The song is very powerful.I was listening with my son who is almost 2 yrs who was not able to walk and by God's power he started walking.God bless u Apostle.
Amen Amen, prophet please kumbuka kumuweka my Dad kwa maombi na my daughter, wanaugua ugonjwa haujulikani, dad amepimwa mara mingi a naambiwa hakuna ugonjwa kwa mwili na ako na maumivu mingi Sana kwa mwili, my daughter ako na shida ya kukaa kama bubu haongei sometimes, hata kufanya mtihani wa class 8 KCPE ni Mungu tu amemusimamia, ju hakuwa anataka kuenda shule, please prophet stand with me in prayers🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
Pastor Jeremiah May be God bless you and and your family and pastor pray for me am in Saudi Arabia God help me to finish my contract l go to back Uganda when I am alive because we leave by the grace of God not a good wold
Nakuomba baba katika Nina lako yenye utukufu unayeishi na kutawala namleta mtumishi wako apostle Jeremiah Aishi miaka elf tano hapa Duniani na mi aniombe niwe tajiri mkubwa Sana tzania na roho🇹🇿🇹🇿🇹🇿🕊️🕊️🌟⭐🙏
Am so in love with this song.God Bless you apostle how I just wish I could be able to see you face to face for deliverance.Keep me in your prayers Apostle Jeremiah
Huu wimbo unanibariki sana.barikiwa sana mtumishi wa mungu.nko na ushuhuda Kuna siku nilikua nakuwatch kwatv .ukasema tupokee kufunguliwa nilijionea nguvu za Mungu nilifanyiwa deliverance through kuamini.Barikiwa sana
Oyesu naOmba ukombozi baba Sina mwingine kama wewe ,baba tukumbuke shida zetu baba, funguaa mtoto wangu Susan mponye magonjwa inayo mtesa ya kifafa🙋🙋🙏🙏🙏kumbuka ndoa yangu yesupigana nawatesi wangu ,Sina guvu baba ooooyesu nakuitaji katika maisha yangu kua mtetesi yesu😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙋 kupitia damu ya yesu naribu kila uchawi malaana wazimu kifafa mizimu misukumo ya magonjwa mitego majini kukataliwa mitego ya shetani ishindwe roo ya mauti ju ya familia yangu mungu nifungwe yeeesu🙏🙏🙏🙏🙏🙋🙋🙋baba usituache🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amzing Job wow wow Nabii wa Mji amezungumza.
Surely i need same God
@@evadoh1604you forgot about the Bible is a copy of your website and sanitation and sanitation
Ppaqlp
@evadoh1604
Ddddßdddddddddddddddddddddddddddddddddddsddddddddddddddssdssssssssdssßdsddssssssssssssßsßsßsssssß
Thanks for 1m viewers nlikua nashindwa wimbo wenye mafunzo Kama huu hauna viewers wengi. But God's time is the best.. God bless you Man of God
Ewe mungu wa Daniel ni wewe nataka mwaka wa 2023,ukanishike mkono nikaweze kuzikamilisha ndoto zangu🙏🙏🙏
The song is very powerful.I was listening with my son who is almost 2 yrs who was not able to walk and by God's power he started walking.God bless u Apostle.
Niombee pastor nko saud bt majaribu ni mengi sana
God be of grace forever,Prophet Jeremiah you are the one to fulfill the mission of Jesus Christ.God Bless you abundantly
Be bless apostle Jeremiah kioko songs.that song make me cry remember me in prayer
@@seniorprophetjeremiahkioko coratileni
Prophet unanibariki sana
@@joshuamusingila801 unaiba kma pastor Ezekiel
So spiritual apostle kioko. Need your prayers 🙏
mungu wadanieli niwewe nataleo kutana na hitaji langu baba maisha ya utumwa saudia kupitia hii wimbo nibadirishwe kupitia upako wa huu wimbo amen
Amen uko saudia wapi
Sister mungu ako na wewe 🙏🙏🙏
God bless you amen 🙏🙏👏
Mungu wa Daniel nakuitaji Leo nipate exti visa kutoka hii inchi ya saudia
Aaaaaaaameeeeeen
Mungu tunakutaka wenye tuko gulf kwa ajili ya familia zetu tufunike na damu ya Yesu Kristo
Amen mungu wa Daniel niwewe nataka huu mwaka
Katika mapitoyetu Yesu niwetu tunakuhitaji hukatutee kama vile shedrack meshack naabednengo .nce song always❤❤
Mungu wa Daniel ni wewe mimi na familia yangu tunataka leo 🔥👏👏👏
Wewe mungu wa Daniel ni wewe ninataka leo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana na huu wimbo Mungu wangu ni ww ninataka leo
Humble servant of the Lord 🙏 God Most High.
Hallelujah hallelujah God bless you man of God nyimbo zako zinanitia nguvu
Nice 💕 song wewe Mungu wa Daniel ni wewe ninataka Leo 🙏
🙏🙏🙏
I've came all because I've been watching his channel, and his song has been playing over and over again...can't get enough of this song.
Amin! Amin! Amin!,,,Ewe Mungu wa Daniel ama kwa hakika ni Wewe ninataka Leo,,,uje Wewe mwenyewe,,,,,,,🌟🙏🙏🙏🙏
This song has touched me,Ewe Mungu wa Daniel ni wewe nataka leo🙏🙏🙏
Bwana asifiwe,Eeeeh Mungu wa Daniel....wimbo huu una miujiza,Ukombozi na lshara Shukrani 🙏🙏🙏 Amen.?
Nakuitaji Mungu wa Daniel
So power I like this song naomba mungu wa Daniel akanionekanie mwaka wa 2023 in Jesus name 🙌🙏
I am an Eritrean even though I don't know Swahili perfectly i can't get of this gospel song Ewe Mungu wa Daniel 🙌🙌🙌🙌💃💃💃 hallelujah hallelujah 🙌
Nehema ikutoshe man of God
This song has blessed me
Ewe Mungu wa Daniel ni wewe ninataka leo❤❤❤🎉🎉Amen Amen Amen prophet 🙏
Amen Amen, prophet please kumbuka kumuweka my Dad kwa maombi na my daughter, wanaugua ugonjwa haujulikani, dad amepimwa mara mingi a naambiwa hakuna ugonjwa kwa mwili na ako na maumivu mingi Sana kwa mwili, my daughter ako na shida ya kukaa kama bubu haongei sometimes, hata kufanya mtihani wa class 8 KCPE ni Mungu tu amemusimamia, ju hakuwa anataka kuenda shule, please prophet stand with me in prayers🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
Wewe MUNGU wa Daniel niwewe ninakutaka siku zote za maisha yangu. Aleluyaaaaa
Pastor Jeremiah May be God bless you and and your family and pastor pray for me am in Saudi Arabia God help me to finish my contract l go to back Uganda when I am alive because we leave by the grace of God not a good wold
Amen amen barikiwa sana wimbo safi sana mtumishi wa mungu barikiwa amen 🙏🙌
Powerful song...Ewee mungu wa Daniel ni wewe ninataka Leo...my favorite Apostle Jeremiah kioko 🔥🔥🔥🔥 Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
I need you today lord every door is closed I only need you
❤❤ewe wa Daniel ni wewe anataka leo tumeomba na kanisa Sisi wote tunaomba ni wewe anataka sijui mbona nalia nashindwa kuzuia chozi
Wewe mungu wa danieli n ww n nataka Leo njoo unikomboe🙏🙏
This song is timely...what a beautiful family 🙏
mungu wa Daniel..nakuhitaji ..nishindanie tu.... i need you to fight for me against the stubborn king .... 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante
What a song.Mungu ni wewe nataka
This song touched me alot...be blessed Apostle Jeremiah.
Yes ni wewe yesu nakuhitaji siku ya leo
Nitangulie kule naenda 2023 , kaniingoze katika safari ya Qatar 🇶🇦 nakuitaji ,bwana ewe mungu wa daniel
Mungu wa Daniel, ni ww nakutaka Leo katika haya maisha ya Saudi🙏🙏usiniache mungu 🙏🙏
Nakuomba baba katika Nina lako yenye utukufu unayeishi na kutawala namleta mtumishi wako apostle Jeremiah Aishi miaka elf tano hapa Duniani na mi aniombe niwe tajiri mkubwa Sana tzania na roho🇹🇿🇹🇿🇹🇿🕊️🕊️🌟⭐🙏
The only APOSTLE I know.... You're my favorite sir! May your ministry be full of blessings 🙏🙏🙏🙏
Hallelujah 🎻🎻🎻🎻🎻🎺🎺🎺🎺🎤🎤🎤hewe mungu wa Daniel ni www nata leo
Be blessed senior prophet Jeremiah thank you for transforming my lyf through your songs
Whenever I here this song it blesses me so much God of Daniel ni wewe nataka maishani mwangu Glory to God
Ni wewe ninataka Leo. God of Daniel. Have mercy on me O God.
Amen pastor Jeremiah kioko
Amen
Ewe Mungu wa Daniel ni wewe ninaka leo🙏🙏🏼🙏🏼
Nce song apostle mungu akubariki
Nimependa sana, na nyimbo zako zote zanibariki niombee mtumishi wa mungu.
Katika kila jambo wewe mungu usiniache ni wewe nataka baba yangu🙏🙏🙏
Tunasema Asante baba tuonekanie wenye tuko huku saudia kutautia Familia zetu katika Jina la yesu
Am so in love with this song.God Bless you apostle how I just wish I could be able to see you face to face for deliverance.Keep me in your prayers Apostle Jeremiah
Ewe Mungu wa Danieli,ni wewe tunataka leo kesho na ata milele,God bless you daddy
God blessings prophet jeremiah ata wimbo watoa amen
Ewe mungu wa daniel ni wewe ninataka leo🙏🙏🙏
Sir God bless you are indeed man of God new level of worship
Woooooo a nice 👍 song,,,,man of God 🙏🙏🙏 be blessed 🙏
Amazing job nabii
Wow!!! amazing Glory to God
Wow 🎶 a very prayerful song be blessed dad, may God lift you to the another level
Quality Video
Yule jamaa vimbo!!😂 Enwei nice song
Glory be to the most high!!
Mungu wa wanyonge nakuhitaji😢😢
Huu wimbo unanibariki sana.barikiwa sana mtumishi wa mungu.nko na ushuhuda Kuna siku nilikua nakuwatch kwatv .ukasema tupokee kufunguliwa nilijionea nguvu za Mungu nilifanyiwa deliverance through kuamini.Barikiwa sana
Mungu ukikumbuka Apostle usisahau nyumba ya babangu majaribu ni mengi baba🙏🙏🙏
Ewe Mungu wanDanieli,nakuhitaji Maishani mwangu,ubarikiwe Sana mtumishi
It's you I want Jehovah,, God of Daniel may I be a located in Jesus, Amen🙏🙏
I'm blessed watching live from Netherlands
Mungu was danieli 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 jionekanie mwaka was 2023 badilisha maisha yangu mungu naomba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri Sana 🙏⭐⭐⭐🌟🕊️🕊️🕊️🕊️🏯🚘🚘🏯🏬🏬🏬🏬🚗🚖🚉🚘🚘🚘🚘⭐🌠🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🚌🚌🇹🇿
Mungu wa Daniel usinisahau ww tu unione na jamii yangu haki nashindwa mpka kuzuia chozi nikikumbuka hekaluni mwa Bwana
Mungu wa Daniel unikumbuke leo
You really bless me man of God. God bless you so much serving him
A very blessing and touching song. Be blessed man of God
Mungu wa Daniel ni wewe nataka Amen
Am blessed by this song this morning. I would spend my time listening to it during the the TV worship service
Ewe mungu wa daniel naktaka unionekanie mwaka 2023 ,naitaji nehema yako n kibali chako ,nahitaji kusafiri Qatar kwa ajili ya kazi ,
This song blesses me 🙏
Amazing gospel,Amazing prayer song!!!
Aki mungu ukatutendee kupitia Kwa hii wimbo
Mungu niwwe natak Leo badilisha maisha yangu ata ya familia yetu
Mungu wa Daniel 🔥🔥👏👏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 and amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mtumish wa mungu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Oyesu naOmba ukombozi baba Sina mwingine kama wewe ,baba tukumbuke shida zetu baba, funguaa mtoto wangu Susan mponye magonjwa inayo mtesa ya kifafa🙋🙋🙏🙏🙏kumbuka ndoa yangu yesupigana nawatesi wangu ,Sina guvu baba ooooyesu nakuitaji katika maisha yangu kua mtetesi yesu😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙋 kupitia damu ya yesu naribu kila uchawi malaana wazimu kifafa mizimu misukumo ya magonjwa mitego majini kukataliwa mitego ya shetani ishindwe roo ya mauti ju ya familia yangu mungu nifungwe yeeesu🙏🙏🙏🙏🙏🙋🙋🙋baba usituache🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The man after Gods heart you are a general I salute more grace as you serve the lord
I'm much blessed by this song
Lord is almighty he has inspired his spirit to his people let's unite to congure the devil
What a blessing to me Apostle Jeremiah.keep on touching souls
Ni kweli Mungu wa Daniel, shuka ukatenda miujiza kwa maïsha yangu,
Zaidi sana Ku maïsha ya kiroho piya ya kimwili baba
Ohoo mungu ni wewe ninataka leo katika Maisha haya ngumu ya saudi,usiniwache mungu
Mungu awe n nyinyi
Mungu wa Daniel we need you today
Ewe mungu wa danieli uje kwangu leo unipanguze machozi,,, tulikuja hii nchi kutafuta si kuteswa ,, naomba uje kwangu leo babangu😭
❤ GoD bless you xn powerful worship ❤ n uniobee xn pst ak
Ni ww Mungu ninataka leo 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu wa danieli tunakuhitaji glory to God
Ameeen apostle Jeremiah God bless you
Amen 🙏 mtumishi wa Mungu JEREMIAH
A blessing song my Dad ❤