KILIMO CHA HOHO, KINACHO ZINGATIA TECHNOLOJIA BORA ZA UZALISHAJI KWA MKULIMA.
HTML-код
- Опубликовано: 29 сен 2024
- Kutana na wakulima wa hoho, wanao zingatia technoloia bora za uzalishaji wa mazao shambani ambao, wamenufaika na mradi wa feed the future mboga na matunda Tanzania.
Kipindi kizuri naomba no ya huyo mzee au wana kikundi
Ahsante sana Kwa elimu nzuri
Kama na mm ninakikundi nataka hudumu kama iyo ya drop irrigation nasaidiwaje ili kuwapata?
mimi nipo dar es saalam tupo vijana watatu na tuna sehemu ndogo kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga ila naona bado hatujapata elimu ya kutosha kuhusu kilimo hiki je mtatusaidiaje tuweze kupata elimu hii na mwisho tuweze kufika malengo
Sana
Tunashukuru sana kwa elimu.
Tunashukuru sana kusikia kutoka kwako, na karibu sana @joseph wattay,
Ndiyo ndiyo
seto tv Karibu sana watu wa nguvu seto tv
Nimewaelewa sanaaaa... Tatizo ni soko,, tunaweza saidiwaje kwa upande wa kupata soko
Mawasiliano ya feed the future
#Ndio ndio
mpelwa henry tupo pamoja kujakikisha tuna onyesha mambo muhimu ya wakulima nchini.
Safi sana kipindi kimekuwa bora zaidi
Andrea Kidulile Asante na tutazidi kuboresha zaidi na zaidi.
Hongera egno...kazi nzuri huyu mzee nampata...mpe pongezi
Prakseda Melkior Asante sana, pongezi zitamfikia mzee wetu Mzee Fransic huyo.
Kazi nzuri Mdogo wangu, #TakeAction!
REUBEN RICHARD Asante sana. Kazi nzuri zitazidi kuja, Nashukuru kwa support yako.
Karibu Sana!
nimepata muamkao wa kilimo japokuwa mwenyewe napemda sana kilimo
Kilimo ni lugha yetu
#Vijana tusonge mbele
Very nice wamewaza kitu kizuri
Isia zangu nikilimo
Nice work boss
herman edward Shukran sana, tupo pamoja na endelea kuwa nasi.
Nimekipenda kipindi aisee.. 1 of the best.
tija damvp00 Shukran sana, na endelea kuwa na Digital farms
Nc idea
omari zubeda Asante sana na endelea kuwa nasi, kwa shughuli mbali mbali za kilimo