The Healing Missionaries - Wamilele ( Official music video )
HTML-код
- Опубликовано: 21 мар 2024
- Song
Wamilele
Song writer
Aloys {Zungu}
Composer
Aloys {Zungu}
Music Director
Godwin Emmanuel {Oggy Keyz}
Vocal Arrangers
Daniel Kibambe
Singers
The Healing Missionaries™
Musicians
The Healing Missionaries™
Video Director
Baraka Adam
Video Editor
Baraka Adam
Audio Captured
Samwely Mboya
Audio Mixing
Samwely Mboya
Soloist ❤❤
Wapokeaji mngechangamka km muimbishaji ingetoka kitu kizitoo chenye kuvutia zaidi ya ilivyo Sasa... Hongeraaa Sana zungu
kuna jamaa ako jamaa ako hapo nyuma naskikia nimtwange makofi arudi nyumbani....anapeleka aje mafeelings kwa backup...shenzi sana
Wa milele na mapendo awabariki sana 🥳
Tunachezea hapa tu
Blessed more ...thanks a lot healing missionaries for a good and victorious song...🙏🙏🙏
It's a good one ❤
Wamilele Mungu wa Mapendo 🎉❤🎉🎉🎉 Mbarikiwe sana na Mungu wa mbinguni Amen
Miziki ya Mbinguni🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwamba wa kuitwa Aloys Kawawa....Teacher...Zungu la Yesu keep going bro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Waitikiaji mnazingua mmezubaa kama hamjui kinachoendelea khaaa
Wanashangaa balaa,😂😂
😂😂😂 usiombe ikukute hii upo madhabahun unaongza sifa alafu waitikiaji wanashngaa
Mungu akuinue na kukupeleka viwango vya juu sana,nakupenda pia napenda uimbaji wako Mungu akubariki sana mwanangu ❤❤
Jameni waitikiaji mbona mnaangusha show jamani, wacheni feelings bana!
Ni umeme 🎸🎸🎸🎶❤️🔥
More sir indeed Jesus is number one Amen and Amen
WAMILELE
Kaza mwendo Mungu amekeza vitu vikubwa sana ndani yako
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🖐️🖐️🖐️
Mubarikiwe sana
Wamilele mungu wamapendo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dah hii nyimbo ni motooooo
Solo apewe zawadi jamani
Safi sana..,Zungu ❤
Huyu raia huuuuh aisee
Waitikiaj kwek mmeangusha jan wimbo wa kusifu hata kutabasam hamuwez jamn
Very True some of the BGV are dull they are off
Sebene
Ambao awajashika maik kuimba wamepoa sana hta awachez kabisa sjui Wanatatzo gan lida kafany vzur back up powa lakin wao daaah
Atakama mmechoka mjikaze khaaa, Zungu kachangamka ila ninyi khaa
Stella MUNGU anakuona😅
Jaman naomba niulize, huyu mwamba white sio yule wa ufunuo choir? Au wanafanana tu.
Ni yeye yes
Ndio yeye