Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mungu awabariki sana🙏🙏🙏
Hongereni sana
Baba hongera Sanaa Sanaa kazi nzuri
Raha sana kuwa na yesu.
It's good
Amina Asante Bwana , Ubarikiwe kwa wimbo mzuri
Ima hongera sana kwa kumtumikia Mungu na mke wako, yaani daa..mnaendana inapendeza sana
Katka dunia hii nivigumu kumpata mwanaume mwenye upendo Kama wako kwa mkeo Mungu awabarki mnapendeza sana
Nawapenda bure masanja na mkeo Mungu awabariki sana, your testimony made me to follow your channel.
Twakupenda sana
Jamani jamani jamani rahaaa kuwa kwa Yesu nawapendaje jaamani Masanja na mke wako mbarikiwe sana!
👏nice song,be blessed.Love a couple!
Barikiwa sana
barikiwa sana wa jinaaaaa.
Mubarikiwe sana
Ndo raha ya kuolewa mkiwa ndan ya Mungu
Ameeni
Mnajua sana mbarikiwe
Masanja huwa nabalikiwa Sana na ibada zako nilini utakuwepo kanisani kwako nipange safali ya kuja huko???
Sasa madhabahuni,Masanja na licheni sijui liushanga utadhani mbongo flava,jitahidi kwenda na mazingira mtumishi
Hiyo nayo kali liushangatena madhabauni
Huyo aliyemshonea nguo nampa big up sana, huo utepe mweusi aliopitisha kwenye hiyo suti ni nakshi tosha kabsa, hakukuwa na haja tena ya kuvaa huo ushanga, labda iwe ni lazma kulingana na imani yako. Naomba niwe designer wako kwenye mavazi mtumishi.
Liushanga hilo inawezekana kapewa na chama lake lile
Wezi wa dar es salam
Nafurah njinsi mnavyopendana n mkewako, nataman nipate m2 sahihi Kama mlivyo nyiie
Ni Mungu to, hata wewe ukiwa nae utaona raha
Mwombe Mungu kwa dhati atakupatia mtu sahihi kwako ambaye hutajuta kamwe
Ni mapema kusema chochote. Ndoa ni fumbo Na maadui Wa ndoa wapi pande zote. Nina miaka 20 ya ndoa.
Ukipata mtu sahihi na wewe utakua sahihi?
Am blessed
Kizurichakuorewamamutu wamungu wate wanaomba
Nawapenda sana
Toa shanga zako shingozi
Asante mtumishi wa mungu mmebalikiwa
Mbarikiwe Sana
Mbarikiwe
Daah nataman kupata mke mwema ili niinjoi kama masanja
Wapo mwombe mungu atakupa kaka
Joseph Nganga Mungu atakupa
@@upendolyimo405 Dada habar nipe namba yako ya WhatsApp
@@everadamoche8889 Amen dada
Nitashindwa kukupa kwa public hiv but unaweza kunipata kwa email yangu Upendolilian94@gmail.com
Amen kubwa ❤❤❤
Dini zinalipa jenga kanisa ney wamitego
Safi
Ee Mungu naomba unisaidie nipate mme kama masanja
Emen😋👏
Ukiacha kuvaa hayo mashanga na kunyoa mapangi utapungukiwa nn mbona bila hayo unapendeza tu
Peter Mhina vaa hata ww utapendeza tu
Kanisa lipo wapi
Kanisa lipo Dar es salaam, Jangwani karibu na jengo la Yanga
Ongera
Mtumishi mumeimba vizuri lakini hiyo mikufu shingoni yanini?
Masanja vua Rozari hyo
Taratibu tu, Mungu anafundisha, upendo ukizidi Sana yaani unafikiri kufanya vitu vingi vya kumpendeza Mungu
Mercy hiyo siyo rozari angalia vizuri
Hiyo siyo rozari.nikama kaurembo.haina msalaba
Mungua akubariki sana pamoja na Mke wako mmechagua jambo jema maana kumtumikia Mungu kunafaida
Kwa nini avue rozali?