Barikiwen sana, Enock umenikumbusha mbali enz zile tabora school boyz& girlz tukiwa walim wakwaya, nimefrah San kuona ukiendelez kipaji chako, Mungu awainue zaid
Nilipata kua na huu wimbo kitambo sana, niliukuta WhatsApp group bahati mbaya nikaupoteza, hapo sijui waimbaji ni nani. Nimeutafuta kitambo sana, Mungu mkubwa Leo nimekutana nao tena, ni mbaraka sana kwangu
"Mlango uko wazi Kwa wote" Barikiweni sana
Ameeen beautiful voices be blessed you all
Barikiweni sana wapendwa!
Barikiwen sana, Enock umenikumbusha mbali enz zile tabora school boyz& girlz tukiwa walim wakwaya, nimefrah San kuona ukiendelez kipaji chako, Mungu awainue zaid
Amina,zidi kubarikiwa,nawapenda sana@AyNyarugusu choir
Napendi hii choir sana , such a wonderful song with great message
Nilipata kua na huu wimbo kitambo sana, niliukuta WhatsApp group bahati mbaya nikaupoteza, hapo sijui waimbaji ni nani.
Nimeutafuta kitambo sana, Mungu mkubwa Leo nimekutana nao tena, ni mbaraka sana kwangu
Hakika Nimebarikiwa sana. Kweli Yesu nitazame unipatie amani moyoni
Nimebarikiwa na huu wimbo.tujitahidi tuwe na mwisho mwema
Nawapenda san
Nipo LONDON lakini nimeipenda sana hii kwaya ya Tz, yesu nitazame
Such a wonderful, encouraging and soul uplifting song to behold Christ our hope of glory
May God bless, the choir for their great ministry
Mungu awafanye kinara msijitukuze.nyarugusu
Mungu awabariki na muendelee kwa kazi nzuri Amina
yesu nipatie amani moyoni Amen
amina sana mungu aendelee kutubariki
Amen, napenda sana nyimbo za hiyi kwaya kutoka Tz
mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
I love thi s song...yesu nitazame Mimi pia
AY nyarugusu mnanibariki sana! YESU NAMI NITAZAME.
Hongereni na mwenyezi Mungu awaongezee nguvu
Yesu nitasame ndani yangu uniweke nguvu zako kwa hatua zangu,Amina.
Mungu awabariki sana
Amen
Ni kweli na hakika ... Ipo siku matatizo yataisha ...
Nawapenda Mungu awabariki
Amen, yesu nitazame
Wabarikiwe sana hawa waimbaji
mbarikiwe, Yesu nitazame
Mungu awabariki na azid kuainua...
God bless you, Amen.
mbarikiwe
Eee YESU nitazame na mim
Past mbaga mafndisho ya ndoa na uchumb
mmenibariki sana SABATO yangu ya leo 17/ 11/ 2018
Mbarikiwe ...
nipatie amani moyoni yesu
Mbarikiwe sana
so nic
Amen
safi sana
Amen... 2019
Nyarungusu
Nice
Huu wimbo uko album gani?
Amen. How can I get your CDs?
Angel Nyamisa call +255755000788
Piga +255755000788 ili kupata dvd
Thank you Pastor. God bless you.
,
Amen
Albamu yenu inaitwaje wapendwa
Amen