Ee kweli haikuwa rahisi, lakini afadhali hivyo kumuoa Norah❤pia nashukuru sana Anko Jay kwa kutuletea simulizi nzuri sana yenye mafunzo kubwa sana katika maisha yetu kama sisi wanaume ambao tunapotea kwa kufuata tamaa zetu
Devid umechida Ila Pele sana umepitia magumu mungu akusaidie maicha mema mafuzo makubwa peda. Anae kupeda Ila anko kweli umechuhudia hii kisa au niogo wako😂
Mh kwakwel kasandra, sijuw ata ulimpendea nn huyo edwin. nyiee hii nizurii, kuisikiliza km simulinz lakini mbaya sana iktokea kua namtu jeuli km edwin, polen kwko casadra pia kwako devid, kwamlivo sumbuka, wanawake km nora mungu awatunze🙏
❤❤waoow nili imiss sana kasandra, ankojy asante, mwenderezo mzurii na mafundisho zaid kwavijana ote wakat mahusiano. like naomba nimewahi sana🙏🎧🪑🏃
@@TeklaNdekeja ❤❤
Asante sana ankojy kwa mwisho Wa Cassandra🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉 from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.
First born kwenye line❤❤,,, nipendeni basi🥹
Kama ulikua unasubiri binti sandra ya mwisho usinipite bila kunipea like❤ tupendane hivyo hivyo 🎉🎉anko jay thnk's so muche🎉🎉🎉🎉🎉
A
Yule dada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like zenu ❤🎉
Namba one🎉🎉
🌹🌹🪑
Yaan ankojay ubarikiwe sana nlikua nahis nipo boring bila kusikia sauti yako ❤❤❤❤❤
Ahsant Anko jay 😊🎉
Thanx ànko kwa simulizi ya Sandra wacha tuone dev atafanikiwa kumpata or no 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mlike mkisonga
Yep Anko Asante sana nilishubiria sana kwa hamu sana hii simulizi mzuri fantastic one na Asante kwa jomba wajo abig blow
Mash Allah , Allah awalipe kheyr wote. Amiyn
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤
Waooooo Asante Sana anko mapesaaa
Jomba wajo 👏👏👏 hongera kwa simulizi nzuri lakini tunataka kitu Cha 1000 tuna miss ❤❤❤🎉🎉🎉
Norah ni mwanamke mwema na mwenye tabia njema na anaye jua kupenda kwa dhati ❤❤❤ binti sandra ni mwanamke mbaya sana asiyo faa kabisa
Anko jamn na wapenzi wangu mm leo nimekuwa wa 260.. Naombeni like zenu please ❤❤❤
Number one weraa🎉🎉🎉🎉
Casandra yamoto Sana jaman Anko Jay ninamaua yako🌹🌹
Asante sana anko kwa hii story nzuri sanaa 🎉🎉🎉🎉 Devi pole sana ♥️♥️♥️🙏
Dahhh simulizi inamafunzo kwakweli na ni nzuri pia nimeenjoy
Thank you for your time be blessed Anko Jay na pole kwa kuumwa❤❤❤❤
Wow jamn anko jey asant san
King of voice is here ❤❤❤🎉🎉🎉
Anae mkubali Ankojay gonga likes hapa ❤❤❤
Namkubal sana anko j
Nilikua nimeisubiri sana
Uyu Devid nikiazi unasahawu mbio kweri bitendo umetendewa umeriwa Hera umebaki mutupu pore💐💐💐💐
Kumekucha 🔥🔥 hii ni Kali
Asante kwa hitimisho ankol jay ❤❤❤❤❤❤pongezi kwa mtunzi jomba wajo na pongezi kwako anko kwa kutusimulia
Asante sana ankojay mungu akubariki kwa mafunzo❤❤❤❤
Waoow,,, thank you Ankojay ❤❤❤❤❤❤
Mwendo wakobe anko jay nakupata nikiwa songea ruvuma❤
Nime Wahi whaa, Mumbi Wa Naivasha, likes zangu
Mumbi wa Naivasha mpenda likes chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza leo
Kumbe sisi wanaviporo tumekumbukwa tena aya hatimae tumefika mwisho hogera sana anko jay haikuwa rahisi ❤❤❤❤
Simulizi ya deve imenivutiya sana urembor ulimuchanganya jamani deve Norah ndiyo muke atimaye ❤❤❤
Wooow slimss hii aya tumlzie
Waoooooooo 2ko final na Binti Sandra
Waaaaaaah nimechoka kusema ukweli ila devi ujifunje basi mana sio kwa kuliwa pesa zako hivo ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani sija patanamba leo❤❤❤😂😂😂😂
Wooh Asante sana anko jay wetu kwa kutujali ubalikiwe sana anko leo nimewahi jamani😂🎉❤
Mashalhh anko wetu 🎉🎉🎉
Finally ....ALF ANKOOOO SIN ULETE SIN ...GUYS NIKO NA SWALI MIE HIVI JACK KIMARO ALIOA AMA VIPI😂😂😂😂😂😂BADO NAMTAFUTA
Alioa ee
😂😂😂😂😂 jack tena bado unamkumbuka lisa 😂😂😂😂😂 ile tumeunzwa ndugu yangu japo wanasema imeisha lkn wafans hatujaridhika 😢😢😢
Lazima tumuulize Jomba wajo na Anko Jay maana hatukujuwa mwisho wa Jack Kimaro😂😂😂😂😂
😂😂
@@JujuShabani turipigwa na kitu kizito 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣
Wa 12 jamani nawapenda wapendwa wa ankojay ❤❤❤🎉🎉🎉
Listening from 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲 much love bro❤❤❤
Wow❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏
Asante anko j kwaraha unazotupatia❤❤
Jamani mm napenda sana kila siku kusema simrinzi
Wow♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏
Asnte kwa kutujali ubarikiwe
Kumekucha😅❤
Hivi huyu Dave nikichwa maji ama kwanini asinge mu record huyo Edwin hayo mazungumuzo na hivyo vitisho pole yake Dave kupenda mtu asie mpenda.
Mjinga sana me ananiuzi sana
❤❤❤❤
Ahsante anko J kwa simulizi nzuri
Wooow
Nimependa
😂😂😂David kwenye moja na mbili
Nitamu sana hii simulizi❤❤❤❤
Haya jamaniii finally tujuwe itakuwaje jamaniii haya tunasikiliza hapa ili tujuwe mwisho wa hii simulizi tamuu ✌️
Ee kweli haikuwa rahisi, lakini afadhali hivyo kumuoa Norah❤pia nashukuru sana Anko Jay kwa kutuletea simulizi nzuri sana yenye mafunzo kubwa sana katika maisha yetu kama sisi wanaume ambao tunapotea kwa kufuata tamaa zetu
Kumbe una juwa ilo❤❤❤
Shukran kaka Ankojay ubarikiwe mnooooo ❤❤❤
Tunashukulu anko uwe namchana mwema❤❤❤❤❤❤❤❤
asanti sana anko jay kwa simulizi tamu sana
Asante anko jay from 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮
Devid umechida Ila Pele sana umepitia magumu mungu akusaidie maicha mema mafuzo makubwa peda. Anae kupeda Ila anko kweli umechuhudia hii kisa au niogo wako😂
Cjachelewa sana no 75 ❤❤❤❤
Asante sana anko j na kufatilia nikiwa 🇲🇬
Asante sna kka kwa simulizi nimejifuza mungu akubariki sna kka
Kaka jay nakukubali
Sijaona mwanaume mpumbavu kama David,sijui na huyo Nora anarudiana naye, kweli mapenzi upofu
Waooo🌹🥀🌺🥀
Thanks
Asante anko j simuliz
Mh kwakwel kasandra, sijuw ata ulimpendea nn huyo edwin. nyiee hii nizurii, kuisikiliza km simulinz lakini mbaya sana iktokea kua namtu jeuli km edwin, polen kwko casadra pia kwako devid, kwamlivo sumbuka, wanawake km nora mungu awatunze🙏
Waooooh ❤❤❤❤🎉🎉🙏🙏
David ni mjinga sana.
Asante ankojay ❤
Weweeeeh kitu kimeingia🪑🎧🔥🔥🔥
Bhana tunaomba muendelezo wa samira na sin 😢
Ukitaka kwa haraka Nunua, utajipatia Episode za mbele
@@ankojay_sh ngap episode ya 15
Jamani kwa kweli hakuna simulizi yenye kukera na kuchoshaa kama hiyi ya casandra yani jamaa huyu Hana hata msimamooo😏😏😏😒😒😒
Asante anko jey 🪑🪑🪑🎧🎧🎧🎧
Uyo rafiki angepiga sim polis wakamkamata wamhoji kwa nini aliporudi asimfatilie kumilizia si mchumba wake kabisaa
Ank j Samira sehem ya 2
Tunaisubil sana samira
Huyo kasandra aende polisi tu
Asante sana Anko
Thanks Ankojay wetu ❤️🤔
Very stor so much ❤❤
Devid ijulishe polis na baba ake Sandra acha ujinga
Asante sana anko jey lakini casandra nitapeli sanaa
🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kwa mara ya Kwanza nimemaliza kuckiliza bila cjacomment🤣🤣💃🤣
Asante sana Anck Jay 🤝
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nimesha uona mzigo
David kwanini huku rekodi huyo kichaa
Asante sana ankojay
Anko jay vpi kuhus story ya bint samira
hatimae tumemaliza salama alafu anko jay vipi mwendelezo wa simulizi ya kosa
🎉🎉❤❤