MDOGO WAKE BUMBULI AFUNGUKA MANARA AMETUMWA NA SIMBA AWAVURUGE YANGA BUMBULI KAFUKUZWA NA MANARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 14

  • @RojaAbdul
    @RojaAbdul 3 месяца назад +2

    Nilikuzalau broo kumbe kichwa hongera bro nakuweka kwenye kundi langu la kumi Bora ya wasemaji wa Simba unaweza kuongea ukweli mungu akuweka bro km jemedali

  • @abdullatifshambe280
    @abdullatifshambe280 2 года назад +1

    unasema unamjua sana manara habari zakena tozi unazifahamu

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 4 месяца назад +1

    Uyokatumwakweli lnjinia tutolee uyo manala siunampenda basi mpeleke nyumbanikwako yanga yawatu

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 года назад

    Huwezi kumpangia mwanao mtu wa kutembea nae lakini unaweza kumshauri na kumuongoza, kama Ali anataka kuoa afate sheria na taratibu lakini hawezi kuachiwa amchezee mtoto wa watu.
    Je Ali Kamwe alipeleka posa akakataliwa maana unasema unamjua sana Manara.

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 года назад

    Mila zinatofautiana kuna familia zingine mzazi hawezi kumsapoti mtoto wake kwenye mambo ya Boy friend au Girl friend, kama muda wa kuoa au kuelewa umefika basi unatambulisha anaetaka kukuoa au unaetaka kumuoa kwa kufuata taratibu

  • @danielmwakalinga6867
    @danielmwakalinga6867 2 года назад

    Kwa kiasi Fulani unaongea ukweliii

  • @RojaAbdul
    @RojaAbdul 3 месяца назад

    Nipo teyar bando langu liishe nakusikiliza adi bando ;lishe

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 Год назад

    Unaongea sana mpaka unakosea

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 Год назад

    Ww dunduka

  • @rufinermwamdanga4946
    @rufinermwamdanga4946 2 года назад

    wewe watu unaogombana nao nani anakuongolea

  • @fadhiraathumani8441
    @fadhiraathumani8441 2 года назад

    In

  • @jobelanyukudumba1482
    @jobelanyukudumba1482 Год назад +1

    Huna chakuongea wewe