Nyimbo za Kwaya hii zinanikumbusha Marehem Aunt yangu Agnes Kemunto in 1990 Sundays Morning before going to Church. Mungu awabariki sana hii Kwaya. Wako wapi siku hizi? Pia Namkumbuka Ndugu yangu Marehemu Stephen Nyabiera niliyezaliwa naye kama Twin. Alizipenda sana Nyimbo hizi
Maombi ni silaha - Mungu awabariki sana
Ninaupenda huu wimbo sana ktoka Nairobi Kenya., mungu wetu awape nguvu hadi atufikishe mbinguni.
Mbarikiwe sana nawatakia baraka ya mwenyezi Mungu
Mubarikiwe
Mungu awambarike sana kwa huu wimbo mubarikiwe sana kitabo sana
jamani, nimekumbuka mbali Sana hizi nyimbo
Mungu wambiguni awabariki xana kwenye nyimbo hizi
Nataka Album nzima tafazali Mubarikiwe sana tna sana
Mbarikiwe
Asante asante asante Mungu awabariki
Asante kwa nyimbo tamu
Mungu awabariki wapendwa
Please send the whole album
Nyimbo za Kwaya hii zinanikumbusha Marehem Aunt yangu Agnes Kemunto in 1990 Sundays Morning before going to Church. Mungu awabariki sana hii Kwaya. Wako wapi siku hizi?
Pia Namkumbuka Ndugu yangu Marehemu Stephen Nyabiera niliyezaliwa naye kama Twin. Alizipenda sana Nyimbo hizi
Hii choir ni Mapigano ulyankulu 22?
Kipindi hicho ulikuwa unaweza kusikiliza hizi nyimbo ukajivuna biblia imekaribia kichwani
Mbarikiwe