YESU NAKUPENDA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 59

  • @soterykosoka5573
    @soterykosoka5573 10 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sanaa

  • @IsraelChiza
    @IsraelChiza 10 месяцев назад +1

    Utukufu kwa MUNGU. MUNGU akuinue zaidi mwana wa MUNGU.
    Nimebarikiwa na wimbo
    🙏 🙌 🙏

  • @stellaomary
    @stellaomary 10 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Yesu azidi kukutumia zaidi na ufike mbali kwa kazi hii nzuri

  • @ireneaugustine1324
    @ireneaugustine1324 10 месяцев назад +1

    Amina kwake Yesu kila kitu unapata barikiwa kwa wimbo mzuri sifa apewe Bwana kwa kukufunulia

  • @evangel2114
    @evangel2114 10 месяцев назад +1

    Hongera dear, Mungu akuinue zaidi

  • @AgusterThomas-hj5sg
    @AgusterThomas-hj5sg 10 месяцев назад +2

    Amen wimbo mzuriii mnooo hakika ubarikiwe saaan na Mungu azidi kukuinua na kukutumia kwa viwango vya juu
    Nakupenda saaana YESU❤️

  • @vascomsemwa747
    @vascomsemwa747 10 месяцев назад +2

    Nakupenda Yesu Wangu❤❤❤❤❤❤❤❤(((Asante Dada angu.Mwalongo Mungu akutinze🙏🙏 Utukufu ni kwa Bwana🙌🙌🙌🔥

  • @MadamNeemaManase
    @MadamNeemaManase 10 месяцев назад +1

    Barikiwa sana mtumishi wa BWANA ❤

  • @christinabenjamin6082
    @christinabenjamin6082 10 месяцев назад +1

    Amina sana
    Nakupenda Yesu
    Ubarikiwe Mtumishi❤

  • @EphraimMkole-cv4jg
    @EphraimMkole-cv4jg 10 месяцев назад +1

    ❤❤

  • @CharlesNgambia
    @CharlesNgambia 10 месяцев назад +1

    Hongera sana sana Mungu wa mbinguni akuinue zaidi na zaidi mtumish

  • @julyanashedrack2725
    @julyanashedrack2725 10 месяцев назад +1

    Uinuliwe mdada mzuri wa Yesu

  • @Mistari-r8c
    @Mistari-r8c 9 месяцев назад +1

    MUNGU ukujalie kustawi zaidi katika huduma yako my sister.

  • @erastomlelwa8204
    @erastomlelwa8204 10 месяцев назад +1

    Much congratulations to you My Niece Tarsisia. My The Lord continue Blessing You

  • @FabiolaJoseph-iq5kw
    @FabiolaJoseph-iq5kw 10 месяцев назад +1

    Waoooooooooooo,,,, Yesu Nakupenda,,Umenioka Matatizoni Mimi nakupenda wewe Yesu wewe ni Tegemeo Asanteee BWANA,, Ubarikiwe shujaa

  • @givenkayinga5415
    @givenkayinga5415 10 месяцев назад +2

    MUNGU AKUINUE MTUMISHI WA MUNGU

  • @ruthigelamwalongo4173
    @ruthigelamwalongo4173 10 месяцев назад +2

    Nakupenda bure dada mdogo jamani Mungu akuinue viwango vya juu zaidi

  • @elishamteule12
    @elishamteule12 10 месяцев назад +1

    Jaman kazi nzuri na wimbo mzuri sana nakupenda yesu

  • @VumiliaSambepo-iw3dt
    @VumiliaSambepo-iw3dt 10 месяцев назад +1

    Hongera sana Mtumishi wa Mungu wimbo mzuri mno na Mungu akuinue zaidi❤🙏🙏

  • @AgathaKennedy-w8y
    @AgathaKennedy-w8y 10 месяцев назад +1

    Hongera mtumishi wa Mungu kazi nzur Mungu aendele kukuinua viwango vingine zaidi 🙏🏻❤️

  • @shurry_sports9422
    @shurry_sports9422 10 месяцев назад +1

    Umetisha Sana ❤❤❤❤🎉

  • @farajamgimba6740
    @farajamgimba6740 10 месяцев назад +1

    Hongera mtumishi Mungu aendelee kukuinua

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv 10 месяцев назад +1

    MBINGU ZA ZIUTAMBUE UTUMISHI WAKO NA MUNGU AKUPE KIBALI ZAIDI DADA TARLLY .....UTUKUFU TUMRUDISHIIE MUNGU JUU PEKEE ANASTAHILI🙏

  • @mercymukami322
    @mercymukami322 10 месяцев назад +1

    Hongera Sana dada. Pamoja twasema asanti Yesu tunakupenda

  • @giftmbembati9642
    @giftmbembati9642 Месяц назад

    Barikiwa sana mtumishi

  • @mariamgalimbe4969
    @mariamgalimbe4969 10 месяцев назад +1

    Barikiwa sana hakika YESU ni wakupendwa

  • @EranoConrado
    @EranoConrado 10 месяцев назад +1

    Voice

  • @theodorymwalongo1667
    @theodorymwalongo1667 10 месяцев назад +1

    Mungu akubariki sana dada angu akuinue ktk viwango vya juu sana 🙏🙏🙏

  • @SalomeJohn-o4n
    @SalomeJohn-o4n 9 месяцев назад

    MUNGU akuinue Zaidi nakufrshia mno mtumishi WA MUNGU

  • @Joyceisaka
    @Joyceisaka 10 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤wimbo mzuriii mnooo hongera mtumishii unanitiaa moyo sasa nam nikaanzee kuimbaa maana nakipaji
    Ubarikiweee mnooo😊

    • @tarsisiamwalongo6819
      @tarsisiamwalongo6819  10 месяцев назад

      Amen napokea na ninafurahi kusikia ivo .
      Pia kaanze bila kujali sauti n.k

  • @amosimgeni
    @amosimgeni 10 месяцев назад +1

    Mungu aliye Hai Akubariki kwa Wimbo Huu 🙏

  • @isackbetnatv1811
    @isackbetnatv1811 10 месяцев назад +1

    Hongera mtu mkubwa neema ya Bwana izidi kuwa nawe

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 10 месяцев назад +1

    Hongera sana Mungu akuinue zaidi

  • @annabenson9885
    @annabenson9885 10 месяцев назад +1

    God is good ubarikiwe sana sana

  • @VERASTIKACHARLES
    @VERASTIKACHARLES 8 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mydear,, MUNGU azidi kukutunza sana 🥰

  • @magdalenalusajo9619
    @magdalenalusajo9619 10 месяцев назад +1

    Amina mtumishi kazi njema

  • @aronclement433
    @aronclement433 10 месяцев назад +1

    Jamani wimbo mdhuri natamani tufanye collabo dadaangu

  • @gaudencebruno5570
    @gaudencebruno5570 10 месяцев назад +1

    Nice job

  • @BrendaJacob-mt6rc
    @BrendaJacob-mt6rc 8 месяцев назад

    Mungu azidi kukuinua dada yangu kwa Yesu Kuna kila kitu Barikiwa. Mungu azidi kuachilia neema ya Utunzi ndani yako