"Mawazo" Sehemu Ya 54 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 20

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 7 месяцев назад +2

    Doctor uzidi sana kubarikiwa umenifungua kwa mengi maishani mwangu nimebadilika hadi nimeona kweli mawazo yako yamenitoa hakikaa

  • @ishemwabulayusuph5418
    @ishemwabulayusuph5418 7 месяцев назад +2

    Dr upo vizuri

  • @Ernest-jo5di
    @Ernest-jo5di 7 месяцев назад +2

    Ukizaliwa kwenye umasikini unahisi msaada wa kweli ni kula na malazi. Kumbe msaada wa kweli ni Idea. Amen Dr

  • @Ernest-jo5di
    @Ernest-jo5di 7 месяцев назад +7

    Suala la Sauti - Naendelea kusema kuna HUJUMA kwenye kipindi Cha Dokta. Inakuwaje Miaka yote kipindi hiki hiki kuna shida ya Sauti? Au mmekosa kukipa kipaumbele? Mjitathmini kwa kweli

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 6 месяцев назад +1

    Kizingiti namba moja ni kuzingatia UHAI, ili MAONO yajengeke na mawazo yatiririke ipasavyo. MAONO ni namna ya kujiona ulivyokuwa,ulivyo,na utakavyokuwa wewe mwenyewe. Zingatia wazazi waliosababisha UHAI wako na wengine wanaosababisha kudumisha UHAI wako, pia wale wanaosaidika.UHAI ni mtaji mkubwa hata kama huna kitu. Upe mwili vinavyokujenga ili mawazo yawe sawa. ❤🎉 Nimejifunza asante Dr Ellie.

  • @Mussapeter-ct1fu
    @Mussapeter-ct1fu 6 месяцев назад

    mbarikiwe Dr. na waandaaji

  • @thomaskapande8618
    @thomaskapande8618 6 месяцев назад

    Sauti fanyieni kazi

  • @ladimkwegi8468
    @ladimkwegi8468 7 месяцев назад

    MUNGU awabariki sana...!

  • @JumaNgasinda
    @JumaNgasinda 7 месяцев назад

    Team chomoza tupo pamoja from Zanzibar' at daraja bovu

  • @DorethMselem
    @DorethMselem 7 месяцев назад

    Tunashukuru sana dr asante

  • @JosephatKinemo
    @JosephatKinemo 7 месяцев назад

    Tunawaombea, afya njema ili mzidi kukusaidia team chomoza, God bless

  • @DottoCharles-op4ri
    @DottoCharles-op4ri 7 месяцев назад

    Nasikiliza somo muda huu

  • @EvlyinEvans
    @EvlyinEvans 7 месяцев назад

    Asante kwa Somo Dr. 🙏🙏

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 7 месяцев назад

    Amen.

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 7 месяцев назад

    Shukran sana Mubarak

  • @wazirimfilinge2610
    @wazirimfilinge2610 7 месяцев назад

    Thanks Dr

  • @ramadhanikimweri4352
    @ramadhanikimweri4352 6 месяцев назад

    MATANGAZO YA MIKOPO YAMEKUWA MENGI SANA

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 6 месяцев назад

    Kuhusu afya nawapa pongezi Uingereza the way wanapohudumia wagonjwa wao,yaani mpaka upewe antibiotics ujue inshu yako ni seriously,nadhan huwa wanatoa chance kwa mwili kujitibu wenyewe

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA 7 месяцев назад

    Docter bana eti kunawatu wanakaa baa mama ofcin.

  • @officialsaitoti492
    @officialsaitoti492 7 месяцев назад

    🫡🫡🫡Dr.