Msiri WA Msisiri one amongst the best actor in hard scenes ever . Kiufupi kasoko umeupiga mwingi kumtafuta huyo Mzee ktk hizi film zako. Huyo ndio role model WA waigizaji wengi ktk magician scenes 🎉
Ni mshabiki kutoka kongo,nasapoti uujamaa aliesema kuhusu mouvies za kishirikina.inabidi ku change Pia za ki Mungu,itakuwa Bora zaidi.asante kwa kazi nzuri,awabariki Mungu
Huu mze musisi Mungu amemuweka zaidi kabsa❤❤❤ big up mze wangu nakujuwa tangu utotoni nilikuwa namyaka 2 old hadi leo nina 33 ninaawatoto wa 4 Bado mzee yupo Mungu akulinde babu wetu❤❤❤❤
Kakoso una akili sana ya kutengeneza film hii kazi naona mbali sana kwa namba ilivyo anza tunao mkubali kakoso gonga like hapa
Nipo nasijacelewa 😊😅
Kama unamupenda Mungu kuliko iyi séries ya BLACK DAY nipeni like
@@AsifiweImani huko ni kutaka like kwa nguvu mie nampenda mungu kuliko nnavojipenda na like sikupi
wana vihele hele na hizo like utafiikiri zinawashibisha
@@SheikaYussuf sheika Yusufu kumpenda Mungu ndio furaha yangu hata mimi sikupi like ila non nitakupa mimi siko mchoyo
@@AsifiweImani hahahaaaaa usilie bureee chukua like
@@AsifiweImaniUmefata nin huku
Kama unamwamini bwana yesu kristo kua mokonzi wa maisha yako basi sema like amen
@@Shukuru2535 unapenda sn like munaziuza izo like ao je ila mm ninamuamini sn
Msiri WA Msisiri one amongst the best actor in hard scenes ever . Kiufupi kasoko umeupiga mwingi kumtafuta huyo Mzee ktk hizi film zako. Huyo ndio role model WA waigizaji wengi ktk magician scenes 🎉
Nyinyi munapenda sana movie ya kichawi sana lakini ata siku moja munafanya ya ku Mungu
Mzee msisili nampenda Sana mungu ape maisha marefu Baba yangu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mpya kabisa ❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Yea nakubali sana kazi zenu wazee .simba na masimba sengo
Safi sana director kakoso mungu azidi kukuinua
wa kwanza Leo nipeee likes kutoka Kenya
Kicheke unazingua sana😂😂,Hira kitakuramba utashangaa sana 😂😂😂😂
😮 mzigo mpya naona pamoja sn
Congratulations Mtoto WA msiri msisiri Odama ,lazima uolewe na Mtoto.....kakosa tunataka vitu kaa hizi 254
Mbona mnapenda movie za kichawi si mbadilishe angalau
Muha huyo
Kakoso kwani ulikua unataka akaulishe nani??na Kwa hiyo nyumba mko tu wawili 😂😂😂 kumbe wewe mwanga kakoso ausio 🫣🤣🤣🤣
Nakukubali sana kakoso
Mambo n moto ongera kakoso🎉🎉🎉
Nakukubali mno kakoso haujawai kukosea Simba la masimba sengo na mzidole mzee wa miuno mgando
Sema hii kalata yakakoso angeicheza mzee wamishenyento ingependeza zaid😊😊
Hapan kw nilichokiona kwenye siri ya mgeni ni dhahiri kwamba inamfaa kakosa
❤❤❤🎉🎉🎉 another block buster..heko kwako kakoso
Started together and with God's favour we would finish....piga like tukisonga from mombasa kenya
Tunakupenda sana kakoso wana dodoma naombeni Like🔥🔥🔥
✌ *Mbamba, Du!. Mbamba, Du!. Mimi ndie Msisi wa Msisili katika aridhi hii ya Mbambadu* 😂
😂😂😂😂 kitaaaambo sana
Don moon wewe kabsaa niwazsmani umepatia mamba,du mbamba du etc.....😂😂😂😂😂😂
@@alhimnamussasaid3619 😁 ulikuwa bado haujazaliwa. Wengi wao hawataelewa nilichokiandika 😁
@@nahimanabella2478 😁 Ezi hizo kuna akina KANTALA 😁
Siku nyeusi 😢😢😢kazi nzur ila jina linanitisha 😂😂,skuzi kakoso umekua kigagula mzowefu hongeren sana 🎉🎉🎉🎉
Mashaallah kazi nzuri sana❤❤❤❤
Kakoso. Kakoso kakoso. Nimekuita mara 3 brother tunakupenda sana. Huna mwenza ktk hii industrie
Kazi ni 🔥🔥🔥🔥 sana big up🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Uhakik wadau wa super genius kakoso master tunadil na hii mwanz mwixho BLACK DAY baad ya kakos kuonelew kweny mpangaj kaamua huk awe ngugwa 😂😂
Hawa jamani bona unaanza kuvua nguo nyeudi badala ya nyeupe
Wacha 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤maua yako kakoso hayoo
Safi sana Kakoso kwa kumridisha Mzee msiri hewani mungu akutangulie ufike malengo yko🤲
Kama unaamin tumeanza movie yetu salama na tutamaliza salama kwa uwezo wa mungu like hapa❤🙏
Inshallah tutaimaliza tukiwa salama❤
Nyinyi munapenda sana movie ya kichawi sana lakini ata siku moja munafanya ya ku Mungu
😂😅😂😅😂😅skuhizi uliacha kutongoza umerudia mungu 😂😅😂😅😂😅
Safii naon ushakuwa sahivi
Nimefurahi kumuona mzee msisiri
Mbwela asikose kweny hii movi
Kazi nzuri
Asante kwa kazi zenyu nzuri,,nimejifùnza mengi kutoka kwenyu❤❤❤from kenya
Kakoso siri ya mgeni vp ep 2
Kicheko ukuu makabulini yeye alikuwa anafata nn atashenyetwaa😂😂😂
Kazi juu ya kazi❤❤❤❤
KAZI mpyaaa na nzuli sana❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Waliofurahi kumuona msisi wa msisili ndani weka like apa
Waliofurah kumuona mzee Msisili tufurah 😂
Mombasa to Kenya naikubal Sana sengo 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤Naona mambo mapya 🎉🎉🎉
Ni mshabiki kutoka kongo,nasapoti uujamaa aliesema kuhusu mouvies za kishirikina.inabidi ku change Pia za ki Mungu,itakuwa Bora zaidi.asante kwa kazi nzuri,awabariki Mungu
Mambo moto moto boss wangu kakoso chukua maua yako baba we kiboko kwakweli mwenyezi mungu akulinde na akutie nguvu zaidi ❤❤❤❤ from kenya
Kazi ni yamoto sana ila niseme tu asante sana mungu awabariki🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏👏hila kakoso?
Kazi nzuri sana ❤️❤️❤️ nawa penda 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙌🙌🌹
Kakoso natimu yako nawakubali sana km ninavyo mkubali Clam
Uchawi nikumleta mzee wetu mkali tokea kitambo
Huu mze musisi Mungu amemuweka zaidi kabsa❤❤❤ big up mze wangu nakujuwa tangu utotoni nilikuwa namyaka 2 old hadi leo nina 33 ninaawatoto wa 4
Bado mzee yupo
Mungu akulinde babu wetu❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤Naona mambo mapya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kenya tupo ndani
Akiwemo mzee msisiri mwenyewe 😂❤❤hongereni
Naona sasa Director ana directiwa kazi kubwa sana boss
Kakoso umesha haribu mambo😮
hakuna story zaidi ya uchawi kakoso
Msili wa msisiri gwiji la magwiji well done kakoso Kwa kumleta huyo mzee
Kazi zenu ni nzuri sana ❤❤❤❤
samahani kwa sawli nitakalo uliza
kwann mnapenda kutoa movies za kichawi sana maana asilimia kubwa naona zote zina husu uchawi
Kazi tunayo yaani ukiuliza majibu hawatoi
Duu hii n zaid ya moto kaz n nzur sana ❤❤❤❤ 🎉🎉
Jamani Léo nimewai
Hongera kwa kaz mzuri
Kwa series tenaa
Safi sana kaka, tuko pamoja kwa hii series mpya...shabiki sugu kutoka Kenya........watu kecha...😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sengo badilisha nguo kila kazi nguo hizo hizo😅😢
Bismillah
Movie baada ya lingine. nashukuru kwa vile manajituma sana nyie kwa pamoja mkiwa kikundi
MAASHALLAH. TIM VEVO MUSHAZIBA PENGO LA KANUMBA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Onesheni utofauti kidogo
Baba yangu KAKOSO katuletea kitu kipya tukae kwa kutulia macho tuelekeze uku kweny hii channel❤🇧🇮🇧🇮
Huyo jamaa WA mishenyento mwambie abadilishe shati na kofia tafadhali 😂😂,,, otherwise nawapenda Sana from+254 Nairobi 😅
Namuelewaga saaaana HAWA
Msisiri ndani nyumba bilashaka itakua zaidi ya Movie 😂😂😂
Kakoso unatumia akili san lakn leten na Idea nyingne sio kila cku za kichawi tu
Unanifurahisha sn kakoso❤❤❤❤❤
Mwaxi nakupenda xana
Mie shabiki mkubwa wa kicheko nakukubali sana kaka
Chuma hichoo😂😂kimetinga🎉🎉🎉🎉🎉mwamba kakoso kaluka nabland huku🎉
Msisi wa msisili much love mzee wetu❤❤❤❤❤
Mumehanza vizuri sana
Mwasi nakupenda ukivaa Madera❤❤❤❤
Namwamin sana kakoso
Hawa nakupenda kipenzi ❤❤❤❤
Naona kazi nzuri
Mzee msisili ndani yanyumba❤❤
Movie nzur sn 🎉🎉🎉
Kumekucha 🎉🎉🎉
Waaah kakoso hii Kali sasa❤❤
Wa kwanz from Malaysia 🇲🇾 km tunaamin hii movie itakuwa hot tujuaneee
mwezi wa pili huu director atuoin the big bosi
Mzee msisili❤❤❤❤🎉
Likes nying kwa mzee msisi wa msisiri >>>>
Kali 🔥
Br boresha kamale na changanya wahusika
Mzee msisiri welcome to the game again 💯
Saidi komba mwenyewe nipo apa mwanzo mwisho
Motomoto
Mzee msisi wa msisili
tumeipokea kwa mikono miwili toka mpangaji to Black day 🤲🥰
Director kakoso