TAZAMA WALICHOKIFANYA MAPADRE, MASISTA NA BABA ASKOFU MBELE YA MAPADRE WAPYA. MISA YA SHUKRANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 3

  • @marysona9999
    @marysona9999 20 дней назад +2

    Hongera sana Padre Alex LUKWAWILA kwa daraja takatifu. Kwa kweli Sasa MHASHAMU Baba Askofu Kibozi furaha yako imetimilika kumwona Fr. Alex kuwa padre. MWENYEZI MUNGU Azidi kuwasimamia katika Utumishi wenu.Amina.

  • @salalagonzales5203
    @salalagonzales5203 21 день назад +3

    Pongezi Sana kwa Sherehe hiyo Baba Lukwawila. Tuombee nasi tunaendelea kukussindikiza kwa Sala zetu ndogo ndogo. Mungu apewe sifa daima

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 18 дней назад +2

    Hawa si Wanyalukolo kabisa hawa😂