LEO TWENDENI PALESTINA TUKAMUONE MARIAM BINT IMRANI (mama wa yesu). Othman khamis

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 окт 2019

Комментарии • 23

  • @salumuhussein9335
    @salumuhussein9335 2 года назад +1

    Allah akupe mwisho uliyo mzuli shekhe hothmani khamisi nakupenda Sana na napenda hotba zako mno

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 года назад +2

    Shukraan Sana sheikh wangu jazaka Allahu khaira

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 4 года назад +2

    Yaani sheikh mimi nakufollow sana na ninafaidika mno

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад +1

    Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh
    Shukran yaa sheikh mungu akuzidishie utukumbushe nduguzo amiin

  • @mbarakaali2983
    @mbarakaali2983 4 года назад +1

    Assalam alyekum Mashaalsh Shukuran sheikh Athamani Allah ukulipe Pia na mm niombe dua Pia na mm nijue

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад +1

    Kwakweli ni huzuni kubwa miaka hii vizazi allah awaongoze vizazi vyetu amiin

  • @mwanaidishibe9275
    @mwanaidishibe9275 4 года назад +1

    Mashaallah yani shekhe watutoa taka kwenye maskio..jazakallah kheir

  • @harunaomary5968
    @harunaomary5968 4 года назад

    Mashallah shekhe Allah akupe kila lililo la kher uzd kutupa elmu yeny manufaa

  • @djafarsangara9465
    @djafarsangara9465 4 года назад

    Darsa nzuri sheikh wetu ,Allah akupe maisha marefu

  • @abdallahsalum3879
    @abdallahsalum3879 4 года назад

    yaallah tusamehe madhambi yetu na tuongoze katika njia iliyo nyooka amin

  • @sontrillthereal8186
    @sontrillthereal8186 4 года назад +1

    Mashallah, Sheikh wetu wa Masjid Mtoro

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Yarabbi wajaalie watoto wetu wawe wema yaarabbi tujaalie wazazi tuwe wenye kuwafuatilia watoto wetu amiina yaarabbi

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 4 года назад

    Allahuma Amiiyn. Barak'Allahu fiiQ

  • @chilaichilaialaba4978
    @chilaichilaialaba4978 2 года назад

    Masha Allah

  • @hamsouledi17
    @hamsouledi17 4 года назад

    Ma Shaa Allah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 4 года назад

    Mashallah shukuran

  • @zamaradimbaraka1013
    @zamaradimbaraka1013 4 года назад

    Hakika daraja uliyonayo shekh ni kubwa.

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Amiina yarabbi amiina yaarabbi amiina yaarabbi

  • @masolihussein4692
    @masolihussein4692 4 года назад +2

    Mbona kisa cha Mariam Shekh aliishia njiani akijaisha?

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Radhiyallahu anhum

  • @hamidahamida1473
    @hamidahamida1473 4 года назад +1

    SUBUHANALHA

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 года назад

    Masha Allah