Unaanza kupoteza, hakuna Mungu watatu, ila ni YEYE Yule Jana, Leo na hata Milele YESU KRISTO so hepuka kuwa na miungu watatu. Kanisa litumiharo JINA LA BWANA YESU ndo Baba Mwana na Roho Mtakatifu hivo tumia jina hilo.
Nashuku huyo msanii ni diamond, huyo najua hajakubaliwa kuoa kabisa ila sijui kama humwagilia watu maji kwa show maana huwa sitazami hizo show. Pia kuna kuwanga na fununu mingi kumhusu yeye na mamake za kutisha sana
Huyu jamaa aliongelelea ubaya wa contraceptive za wanawake, kasema wamama wanaozitumia ni wa kwao maana ni dhambi. Ningependa azungumuzie za upande wa wanaume pia kama vile condoms ama ile method ya pulling out kwa wanandoa, pia hiyo ni mbaya?
Haya munaomwangiwa maji ya kuzimu ya maiti munazid kuwa malaya na wapenda hanasa na starehe na utalikuta jitu kinampanda msanii kupitizia ujuwe tayari maji yamemempata
Kweli kabisa haji namshukuru Mungu mimi yaani nadhani ujana wote umenipita bure kabisa sijawahi kupenda msanii yeyote wala kuhudhulia hayo matamasha sijui mengine yanatwaje bila shaka mwenyezi Mungu ananiepusha na hiyo mimaji ya shetani
Misikiti ni yao mapepo, awana shuguli na wao ,sababu uko ni kwao, umewaisiki mtu kutoka kuzimu akaeda msikitini, wengi wao wakitoka kusimu wanakibilia kanisani sababu wanajua uko ndio kuna usalama
@@elizabethmuia9839 ni kwasababu ya uchokozi, badala ya kuomba Mungu akulinde yasikudhuru. Nyie huomba makazi yao yabomoke na tawala zao. Nae Mungu ni vyake vyote hata hiyo kuzimu na shetani, sasa ukibomoa nao mashetani hukufatilia wakuteke kwa mitego yao kulipa kisasi. Badilika omba ulinzi sio bomoa, vunjaaa, ohoo utasakamwa

🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mimi naomba aeleze kwa undani kabisa kuhusu subukia kwa sababu wakatoliki wa kenya wanaamini sana maeneo hayo na huenda hapo sana mfungo.
Pamoja saana Mr everything 💪
Ubarikiwe na mungu akulinde na nguvu za mungu
Yeeeeeeeeesu,subukia in nakuru.It’s a shrine where most catholics go for retreat😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
😱😦😧 huko karibu nyumbani
@@morrismo8212 Yesu atutetee ak
Sijaskia akitaja subukia?? Hebu niambie
Wengi wapo kwa shetani kwa sababu ya ujinga kutojua mambo kipimo cha nguvu ya imani Jesus ana 100% shetani ana 40%.Yesu ni Mkuu kuliko shetani
YESU ile vituko unajioneaga Wacha tu wanajiita watumishi wako na kumbe ni viongozi wa wachawi hope Kuna siku wataumbuka
Juzi walinilisha nyama hata Haina chumvi niliumia sanaaa,kwanza walizidisha pilipil
Mungu Alitalia au kazi ya shetani ilifanikiwa?
Mwanzo 17;19 utamwita isaka
Majina hutoka kwa mungu ndomaana alikuita kwa jina lako halisi
Watu tuwe makini sana kuwapa watoto majina.
Nina subilia sehemu ya 12 katika shuhuda zilizo ni Bamba sana ni huu Ushuhuda nime uelewa sana kuliko shuhuda zote yaani.
South Africa sehemu gani? ?
Kwan mwisho wahii ipo wapi mbona miyeyisho sana bora promove tv wanamaliza mikasa kuliko hapa
Ubalikiwe kk yani hii ya mtoto huwa namwambia hata mke wangu mtoto asilie kwa sauti.
You mean bushiri hajarudi yupo kwao malawi. .
Dah Hawa wasani ndoo tunawapenda sana kuwasikiliza watu ukiwaambia awawezi kkusikiliza kabisa
Nashkuru Allah sina nyimbo kwenye cm yngu so tarabu wala bongo flaver
@@castorykapinga6425 sema wallah
One love Mr everything 🤝
Davistar we are waiting for part 12
Wakenya njooni mbio huku tumefika Subukia. This I must hear. What do you guys go there to do?
Catholics go there to that shrine on the mountain to park and get blessed water 😳😳😳😳😳😳😳🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Na pia namgongo ya Uganda naishuku sana pia.
Tuned in from kenya
Where has he mentioned subukia??sijaskia
Kifua wazi, konde boy
Alafu naomba atueleze tofauti kati ya freemason na illuminati.
Mbona inakata kuonyesha?imekwama!
Nashuku huyo msanii ni diamond, huyo najua hajakubaliwa kuoa kabisa ila sijui kama humwagilia watu maji kwa show maana huwa sitazami hizo show. Pia kuna kuwanga na fununu mingi kumhusu yeye na mamake za kutisha sana
Huwa anamwaga Maji kweli nilisha shuhudia hilo alikua akitumbuiza kiwanja cha mpira Mkwakwani Tanga.
Masharti yake aruhusiwi kuoa, akioa tu anafilisika
Please keep on uploading a new episode
Baba godi kabadilishwa kuwa mnyama
Tupe mkanda
@@khalidyasinkhalid5944 sikiliza ushuhuda
😂😂😂😂
Hahahahah itakuwa
Au ndo kawa farasi maana nasikia kuna faras kule kansan kwao
Pant 12 siion
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huwa wanawalisha nyama za watu au damu ya hedhi ya mwanamke
🙏🙏🙏🙏
Huyu jamaa aliongelelea ubaya wa contraceptive za wanawake, kasema wamama wanaozitumia ni wa kwao maana ni dhambi. Ningependa azungumuzie za upande wa wanaume pia kama vile condoms ama ile method ya pulling out kwa wanandoa, pia hiyo ni mbaya?
Naongezea hapo kidogo. Afafanue kwa wanaojichubua na kuweka nywele dawa.
njiA za uzazi wa mpango zote ni batili tafuta ushuhuda wa vyumba 351 vya kuzimu, pia Rachel na zipporah waliooneshwa kuzimu na duniani
Kutumia condoms , family planning en masterbation zote ni dhambi
@@wemamanikana9791hata hyo pia ni dhambi mpendwa
Haya munaomwangiwa maji ya kuzimu ya maiti munazid kuwa malaya na wapenda hanasa na starehe na utalikuta jitu kinampanda msanii kupitizia ujuwe tayari maji yamemempata
Kweli kabisa haji namshukuru Mungu mimi yaani nadhani ujana wote umenipita bure kabisa sijawahi kupenda msanii yeyote wala kuhudhulia hayo matamasha sijui mengine yanatwaje bila shaka mwenyezi Mungu ananiepusha na hiyo mimaji ya shetani
Yule msanii akioa tu anafilisika
🙏🙏🙏🙏👍
Kwann makanisa tu sio misikiti?
Ndio adui wake mkuu wa shetani
Misikiti ni yao mapepo, awana shuguli na wao ,sababu uko ni kwao, umewaisiki mtu kutoka kuzimu akaeda msikitini, wengi wao wakitoka kusimu wanakibilia kanisani sababu wanajua uko ndio kuna usalama
@@elizabethmuia9839 🤔🤔🤔
@@elizabethmuia9839 ni kwasababu ya uchokozi, badala ya kuomba Mungu akulinde yasikudhuru. Nyie huomba makazi yao yabomoke na tawala zao. Nae Mungu ni vyake vyote hata hiyo kuzimu na shetani, sasa ukibomoa nao mashetani hukufatilia wakuteke kwa mitego yao kulipa kisasi. Badilika omba ulinzi sio bomoa, vunjaaa, ohoo utasakamwa
@@khalidyasinkhalid5944 umenichekesha daaah🤣🤣🤣
Kwa shetani ni lazima tu ukosee masharti lengo Ili wakupe adhabu na utoe kafara tu uwamalize ndugu zako
Kwann utafute utajiri kwa shetani wakati hata kihalali unakuwa tajiri bila dawa
Niliitwa nikiwa mtoto aisee
Tafuta Davistar utuadithie tafadhali
1❤❤💃💃
❤❤❤❤💃🏿💃🏿
@@ayshamahariq6665 ❤❤❤🥰
@@bintimrope ❤❤❤❤❤
@@bintimrope za masku chidada wngu❤❤
@@ayshamahariq6665 salama my dear ♥. Upo poa weye??
Mtu akilia fungua sabowoofer
Msanii alimtoa kafara bibi yake
Mimi mniunge huko freemason natafuuta
🙏🙏🙏🙏