OBINNA SHPOW LIVE: MAASAI QUEEN - DJ QUEEN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии •

  • @nicerish
    @nicerish 4 дня назад +20

    Dj Queen played the role so well❤❤❤. Obiz❤❤, hautasaidika kabisa. Vumilia tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Glory_Ade
    @Glory_Ade 4 дня назад +24

    DJ Queen played her part very well😂

  • @Esthermbute
    @Esthermbute 4 дня назад +39

    I love how obinna feeds his fans what they like seeing and hearing. You are a master in this obinna

    • @DeeVio-x3y
      @DeeVio-x3y 4 дня назад +3

      Exactly 😂😂😂😂

    • @emilynyoike1986
      @emilynyoike1986 4 дня назад +5

      Hadi emotions wacha tu..... He needs an award aki

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 4 дня назад +2

      Kabisaaa🎉🎉🎉

    • @faithkubaitfft1668
      @faithkubaitfft1668 3 дня назад +5

      This is how men die because nobody cares about their feelings. We always think men have no feelings and can't hurt.
      OR SOME OF YOU OVER RATE OBINA and think he can't date DWFB.
      Obina is cacapable and might be camouflaging his pain in a comic way

    • @Esthermbute
      @Esthermbute 3 дня назад

      @faithkubaitfft1668 weh you are entitled to your opinion madam

  • @MercyMuthoniMwangi
    @MercyMuthoniMwangi 4 дня назад +7

    This girl is a vibe... Masaaii gal tunakupenda sana

  • @Rockliza-c1r
    @Rockliza-c1r 4 дня назад +83

    Yoo Obinna hii mboga yako uichungu uwache kuchungiwa, give her time ama create time to do such things together women love attention and availability to do small things together.. it’s more than money and bed nimeenda🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️

    • @chepkiruiwiliminah1551
      @chepkiruiwiliminah1551 4 дня назад +6

      Hapo sasa

    • @KamammywasBusia
      @KamammywasBusia 4 дня назад +4

      Sasa kama Obinna Hana time ya Ku treat bebii like a Queen Wacha a jibambe

    • @Rockliza-c1r
      @Rockliza-c1r 4 дня назад +1

      @@KamammywasBusia he has to create time hata wale wakitambo pesa na bed labda sio ndio ilikua shida

    • @ruthnarotso
      @ruthnarotso 4 дня назад +4

      Pia nalaumu obi I remember interview ingine akisema eti tutaharibu let her explore hajaenda dubai akambiwa habibi welcome to dubai😅

    • @Rockliza-c1r
      @Rockliza-c1r 4 дня назад +3

      @ yes his denial ama kuogopa kujiexplain and not being vulnerable around her pia labda hu confuse huyu msichana, though based on his past experience he needs to be creating time for this gal their alone time bila Obinna team crew and be available more than the other men that she enjoys their company.. bure kitamramba ya ukweli like the other relationships

  • @CarolCaylor7996
    @CarolCaylor7996 4 дня назад +10

    Obinna is such a cartoon character, lolest. I love it. I have enjoyed the show so so much. Life isn't that serious. Just have fun fun fun

  • @David-si4xi
    @David-si4xi 4 дня назад +39

    Dj queen. Na baba county ni vibe 😅😂

  • @shillahcherop8018
    @shillahcherop8018 4 дня назад +18

    First 30mins imekuwa ku solve family problems 😂

  • @MercyMuthama-l1g
    @MercyMuthama-l1g 3 дня назад +5

    Ya maasai you don't usually confirm, it's constant 😂😂😂😂😂😂 weuh dj queee 😂😂😂😂

  • @DobisterKhasitsa
    @DobisterKhasitsa 3 дня назад +8

    Leo obinna umekipata masaai lady amecheza part yake vizuri 😂😂😂😂😂

  • @suzzieDavis
    @suzzieDavis 4 дня назад +13

    She is a bad gal in Masai land keep going,more wins 🎉❤

  • @maggipraise7026
    @maggipraise7026 4 дня назад +16

    Obinaaaaa,si ukissed Awinja,did we talk,nyamanza na huendee bebii kwa airport

  • @inexcutee1844
    @inexcutee1844 3 дня назад +3

    Kevooo umeniua sana ambia Obina waendelee kurudi a maneno kutoka nyumba amalize aki kevooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KamammywasBusia
    @KamammywasBusia 4 дня назад +16

    Obinna sema tu una crashia huyu dem wa 2mbili na tulijuwa tu

  • @mariamwikali7904
    @mariamwikali7904 4 дня назад +13

    Aiii Obinna is joking hayuko serious guys 😂thats part of content...

    • @nicerish
      @nicerish 4 дня назад

      Huku watu inakaa sense of humor ilipotea😂😂😂😂. The way I loved as I laugh.

    • @VallaryAuma-b2u
      @VallaryAuma-b2u 4 дня назад +3

      I have just come to realise from this dem wa fb and obinna love story……most women don’t care about men’s feelings as long as they are happy the rest doesn’t matter it’s really bad

    • @shirleyachieng
      @shirleyachieng 2 дня назад +1

      But inakaa ilimuuma 😂😂

  • @Lizmunyao-q9y
    @Lizmunyao-q9y 4 дня назад +11

    Mapemzi bila wivu c mapenzi walai but obinna huwa unakapitia sanaa

  • @monicahwambui9540
    @monicahwambui9540 4 дня назад +8

    Bebbi anajiheshimu sana plus hao warabu husaidia watu kuswim

  • @leahkikuvi9795
    @leahkikuvi9795 4 дня назад +3

    Oooobina 😂😂😂😂aki hii nayo umenimaliza😂😂😂😂eti mgogo imekua pink,,😂so means what,,,😂Dem anakupenda every time she mentioned you❤❤❤❤

  • @LinetAkinyiMaloba-uo5zs
    @LinetAkinyiMaloba-uo5zs 3 дня назад +4

    I see Dj Queen going far, small girl with wisdom, i will support your songs sis by subscribing ,keep the fire burning🔥🔥🔥🔥

  • @restutachari9825
    @restutachari9825 3 дня назад +1

    😂😂😂😂 we trust our gal Obina don't worry 😂😂😂😂

  • @VallaryAuma-b2u
    @VallaryAuma-b2u 4 дня назад +4

    Obinna kijaribu kupenda anagongewa wooooi

  • @gaenorkangethe1418
    @gaenorkangethe1418 4 дня назад +8

    Obinna, come down, create time for her, and you guys should start traveling together to make memories ❤🎉

    • @JudyAchieng-j8d
      @JudyAchieng-j8d 4 дня назад +1

      Obina yeye dio alifaa apeleke Dubai alipromise yeye kitambo mbona anajam sasa

  • @zipporahmusyoki8919
    @zipporahmusyoki8919 4 дня назад +10

    Kumbe unaeza kua na wivu hivi😂😂😂😂😂 justice for obbina 😢😢

  • @EmmanuelBethel-db3sh
    @EmmanuelBethel-db3sh 4 дня назад +2

    Obinna just always create time of bebiii I know he love you❤

  • @ChristineWambua-vm6mb
    @ChristineWambua-vm6mb 4 дня назад +10

    😅😅😅😂😂😂😂kumbali tu matokeo na uendelea tu na show njuu akuna otherwise 😂😂😂😂😂❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @leahmbone8292
    @leahmbone8292 3 дня назад +2

    😂😂😂 ateleze mpaka kwake, ooooh my obinna take heart

  • @Nourahalima
    @Nourahalima 4 дня назад +4

    Obina wacha kutubemba ufala😂😂😂😂😂

  • @marthanduta3693
    @marthanduta3693 4 дня назад +14

    Forgive her bebii wa bebii😅😅😅😅😅

  • @lindaclarah553
    @lindaclarah553 4 дня назад +2

    Chop rice ,chop rice😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤😂😂😂😂

  • @EstherMakabira
    @EstherMakabira 2 дня назад +3

    Create time for her she is still young she needs to have fun😂😂😂😂😂

  • @Janice-sd7hl
    @Janice-sd7hl 2 дня назад +1

    The obinnas wakopamoja msijaribu kuongea mambo yao.wako tight kama kifuniko ya gaas❤❤❤

  • @priscillah6646
    @priscillah6646 3 дня назад +3

    Nime😂😂😂😂 obina aki pole but we leave only once wacha bebii aenjoy and I hope umemundea 😂😂😂❤❤❤❤

  • @DavidOmosh
    @DavidOmosh 2 дня назад

    OGA OBINNA God has blessed you with this girl, she can be a good actor. YOU CAN WORK TOGETHER WITH THIS LADY. Don't underestimate her.

  • @ELIZABETHWACHIAMUDIOELIZABETHW
    @ELIZABETHWACHIAMUDIOELIZABETHW 3 дня назад +9

    Next week akue guest itabamba sana ile umbea amebeba 😂😂😂😂

  • @NellyJepkoech-t4q
    @NellyJepkoech-t4q 4 дня назад +6

    Heri hata mwenye ako open kuliko pretenter she is a trutfulwoman.

  • @NancyRego-dz1gs
    @NancyRego-dz1gs 4 дня назад +2

    😂😂😂😂waah this show was full of vibes🤣🤣🤣🔥🔥🔥

  • @risperongera9368
    @risperongera9368 4 дня назад +6

    Aki obina leo amechanganyikiwa

  • @WinnieWangui-lk8sl
    @WinnieWangui-lk8sl 4 дня назад +20

    Wacha bebii akuje kesho ajitete mwenyewe😂😂😂😂

  • @dianaokal5617
    @dianaokal5617 2 дня назад +2

    DJ Queen hajui Obinna ashawahi gongewa na gari yake, na BnB amelipia. Umeguza kidonda. Pole sana Wuon Lola, kugongewa ni Co.....

  • @Janegats
    @Janegats 4 дня назад +5

    Utasema huendi, Omar adandie opportunity 😂😂😂😂

  • @brendamumbua6756
    @brendamumbua6756 4 дня назад +2

    Weee obinna pia husituletee,masai tena

  • @fridahesau4314
    @fridahesau4314 4 дня назад +7

    Kevoo Arooo umejibu swali vizuri sana obinna ata wewe ulikua free hug hatujasahau kesho moja kwa moja hadi airport bebii hawezi ngongwa kabisa

  • @Puriel8
    @Puriel8 3 дня назад +2

    Obinna you need an Awards 😂😂😂

  • @hannahrhodah2018
    @hannahrhodah2018 4 дня назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole Obinna forgive bebii it won't happen again 😂😂
    Lakini Obinna ni drama King and a wholesale vibe 😂😂

  • @ShilaAkatsa
    @ShilaAkatsa 4 дня назад +32

    For the first time kuona obina akiwa serious kuhusu bebi weee hadi akaamka kuenda kulia kidogo.enyewe anampenda hadi nkafeel kulia na yeye aki

    • @JudyAchieng-j8d
      @JudyAchieng-j8d 4 дня назад +2

      Bebii ajui kuswim jamen i

    • @carolynebuya6652
      @carolynebuya6652 3 дня назад +3

      Anakaa kihuruma hii imemgusa haki

    • @HalimaWeyimi
      @HalimaWeyimi 2 дня назад

      Hakuwa Amalia jameni ,nivile hakutaka kucheka mbele ya camera ndio akar da kujificha kidogo

    • @ShilaAkatsa
      @ShilaAkatsa 2 дня назад

      Ati alienda kucheka surely halima na hua anacheka Kwa camera Hadi anatoa machozi apo alikua analia

  • @marykioko7614
    @marykioko7614 4 дня назад +3

    Nimecheka hii show,mashavu iko chungu😂😂😂😂😂

  • @BavarianBlackGirl-vd2go
    @BavarianBlackGirl-vd2go 3 дня назад

    obina yawa you are killing it your new fun

  • @damadama5780
    @damadama5780 3 дня назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂so huyu DJ queen walipatana na mama county 🔥🔥obinna take heart bebi hakugongwa😅

  • @RuthAnyona-x6l
    @RuthAnyona-x6l 4 дня назад +12

    All i can say is obinna anaplay kama victim hapa ndio ikuwe excuse ya kutoendea bebii kwa airport.
    We all know bebii hawezi fanya anything kwa hiyo maji aiiii she's just having fun

  • @annwawira9565
    @annwawira9565 4 дня назад +4

    Some one is hurt😂😂

  • @sizbentahatieno9635
    @sizbentahatieno9635 4 дня назад +6

    Bebii wa bebii Wacha hasira bebii anajieshimu sana😂😂

    • @Fatuf4951
      @Fatuf4951 4 дня назад +2

      Museme tu ukweli anajiheshim vyawapi apunguze kushika shika wanaume yule nimwanamuk amezidi angekuwa ni obina matusi yangekuwa mengi

    • @marykahunda
      @marykahunda 4 дня назад

      ​@@Fatuf4951hajiheshimu huo ndo ukweli hata kama hangongwi lakini kushikashika wanaume aaaai anashukisha heshima yake

    • @marykahunda
      @marykahunda 4 дня назад

      ​@@Fatuf4951halafu na kusimpia wanaume pia aache

    • @irenendunge7140
      @irenendunge7140 4 дня назад

      😅😅😅😅mtege advice one million juu mtawaasvice Hadi mjue kumind your businesses​@@Fatuf4951

    • @sizbentahatieno9635
      @sizbentahatieno9635 4 дня назад

      @Fatuf4951 nikweli ndio siteteamgi makosa, akini kumbuka huyu msichana alienda Dubai na wanaume Wa tatu ulisikia chochote mbaya Hawa walikutana kwamaji tu na wakaongelea na ikaisha hapo, na ukitaka kwangalia makosa shetani atakuletea makosa mengi sana alafu utagikuta unamchukia bure, kushika wanaume hiyo ni mbaya atajirekebisha hapa, hata Mimi ni mwenye nitamkataza.

  • @stellawanjiku3359
    @stellawanjiku3359 3 дня назад +1

    Best conversation ❤this week queen ni vide

  • @ALEXGULUNDU-w9n
    @ALEXGULUNDU-w9n 3 дня назад

    🤣🤣🤣 Hi Show ya Leo imenifurahisha.say hi to dj Queen...my favourite artist ever

  • @kajgachihi
    @kajgachihi 3 дня назад

    The collabo song between you two 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @sarahatieno3296
    @sarahatieno3296 4 дня назад +5

    😂😂😂😂 ata wewe unajua bebii awezi gongewa thoooo

  • @j.j3601
    @j.j3601 4 дня назад +5

    Gaii Obinna ongelesha bibi 😂😂😂😂 its not that serious

  • @shillahcherop8018
    @shillahcherop8018 4 дня назад +2

    Obizzeee husaaaa

  • @Gabriel-o2f1o
    @Gabriel-o2f1o 3 дня назад +1

    Obinna Amegongewa na si mayai 😂😂😂😂

  • @PaulineWangechigachoki
    @PaulineWangechigachoki 3 дня назад +9

    Kumbe ii ndoa waliamua ikiwe chini ya maji wakuwe wakituchanganya kila siku,msiseme hamjasikia ii

  • @MiriamDavid-k2b
    @MiriamDavid-k2b 4 дня назад +2

    Hahaha 😂🤣🤣🤣🤣 ety ukonicomfrim

  • @FelistersElima-y5s
    @FelistersElima-y5s 4 дня назад +4

    The show was 🔥🔥🔥🔥

  • @naomif6774
    @naomif6774 4 дня назад +1

    Lupita Nyong'o, is that you 😂😂😂

  • @BahatiJuma-t8h
    @BahatiJuma-t8h 3 дня назад

    Our girl can't do what ur thinking l know her very well. We love u both ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mourine-c2g
    @Mourine-c2g 4 дня назад +19

    Obinna is a comedian 😂😂😂😂 he's giving us what we like seeing and hearing...rhank you

    • @Daisy001Mwadime
      @Daisy001Mwadime 4 дня назад +1

      Exactly💯💯 he knows how to attract his fans but this was so interesting aki😂😂😂

    • @Mourine-c2g
      @Mourine-c2g 4 дня назад +1

      @Daisy001Mwadime kwanza part aliamka Kwa kiti🤣🤣🤣🤣

    • @beckyshee
      @beckyshee 3 дня назад

      @@Mourine-c2g Ali overdo aki,🤣🤣🤣🤣🤣vile alienda home akisema hio content nimeua😝🔥🔥🔥

    • @Mourine-c2g
      @Mourine-c2g 3 дня назад +1

      @@beckyshee imagine he clapped for himself 😂😂

    • @beckyshee
      @beckyshee 3 дня назад

      @@Mourine-c2g 🤣🤣🤣,we kutafuta pesa sio rahisi

  • @Doreenashly
    @Doreenashly 4 дня назад +6

    Obizi salamia watu wote kwa shwo

  • @maggienthambi9133
    @maggienthambi9133 3 дня назад +2

    Eti meno yako nje yote karibu amuume kwa shingo🤣🤣🤣

  • @MercyNyakio-kp7ok
    @MercyNyakio-kp7ok 3 дня назад +1

    😂😂😂😂😂obinna ameongea ikamtoka,,kuongea ukweli love is jealous

  • @huaweiphone1681
    @huaweiphone1681 3 дня назад +4

    Msamehe ndio marayake yakwanza kwenda huku na pengine yy walijua ni vizuri kumbe alikuwa anaharibu atajifuza kwa Hilo na huyu usimuache pekeyake Sana hajui kujikoturo yy anaona sawa tu

  • @lucymakandi
    @lucymakandi 3 дня назад +1

    Have never seen obina,akiwa jealous hivyo.😂😂😂

  • @ChristineMsafi
    @ChristineMsafi 4 дня назад +10

    Kitu utafanya mfishe Pete 😂😂😂but kurudia kosa ndo kosa forgive her plz

  • @konteshows
    @konteshows 3 дня назад +2

    Ama obinna atafute kilema hawezi move on😂😂

  • @AiyabeiChebet
    @AiyabeiChebet 4 дня назад +13

    Nimehurumia Obi Leo😂😂😂

    • @nicerish
      @nicerish 4 дня назад

      Hata baba Kaunty amemchoma sana😂😂😂. Na vile Obiz❤❤❤, alikuwa anafikiria atamsaidia.

    • @AiyabeiChebet
      @AiyabeiChebet 4 дня назад +1

      ​@@nicerish13:01 kwanza hii part
      Kama Obi angepata kitu ya kumgonga ama kumlinga angekipata 🤣🤣🤣

    • @AiyabeiChebet
      @AiyabeiChebet 4 дня назад +1

      ​@@nicerish 20:23

    • @nicerish
      @nicerish 3 дня назад

      @@AiyabeiChebet I loved every part of this. The characters played wonderful role.
      Lakini tukubaliane, kumtetea dwfb inatanga Phd🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mnatuliza moto huku, kidogo kidogo anatoa receipts zingine.

    • @AiyabeiChebet
      @AiyabeiChebet 3 дня назад

      @@nicerish hii ya Leo
      I've decided to stand with Obinna 🤣🤣🤣

  • @nicerish
    @nicerish 4 дня назад +1

    Haki baba Kaunty😂😂😂😂😂😂😂.
    Shetani ameteseka kwa vinywa vya watu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Rockliza-c1r
    @Rockliza-c1r 4 дня назад +10

    Mama kaunty😂😂😂😂 Obinna woiye uko hurt for nothing, hawa Pakistanis wako ovyo in all ways, walikua kwa maji the whole crew hata boss woiye😂😂😂

  • @kakajosie2396
    @kakajosie2396 3 дня назад +1

    Baba County anachoma sana🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 3 дня назад +2

    Just forgive bebii'ni content to bebii wa bebii😂😂😂😂❤

  • @MiltrateNavuka-b6y
    @MiltrateNavuka-b6y 3 дня назад +1

    Weeeee kweli mapenzi yanauma hivi 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @DolphinIminza
    @DolphinIminza 4 дня назад +3

    Aky obinna bebi hawezi fanya kitu mbaya

  • @beckyshee
    @beckyshee 4 дня назад +4

    Na si ww ulibembwa na dacha😂😂😂😂😂

  • @BridgitKemori-gs8so
    @BridgitKemori-gs8so День назад +1

    Ama bebi akuje akue guest next🤦umbea ako nayo haiwezi toshea kwa weekly show😂😂😂

  • @MaryAnn-r1s
    @MaryAnn-r1s 4 дня назад +2

    😂😂😂😂ata ya mapaki haiyamkii ,why obizee unakua worried 😂😂

  • @christine4072
    @christine4072 3 дня назад +1

    Kwani obiz alikua serious 😂😂😂

  • @Yunisgitonga
    @Yunisgitonga 2 дня назад

    Sure dj queen u are the comedian too🎉

  • @LOVELYAggie
    @LOVELYAggie 2 дня назад

    OBINA ambia Bebii vile unataka akae,,,umkataze ku hug everyone mwenye anaona

  • @MukamiJudy
    @MukamiJudy 4 дня назад +16

    Imebidi ni watch hii video after kuona watu wakisema wanahurumia Obinna 😂😂😂,eti mbote ni wa kunyonga😂😂😂😂😂

  • @VincentGamboMuye
    @VincentGamboMuye 4 дня назад +5

    Ulete POZZEEEE

  • @shadynillan8120
    @shadynillan8120 3 дня назад +3

    Ile Chocha mnapigwa hapa...lakini sawa tu😂😂😂😂😂😂 😊

    • @EstherMakabira
      @EstherMakabira 2 дня назад

      Tunajua ni chocha but let's keep on having fun😂😂😂😂😂😂

  • @sammylafter2545
    @sammylafter2545 2 дня назад

    Baba county na DJ queen 👑 nderstood the assignment 😂😂😂😂

  • @MetrineNekesa-mj4mh
    @MetrineNekesa-mj4mh 3 дня назад +1

    Yaani nyinyi watu obinna akikosee ni mbaya lakini babii girl akikosea is ok yoo ❤❤❤❤❤

  • @diamond-bz3ms
    @diamond-bz3ms 9 часов назад

    10 nill😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Ukijinyonga juu ya bebi😂😂😂tumia kamba ya stima😂😂😂😂, hii haitaji survival😂😂😂😂

  • @shirleyachieng
    @shirleyachieng 2 дня назад +1

    Bebii wa bebii,, next Monday invite bebii kama guest ndio tuskie story yake ajitetre😂😂😂juu kumtetea hapa n ngumu 😂😂pole bas😂😂team Obinna en bebii who is with me 🖐️🤣🤣

  • @Flora-sd6pe
    @Flora-sd6pe 3 дня назад +1

    Ooo kimbe muluchanganya chini ya maji

  • @ruthnarotso
    @ruthnarotso 4 дня назад +3

    Wewe ulikiss Awinja we didn't talk tit for tat is a fare game😂😂😂

  • @lindajuma8030
    @lindajuma8030 4 дня назад +5

    Aki kutetea bebi n ngumu wee, but she told you, waht a man ca do a woman can do extra better

  • @BarcaElchapoh
    @BarcaElchapoh 2 дня назад +1

    Nanii amenotice hio Obinna show imeandikwa vibayaa 🤣🤣💔

  • @irenendunge7140
    @irenendunge7140 4 дня назад +9

    😂😂😂😂😂mtachanganwa na hawa until mjue kumind your business 😅😅😅na badooo ,watu wa advice mtege advice million juu actually you have allot to do😂😂😂😂lemme me like comment send love emojis 😘❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Nzulah254
    @Nzulah254 3 дня назад +1

    kumbe mapenzi haibagui wa kutesa
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @CarolineCaro-z6h
    @CarolineCaro-z6h 4 дня назад

    Obinnn 🤣🤣 pole sana dear bro

  • @lizmary-ss2kz
    @lizmary-ss2kz 3 дня назад

    Akii baba kaunty na obina mnaeza act poa

  • @SleepyAgilityPuppy-wx3wf
    @SleepyAgilityPuppy-wx3wf 4 дня назад

    😂😂😂😂😂😂hyo mwanaume anakaa omoshi wa akothee 🤣🤣🤣😹😹😹obinna you're a cheater it's true😂😂😂😂😂 pole basi