PART15:BINADAMU ALIEENDA MBINGUNI/PEPONI AKAONANA NA MUNGU NA AKAFIKA JEHANAMU AELEZA SAFARI NZIMA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии •

  • @chrispinbelovedbranson6188
    @chrispinbelovedbranson6188 3 года назад +1

    Asante sana Prophet nimebarikiwa na maneno yako natamani uniwekee mikon nikayaone matendo makuu ya bwana.🙏🙏

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 года назад

    Mr.AM apa mwambie prophet vijana hapa atupe mkopo tusongeshe maisha kama alivobarikiwa

  • @quenetechauque8931
    @quenetechauque8931 3 года назад +1

    Poa sana ndugu zangu kwa hayo mnayo tufunulia bila nyie tuzingejua. Mungu awabariki sana🙏💝 Shalom

  • @oprahsalum8185
    @oprahsalum8185 3 года назад

    Glory to God Almighty mtumishi wa Mungu mambo ni makubwa sana na ulimwengu wa roho ni evidence.
    Swali langu ni je haiwezekani kuzifungilia mbali mazabahu zote?na nadhani ni nyingi Mungu akupe neema

  • @jamesolando2479
    @jamesolando2479 3 года назад

    Masheikh walichezea kichapo hatarii sana. Yesu ni Bwana

  • @princelb9423
    @princelb9423 3 года назад

    amen nataka tena ahombe kila mshirikina abeye ako bara la africa apohoze

  • @jessicaleener865
    @jessicaleener865 3 года назад

    Incase mimi nikitaka prophet anionyeshe maisha yangu iko vipi ama kwanzia sasa kwenda mbele infaa nifanye nini ili mungu anisamehe dhambi zangu nianze kumjuwa mungu awe mwokozi wa maisha yangu

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 года назад

    Hongera mtumishi kwa kunyoosha manyau nyau mm nilikuwa nashangaa eti mganga anakamata wachawi wakati wote ni vibaraka wa shetani

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад

    Shukrani DM. naona siku hizi unanakiri ili kumkumbusha msimlizi baadaye.

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад

    Then finally to you MR FACTS. Kwa niaba ya wafuasi wako wote tunaomba umwongeze kijana wa dhahabu mshahara ang'ae kama wewe unavyo ng'aa.

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 3 года назад

      Lazima atangara last week amekua na bonge la story la binti kutoka Kenya

  • @jessicaleener865
    @jessicaleener865 3 года назад

    Davister unanibamba ati umekaa na prophet anakula na haujui anakula nini bana unataka kuniambia huoni chocolate 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @johnwanuma7209
    @johnwanuma7209 3 года назад

    Na shukuru prophet

  • @fredrickmichael2317
    @fredrickmichael2317 3 года назад

    Prophet anasema kweli...

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 года назад

    Amen

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 года назад

    Alhamdulillah w mwishoo😥😥🇪🇭🇪🇭

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 года назад

    Ahaa Yule dr manyaunyau jmn🤔

  • @princelb9423
    @princelb9423 3 года назад

    Ivi anaweza kuhombeya african nzima

  • @kijikoali8119
    @kijikoali8119 3 года назад

    Davista pia kitkat auliza bei gani 😁😁

  • @princelb9423
    @princelb9423 3 года назад

    ukristo nidini

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад

    Kipindi alikuwa jeonam kule alimwona breda pasi aliwaona akinanani wengine ambao wanafahamika? (mostly God's servants who left us)

  • @livingwaterchurchmbulukahama
    @livingwaterchurchmbulukahama 3 года назад

    Leo nimebahatisha kua wa 4

  • @ajteden
    @ajteden 3 года назад

    Naomba kujuwa huyu mungu aliyekutana naye kwanini bado Ana vidonda vya kusulubuwa? 2 Mungu alipokufa siku tatu duniya ilikuwa inaongozwa na nani?

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 года назад

    Together 💪🙏🇹🇿

  • @kithia100
    @kithia100 3 года назад +1

    Kwahivo nikiona msikiti waislam wakitoka kuabudu nijue ndani Yao kuna majini...... Mungu wanguuuu dunia simama nishuke🇰🇪

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 года назад

    Mimi Nataka anitabirie

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад +1

    Aliwaona international musicians kama akina nani uko wale walikufa kitambo? E.g: Michael Jackson nk

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад

    Naomba umhulize bona siku hio hakuwaangamiza hao wazee 25 wachawi?

  • @zeuscus501
    @zeuscus501 3 года назад +2

    Yeye kama prophet je ana kitabu chochote alichopewa na Mungu kilichokuwa na ujumbe kutoka kwake ?
    Je yupo radhi kutumia Mali zake zote ikibidi kwa ajili ya maskini na mayatima ?

    • @makame3524
      @makame3524 3 года назад

      Hili swali nilitaka kuliuliza🤣

  • @princelb9423
    @princelb9423 3 года назад

    nataka atuhombeye kwanza sisi wa african

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 3 года назад +2

    Davista una muelewa au na itikia tu

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад

    Je, katika safari zake za mbinguni kuna siku alijihisi kutorudi duniani?

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 3 года назад

      Shida ikifika story za mbinguni Davister anaongea sana

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 года назад

    Atuambie wakina micheljackson na kanumba wapo mbingun au jehanam?

  • @princelb9423
    @princelb9423 3 года назад

    sisi kama waafrican tunanini yakufanya kuhombeya bara letu la african

  • @amosswisse8062
    @amosswisse8062 3 года назад

    Naomba kuuliza swali 1, wale wazee ishirini na nne ni wakina nini kama anakumbuka ataje wote? 2, pili wale wenye uhai wanne wanamuonekano gani na kazi yao ni nini?

  • @jamesolando2479
    @jamesolando2479 3 года назад

    Davista muilize mtumishi nini asili ya majini? Alafu inawezekana yule malkia wa lwanda magere na mungu bonge walishachezea kichapo cha malaika na kuteketezwa kabisa?

    • @yesunibwana2777
      @yesunibwana2777 3 года назад +1

      Ninaswali when you are fighting the enermy or going to heaven anybody around you notes that you are going or you go to a private place and you do the act ?

    • @prophetesspriscarichard
      @prophetesspriscarichard 3 года назад

      Shalom James, Swali lako linajabiwa kwenye moja ya video zilizopo katika page yake ya RUclips.

  • @benjaminnnko5398
    @benjaminnnko5398 3 года назад

    Mtumishi, ni njia gani ninaweza kutumia ili niweze kunena kwa lugha.

    • @davidchesco1150
      @davidchesco1150 3 года назад

      For my experience nenda kwny ibada ya ujazo wa roho mtakatifu. uanze ropasantelepa santoshopavasho ridaza amozi. Mungu ni mwema!!

    • @aidanmbilinyi8184
      @aidanmbilinyi8184 3 года назад

      Mtfte roh mtakatifu utanen tu ila funga zdish maombi zaidi soma neno

  • @chriscao9828
    @chriscao9828 3 года назад

    Biblia inasema huwezi kumuona mungu ukaishi...haya maneno hayana ukweli...dats just fiction

    • @barakamanu1514
      @barakamanu1514 3 года назад

      kumbuka Isaya 6:1 - nabii huyu alimwona Mungu.
      soma biblia kwa upana usiishie kwenye aya moja au mbili tu.

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 3 года назад

      @@barakamanu1514acha kudanganywa kipumbavu ..yaonekana uko na upungufu wa akili

    • @barakamanu1514
      @barakamanu1514 3 года назад

      @@chriscao9828
      jibu aya (Isaya 6:1), Isaya alimwona Mungu au hakumwona?
      matusi na jazba zimepitwa na wakati, hapa ni hoja tu!

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 года назад

    Watu wameshindwa kuiamini Biblia na kuishia kuamini story za Manabii wanaoibuka kila siku wakishuhudia eti wamekwenda mbinguni. Ajabu maelezo yao yanapishana sana km si kupingana.
    Biblia inasema," Hakuna mtu aliyemuona Mungu akaishi".Je huyu alimuona Mungu gani? Tuamini Biblia tuache kuamini watu. Watu watapita lakini NENO litasimama milele.

    • @evalineawary3604
      @evalineawary3604 3 года назад

      Mungu tunamwona na tunaishi kutokana na agano jipya we umekariri agano la kale kabla ya kuzaliwa yesu kristo na kufa msalabani pazia la hekalu likapasuka hapo tuliwekwa huru, kumwona Mungu na kuishi

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 года назад

      @@evalineawary3604 We umewahi kumuona?

    • @aidanmtabe3552
      @aidanmtabe3552 3 года назад

      @@abbyadams8691 sasa kijana kila mtu kabarikiwa na vipaji mbali mbali kiroho usiforce uwe sawa na watu fulan kisa nyote mmeokoka

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 года назад

      @@aidanmtabe3552 Biblia inasema"Msiamini kila roho bali zijaribuni hizo roho".
      Usiwe unaamini kila kitu kutoka kwa mwanadamu mwenzake hata km atakuja na Biblia kichwani. Shetani ana uwezo wa kukupa mafunuo ya uongo ili adanganye watu. Maandiko ya Biblia ndio yanaweza kukusaidia kujua uongo au ukweli wa kile unachoambiwa. "Linda sana moyo wako kuliko kitu chochote."

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад

    Shukrani DM. naona siku hizi unanakiri ili kumkumbusha msimlizi baadaye.