DARAJA BOVU LYRICS Verse 1. Njia ya kuenda ng'ambo Ile Ina daraja bovu Tazama linayumbayumba,linaogofya!Wengi wameshindwa watavuka vipi, wengi wamefika Katikati wamerudi.Wengine wameanguka,wameangamia Daraja bovu,Kuna daraja bovu!! Tutafikaje ng'ambo Nauliza,tutavukaje daraja hili? Verse 2 Daraja lafananishwa na mambo ya dunia,yanayotukinga tusiifikie toba. Yawezekana daraja lako ni mateso unayoyapitia Yawezekana daraja lako ni magonjwa uliyo nayo ndugu Yawezekana daraja lako ni familia yako Yawezekana daraja lako ni tabia zako Au daraja lako ni mali uliyo nayo ndugu Mtangulize Yehovah kwa yote.AKUSHINDIE. Chorus Tutafika,tutafika kule, Tutavuka tutavuka Hilo daraja Ng'ambo ya usalama tutafika,tukiwa nayo Imani Yesu akiwa mbele tutafika💯 ***A very big THANK YOU kwa wote waliohusika kufanikisha kazi hii.Mungu awazidishie❤. Tubarikiwe tunapoendelea kujihoji ili tujue madajara mabovu yalio maishani mwetu ambayo yametuzuia kuvuka ng'ambo ya pili tumwachie Mungu yote kwa imani ili aweze kuyaondoa TUVUKE,TUFIKE.Asante🙏
You never disappoint the kisii queen 👑, mungu ,atulinde mwakani ili daraja bovu,lituondokee maana tunatazamia ngambo. Keep shinning our able soloist we cherish and give appraisal from our home.
DARAJA BOVU LYRICS
Verse 1.
Njia ya kuenda ng'ambo Ile Ina daraja bovu
Tazama linayumbayumba,linaogofya!Wengi wameshindwa watavuka vipi,
wengi wamefika Katikati wamerudi.Wengine wameanguka,wameangamia
Daraja bovu,Kuna daraja bovu!!
Tutafikaje ng'ambo Nauliza,tutavukaje daraja hili?
Verse 2
Daraja lafananishwa na mambo ya dunia,yanayotukinga tusiifikie toba.
Yawezekana daraja lako ni mateso unayoyapitia
Yawezekana daraja lako ni magonjwa uliyo nayo ndugu
Yawezekana daraja lako ni familia yako
Yawezekana daraja lako ni tabia zako
Au daraja lako ni mali uliyo nayo ndugu
Mtangulize Yehovah kwa yote.AKUSHINDIE.
Chorus
Tutafika,tutafika kule,
Tutavuka tutavuka Hilo daraja
Ng'ambo ya usalama tutafika,tukiwa nayo Imani
Yesu akiwa mbele tutafika💯
***A very big THANK YOU kwa wote waliohusika kufanikisha kazi hii.Mungu awazidishie❤.
Tubarikiwe tunapoendelea kujihoji ili tujue madajara mabovu yalio maishani mwetu ambayo yametuzuia kuvuka ng'ambo ya pili tumwachie Mungu yote kwa imani ili aweze kuyaondoa TUVUKE,TUFIKE.Asante🙏
My favorite part kwa chorus. ….. ng’ambo ya msalaba tutafika tukiwa nayo imani yesu akiwa mbele tutafika….. 🔥🔥🔥
Asante sana Cowboy045
So amazing
Kazi safi.
Amen.. another powerful message here from Sly 🙏aahh Jesus as the driver 😊si tutavuka ni me nakushow 😊😊😂Santi Slybella, barikiwa 2:00
😅😂Barikiwa pia brother
Sure,Yesu akiwa mbele tutafika ❤
Amen
Great piece
Thank you bahbah
Tutafika
Tutavuka
Amen🙏💯
Amen
Good work girl
Thank you
Very inspiring Amen
Wonderful work Sylvia, all the best 👍
Thank you
Waiting.....
Yesu akiwa mbele tutafika..tutavuka like daraja...Amen amen
This is amazing my sweet sister❤❤
Thank you ❤️
Nice song indeed ❤️❤️✅tutafika Kule🙏🙏
Amen
Tutavuka kwa Imani. Great video sister Sylvia ❤
Asante sana mkuu🙏
Amen amen ❤❤❤
Great 👌🔥
Thanks
🎉interesting. Yesu akiwa mbele tutafika❤
Amina
Powerful ❤
Thank you, this is good production and powerful massage of encouragement. May God keep on blessing you in Jesus mighty name. Amen
Thank you so much!
Yesu akiwa mbele tutafika..❤Amen🙏
Amina
Kwa Imani tutafika nice vice and msg ❤
Amen
Amen 🙏......tutafika Kwa imani.....may God keep on blessing you🙏vocals 🔅🔅✨
Thank you bahbah ❤️
Kazi safii❤Tutafika😊
Asante
Wow This is powerful
Proud of you
Thank you mummy ❤️
Amen ❤❤❤
Tutafika kwa imani what a blessed song ❤❤❤
Be blessed ❤
Amen🙏🙏🙏Tutafika
Amen 🙏
Amen..I shall reach my destination
Amen
Amen bila Shaka tutafika
❤
Amen🙏
Wow a nice song and a soft voice
Thank you
Favourite❤❤ Kazi safii ujumbe mtamu👌
Asante sana favorite ❤️❤️
kazi mnzuri unayoifanya🎉.our own..sen'seniwa.
Asanteee
Nice song.wengi tunashindwa kweli.wacha mungu atusaidie tufuke salama
Amen and thank you 🙏
Another favorite song be blessed dear
Thank you dear❤️
Amen💕🙏may God bless you sister💕🙏
God bless you too
More and more blessings keep up the good work
Thank you
A great blessing ❤ kweli tutafika Tukiwa nayo Imani, Yesu akiwa mbele 🙏
Amen.Be blessed
Amina 🙏 kazi nzuri Omurwa.
Asante
My favorite artist ❤❤❤❤
Thank you mamah ❤️❤️❤️
Nice song may God bless you
Iam humbled 🙏Be blessed too
Amina amina. Mimi nitavuka
Amina
Amen Amen Amen...wanibariki kila dakika....tutavuka kwa imani❤❤
Amen.Iam so humbled 🙏
Nice one Sylvia 🎉
Thank you!
Keep up the good work sissy❤❤
Good music🎉
Asante
Wow ❤❤ have played more of it🎉🎉🎉
Thank you
Such a creative lady 🥰 May God bless you 😊
Iam humbled 🙏
Kwa hakika tutafika. Yesu akiwa mbele.
Amina
Timely powerful masterpiece ❤♥
The voice 🥰
❤️❤️
Amen move on my dea
🙏🙏
tutavuka kweli, Christ is the Way.
Amen
Nice song my sister
Thank you
Good job Babygirl 🎉❤
Thank you ❤
Wonderful mum❤❤🙏..God bless you
Thank you so much❤️
Amen
Soo good Omurwa ❤❤
Thank you
That's my momma ..she never dissapoints❤
❤❤
Wao so nice.
Thank you
This is so good ❤❤
Thank you
Kali...❤🎉🎉
Asante
🔥🔥🔥🔥🔥
Thank you
I'm just inlove with this song... Beautiful vocals my girl ❤🎉😍😍
Asante my girl❤
What a nice piece ❤vocals on point audio nicely fine en of cos video nicely directed ....am blessed ..🙏
Thanks a lot 😊
She sings like an angel ameeen
Iam humbled 🙏
Nice song ..great video 💪
Thanks
I love your songs. Keep it up. Message❤
Thank you so much
Wonderful song, God bless you 🙏🙏🙏
God bless you too bro
❤❤❤
So nice❤❤ it's an encouraging one🙏
Amen.Be blessed
This is on another level 🎉❤ keep moving
Nice work and powerful message
Thank you 🙏
Amen,, it's a wonderful piece
Thank you
Very encouraging 🙏🙏🙏
Asante sana
This is great Omurwa
Thank you
Blessings tele
Amina
The message is at home, so interesting Sylvia
Amen
Oooh my Slybella ❤
Jess❤
It's a good one, congratulations 🎉
Thank you! 😃
Nice..keep up the good work 👏
Thank you, I will
You never disappoint the kisii queen 👑, mungu ,atulinde mwakani ili daraja bovu,lituondokee maana tunatazamia ngambo. Keep shinning our able soloist we cherish and give appraisal from our home.
Amen and thank you sana🙏
❤
Amazing 🙏🙏❤
Thank you
My full time gospel artist
Iam humbled 🙏
Great melodies.
Iam humbled
I love this ❤
A masterpiece ❤
Blessings Sly❤
Blessings to you too 🙏
Good work my dear
Asante mum
Nice song my dear
Asante
Nice song ❤
Thank you
Good kp going
Tutafika kule 🙏
A good one
Thank you
Blessed
Thank you
My sisters doing what they love❤️❤️
Yes, thank you kasiz❤
God bless you 🙏
God bless you too🙏
Nice one
You're a blessing gal❤
Iam humbled 🙏
Woow❤
❤
The words are well articulated.
The message is at home ❤❤
Asanteee ❤️
Wonderful song
Thank you
Beautiful
Thank you