Yes about evil spirit siyo za kuweka live ... na ndio kila siku wanavamiwa...because their enemies are still watching ... i keep writing ✍️ here SENIOR DAVE AND HIS STAFFS TO BE STRONG PRAYERFUL WARRIOR...AND ALWAYS TO BE LIVE IN WORSHIPPING AND PRAISING OUR LORD MORNING DEVOTION TO START DAY WITH GOODNESS OF THE LORD ...
Mbona nyinyi watu mko kwa Dave mbona mnasumbua watumisi wa Mungu padala mwaaje wafanye kazi bile wanawesa. Ati mnataka kupigana namwele ni mambo ya kiroho.
My question is as Dave's fan mbona hamjaenda kuokoa davee aki i can't imgn how he's suffering right now mm kwanza i don't have peace of mind mpaka siku enye ntaona dave am praying for you Dave wherever you are mungu akulinde na hakuna kitu mbaya itakufanyikia in Jesus name
Territories za waganga na illuminati senior Dave anafafanishwa na sauti ...msioomba and to be strong in faith ...you will be always mnajionea mapepo ya shetani
Huyo siyo ndugu yake Dave ni mmoja wao walimunaza Dave sasa amekuja kunaza hawa wengine fukuseni yeye aende katika jina la Yesu kristo shetani ashindwe katika jina la Yesu
May God protect Dave wherever he is. Haki na muache kuweka titles haziendanishi na content. Previous one mmefanya tutusi Dante juu tuna mauchungu ya Dave kupotea as we waited for it to upload. Imagine Dante angepatana na the angry mob hapo nje?
Ila mukiambiwa huwa kuskiza ndio kubaya kwenu jana kila mtu anaongelea kuwa dave hana ndugu ..lakini haya yte hayangetokea dave nae huwa haskii angeshiriki akina riaga hizi mapepo hawangemfata 666 ndio bado yaendelea
Si Dave alisema Hana Ndugu
Maybe ni cuzo wake. Alisema kwa vijana ni yy peke yake na two sisters yeah
Yes amezaliwa tu yeye na madem wawili
Bytha
sasa si mnaona hapo tayr ni mtu tu kajileta shetani
Nawapenda sana Hawa wachungaji wote be blessed ata apostle Joshua
Wasaliti wa senior Dave wajulikane!May Almighty God be with senior n His protection be witnessed in Jesus' mighty name
Mungu Ako mbinguni atasaidia sineor Dave
Pastor elija na mwenzako mbarikiwe sana mungu awaongoze
Yes not everything is to be aired,,,this team don't listen,Good work pastor
Yes about evil spirit siyo za kuweka live ... na ndio kila siku wanavamiwa...because their enemies are still watching ... i keep writing ✍️ here SENIOR DAVE AND HIS STAFFS TO BE STRONG PRAYERFUL WARRIOR...AND ALWAYS TO BE LIVE IN WORSHIPPING AND PRAISING OUR LORD MORNING DEVOTION TO START DAY WITH GOODNESS OF THE LORD ...
Lazima waingie live juu ya fans we are also worried about Dave 😢😢😢
They have been told this several times by Pastor Elijah
Team senior Dave are doing a great job take heart i know many of you are New but you are doing a great job,im praying for you and God will be you
Aky nikiona io kiti ya SD...............😭😭😭😭😭😭Nalia aky nakumbuka hayuko😢😢😢😢
Aky mamake mahali ako si akona xtres aky..ooh Jesus intervene in this..dave we are praying for you wherever you're.
Mungu saidia Dave mahari ako mulide
Hii story ya Dave imeniletea stress sana hadi kichwa inauma... God intervine
Better wewe naumwa na mwili mzima hata sijielewi
Mimi ata kazini wananichekelea ati nahusunika sababu ya senior dave na simjui niko na stress
Aki it's true is Soo stressing, ata kama atumjui...
But everything will be fine
Kumbe wamejaa mapepo ndio wanasumbua pastor
Jamani mungu awasaidie 😢😢😢mko na madui wengi xana mungu atete nawanao teta nanyi apigane na wanap pigana nanyi ❤❤❤
This is the time to pray for Dave where he is to be safe,not blames in everything.
Wambui kwa kanisa Noo....... Wee tulia skiza pastor na mnasumbua hope mungejisaindia bila kuita pastors
Uyo si brother yake Dave ni unique son of his family
Sasa pia bibi ya Dave amekua mkali na hawaombi hata😢😂😂😂
Hawa vijana kichwa ngumu pastor wakiwaachia hyo mchawi mtatoa mapepo na aongee mnaboo sana
😢😢ohh🎉 my God 🙏 protect senior Dave
Jesus's christ pastor mbarikiwe sana 😢 dave popote ulipo nakuombea pia najua mungu anaweza yale tusio weza
Mungu asanti senior atapatikana in Jesus name
Mbona nyinyi watu mko kwa Dave mbona mnasumbua watumisi wa Mungu padala mwaaje wafanye kazi bile wanawesa. Ati mnataka kupigana namwele ni mambo ya kiroho.
Brother Gani, si Dave alisema yeye ni kijana peke yake kwao
watu wanatumia kila njia kuja kuharibu dave
Jeremy ulifika, Thank u
Hawa wafanyikazi wa dave wameingiwa na mapepo😂 Ngai
😂😂😂😂 pepo zimeingia za kupigana
Huyu kijana anajua penye senior Dave ako...amekuja kupima watu wa team senior Dave bangi
OmG!!!!! May our Good God intervene in every situation,.
Devi Hana bro jameni
Tatizo nyinyi hata mkiambiwa hasikii
My question is as Dave's fan mbona hamjaenda kuokoa davee aki i can't imgn how he's suffering right now mm kwanza i don't have peace of mind mpaka siku enye ntaona dave am praying for you Dave wherever you are mungu akulinde na hakuna kitu mbaya itakufanyikia in Jesus name
God protect senior Dave with your blood
Territories za waganga na illuminati senior Dave anafafanishwa na sauti ...msioomba and to be strong in faith ...you will be always mnajionea mapepo ya shetani
I that pray for Senior Dave and the entire team. You're all blessed and you will never lack food and anything all the days of your lives.
Huyo siyo ndugu yake Dave ni mmoja wao walimunaza Dave sasa amekuja kunaza hawa wengine fukuseni yeye aende katika jina la Yesu kristo shetani ashindwe katika jina la Yesu
may the lord protect you wherever you're nothing will happen for senior God loves you you're are protected by the blood of Jesus
Aki hao wafanyi kazi wa Dave hawasikii, i wish could take time to take them through security measures and protocols
Poster ,elvo,Jeremy,na Dante Kuna pepo ya vita imewaingia wawekeleeni Mikono itoke
Wambu your so buliful,kazi Yako ni smart
May God protect Dave wherever he is. Haki na muache kuweka titles haziendanishi na content. Previous one mmefanya tutusi Dante juu tuna mauchungu ya Dave kupotea as we waited for it to upload. Imagine Dante angepatana na the angry mob hapo nje?
Mm sioni mambo ya kiroho apa uyu n mmoja wa wale walikidnap dave
Huyo Dante aache mdomo mingi amekuja juzi,na hatumuoni vizuri
May our Lord God protect our senior Dave wherever he is
May God intervene senior dave you will be fine in Jesus name
Wambie pastor Awo wafanya kazi wa Dave hawasikiage mara ngapii wa me katazwa live ya usiku masikio ngumu wanayo
may God protect Senior Dave where he is and protect the team Dave
Dave alisema n yy peke yake kijana na wasichana wawili
Dave alisema kwao hana brother
Pastor Elijah hata maandiko inasema mchawi hackaae katikati ya watu
Acha ujinga dave hana brother mnakaribusha mashetani kwa ofc
Dave Hana bro .Pray pray hio ndio weapon u can use
Aki nimeamini vile riaga aliambia dave mapepo yayakuja 666 after ku fail vile maagizo aliyopewa, oh God saidia dave popote alipo
He can't be a big brother for Dave coz he's helping outsiders how the brother look like a maskin😂😂😂😂
Mungu saidia mtumishi wako sd popote. Alipo ,usikumbali wamalize uhai. Wake. Tunamhitaji. Baba tunakulilia mungu tusikie Jehova 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Hawa watu wa Dave ni Bure kabisaa
Hio studio Yao wameifanya kama bar
Kila takataka ikiingia inafunguliwa mlango
Haki pastor ako kwa maombi na mwingine hawezi toa kofia
😥😥😥😥
God protect Dave whenever he's
Bona kelvuu si wazuri at all
Elvis kumbe unakuanga kichwa ngumu
😢😢😢apana izo spirits zilikua zimewaingia aky si wao si unaona after kuombewa wametulia😂😂😂😅
Simnipee ruhusa as senior Dave team nimalize ao watu kindly
Tumekupea ruhusa wamalise wote
😢🥺😯🤔
Aki champeee wewe ni wa zamani hapo na usikii please
Huyu sure ata nikaribia ata kindogo kweli Dave huyu anakaa chokora😢😢
Munge sanitize sim yake and then call Fred to arrest him, will be a good Chanel to get Dave please.
Imagine huyu wambo ni mdomo tu😏 aiiiiiiiiiii anatumbo.
Huyo jamaa anajua kwenye senior Dave ako
Aii pastor elija unataka kuleta mufigo ingine kwa studio ua dave na unaskia alikia amekujia dave
Hii maneno ya SD😭😭😭😭😭😭😭
Mkuwe mnaomba wambo ndio mashetani ya kuvuratana isiwaingilie. Mtu akija studio akuonyeshe ID na unaomba kwanza.
Before mupost kitu angalieni headlines nzenu plz
Uyo Dante ako na kilakitu
Ata haws vijana wa dave wamepagawa na mapepo tena?
Ama ni magret mama kafue mdogo ndo ameatack seniour dave haki
Aii hawa watoi wa Devi
Hawa watu, hawako sawa hawajui kufunga inakuwanga ni secret, lazima muabiwe ukweli mko na kiherehere, hamujielewi😡😯
Ubaya nynyi mko na ujinga. Pastor anaomba nyinyi mnataka kupigana. You can not solve anything na hasira
Hawa watu wa hii studio awezi sikia na hii live ya usiku n kma wanafurahia na hii live yao
Uyu ni mmonja kati ya wale waliombeba davii
Si Dave alisema hana brother ni yye tu.. kwani kunaendaje
Kazaneni na maombi sio kusema mambo ya chakula mnaraha gani mpaka muwaze milo jamani? Ombeni sara tu achenaneni na mambo mengine omba tumtafute Dave
N huyu donte mulitoa wapi
Dave alisema Hana brother
Hawa watu wako Kwa studio wako na pepo, expect pastors wanacheza na mapepo. Watajipata baharini wako na kiherehere haieleweki🥺🤔
Dave alisema Hana brother, n yy tu kwao
Blood of jesus protect s dave
Huyu hakai bro wa dave anakaa mganga ata sura ya waganga
Hawa wafanya kazi wa dave wananishangaza. Wanashinda na dave kwani hawajui kua hana ndugu
Only champee knows .halafu wafanyi KAZI wake ni wageni
Dave hana bro be careful na kila mtu
Mimi kwanza sikumbuki dave akisema ako na brother
Dave alisema ana brother
Dave naaokoke kiukweli hataki kufunga nayeye na wanawake tu
Wambo uko na kiherehere 😏 huwezi tulia kama our babygirl Anita, na utilize the other creators, hata kama mko na mapepo mna behave Wacha tu😯😠😢
No No No dave hana brother for sure
Nyinyi munafundiswa musiamini mutu yoyote wala kufungua milango musiki
Oh God protect our brother Dave
Waambie kazi ni live ndio hata fred anawakimbia
Nilisema muliambiwa muwache kufungulia kila mtu hamsiki alafu life ya usiku muwachane nayo
Watajileta mmoja mmoja mpaka tujue Dave yuko wapi
Karibu pastor
Ila mukiambiwa huwa kuskiza ndio kubaya kwenu jana kila mtu anaongelea kuwa dave hana ndugu ..lakini haya yte hayangetokea dave nae huwa haskii angeshiriki akina riaga hizi mapepo hawangemfata 666 ndio bado yaendelea
Dave huwa anapuuza, hata holy water ama bible kumbemba ni sinda, but tumuombee apatikane akiwa safe.
Sasa waongea about food pastor Dave anakula nini