RADD KWA MSIMAMIZ WA MASALAFIY ZANZIBAR ABUU MUHAMMAD SALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 15

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 25 дней назад

    Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na ampe mwisho mwema

  • @RashidMussajuma
    @RashidMussajuma Месяц назад

    Allahumma aamin sheikh unaeleza jambo Zito sana

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 25 дней назад

    Nampenda abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu kwa ajili ya Allah

  • @SimbaRamadhan-i6x
    @SimbaRamadhan-i6x Месяц назад

    Mashaallah hakki itabainika

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm Месяц назад

    Allah amlipe kher Mualim wetu mpendwa

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 25 дней назад

    Hata mkifanya fitinah dhidi ya sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu mtashindwa na Allah atamuhifadhi

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Месяц назад

    Allah akuhifadhk Abuu Zagar ,tupo hapa Tunazidi kuwaelewa hawa vijana wa fujo

  • @islaminmyheart9348
    @islaminmyheart9348 Месяц назад +1

    Hili haliwadhuru Salafiyyun, isipokuwa linazidhuru nafsi zao wenyewe. Tunamuomba Allaah ulinzi na salama

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y Месяц назад

    wanao pigana mapande ni wanaojiita masalafi,,,

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y Месяц назад

    Hakuna sulhuu kati ya salafiyuun ,,, leta far'qa,, leta far'qa adaab...hata salaam hakuna asisikilizwe yeyoote ambae sio salafi...

  • @IphoneIphone-p8b
    @IphoneIphone-p8b Месяц назад

    Akhy Allah hatakiacha bure bure kwa kupalilia fitna. Wewe video zote na za ugomvi

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  Месяц назад +1

      Nikweli ila stumi kwasabab yaftna ili watu waelewe hakk

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  Месяц назад +2

      Na nitatuma mpaka watu watakapoelewa inshaallahu.

    • @AbuuRayyan-j8x
      @AbuuRayyan-j8x Месяц назад

      ALAA kumbe haya endelea kutuma kwa 7 bu maashaallah watu wanaelewa sanaaaaaaaa kwa hii juhudi Yako.

    • @moshiyassin3604
      @moshiyassin3604 12 дней назад

      Nyinyi wote ni masalaf kwanini mnakuwa mnagombana mnashida gani au hamko kwa ajil ya Allah au mpo kwa ajil ya yahudi fitina za huko Sudia mnatuletea sisi huko kwanini sudia tunajua ni nchi iliyokamatwa na mayahudi bona masufi hawako hivo