Shukrani sana Sheikh kwa juhudi zako na kwa faida tunayoipata watazamaji. Hayo matamshi uliyoyatamka mwanzo, kwa lugha ya Kiarabu, yanapendeza sana. Nadhani ni vyema ufanye uwezavyo utuelimishe hayo na utufafanulie, kwa lugha ya Kiswahili.
@@yasminabdi3251 Jaribuni muongee mambo hayo na waume zenu, kwa hikma na mawaidha mazuri, na kuwa tayari kusameheana, mtaelewana tu. Na sio vyema kuwalaumu wanaume wote
Asalaam Aleikum....sio siri ila hakuna wanaume wanaodhulumu wanawake kama wanaume wa kiislamu...Mapenzi yao ya haram huwa matamu kuliko ya ndoa....na wako hapo na wewe sheikh wanakusikiza ila zaingilia sikio la kulia latoka sikio la kushototo....Wanawake yasemekana wamejaa motoni ila wanaume wa kuoa wanawake zaidi ya mmoja nao vile vile watajaa...REHMA NYINGI TU ZA ALLAH NDIZO ZITAKAZO TUOKOA...MANAKE NI GHAFUR RAHIIM...ARAHMAAN.
Allah anatupenda sana, unaweza ona wakati wako tayari kumbe bado Allah anakutafutia mzuri zaidi ya hawa waliopo. Au unaweza kujiona utaweza uwadilifu kumbe Allah hakupi kwakuwa bado uwadilifu bado hujautimiza. Mungu hatupi kila tunachoomba ila anatupa tunachoomba chenye kheri nasi wajawake.
Hakuna kitu kizuri kama kupendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu SubhanaAllahu wata'laa Yah Allah tujaalie tuwe wenye kupendana kwa ajili yako na kuungana kwetu iwe ni kwa ajili yako..
Mashaallah ajiyyyb... lakini nakama mume hana uwezo wa kitandani wakukutosheleza mara mbili au tatu... naakaowa mkee mwengine jee tufanye nini sisi wanawake
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣Mim mke wa pil nishakataa stk kbc ht kusikia 🤣🤣🤣kuna rfk yg huyo mume wake alimwabia ntk nioe mke wa pili akasem saw hmn tatzo mwanaum kaoa mwanmk mwgn kilicho mkuta Sas baad mume kuwa n mke mwgn 😭😭😭😭ni huzuni mwanmk mwezie kamtoa kweny ndoa Alf yey ndio akabaki hphp na anawatt nne n huyo mwanaum ss hv mwanmk wawatu yupo kwao mwanaum hamjui Wal hamtabui ss hv mpk anaomb msaad wa hela y kula n watt wake mwanaum yupo biz n mwanmk mwgn huyu mdg anaijoy 😭😭ametesk kujg nyumb n mume wake lkn Leo hii anakaa mwanmk mwgn hebu nambie hp nakumbl vip Mim hapn mke wa pili ach nife single stk kbc
Hahaha ndio lugha zao kuwa hataki kituu Allah atuhifadhi kwakilaa and kaaa namumewe kwaniaa Allah atawashindaa wengine wao na wana watoto wachanga subhnallah
Asalam aleykum sheikh ikiwa umeoliwa mke wapili,mke wakwanza akaja kutambua akawa anakuwekea dua mbaya mbaya kama mungu akujalie watoto wako wakike waaribike je dua za swihi
Sasa utapataje hio nafasi ya kuweza kuongea nae mpaka akwambie usiowe mke mwegine si mtakua mlikua na mawasiliano je yafaa na kama yafaa kivipi kuongea huko Kwa kukutana au kivipi shukran
@@mbomamwatosha8494 mungu atupe subra na iman lkn kuolelewa nimtihani mkubwa sana yataka imani na subra yahali yajuu mana wanao kuja kwa juu hua km moto wa kifuvu
MashaallAh Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
Mashallah shekh unafahamika yani mawaidha yko ni illmu tosha allhmdllh
Shukrani sana Sheikh kwa juhudi zako na kwa faida tunayoipata watazamaji. Hayo matamshi uliyoyatamka mwanzo, kwa lugha ya Kiarabu, yanapendeza sana. Nadhani ni vyema ufanye uwezavyo utuelimishe hayo na utufafanulie, kwa lugha ya Kiswahili.
Izudin Alwy namkubali sana sheikh huyu....Am Kassim 4rm Zanzibar...tunakukaribisha sana Zanzibar Sheikh
Mashalla
Mwenyezi Mungu Anijaarie Nipate Kuolewa Na Mume Mwenye Hofu Ya Mwenyezi Mungu
Nanaa !!
Amina
Amiin
?
Wako tu peponi dadangu.
asante shehe mungu atuzidishie imani
Mashaallah ajiyyyb shekh izudin. Lakini kama nyinyi hamuna uwezo wakitandani kikombe kimoja cha chai chapili hamuwezi tena jee sisi tufanyeje wanawake
Tatizo wanaume wengi wana kimbilia kuoa mke wa kwanza mwenyewe wana shindwa kufanya wajibu wao kimoja tu taabani 😂
Nyinyi wanaume mna hila zenu hamna lolote
shukiran Sana tunagukaribisha bujumbura burundi
karibuni bujumbura?
@@yasminabdi3251 Jaribuni muongee mambo hayo na waume zenu, kwa hikma na mawaidha mazuri, na kuwa tayari kusameheana, mtaelewana tu. Na sio vyema kuwalaumu wanaume wote
Mashaallah shukran shekh
Mashaallah
Alhamdhulillah shukran kwa ufahamu
Allahumma amiin
A.aleikum Sheik wetu wake zetu wengi huwa wanasema Mtume hakuongeza mke wapili mpaka mke Bibi Khadijah akaaga
MASHALLAH ALEIK
Msisahau kuwa wanaume pia wana mitihani wakiwa na umri mkubwa hukosa nguvu za kiume
Asalaam Aleikum....sio siri ila hakuna wanaume wanaodhulumu wanawake kama wanaume wa kiislamu...Mapenzi yao ya haram huwa matamu kuliko ya ndoa....na wako hapo na wewe sheikh wanakusikiza ila zaingilia sikio la kulia latoka sikio la kushototo....Wanawake yasemekana wamejaa motoni ila wanaume wa kuoa wanawake zaidi ya mmoja nao vile vile watajaa...REHMA NYINGI TU ZA ALLAH NDIZO ZITAKAZO TUOKOA...MANAKE NI GHAFUR RAHIIM...ARAHMAAN.
Napenda sana mawaidha ya Izdun
Hakika
mashallah mafunzo mazuri sana
Allah akulipe pepo
Masha Allah chukuran san
Mashallah, ila tatzo nimetafuta mwanamke wakuoa awe mke wapili sijapata. Nikipata mcha mungu nipo tayari inshallah. nashukuru mungu mkewangu yupo radhi
Kamotechnics Hamza hamsini omba Dua Allah atakupa
Allah anatupenda sana, unaweza ona wakati wako tayari kumbe bado Allah anakutafutia mzuri zaidi ya hawa waliopo. Au unaweza kujiona utaweza uwadilifu kumbe Allah hakupi kwakuwa bado uwadilifu bado hujautimiza. Mungu hatupi kila tunachoomba ila anatupa tunachoomba chenye kheri nasi wajawake.
Kamotechnics Hamza hamsini kamote Nina rafiki yangu
Hakuna kitu kizuri kama kupendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu SubhanaAllahu wata'laa
Yah Allah tujaalie tuwe wenye kupendana kwa ajili yako na kuungana kwetu iwe ni kwa ajili yako..
Maaa nshaa Allah!! Yarabb amizdishie subrah na Iman ktk ndoa yenu km bado wataka mke toa no yk utapata In shaa Allah
Enhe
mashaallh darsa zain shem
je ww ustadh sio kwa ubaya une mke wa pili?
Mashaallah ajiyyyb... lakini nakama mume hana uwezo wa kitandani wakukutosheleza mara mbili au tatu... naakaowa mkee mwengine jee tufanye nini sisi wanawake
Asante kwa kujibu maswali kichwani changu
Karibu katika Uislamu
Mi nashida na ww ostadh ntk nkuulize kitu
Hv kukaa na watt wa mwanaume wa nje ni lazima? Na ikiwa hao watt wamezaliwa mim nkiw na mabucano nae ss analazmsh nikae nao je ni lazima
Shukraaan... Tuko na dhamira yakuongeza Inshallah
TheAmadoni hahahhaa. haswidi usha sign register naona. tena Mathna😂😂😂
mashaa Allah
Mashallah mawaidha maturity sana
Shukran
TheAmadoni alaaa
Minatka kuolewa make WA pili ama Watatu ila sjapta mume sahihi
Upo vizur
Asalaam alaiqum shekh mi nina swali
mume akitimiza wake wanne akimuacha mmoja je inaswihi kuoa kabla yule akimuacha hajamaliza eda?
Ila hiyo point ya matamanio ya mrefu, mfupi, mnene, mwembamba, mweupe, mweusi n.k utaoa wangapi. Afadhali ya pili useme kumstiri mjane kama uwezo upo
wanne
Masha Allah watu waongeze wa pili
Tatizo sio kuongeza tatizo ni matunzo na haki sawa kwa wote wawili
Kabisa
Mm ni mke wapili mme hakuumwa hanahama kwake nikweli
Asalaam alaykum shehe samahani shehe unawangapi
Wakusidia nn ukiuliza wangapi?
wanaume hamzeeki naona mnajisahau
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣Mim mke wa pil nishakataa stk kbc ht kusikia 🤣🤣🤣kuna rfk yg huyo mume wake alimwabia ntk nioe mke wa pili akasem saw hmn tatzo mwanaum kaoa mwanmk mwgn kilicho mkuta Sas baad mume kuwa n mke mwgn 😭😭😭😭ni huzuni mwanmk mwezie kamtoa kweny ndoa Alf yey ndio akabaki hphp na anawatt nne n huyo mwanaum ss hv mwanmk wawatu yupo kwao mwanaum hamjui Wal hamtabui ss hv mpk anaomb msaad wa hela y kula n watt wake mwanaum yupo biz n mwanmk mwgn huyu mdg anaijoy 😭😭ametesk kujg nyumb n mume wake lkn Leo hii anakaa mwanmk mwgn hebu nambie hp nakumbl vip
Mim hapn mke wa pili ach nife single stk kbc
MashaAllah
shekhe je ikiwa memu hanitimizii je nifanyeje
Rehema Husseni haujamfafanulia Sheikh hakutimizii nn
Wewe nae wapenda sana eti
Mussa John sio kama anapenda sana ni haqi yake kutimiziwa
@@mussajohn1362 ndio Kama hamututimizii nasie tufanyejee
Hahah
A/alaykum warah-matullah wabarakat, naam sheikh naomba kuulizia suali hili,kunarafi yangu kaowa mkristo he ndoa yao imesihi
Khamis Mussa haisihi
Ustazi ww una wawilli mana wengine faladhi zawashinda wakimbilia sunna
Halima mwishehe said
Ukiwahi sunna basi na faradhi hazikudindi
Ni ngumu saana moyo unauma
Hahaha ndio lugha zao kuwa hataki kituu Allah atuhifadhi kwakilaa and kaaa namumewe kwaniaa Allah atawashindaa wengine wao na wana watoto wachanga subhnallah
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh!
Ninaomba namba yako ya simu nikutumie whatsapp tafadhali
+254772611120
@@IzudinAlwyDin jazakallahu khair sheikh
Asalam aleykum sheikh ikiwa umeoliwa mke wapili,mke wakwanza akaja kutambua akawa anakuwekea dua mbaya mbaya kama mungu akujalie watoto wako wakike waaribike je dua za swihi
mashallaa
Mashallah ajiyyyb shekh izudin. Lakini kama nyinyi hamuna uwezo wakitandani kikombe kimoja cha chai chapili huwezi tena jee tufanyeje sisi wanawake
Nasra Mrisho
Sheikh Assalamu Aleykum unamke wagabi
Masha Allah
spring chicken
Sasa utapataje hio nafasi ya kuweza kuongea nae mpaka akwambie usiowe mke mwegine si mtakua mlikua na mawasiliano je yafaa na kama yafaa kivipi kuongea huko Kwa kukutana au kivipi shukran
Shehe nnaweza kukupata kwamawasilianonakuparaje
+254772611120
😫😫😫hapo kwa kusom
Je ww una wake wangapi umeoa 4 au 2
Haha afe
Tena wafe wote 😂
Je yafaakuoa kafiri
Haifai
Tatizo shekhe wanaume wengi wakiowa mwanamke muingine wanajisahau kwa mke muingine anaelemea kwa Mke Mdogo
Fact
nahitaj kuengeza mke wapil mwenye dini km yp tyr ajitokez
Mwenyezi mung atufanyie wepesi sisi wanawake
@@mbomamwatosha8494 mungu atupe subra na iman lkn kuolelewa nimtihani mkubwa sana yataka imani na subra yahali yajuu mana wanao kuja kwa juu hua km moto wa kifuvu
MashaAllah
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashallah
Mashallah
Mashaallah
Mashallah
Hapo zamani wanaume wakiweka masuria jee ilikua ni halali