
Nikurejeshee...anasema njoo kwangu..
Nikurejeshee
Halleluyah 🙌🙌🙌🙌🙌
Amen and Amen
Wonderful ❤ can't get enough of this this 🔥🔥🔥🔥🔥
If you are listening with me like 👍
Restoration Restoration, the voice of Restoration. A great song.
Amen, may the Lord our God bless you abundantly 🙏🏽
Ohh what a song!!!nimeirudia hadi nimeijua yote in one day,,,Mungu nakuomba unirejeshee vyote vilivyo ibiwa,,,A blessed song.Amen
Have seen this happen to me 🙏🙏🙏
So powerful ...this is pure blessing..... Restoration.... Restore yote yaliyochukuliwa/kuibiwa na muovu ee bwana
Amen 🙏🙏 he's going to restore everything in Jesus name ....... I lost my education but what I Know is that he's more than it and he wanna restore with double blessings 🙏 I trust the process in Jesus name 🙏🙏🙏
Nabarkiwa sana
Amen Amen
Hii wimbo inabariki sana. Barikiweni sana
Mungu naamini kwa neno lako, nirejeshee sasa
I'm very blessed
Amen this songs very powerful 🙌 🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu nimwema sana nimeipenda sana hiinyimbo
Amen… Ubarikiwe
Wimbo mzur jaman yaani si choki kuusikiliza
Wow…. Ubarikiwe sana
Nyimbo nzuri sana Mungu awabaliki sana
Am blessed every time I hear 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
The song is blessings to me
Amen Amen….🥰 be blessed more and more ✨🔥
This song is not just a song ,it's a strong prayer ,.
Amen
Nirejeshee EeeBwana kila nilichoibiwa,Amani.yang,watu sahihi nirejeshee
Amen✨🙌🏽
Amen unanibariki sana
Amina🙏🏽
Blessings song
Can't get enough of this song very powerful 🙏 "NIKUREJESHEE "
🔥🔥🔥
Amen nice song be blessing
Ameeeen nimebarikiwaa sanaaaaa bwanaa naombaa nirejeshee
Aminaaa bwanaa naombaa nirejeshee
This song popped on my TikTok and made me be blessed a lot its gives energy to fight for what was mine and was taken my God gaide me always
am blessed
Amen
Mubarikiweeeeee.nashukuru sana ❤
This song is blessed
A very comforting message! God bless everyone listening to it. May you get hope in your hearts❤
Amen
Thank you Hadar you the best teacher
Wow, thanks
Unabariki sana
Barikiwa zaidi🙏🏽
The song is 🔥🔥🔥🔥 and the message is very powerful. I must admit this song is amazing and always in the morning I must listen.
Amen🔥
Nimebarikiwa
❤❤❤
Amen
Jaman kila nikisikiliza huu wimbo nahis kuwa uwepon, mbarikiwe sana, pia mtunzi wa huu wimbo mungu azidi kumtumia
Amen Amen
Nirejeshee amani yangu yesu
Very powerful song,May Gid bless you.
Amen, be blessed more
Kila cku lazma niskilze huu wimbo ❤️❤️❤️
Mbarikiee
Amen, ubarikiwe pia🙏🏽
I feel a whole again 😭🙏🙏🙏🥰
AMEN
Bwana Mungu nirejeshee
❤❤❤❤inanibariki sana
I listen to this song each n every morning it's very powerful 🔥🔥
Naamini mungu utanirejeshea Tena nirejeshee sasa
Amen🙌🏽
Amen. A powerful song.
Mimi nmetoka kuona kwa mat nikienda job
halleluya
Very powerful ❤
Fantastic Song.
Nirejeshee Amani ya moyo