MashaAllah mukrim ur da best me kujua kwa muda mfupi sana nimetokea kupenda nyimbo zako sana ,Allah akupe nguvu uweze kumtukuza na kumtaja kwa Sifa zake InshaAllah .mola apokee toba yako nasi sote atupe mwisho mwema InshaAllah 🙏
Nice King ila nazani angekuwepe abubakar douch kazi ingezidi kuwa nzuri daahh Allah akupe kila la kheri kipenzi chetu akupe nuru kwenye kaburi lako nakukumbuka sana beka
King tafadhali nataka nifanye mahojiano na wewe kuhusu maisha yako binafsi mzee wangu ningependa HISTORIA zenu ifike wakati zihifadhiwe,,tafadhali niandikie kwenye Email yangu kama umeridhia glessantonopoulos90@gmail.com Ahsante!!
Mashaallah asante
Mashallah uko pw kingi mukrim
MashaAllah mukrim ur da best me kujua kwa muda mfupi sana nimetokea kupenda nyimbo zako sana ,Allah akupe nguvu uweze kumtukuza na kumtaja kwa Sifa zake InshaAllah .mola apokee toba yako nasi sote atupe mwisho mwema InshaAllah 🙏
ALLAHUMMAH AMIN YA RABBIL ALAMIN KWA SOTE IN SHAA ALLAH... AHSANTE SANA KWA COMMENT YAKO NIMEFURAHI SANA.
Mashaallah swahib
King
Nice King ila nazani angekuwepe abubakar douch kazi ingezidi kuwa nzuri daahh Allah akupe kila la kheri kipenzi chetu akupe nuru kwenye kaburi lako nakukumbuka sana beka
HIYO NI KWELI BI AZIZA.. MAREHEMU ALIKUWA NI MWANAFUNZI WANGU.. AHSANTE SANA KWA COMMENT ZAKO..
King tafadhali nataka nifanye mahojiano na wewe kuhusu maisha yako binafsi mzee wangu ningependa HISTORIA zenu ifike wakati zihifadhiwe,,tafadhali niandikie kwenye Email yangu kama umeridhia
glessantonopoulos90@gmail.com
Ahsante!!
IN SHAA ALLAH.. MUHESHIMIWA NIKO TAYARI WAKATI WOWOTE ULE.. NA AHSANTE SANA KWA COMMENT ZAKO..